MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango ametoa siku saba kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini – IGP Simon Sirro kuwakamata watuhumiwa...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2022MAKAMU wa Kwanza wa Rais katika Serikali ya Mapinduzi – Zanzibar, Othamn Masoud Othman ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati kuu ya...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2022SIRI dhidi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Khamisi, maarufu “Mussa Dola,” anayedaiwa kuporwa kiasi cha Sh.70 milioni na kisha kuuawa...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema wasaidizi wote wa Rais Samia Suluhu Hassan wamejipanga kuhakikisha wanamsaidia kwa weledi wote, uaminifu ili...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2022KLABU ya Azam Fc inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara imemtangaza Abdihamid Moallin kuwa kocha mkuu wa kikosi hiko kwa mkataba wa miaka...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2022Mchezo wa mzunguko wa 32 wa michuano ya kombe la Shirikisho la Azam, kati ya Yanga dhidi ya Mbao Fc, sasa utapigwa...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wazazi wote washirikiane na walimu kuweka mazingira mazuri ya kitaaluma ili wahakikishe watoto wa Kitanzania...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameombwa kuingilia kati mgogoro wa muda mrefu kati ya mamlaka za hifadhi, wahifadhi na wananchi, wilayani...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2022Jeshi nchini Burkina Faso limetangaza kutwaa madaraka baada ya kufanya mapinduzi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea) Tangazo hilo la jeshi limetolewa kupitia...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2022Watu nane wameripotiwa kufariki na mamia kujeruhiwa katika msongamano uliotokea nje ya uwanja uliotumika katika kinyang’anyaro cha wenyeji Cameroon na Comoro waliofuzu...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuendelea kuifungua Tanzania kwa kujenga barabara katika maeneo mbalimbali nchini...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2022MARA baada ya kuvuna pointi nne kwenye michezo miwili ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mbeya Kwanza na Tanzania Prison, kikosi...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka vijana wa Kitanzania wahakikishe wanajiwekea malengo ya kusoma kwa bidii ili kupata maarifa yatakayolisaidia Taifa...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2022RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi atahutubia mkutano mkubwa wa wadau wa bima kutoka ndani na nje ya nchi, wenye lengo...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2022KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imekifungia kipindi cha Efatha Ministries, kinachomilikiwa na Askofu Josephat Mwingira na kurushwa na...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2022MAHAKAMA Kuu Tanzania imezindua mfumo wa kuratibu taarifa za mawakili kielektroni (e-wakili) wenye lengo la kudhibiti mawakili wasiotambulika kisheria ‘mawakili makanjanja au...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa wiki mbili kwa Bohari ya Dawa (MSD) ihakikishe kuanzia leo Jumapili tarehe 23 hadi 5...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2022KLABU ya soka ya Yanga imefanikiwa kuondoka na pointi tatu, mara baada ya kuondoka na ushindi wa bao 1-0, kwenye mchezo wa...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2022MKUU wa jeshi la wanamaji nchini Ujerumani, Kay-Achim Schoenbach amejiuzulu, kufuatia matamshi yake yenye utata kuhusu mzozo wa Ukraine. Inaripoti mitandao ya...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2022JOHN Alphoso Nchimbi, baba mzazi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kiteto (DED), Mkoa wa Manyara, John Nchimbi amefariki dunia, katika Taasisi ya...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2022ALIYEKUWA Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Christian Makonda, sasa ameamriwa kufika mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2022MWANADIPLOMASIA mashuhuri nchini Tanzania, Dk. Salim Ahmed Salim leo Jumapili, tarehe 23 Januari 2022, ametimiza miaka 80 tangu alipozaliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2022WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) wameaswa kuendelea kufanya kazi kwa juhudi na uadilifu ili kuiletea tija...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2022MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai amesema mkoa huo umevunja rekodi kwa kupokea kiasi kikubwa cha fedha za maendeleo zilizotolewa na...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2022LICHA ya kukaribishwa na wimbo wa simba jike katika uzinduzi wa Tamasha la utamaduni mkoa Kilimanjaro, Rais Samia Suluhu Hassan amesema yeye...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2022SERIKALI kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Wizara ya Maliasili na Utalii inaendelea na majadiliano ya...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2022MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai amesema jumla ya mifugo 1,257 imekufa mkoani humo kwa kukosa maji na malisho kutokana na...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2022SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limewaomba Watanzania kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho umeme unakatika kila mara kutokana na mvua na upepo...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2022MPELELEZI wa Makosa ya Jinai katika Kituo Kikuu cha Polisi Arusha, Goodluck Minja, amedai washtakiwa wawili katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema,...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2022WAKATI homa ya mtanange unaotarajiwa kupigwa kesho tarehe 22 Januari, 2022 kati ya Simba SC. na Mtibwa Sugar, mashabiki wa timu hizo...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2022Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kwa Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango kufuatia kifo cha kaka yake Askofu Mstaafu...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2022NAIBU Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dk. Festo Dugange amesema serikali itachukua hatua za kumsimamisha kazi Meneja wa TARURA Wilaya ya Karatu...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2022WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Seleman Jafo amewaagiza maofisa mazingira nchini kuhakikisha wanafunzi wa shule za...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 20 Januari, 2022 amemteua Suzan William Mkangwa kuwa Kamishna wa Kazi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2022KAMATI Kuu ya chama tawala nchini Tanzania – Chama Cha Mapinduzi (CCM), imempitisha Dk. Tulia Ackson kuwa mgombea wa kiti cha Spika...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2022WANACHAMA 11 wa chama cha siasa cha upinzania, ACT-Wazalendo, wamechukua fomu kuomba nafasi za uongpzi, wawili wakiwania uenyekiti. Anaripoti Selemani Msuya, Dar...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2022JESHI la Polisi nchini limesema tayari uchunguzi umeanza dhidi ya picha zilizosambaa katika mitandao ya kijamii huku zikimuonesha askari wa usalama barabarani...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2022MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, iliyopo Mawasiliano jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, imeitaka Jamhuri kutimiza wajibu...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2022CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo Alhamisi, tarehe 20 Januari 2022, kitatoa dira ya nani atakuwa Spika wa Bunge...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2022WAZIRI wa zamani wa maliasili na utalii nchini Tanzania, Balozi Khamis Kagasheki amemwomba Mwenyekiti wa chama tawala- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2022KLABU ya Soka ya Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 2-0, kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbuni FC ya mkoani Arusha...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesogeza mbele vikao vyake kikiwamo cha kamati kuu kutoka jana Jumanne, tarehe 18 Januari...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022IMEELEZWA kuwa miradi mbalimbali inayotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF, inatarajiwa kutoa ajira kwa walengwa 195,000 ambao watalipwa jumla ya...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022SHABIKI wa klabu ya Simba Khalfan Mwambena mwenye umri wa miaka 17, mkazi wa kata ya Kholobe mkoani Mbeya amekutwa amejinyonga muda...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022SIMBA na Puma katika bustani ya wanyama ‘zoo’ nchini Afrika Kusini huenda wameambukizwa virusi vya corona kutoka kwa wahudumu wao. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania imewataka maafisa elimu maalum wa halmashauri kushirikiana na maafisa elimu kata na jamii ili...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022MKE wa mfungwa, Lengai ole Sabaya, aitwaye Jesca Nassari (28) ameieleza Mahakama kuwa namba ya simu 0758707171 inayodaiwa kuwa ya Sabaya, amekuwa...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022MKAZI wa Nyamanoro, Mkoa wa Tabora nchini Tanzania, Abdul Nassoro (49) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya mkoani humo kwa tuhuma za...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022KAMATI Kuu ya chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kitakuwa na jukumu zito la kufyeka wagombea 67 kati ya 70...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022MSANII wa muziki wa Injili nchini, Rose muhando amefunguka kwamba mojawapo ya mambo anayotaka afanikiwe kwa mwaka huu ni kumpata mume mzungu...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022