WAMILIKI wa meli kutoka Estonia wamesema meli yao imezama katika pwani ya Ukreini baada ya kutokea mlipuko. Inaripoti BBC … (endelea). Wamiliki...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2022UKREINI imesema majeshi ya Urusi yameshambulia na kuteka mtambo wa kuzalisha nishati ya nyuklia wa Zaporizhzhia ambao ni mkubwa zaidi barani Ulaya....
By Mwandishi WetuMarch 4, 2022TAASISI ya Kumbukumu ya Mwalimu Julius Nyerere, imeiomba Serikali, wadau na wananchi, watoe mchango wao wa hali na mali, kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2022VIONGOZI wa dini nchini Tanzania, wamemwomba Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan kutumia mamlaka aliyonayo kumaliza kesi ya ugaidi inayomkabili, kiongozi...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022MTETEZI wa haki za binadamu, Tito Magoti ameifikisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam,...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022SERIKALI ya Tanzania imeokoa Sh.249 bilioni zilizokuwa zitumike kugharamia wagonjwa kwenda nje ya nchi kufuata huduma za matibabu ambazo awali zilikuwa hazipatikani...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022Vikosi vya Jeshi la Urusi vimeendelea kusonga mbele katika kushambulia na kuteka miji muhimu nchini Ukraine ambapo wanadai kuuteta mji wa Kherson...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022JESHI la Ukraine limedai kuua wanajeshi 5,840 wa Urusi tangu kuanza kwa vita kati ya nchi hizo mbili siku saba zilizopita. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022MWIMBAJI mwenye umbo la mbilikimo kutoka nchini Guinnea, Moussa Kaba maarufu kama Grand P amemvalisha pete mpenzi wake mwenye umbo matata raia...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limetoa waraka wa Kwaresima wa mwaka 2022 ambao kwa sehemu kubwa umejikita kuzungumzia umuhimu wa upatanisho....
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022MAWAZIRI wa Serikali ya Tanzania wanaelezea ziara zilizofanywa na kiongozi mkuu wa Taifa hilo, Rais Samia Suluhu Hassan. Hivi karibuni, Rais Samia...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam nchini Tanzania leo Jumatano tarehe 2 Machi 2022, itasikiliza maombi ya kufungua kesi...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu ICC inatarajia kuanza uchunguzi kuhusu uwezekano wa uhalifu wa kivita nchini Ukraine hali ambayo inatafsiriwa kumweka matatani...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022“NINGEKUWA na uwezo ningehama Urusi sasa hivi. Ningefanya hivyo. Lakini siwezi kuacha kazi yangu,” anasema Andrey. Hataweza kumudu mpango wa kununua nyumba...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imewaacha huru Masheikh 15, baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Sylvester Mwakitalu...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022MAMLAMKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Bei...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2022MWANAHARAKATI wa kisiasa nchini Tanzania, Godlisten Malisa amezungumzia jinsi aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambavyo hakupaswa...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2022MBAHARIA mmoja wa Ukraine amekiri kujaribu kuizamisha boti inayomilikiwa na Mkuu wa kampuni ya silaha ya serikali ya Urusi, kwa lengo la...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2022TAKRIBAN wanajeshi 70 wameuawa katika shambulio la mizinga lililofanywa na wanajeshi wa Urusi katik miji muhimu ya Ukraine. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2022NAIBU Waziri wa Afya nchini Tanzania, Dk. Godwin Mollel amekabidhi vifaatiba kwa ajili ya huduma za matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2022TAKRIBAN wanajeshi 70 wameuawa katika shambulio la mizinga lililofanywa na wanajeshi wa Urusi katik miji muhimu ya Ukraine. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2022BABA mzazi wa mfanyabiashara maarufu na mfadhiri wa klabu ya Yanga, Ghalib Said Mohammed (GSM), mzee Said Mohamed amefariki Dunia leo Jumanne tarehe...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2022ALIYEKUWA Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dk Wilbrod Slaa amesema, anamwombea kwa Mwenyezi Mungu, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ili haki iweze...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2022MABEKI wa klabu ya Simba Shomary Kapombe na Henock Inonga sambamba na kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Peter Banda wamewekwa kwenye kinyang’anyiro...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2022SERIKALI ya Tanzania imetangaza kuondoa tozo ya Sh.100 kwa lita ya mafuta ya Dizeli, Taa na Petroli zinazopaswa kulipwa na watumiaji wa...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2022RAIS wa Chama cha Soka Poland, Cezary Kulesza amesema taifa hilo litakataa kuchuana na Urusi katika mechi ya mchujo ya kuwania Kombe la...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2022WAKATI mapigano kati ya majeshi ya Urusi na Ukraine yakiingia siku ya nne, taarifa zinaeleza kwamba Urusi imekumbana na upinzani mkali ambao...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2022JESHI la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Dianna Edward Bundala maarufu kama ‘Mfalme Zumaridi’ kwa kosa la usafirishaji haramu wa binadamu na unyonyaji....
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2022MKUU wa Mkoa wa Tanga, Adam Malima amesema hajaridhishwa na kasi ya ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni na...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2022MKUU wa Mkoa wa Tanga, Adam Malima amesema mkoa wake unakusudia kuanzisha kituo cha Mifupa (Orthopaedic Centre) kwa ajili ya watu wanaopata...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2022WAKATI vita kati ya Urusi na Ukraine ikiendelea kwa siku ya nne mfululizo, Umoja wa Mataifa umetoa taarifa kuwa hadi sasa jumla...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Brigedia Jenerali, Yohana Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2022SHIRIKA la Bima Zanzibar (ZIC) limewakaribisha wawekezaji Visiwani Zanzibar kuwekeza kwa kuwahakikishia usalama wa uwekezaji na mali zao wakati wote wakiwepo Visiwani humo....
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2022NI kama swala la muda tu kikosi cha klabu ya Soimba kushuka dimbani kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2022SERIKALI ya Tanzania, imewataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya mlipuko wa ugonjwa Polio, ulioibuka hivi karibu katika nchi jirani ya Malawi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2022RAIS wa Marekani, Joe Biden amemteua mwanamke wa kwanza mweusi kuwa jaji wa Mahakama ya Juu kabisa nchini humo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2022WAKATI vita kati ya Urusi na Ukraine ikizidi kushika kasi kwa siku ya tatu mfululizo, imeelezwa kuwa Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2022MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Tanga, imemuachia kwa masharti Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ahmed Kidege na wenzake wawili, baada ya Mkurugenzi wa...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2022RAIS wa Marekani, Joe Biden ametia saini mkataba wa kutoa fedha kiasi cha Dola za Marekani milioni 600 (sawa na Sh trilioni...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2022WAKATI leo tarehe 26 Februari, 2022 ikiwa ni siku ya tatu tangu kuibua kwa vita kati ya mataifa Ukraine na Urusi, imeelezwa...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2022CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kimezindua program maalum iitwayo ‘Join the Chain’ yenye lengo la kukusanya fedha za ujenzi...
By Mwandishi WetuFebruary 25, 2022KAMATI ya Amani ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Mwanza, imeiomba Serikali iweke sheria kali na sera za kuwalinda watu wenye ulemavu...
By Mwandishi WetuFebruary 25, 2022RAIS wa Ukraine, Volodomyr Zelenskky, amesema dunia imewaacha peke yake katika mapambano ya kivita dhidi ya Urusi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa …(endelea)....
By Mwandishi WetuFebruary 25, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana na mataifa mengine ili kuhakikisha amani, ushirikiano, ustawi wa kijamii...
By Mwandishi WetuFebruary 25, 2022WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kuwa Tanzania ipo tayari kushirikiana na kampuni kubwa duniani kuwekeza kwenye kilimo ili kukiongezea thamani na kuhakikisha...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2022RAIS wa Awamu ya Nne Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete, ameishauri Serikali iwe na sera zinazotabirika katika usimamizi wa sekta ya madini, ili...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2022NCHI ya Urusi, imeanzisha rasmi mapigano ya kijeshi katika mikoa ya mashariki ya Ukraine, baada ya Rais wake, Vladimir Putin kutangaza operesheni...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2022KLABU ya Soka ya Yanga imeendelea kujichimbia kileleni mara baada ya kuibuka na alama tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2022RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema uanzishwaji wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere itakwenda kujibu...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema sekta ya madini imeendelea kukua kwa kasi na kuwa na mchango mkubwa kwa maendeleo ya...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2022