Friday , 19 April 2024
Home mwandishi
8670 Articles1247 Comments
Habari Mchanganyiko

Nida kupunguza utitiri wa vitambulisho

  MAMLAKA ya Uzalishaji wa Vitambulisho vya Taifa (Nida) nchini Tanzania, imeanza kushughulikia tatizo la kupunguza utitiri wa vitambulisho kwa kuongeza thamani ya...

Habari Mchanganyiko

NMB yampongeza Rais Samia kuimarisha sekta ya benki, kuifungua nchi

  UTAWALA wa mwaka mmoja wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan umeelezwa kuchangia kuimarika kwa sekta za kibenki kwani imekuwa imara, salama,...

Kimataifa

Waandishi 6 wauawa, 8 wajeruhiwa

  KATIKA siku 24 pekee za vita kati ya Urusi na Ukraine, jumla ya waandishi sita wameuawa, nane wamejeruhiwa na wawili wametekwa na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ajali yaua 22 Morogoro, Rais Samia awalilia

  WATU 22 wamefariki dunia huku zaidi ya 30 wakijeruhiwa katika ajali ya barabarani ikihusisha basi lenye namba za usajili T 732 ATH...

Tangulizi

Serikali ya Tanzania yavuna bil. 540 taasisi, mashirika ya umma

  OFISI ya Msajili wa Hazina nchini Tanania, imefanikiwa kukusanya Sh.539.3 bilioni kutokana na mapato yasiyo ya kodi kati ya Machi 2021 na...

Tangulizi

Wastaafu mashirika EAC vicheko katika pensheni

  SERIKALI ya Tanzania imefanikiwa kuongeza umiliki wa hisa katika Kampuni ya Madini ya Almasi ya Williamson kutoka asilimia 25 hadi asilimia 37....

Habari Mchanganyiko

Mama Janeth Magufuli atoa misaada kwa wahitaji

  MAMA Janeth, Mjane wa aliyekuwa Rais wa wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema, ataendeleza utamaduni waliyojiwekea yeye na marehemu mume wake wa...

Habari za SiasaTangulizi

Ni mwaka mmoja wa uhuru na kuponya makovu

  WAKATI Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, inatimiza kipindi cha mwaka mmoja tangu iingie madarakani tarehe 19...

Kimataifa

Rais Ufilipino hatapeleka majeshi Ukraine

  NCHINI Ufilipino Rais Rodrigo Duterte amesema kuwa hatapeleka Wanajeshi wake kupigana nchini Ukraine iwapo Marekani itahusika katika mzozo huo. Inaripoti BBC (endelea)....

Kimataifa

Aliyewahi kuwa mkimbizi kutoka Burundi awachangia mahindi wakimbizi Ukraine

  NCHINI Burundi Mkulima mdogo wa zao la Mahindi ametoa mchango wa kilo 100 za mahindi kwa wale waliokimbia ghasia nchi Ukraine. Kijana...

Kimataifa

UN yazigeukia nchi za Afrika msimamo vita Ukrenia

  BALOZI wa Marekani katika Umoja wa Mataifa , amesema kuwa mataifa ya Afrika hayawezi kubaki kutounga mkono upande wowote katika vita ya...

Habari za Siasa

Mbowe aeleza aliyojifunza mahabusu, asema wanahitaji makomando wengine

  MWENYEKITI wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, amesema siku 227 alizokaa kwenye mahabusu ya Gereza la Ukonga, jijini Dar es Salaam, amejifunza...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wadai Spika Tulia anawafanya mazuzu

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimedai kauli ya Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, iliyodai Halima Mdee na wenzake 18 wako...

Habari za Siasa

Majaliwa kumwakilisha Rais Samia Qatar, Jordan

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameondoka nchini humo kwenda Qatar na Jordan kwa ziara ya kikazi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari za Siasa

Taasisi ya urais haiwezi kuendeshwa kwa rimoti: Chongolo

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakuna mtu anayeweza kuiendesha taasisi ya urais “kwa rimoti” na kwamba watu wanaofikiria hivyo “ni kuwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe amshangaa IGP Sirro kuwepo madarakani

  KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe amesema, Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro hapaswi kuwa...

Habari za Siasa

#LIVE- Mbowe akitoa maazimio ya kamati kuu

  KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanania cha Chadema, Freeman Mbowe anatoa maazimio ya kikoa cha kamati kuu ya chama hicho...

Habari za Siasa

#LIVE- Katibu Mkuu CCM anazungumza na wanahabari

  KATIBU Mkuu wa Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo anazungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa, tarehe 18...

Habari Mchanganyiko

NGO’s kanda Magharibi zalia ukata, vitisho

  MASHIRIKA yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), yanayojishughulisha na masuala ya utetezi wa haki za binadamu, yameomba msaada wa kifedha kwa ajili ya kutekeleza...

Habari

Chuo cha Mwalimu Nyerere chajivunia siku 365 za Rais Samia

  CHUO cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) nchini Tanzania kimesema, Rais Samia Suluhu Hassan katika mambo aliyofanikiwa kuyafanya ndani ya kipindi cha...

HabariKimataifa

Serikali ya Rwanda yashutumiwa kwa kukandamiza uhuru wa kujieleza

MAELFU ya Watu Wamenyanyaswa , kutishwa na kufunguliwa mashitaka kwa kuwa na maoni muhimu kuhusu Serikali ya Rwanda , Humani Raght Watch [HRW]...

Kimataifa

Marekani yaweka vikwazo kwa maafisa Somalia kwa kuchelewesha Uchaguzi

  NCHINI Marekani kumeongezeka idadi kubwa ya maafisa wa Somalia , waliowekewa vikwazo vya usafiri kwa kuhujumu mchakato wa kidemokrasia nchini humo ....

Habari

Zungu aipongeza NMB kuwakumbuka Machinga

  NAIBU Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu ameishukuru Benki ya NMB kwa kuwakumbuka wamachinga na kuwasaidia kukua. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Zungu...

Makala & Uchambuzi

Putin tajiri namba moja duniani, anayeitikisa Marekani

  WAKATI mtandao maarufu duniani wa Forbes ukimuorodhesha Mhandisi na Mjasiriamali Elon Reeve Musk kuwa na tajiri namba moja duniani kwa kuwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Majaliwa adaiwa kuwakimbia Malaigwanani Ngorongoro

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anadaiwa kuwakimbia viongozi wa kimila wa Kimasai wanaoishi wilayani Ngorongoro na badala yake kufanya kazi na wenzao wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Maswali tata mauaji yaliyofanywa na askari Kigoma

  MAUAJI ya raia mmoja yaliyofanywa na askari wa jeshi la polisi nchini, pamoja na kujeruhiwa kwa raia wawili, katika uwanja wa michezo...

Kimataifa

Wanajeshi Kenya wauwawa katika shambulizi linaloshukiwa kuwa la Al-shabab

  ZAIDI ya wanajeshi 10 wadaiwa kuuwawa na wengine watano kujeruhiwa katika shambulio la kilipuzi kilichotegwa kando ya barabara kusini mwa Somalia. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Katiba mpya, tume huru inavyoipasua Chadema na ACT-Wazalendo

  MJADALA wa nini kianze kupatikana kati ya Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi, umeendelea kutikisa vyama vya Chadema na ACT-Wazalendo. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Kinana, Lipumba kujadili mkwamo katiba mpya

  KITUO cha Demokrasia Tanzania (TCD), kimemuita Mwenyekiti wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba...

Kimataifa

Urusi yajibu mapigo, yamuwekea vikwazo Rais Marekani

  NCHI ya Urusi imemuwekea vikwazo vya kuingia nchini humo Rais wa Marekani, Joe Biden na maofisa wengine 12 wa Taifa hilo, ikiwa...

Habari Mchanganyiko

Kundi la Thelathini kwa Thelathini laanzishwa Kagera

  KIKUNDI cha Thelathini kwa Thelathini/ Gashatu Omu Gashatu wamejipanga kubadili maisha ya wananchi wa Kagera kwa kumwezesha kitaalam kuujua mparachichi. Anaripoti Mwandishi...

Habari MchanganyikoTangulizi

RC Arusha ataka ushahidi ‘majina feki’ waliokubali kuhama Ngorongoro

  MKUU wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amewataka watu wanaodai kuna majina ya kughushi katika orodha ya wananchi waliokubali kuhama kwenye Hifadhi...

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo zaidi CUF kutimkia ACT Wazalendo, Kambaya, Maftaha watajwa

  AWAMU ya Pili ya ‘shusha Tanga pandisha tanga’ ya Chama cha ACT-Wazalendo imetajwa kuwa na kishindo baada ya viongozi waandamizi kutoka chama...

Kimataifa

Serikali ya Uganda yamkamata mshukiwa muhimu wa ADF

  POLISI nchini Uganda imemkamata mshitukiwa Kiongozi Mkuu na Mratibu wa Kubdi la Waasi la Allied Democratic Forces (ADF) leo tarehe 15 machi...

Habari za Siasa

Dk. Nchemba: Fedha zimefika mifukoni mwa watu

  WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amesema katika kipindi cha mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan madarakani amefanya mambo...

Habari Mchanganyiko

GFA Vehicle yaiangukia Serikali, Dk. Kijaji awajibu

  KIWANDA cha kuunganisha na kutengeneza magari cha GFA Vehicle Assemblers, kimeiomba Serikali ya Tanzania kurekebisha sheria na kupunguza ushuru ili kuwalinda wawekezaji...

Habari Mchanganyiko

Wanawake TPA walipia bima ya afya watoto 400

  WAFANYAKAZI wanawake wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), wamewalipia bima ya afya watoto 400 kutoka wilaya za Temeke, Ilala na Kigamboni jijini...

Habari za Siasa

Kindamba apewa majukumu matatu Njombe

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemkabidhi majukumu matatu, Mkuu mpya wa Mkoa wa Njombe, Waziri Kindamba. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

Habari za SiasaTangulizi

Polepole kupewa darasa, kuteta na Rais Samia

  BALOZI mpya wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole kabla ya kwenda kuanza majukumu yake mapya atakutana na mambo mawili muhimu ikiwemo kuteta...

Habari za SiasaTangulizi

Polepole, Kindamba waapishwa Ikulu

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha Humphrey Polepole kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi na Waziri Kindamba kuwa Mkuu wa Mkoa...

Habari za Siasa

Wabunge Tanzania wanusa ‘madudu’ ujenzi SGR

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu nchini Tanzania, imeonesha wasiwasi wa kukamilika kwa wakati na kwa viwango vya ujenzi wa Reli...

Habari za SiasaTangulizi

Mabadiliko mengine baraza la mawaziri yaja

  HAKUNA shaka kuwa Rais wa Jamhuri, Samia Suluhu Hassan, anaweza kulifanyika mabadiliko mengine baraza lake la mawaziri, muda wowote kutoka sasa. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Samia amrejesha Mchechu NHC, ampeleka Polepole Malawi

RAIS Samia leo tarehe 14 Machi 2022 ameteua viongozi mbalimbali wa Serikali huku akimwondoa Humphrey Polepole bungeni na kumpeleka kuwa balozi wa Tanzania...

Habari Mchanganyiko

Mkakati wa Kitaifa kubidhaaisha Kiswahili kuzinduliwa mwaka huu

MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango, amesema Serikali inandaa Mkakati wa Kitaifa wa kukifanya Kiswahili kuwa bidhaa utakaozinduliwa rasmi kwenye kilele cha siku...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mpango: Kiswanglish kiishe bungeni

MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amewataka wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuachana na tabia ya kuchanganya lugha ya...

Habari Mchanganyiko

Polisi yapiga marufuku ving’ora, vimulimuli

  JESHI la Polisi Tanzania, kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani limepiga marufuku matumizi ya ving’ora na vimulimuli, kwa watumiaji wa magari binafsi. Anaripoti...

Kimataifa

‘Putin anaugua kansa’

  MAJASUSI kutoka nchi tano za barani Ulaya, Australia na Amerika Kaskazini, wamedai Rais wa Urusi, Vladimir Putin anapatiwa matibabu ya saratani hali...

Habari Mchanganyiko

Maneno mapya 150 yaongezwa kamusi kiswahili likiwemo ‘demka’

  KAMUSI Kuu ya Kiswahili, imeboreshwa kwa mara ya tatu, kwa kuongezewa maneno mapya 150, yakiwemo ya kiutamaduni, sayansi, teknolojia, siasa na ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Basi la abiria lapata ajali Songwe

  BASI la Kampuni ya Kilimanjaro linalofanya safari kutoka Tunduma kwenda Dar es Salaam asubuhi ya leo Jumatatu tarehe 14 Machi 2022, limepata...

Habari Mchanganyiko

GSM atoa vielelezo umiliki eneo Makonda analodai lake

MFANYABISHARA Ghalib Said Mohamed maarufu GSM, ametoa vielelezo kadhaa vinavyoonesha kuhusika katika umiliki wa eneo lenye mgogoro baina yake na aliyekuwa Mkuu wa...

error: Content is protected !!