WAZIRI wa zamani wa maliasili na utalii nchini Tanzania, Balozi Khamis Kagasheki amemwomba Mwenyekiti wa chama tawala- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2022KLABU ya Soka ya Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 2-0, kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbuni FC ya mkoani Arusha...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesogeza mbele vikao vyake kikiwamo cha kamati kuu kutoka jana Jumanne, tarehe 18 Januari...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022IMEELEZWA kuwa miradi mbalimbali inayotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF, inatarajiwa kutoa ajira kwa walengwa 195,000 ambao watalipwa jumla ya...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022SHABIKI wa klabu ya Simba Khalfan Mwambena mwenye umri wa miaka 17, mkazi wa kata ya Kholobe mkoani Mbeya amekutwa amejinyonga muda...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022SIMBA na Puma katika bustani ya wanyama ‘zoo’ nchini Afrika Kusini huenda wameambukizwa virusi vya corona kutoka kwa wahudumu wao. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania imewataka maafisa elimu maalum wa halmashauri kushirikiana na maafisa elimu kata na jamii ili...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022MKE wa mfungwa, Lengai ole Sabaya, aitwaye Jesca Nassari (28) ameieleza Mahakama kuwa namba ya simu 0758707171 inayodaiwa kuwa ya Sabaya, amekuwa...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022MKAZI wa Nyamanoro, Mkoa wa Tabora nchini Tanzania, Abdul Nassoro (49) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya mkoani humo kwa tuhuma za...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022KAMATI Kuu ya chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kitakuwa na jukumu zito la kufyeka wagombea 67 kati ya 70...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022MSANII wa muziki wa Injili nchini, Rose muhando amefunguka kwamba mojawapo ya mambo anayotaka afanikiwe kwa mwaka huu ni kumpata mume mzungu...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022Mwanawe Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, Muhoozi Kainerugaba amemwandikia Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ujumbe ulioibua mjadala mzito miongoni mwa mataifa hayo...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022Mshambuliaji wa mashetani wekundu, Anthony Martial amekanusha madai kuwa alikataa kujumuishwa kwenye kikosi cha Manchester United kilichocheza dhidi ya Aston Villa. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wawili akiwemo Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022BAADHI ya wanaume, hususan walio ndani ya ndoa katika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania, wamekuwa wakikumbana na vitendo vya kikatili,...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2022ACHANA na habari za kuwa Ma-Exa wa Staa wa Bongo fleva, Diamond Platnumz… habari ya mjini ni kwamba Mashosti ambao nao pia...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2022UJENZI wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma nchini Tanzania umefikia asilimia 91 na utakamilika Mei 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2022RAIS wa Mali aliyeondolewa madarakani, Ibrahim Boubacar Keita amefariki akiwa na umri wa miaka 76, familia yake na rafiki zake wamesema. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2022KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amemtaja mambo matatu turufu kwa Rais Samia...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2022CHIKO Ushindi aliyekuwa winga wa klabu ya TP Mazembe ya nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo amekamilisha usajIli wa kujiunga na klabu ya...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2022SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limesema treni ya abiria yenye injini namba 9022 imepata ajali muda wa saa 10 alfajiri kati ya...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne na upimaji wa kidato cha pili ambayo kwa...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne ambapo takwimu zinaonesha kuwa jumla ya...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Chama Cha ACT Wazalendo kimeutangaza mwaka wa 2022 kuwa mwaka wa kupigania Tume Huru ya Uchaguzi. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea) Pia chama...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne ambapo takwimu zinaonesha kuwa mwanafunzi bora...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2021 ambayo yameonesha jumla ya watahiniwa wa...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2021 huku yakionesha somo la Basic Mathematics ndilo...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2021 huku mkoa wa Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2021 huku wasichana wakiongoza katika kundi la...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) leo Jumamosi tarehe 15 Januari 2022, limetangaza matokeo ya kidato cha nne 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) leo Jumamosi tarehe 15 Januari 2022, limetangaza matokeo ya kidato cha pili 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) leo Jumamosi tarehe 15 Januari 2022, limetangaza matokeo ya kujipima ya darasa la nne 2021. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022MTANGAZAJI maarufu wa Shirika la Utangaza la Uingereza (BBC), Zuhura Yunus ametangaza kuondoka ndani ya shirika hilo alilolitumika kwa miaka 14 kwa...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2022TANZANIA imepokea msaada wa dawa pamoja na vifaa tiba vyenye thamani ya Sh.864 milioni vitavyosaidia kupambana dhidi ya magonjwa mbalimbali kutoka katika...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2022KIGOGO mwandamizi nchini Tanzania, kati ya leo Ijumaa na kesho, anatarajiwa kujitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Spika wa Bunge. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2022UPANDE wa utetezi, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, umehoji kwa nini Meneja wa Kitengo...
By Mwandishi WetuJanuary 13, 2022Janny Sikazwe ni mwamuzi ambaye ameyatia doa mashinadano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2021) yanayoendelea huko nchini Cameroon baada ya kuitibua timu...
By Mwandishi WetuJanuary 13, 2022Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na mawaziri na naibu mawaziri huku akimpangia kazi aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,...
By Mwandishi WetuJanuary 13, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema wafunda na kuwaonya mawaziri kutambua kuwa urais ni taasisi na sio mtu, hivyo kama hawampendi Samia aliyepo madarakani...
By Mwandishi WetuJanuary 13, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi wawili akiwemo, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Said Shaibu Mussa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Mwingine...
By Mwandishi WetuJanuary 13, 2022MJUMBE wa Halmashauri Kuu CCM Wilaya ya Mkinga na Mjumbe wa kamati ya utekelezaji Baraza la vijana wa chama hicho UVCCM Mkoa...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022MAWAZIRI wa Serikali ya Tanzania, wameahidi kutoa mchango wa fedha, kwa ajili ya kuzisaidia familia za wanahabari waliopoteza maisha ajalini, wakiwa katika...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022MBUNGE wa zamani wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM) leo tarehe 12 Januari, 2022 amechukua fomu za kuomba uteuzi wa kukiwakilisha Chama...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022WAZIRI wa Habari, Nape Nnauye, amesema amerudi katika wizara hiyo, ili kusimamia Sheria ya Huduma ya Vyombo vya Habari ya 2016, aliyosimamia...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022MBUNGE wa zamani wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM) leo tarehe 12 Januari, 2022 amechukua fomu za kuomba uteuzi wa kukiwakilisha Chama...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera ametoa ujumbe wenye tahadhari wa kumpata spika mpya...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022Askofu mmoja anayehusishwa na kanisa la Kianglikana jijini Nairobi nchini Kenya, ameshtakiwa kwa kumnyanyasa mwanamke mmoja kwa kumshika matiti na kujaribu kumbusu...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022Msanii wa Bongo fleva, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ameonyesha furaha ya kipekee baada ya mwanawe wa kwanza Tiffah Princess kuhitimu...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022WADAU wa habari nchini Tanzania, wamesema uteuzi wa Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye wameupokea...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022WAUMINI wa Kanisa la Kiadventista la Boigesa lililopo katika eneo Bunge la Bobasi kaunti ya Kisii nchini Kenya, wamepigwa na butwaa siku...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022