MBUNGE wa Gairo Mohammed Shabib ameitaka Serikali kuruhusu kampuni binafsi kuagiza mafuta wenyewe bila kutumia uagizaji wa pamoja. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022WAZIRI wa Nishati, January Makamba, amesema wizara yake imeandaa waraka wa uanzishwaji kanuni zitakazowezesha uundwaji wa hifadhi ya kimkakati ya kitaifa ya...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Habari na Teknolojia ya Mawasiliano ya Habari kuhakikisha inakamilsha Sheria ya kulinda taarifa binafsi za...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022SIKU za Mkurugenzi Mkuu wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) zinahesabika. Ndivyo unavyoweza kusema, baada ya Rais Samia Suluhu leo Jumatano tarehe...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewasilisha Bajeti ya Ofisi yake na Mfuko wa Bunge kwa mwaka wa fedha 2022/23 zote zikiwa...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema katika kuboresha huduma za afya nchini Serikali imeagiza magari ya wagonjwa 258 yakiwemo 233 ya kawaida na...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022INSPEKTA Jenerali wa Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro leo Jumatano tarehe 6 Aprili 2022, ametangaza mabadiliko na uhamisho wa makamanda wa Polisi...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022KATIKA jitihada za kuboresha elimu Benki ya Mwalimu imeingia mikataba na wamiliki wa shule na vyuo mbalimbali nchini ili kutoa mikopo ya masharti...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema kutokana na kukua kwa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi,...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022ZAIDI ya wajawazito milioni moja wanatarajiwa kunufaika na mfumo wa usafirishaji wa dharura wa wajawazito na watoto wachanga (M-Mama) katika mikoa 14...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara kuunda jopo la wataalamu ili kufuatilia upandaji wa bei...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022CHAMA cha ACT Wazalendo kimetoa mapendekezo manne kwa Serikali ili kuimarisha sekta ya kilimo nchini na kuwakomboa wakulima katika wingu la umasikini....
By Mwandishi WetuApril 6, 2022BAADHI ya wabunge wameomba uchunguzi huru ufanyike dhidi ya sakata la uchafuzi wa maji ya Mto Mara, baada ya kutoridhishwa na ripoti...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, hadi kufikia Februari 2022 Serikali imekwisha kulipa malipo ya awali ya ununuzi wa ndege mpya...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022SERIKALI ya Tanzania imesema, itaendelea kutoa kipaumbele katika kusimamia na kuendeleza rasilimali za maji na usafi wa mazingira vijijini na mijini unakwenda kwa...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali imeendelea kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa korona (UVIKO- 19) kwa kuanzisha rasmi utekelezaji wa...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022Serikali imesema wiki ijayo itatangaza nafasi za ajira 32,000 katika sekta ambazo zina upungufu mkubwa wa watumishi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022WANASIASA wakongwe nchini Tanzania, wamejadili sababu za kukwama kwa mchakato wa upatikanaji Katiba mpya na namna ya kuukwamua. Anaripoti Mwandishi Dodoma, Dodoma...
By Mwandishi WetuApril 5, 2022WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Adlof Mkenda amewataka wadhibiti ubora wa elimu nchini kutumia vifaa vya kisasa kuboresha...
By Mwandishi WetuApril 5, 2022WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba ameonya vitendo vya viongozi wa kisiasa kukaribishwa katika madhabahu ya nyumba za ibada, kutoa salamu za...
By Mwandishi WetuApril 5, 2022WANANCHI wa Wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha, wameunda kamati ya watu 60, kwa ajili ya kushughulikia mgogoro wa ardhi katika Hifadhi ya...
By Mwandishi WetuApril 5, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amevitaka vyama vya siasa vikubali kushiriki mikutano inayoitishwa kwa ajili ya kujadili masuala ya demokrasia,...
By Mwandishi WetuApril 5, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Abdulrahman Kinana, anatarajiwa kupokea kijiti cha uongozi wa kituo cha demokrasia Tanzania (TCD). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuApril 5, 2022MWENYEKITI wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Zitto Kabwe ameiomba Serikali kuhakikisha mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa yanafanyika kufikia Julai...
By Mwandishi WetuApril 5, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amekitaka kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kujadili na kutoa kwa Serikali mapendekezo yanayotekelezeka. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuApril 5, 2022MAOFISA Ughani nchini watamilikishwa pikipiki zinazotolewa na Serikali baada ya kuzitumia kwa miaka miwili katika kutoa huduma kwa wakulima. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Hatua...
By Mwandishi WetuApril 4, 2022Rais Samia Suluhu Hassan, ametaja mafanikio kadhaa yaliyopatikana katika sekta ya kilimo baada ya Serikali kuweka mikakati mbalimbali na kusema sekta hiyo...
By Mwandishi WetuApril 4, 2022WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe amesema zaid ya pikipiki 7000 zitagawiwa kwa maafisa ughani kote nchini ili kuwawezesha kuwafikia wakulima kwa urahisi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuApril 4, 2022CHAMA cha siasa cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, kimesema hakitashiriki kongamano la haki, amani na maridhiano, lililoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kikidai...
By Mwandishi WetuApril 4, 2022WABUNGE wawili kutoka nchini Kenya wanatarajiwa kuhojiwa na Ofisi ya Mlelezi wa Makosa ya Jinai kutokana na tuhuma za kuipiga mawe helkopta...
By Mwandishi WetuApril 3, 2022RAIS wa Shirikisho la Soka nchini Algeria (FAF) Charafeddine Amara pamoja na bodi nzima ya shirikisho hilo, amejiuzulu baada ya timu ya...
By Mwandishi WetuApril 3, 2022WAKATI mazungumzo ya kusitisha vita kati ya Urusi na Ukraine yakiendelea kwa kusuasua, Serikali ya Ukraine imesema imechukua udhibiti wa eneo zima...
By Mwandishi WetuApril 3, 2022MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amewaomba viongozi wa dini na waumini kwa ujumla kuendelea kuliombea...
By Mwandishi WetuApril 3, 2022WENGINE tunaapa mdomoni tu, wengine tunaapa ndani ya moyo. Heshimuni viapo vyenu.” Mwisho wa kunukuu. Ni kauli ya Rais wa Jamhuri ya...
By Mwandishi WetuApril 3, 2022MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amewataka viongozi wa kukimbiza Mwenge wa Uhuru kuhakikisha miradi inayozinduliwa inaendana na thamani ya fedha zilizotumika....
By Mwandishi WetuApril 2, 2022WAKATI mchakato wa Uchaguzi Mkuu nchini Kenya ukizidi kupamba moto, imebainika kuwa wafu 250,000 wameandikishwa katika orodha ya wapiga kura katika vitabu...
By Mwandishi WetuApril 2, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema atafanya kazi kwa kalamu na hata siku moja hatomfokea mtu kwasababu hajaumbwa kufokafoka. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuApril 2, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema heshima ya utumishi wa umma iliyokuzwa katika awamu ya tano ilikuwa ya woga. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...
By Mwandishi WetuApril 2, 2022MAKAMU mpya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amesema katika uongozi wake atahakikisha haki na demokrasia inaimarika ndani na nje...
By Mwandishi WetuApril 1, 2022WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamepitisha mapendekezo ya Halmashauri Kuu ya chama hicho Taifa (NEC), kuhusu marekebisho...
By Mwandishi WetuApril 1, 2022ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Phillip Mangula, amemtaka mrithi wake, Abdulrahman Kinana, kuwashughulikia WanaCCM wanaokiuka maadili kwa kuanza...
By Mwandishi WetuApril 1, 2022MAGEUZI makubwa ya kimfumo na kiutawala yameanza kufanyika ndani ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa vigogo kadhaa kuondolewa kwenye...
By Mwandishi WetuApril 1, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, amekemea vitendo vya ukabila, udini na ukanda, ndani ya chama hicho,...
By Mwandishi WetuApril 1, 2022KATIBU Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Yusuph Makamba, amemtaka Abdulrahman Kinana, atakapopitishwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara,...
By Mwandishi WetuApril 1, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesoma barua ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Bara, Philip Mangula, katika...
By Mwandishi WetuApril 1, 2022KATIBU Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Yusuph Makamba, amevitaka vyama vya upinzani nchini, vijitayarishe kuchuana na Rais Samia Suluhu...
By Mwandishi WetuApril 1, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Augustino Mrema na mkewe Doreen Kimbi, wameibua shangwe walipoingia katika Mkutano Mkuu Maalumu wa...
By Mwandishi WetuApril 1, 2022CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafanya mkutano mkuu maalum leo Ijumaa tarehe 1 Aprili 2022 katika ukumbi wa Jakaya...
By Mwandishi WetuApril 1, 2022Mahakama ya upeo nchini Kenya imesema kwamba mchakato mzima wa marekebisho ya katiba ulikiuka sheria na kwa hivyo si halali. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMarch 31, 2022WAZIRI wa Katiba na Sheria nchini Tanzania, George Simbachawene, amesema nchi ikijengwa miundombinu ya madaraja na barabara za juu ‘Fly Over’, bila...
By Mwandishi WetuMarch 31, 2022