Friday , 26 April 2024
Home mwandishi
8722 Articles1244 Comments
Habari Mchanganyiko

TCRA yatangaza kiama waotuma ‘sms’ kujiunga Freemason

  MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema, inafuatilia wale wote ambao wamekuwa wakituma ujumbe mfupi wa maandishi ‘sms’ wa kuwashawishi watu kujiunga na...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Niwemugizi ampa mitihani sita Rais Samia, alia na mauaji

  ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara mkoani Kagera, Severine Niwemugizi amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kushughulikia changamoto sita zinazoikabili wilaya hiyo hususani...

Habari za SiasaTangulizi

Niwemugizi: Rais Samia usikubali kulinganishwa na Mungu, ‘kazi yetu kukosoa, kuonya

  ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara mkoani Kagera, Severine Niwemugizi amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan asikubali kamwe kulinganishwa na Mungu kwa namna...

Michezo

Kibwana, Djuma Shaban tayari kuikabili Mtibwa

  WALINZI wa pembeni wa klabu ya Yanga, Djuma Shabani na Kibwana Shomari watakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kitakachoshuka dimba ni kwenye...

Habari za SiasaTangulizi

Shaka amfagilia Rais Samia kuitangaza Tanzania

  KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi, Shaka Hamdu Shaka amesema chama hicho kinaridhishwa na juhudi...

Habari Mchanganyiko

Kaka’ke Dk. Mwele: Nilichanganyikiwa alipotolewa NIMR, alinifariji

  KAKA yake aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), anayeshughulikia magonjwa yasiyopewa kipaumbele (NTDs), Dk. Mwele Malecela (58), Kasiandru Malecela amesema...

Habari Mchanganyiko

Rais Dk. Mwinyi amwagia sifa Dk. Mwele “ni mtu wa karibu sana kwangu”

  RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema marehemu Dk. Mwele Malecela alikuwa ni mtu wa karibu sana kwake...

Habari Mchanganyiko

Kassim Majaliwa: Tumuombee Dk. Mwele ametuwakilisha vizuri

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewaomba Watanzania kuendelea kumuenzi Dk. Mwele Malecela kwa kuwa ametwaliwa mbele za haki akilitumikia Taifa nje na kuiwakilisha...

Habari Mchanganyiko

Jaji Warioba: Dk. Mwele aniomba ushauri kugombea urais 2015

  WAZIRI Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema Dk. Mwele Malecela kabla ya kuchukua fomu kuwania kupitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika...

Kimataifa

Kijiji hiki ni marufuku kuzaa, kuzikwa

  KIJIJI cha Mafi Dove ni kijiji kinachopatikana katika mkoa wa Volta kusini mashariki mwa nchi ya Ghana. Ni kijiji chenye tamaduni za...

Habari za Siasa

Bunge laiagiza Serikali idhibiti mianya ubadhirifu wa fedha za halmashauri

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), limeiagiza Serikali isimamie mapato na matumizi ya halmashauri nchini, ili...

Habari za Siasa

Bunge lanusa mishahara hewa, lataka uchunguzi

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imeitaka Serikali ichunguze sababu za kutofautiana kwa mahitaji ya kiasi...

Habari za Siasa

ACT Wazalendo watahadharisha mkataba wa EPA, watoa mapendekezo 5

  CHAMA cha ACT Wazalendo kimependekeza kuwa kabla ya kusainiwa mkataba wa EPA, serikali ihakikishe kuna mfumo wa kufidia upotevu wa mapato yatokanayo...

Habari za Siasa

Chadema yabariki mazungumzo ya Rais Samia, Lissu

   CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema mazungumzo aliyofanya Makamu Mwenyekiti wake Bara, Tundu Lissu na Rais Samia Suluhu Hassan, jijini Brussels,...

Habari za Siasa

Kina Mbowe kutumia mashahidi 26, vielelezo 34 kujitetea Machi 4

  UPANDE wa utetezi, katika kesi ya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, kwenye Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mbowe wakutwa na kesi ya kujibu

  MAHAKAMA KUU, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania, imemkuta na kesi ya kujibu, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Mamia wafurika, wazuiwa getini

  MAMIA ya wanachama wa Chadema, wamefika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi jijini Dar es Salaam, kusikiliza uamuzi...

Habari za Siasa

Bunge lataka waliohusika na upotevu wa Bil. 8 Bandari washughulikiwe

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeitaka Serikali ichukue hatua dhidi ya kampuni na watendaji wa Mamlaka ya...

HabariTangulizi

Rais Samia afunguka kesi ya Mbowe “tuiachie mahakama”

  KWA mara nyingine tena, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka watu wanaokosoa hatua ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kufunguliwa mashtaka...

Habari Mchanganyiko

Rais Mwinyi anusa ufisadi Bil. 9.65, amng’oa kigogo wa mapato

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, ametengua uteuzi wa Kamisha Mkuu wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), Salum Yussuf Ali na kumsimamisha...

Elimu

Serikali kujenga madarasa 12,000 mwaka 2022/2023

  Serikali kupitia mradi wa BOOST utakaotekelezwa katika Shule za Msingi inatarajiwa kujenga madarasa 12,000 katika mwaka wa fedha 2022/2023. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari Mchanganyiko

Lukuvi aanika aliyoyafanya ardhi toka 2014

  ALIYEKUWA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amesema miongoni mwa kazi kubwa alizozifanya tangu aliposhika wadhifa huo 2014,...

AfyaHabari

Mwanamke wa kwanza duniani aponywa Ukimwi kwa kupandikizwa seli

  WANASAYANSI jana Jumatano tarehe 16 Februari 2022, wametangaza ufanisi wao wa kumponya mwanamke wa kwanza aliyekuwa anaishi na Virusi Vya Ukimwi (VVU),...

Habari za Siasa

Lissu awachongea kina Mdee kwa Rais Samia

  MAKAMU Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema Tundu Lissu, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, alitafutie ufumbuzi suala la...

HabariHabari Mchanganyiko

Mwanamke adaiwa kutolewa figo na mwajiri wake

  MADAKTARI nchini Uganda wamethibitisha kuwa mwanamke aliyekuwa akifanya kazi za nyumbani nchini Saudi Arabia, aliondolewa figo yake ya kulia na sio ajali...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu aifikisha kesi ya Mbowe kwa Rais Samia

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema nchini Tanzania, Tundu Lissu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kushughulikia kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa chama...

Habari za Siasa

Fred Lowassa ajitosa sakata la Ngorongoro

  SAKATA la Hifadhi Ngorongoro limeendelea kuchukua sura mpya baada ya Mbunge wa Monduli (CCM), Mkoa wa Arusha, Fredrick Lowassa kuibuka akisema “Wamasai...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia, Lissu wateta Ubelgiji

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassa amekutana na kuzungumza na Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo- Chadema, Tundu Lissu....

HabariTangulizi

Tanzania kujenga kiwanda chanjo UVIKO-19

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, Serikali anayoiongoza ina mpango wa kuanzisha kiwanda cha kuzalisha chanjo ya korona (UVIKO-19) na maradhi...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Jamhuri yafunga ushahidi

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam, imefunga kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa...

Habari za Siasa

Shahidi azungumzia madai ya Mbowe kukimbia upelelezi, kufikisha malalamiko kwa Rais

  SHAHIDI wa 13 wa Jamhuri, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, Tumaini Swila, amedai hakusikia...

Michezo

Madrid, PSG vitani UEFA leo

  HATUA ya 16 ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya itaendelea hii leo kwa kupigwa michezo miwili, ambapo Real Madrid itakuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi: Mbowe alikuwa na nia ovu, hakumtafuta mlinzi wake Polisi

  MPELELEZI wa kesi ya uhujumu uchumi namba 16/2021, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, Inspekta Tumaini Swila, amedai mwanasiasa...

Habari Mchanganyiko

Ajinyonga Siku ya Wapendanao

  WAKATI watu duniani wakiadhimisha Siku ya Wapendanao jana Jumatatu, tarehe 14 Februari 2022, Wille Mwakapimba mkazi wa Mpanda Hotel mjini Mpanda mkoani...

Habari za Siasa

Makada CCM wazodoana msibani

  MSIBA wa kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Shambe Sagafu, umegeuka jukwaa la wanasiasa kukosoana huku...

Habari za Siasa

Spika Tulia, Waziri Nape kujadili Bunge ‘live’

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson amesema, atazungumza na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ili...

Habari za Siasa

Matibabu ya Prof Jay: Serikali, Chadema ‘wachuana’

  WAKATI hali ya kiafya ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi, mkoani Morogoro, Joseph Haule maarufu ‘Profesa Jay’ haijaimarika, Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mbowe waandika barua hospitali aliyotibiwa shahidi, wajibiwa

  PETER Kibatala, Kiongozi wa Jopo la Mawakili wa Utetezi, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu,...

Habari za SiasaTangulizi

#LIVE: Spika Tulia anazungumza na waandishi

  LEO Jumatatu, tarehe 14 Februari 2022, Spika wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson anazungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa...

Michezo

Ushindi waiibua Simba, yawatupia kijembe watani zao

  UONGOZI wa timu ya Simba ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania imewashukuru mashabiki kwa kuchagiza ushindi wa 3-1 wa dhidi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe atoa salamu za Valentine

  LEO Jumatatu tarehe 14 Februari 2022 ni siku ya wapendao ‘Valentine Day’ na ndani ya chumba cha Mahakama Kuu, Divisheni ya Rushwa...

HabariMichezo

Simba ya kimtaifa hatarii, yaibamiza ASEC mabao matatu

  KLABU ya soka ya Simba imeanza vizuri kampeni yake kwenye michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika, kufuatia kuibuka na ushindi wa...

Habari Mchanganyiko

Soko la Mbagala laungua moto

  SOKO la wafanyabiashara wadogo wadogo ‘Wamachinga’ lililopo Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es salaam limeungua kwa moto usiku wa kuamkia leo asubuhi...

Kimataifa

BOJI: mbwa mwenye maringo, hutumia usafiri wa umma kwenda matembezini

MBWA mmoja aliyepatiwa jina Boji, anapenda kutumia mabasi ya umma, treni na boti kusafiri katika jijini la Istanbul, Uturuki. Licha ya kwamba hakuna...

Habari Mchanganyiko

Milima, mabonde miaka 15 ya Kampuni ya GF

  WAKATI Watanzania wakisherehekea miaka 60 ya Uhuru tarehe 9 Desemba 2021, siku ambayo Bendera ya mkoloni ilishushwa na kupandishwa ya Tanganyika katika...

Michezo

Chelsea yashinda kombe la klabu bingwa duniani

  CHELSEA imeshinda kombe la klabu bingwa duniani jana tarehe 12 Februari, 2022 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya...

Habari

Prof. Ndalichako, Pinda wawafunda vijana

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako amesema vijana ni...

Habari za SiasaTangulizi

Majaliwa atoa maagizo mazito TARURA

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza wahandisi wa Wakala wa Barabara Vijijini (TARURA) kusimamia miradi kwa weledi, uadilifu na uaminifu huku wakizingatia ubunifu...

Habari

Hii hapa orodha ya vijana 470 waliochaguliwa kujiunga na Idara ya Uhamiaji Tanzania

  KAMISHNA Jenerali wa Uhamiaji Tanzania, CGI Dk. Anna Makakala amewatangazia vijana ambao wamechaguliwa kujiunga na Idara ya Uhamiaji kwa cheo cha Konstebo...

Habari Mchanganyiko

Waziri Ummy akabidhi taulo za kike kampeni ya ‘Binti Ng’ara’

  WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa msaada wa taulo za kike paketi 1000 kwa Shirika lisilo la Kiserikali la Victoria Foundation kwa...

error: Content is protected !!