MAAFISA kutoka Idara ya Habari na mawasilinao ya klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli na Haji Manara wametozwa faini ya shilingi 500,000 na kamati...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2022BEKI wa kati wa klabu ya Yanga, Dikson Job amefungiwa michezo mitatu na kupigwa faini ya shilingi 500,000 kufuatia kumkanyaga kwa makusudi...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2022MLINZI wa zamani wa klabu ya Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Ally Mtoni maarufu kama Sonso amefariki Dunia...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2022NAIBU Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu, amewaeleza wabunge kuwa Uchaguzi Mkuu wa 2025, uko mbioni hivyo washirikiane kutekeleza miradi ya Serikali....
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2022BUNGE la Tanzania, limeishauri Serikali, kuandaa muongozo wa kitaifa wa usimamizi wa usafishaji mito, ili kutunza mazingira. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Ushauri...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2022CHAMA cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) na Baraza la Habari Tanzania (MCT), wamepongeza Serikali ya nchi hiyo, kuyafungulia magazeti...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2022MBUNGE wa Ubungo jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Profesa Kitila Mkumbo ameshauri kupitiwa na kupangwa upya kwa mfumo...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2022RAIS wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Daktari Akinwumi Adesina, amezuru katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tano,...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2022NAIBU Waziri wa Afya nchini Tanzania, Dk. Godwin Mollel amewataka wataalam wa afya mazingira katika ngazi ya mkoa na halmashauri kuhakikisha wanatoa...
By Mwandishi WetuFebruary 10, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema unahitajika umakini mkubwa sana kama itaonekana kuna haja ya kuligawa Shirika la Umeme nchin humo (Tanesco)....
By Mwandishi WetuFebruary 10, 2022DANIEL Chongolo, Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) amemjulia hali aliyekuwa mbunge wa Mikumo mkoani Morogoro kupitia...
By Mwandishi WetuFebruary 10, 2022WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Tanzania, Nape Nnauye ameagiza taasisi za Serikali zilizokuwa zinasita kutoa matangazo kwa vyombo vya...
By Mwandishi WetuFebruary 10, 2022SERIKALI ya Tanzania imeyafungulia magazeti manne yaliyofungiwa ya MwanaHALISI, Mseto, Tanzania Daima na Mawio. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea)....
By Mwandishi WetuFebruary 10, 2022MBUNGE wa Viti Maalum (CCM), Mariam Ditopile amesema Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya muda mfupi tangu aingie madarakani anazidi kuwaumbua wale...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2022WIZARA ya Maji nchini Tanzania, imeanza mikakati ya kihakikisha inamaliza tatizo la maji mijini na vijijini kwa kuingia mkataba wa kusambaza vifaa...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajia kuondoka nchini kuelekea Ufaransa na baadaye Ubelgiji kwa ajili ya ziara ya kikazi katika nchi hizo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2022OFISI ya Mwendesha Mashtaka ya Kijeshi imeomba kifungo cha miaka 30 jela dhidi ya Rais wa zamani wa Burkina Faso, Blaise Compaoré...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akisumbuliwa na sauti ya mtangulizi wake Hayati John Magufuli juu ya utekelezaji wa miradi aliyoianzisha. Anaripoti...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2022BEKI wa kati wa klabu ya Simba, Raia wa Ivory Coast Pascal Wawa, amefunguka kotocheza kwa presha kwenye mchezo wa michuano ya...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2022MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imeahirisha kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema,...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2022MCHEZAJI nyota wa Ligi Kuu ya Uingereza, Kurt Zouma anaweza kufunguliwa mashtaka baada ya kurekodiwa kwenye video akimpiga paka wake kama mpira...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2022WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula ameapishwa kushika wadhifa huo ambao awali ulikuwa chini ya Wiliam Lukuvi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2022KLABU ya soka ya Yanga imeibuka na kulalamikia mwenendo wa waamuzi kwa baadhi ya michezo kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara na kutaka...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2022TUMAIN Swila, Shahidi wa 13 wa Jamhuri katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu amedai wakati...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2022MKAGUZI wa Jeshi la Polisi Tanzania, Tumaini Swila, amedai kesi ya uhujumu uchumi namba 16/2021, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2022MARA baada ya kulazimishwa sare ya bila ufungana na kikosi cha Mbeya City, wachezaji wa klabu ya soka ya Yanga wamerejea hii...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2022MKAGUZI wa Jeshi la Polisi Tanzania, Tumaini Swila, amedai uhamisho wake wa muda kutoka Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Kipolisi...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2022MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni leo Jumanne tarehe 8 Februari 2022, imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au kijijini...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2022MKAGUZI wa Jeshi la Polisi Tanzania, Tumaini Swila, amedai Justine Kaaya, aliyekuwa msaidizi wa Lengai Ole Sabaya, akiwa Mkuu wa Wilaya ya...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2022MKOA wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi amesema jana tarehe 6 Februari, 2022 yeye pamoja na wasaidizi wake hawakulala kwa lengo la...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2022KATIKA kuboresha mazingira ya utoaji huduma za mawasiliano nchini Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wiki hii imetangaza maboresho ya...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 7 Februari 2022 amezuru kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere nyumbani kwake Butiama mkoani...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2022RAIS wa Senegal, Macky Sall ametangaza leo Jumatatu tarehe 7 Februari, 2022 kuwa siku ya mapumziko kusherehekea ushindi wa timu ya taifa...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2022MKUU wa Mkoa wa Mara (RC), Ally Hapi amemwomba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kufumua wakuu wa idara mkoani humo wanakwamisha...
By Mwandishi WetuFebruary 6, 2022NI nani kati ya Sagio Mane na Mo Salah atakayeibuka mbambe dhidi ya mwenzake katika Fainali ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON)...
By Mwandishi WetuFebruary 6, 2022MAMLAKA ya Majisafi na Ufasi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekabidhiwa Miche ya Michikichi 30,000 kutoka kwa Wakala wa Mbegu za...
By Mwandishi WetuFebruary 6, 2022WABUNGE wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameanza kujitosa kuchukua fomu kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea nafasi ya...
By Mwandishi WetuFebruary 5, 2022MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umemshauri Rais Samia Suluhu Hassan, aunde tume ya kudumu ya kitaifa, kwa ajili...
By Mwandishi WetuFebruary 5, 2022KATIBU Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amewaagiza wenyeviti wa CCM mkoa na wilaya kutenga siku...
By Mwandishi WetuFebruary 5, 2022KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Shaka Hamdu Shaka, amesema ndani ya miaka 45 tangu kuzaliwa...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameunda timu maalum ya watu tisa ambayo imepewa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyofanyika Mtwara na Kilindi,...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemwagiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuunda kamati ya kwenda kuchunguza mauaji yaliyotolea mkoani Mtwara yanayodaiwa kufanya...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2022UNAWEZA kusema aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole, ni...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2022MKAGUZI wa Polisi, Tumaini Swila (46), amedai aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Ramadhani Kingai, alimuagiza...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza kutengua uteuzi wa wakurugenzi wanne wa halmashauri (DED) ya Buchosha (Mwanza), Iringa, Mbeya na Singida...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2022WAKILI maarufu Alute Mughwai Lissu, kaka wa kiongozi wa chama cha siasa cha upinzani Tanzania cha Chadema, Tundu Lissu ametambulishwa mahakamani kama...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2022BUNGE la Tanzania limetanganza mchakato wa kujanza nafasi ya naibu spika wa Bunge ambapo uchaguzi wake utafanyika tarehe 11 Februari 2022. Anaripoti...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2022TABIA ya baadhi ya wanawake wafanyabiashara ya kujiuza maarufu kama nzige au madanga, kwa malipo ya mpunga, imelalamikiwa na wakazi wa kata...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2022SERIKALI ya Tanzania, imeziagiza kamati za kutokomeza ukatili wa kijinsia zishirikiane na vyombo vya dola, kutokomeza mauaji yanayosababishwa na migogoro ya kifamilia....
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2022MWANAHABARI mkongwe nchini Tanzania, Saed Kubenea, anakusudia kuiomba Mahakama ya Kinondoni, itoe wito mpya kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2022