Thursday , 9 May 2024
Home kelvin
1175 Articles83 Comments
Michezo

Taifa Stars kutua Cape Verde na Dreamliner

TIMU ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars itatua jijini Praia, nchini Cape verde na Dreamliner mali ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL)...

Michezo

Nyota sita Spurs kuikosa Barcelona

KLABU ya Tottenham Hotspur ya Uingereza itawakosa wachezaji wake sita wa kikosi cha kwanza kuelekea kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi...

Michezo

Stars yaingia kambini kuwawinda Cape Verde

TIMU ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imeingia rasmi kambini leo kujiwinda na mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu kwa michuano ya mataifa...

Michezo

Simba, Yanga yaingiza Sh 404 mil

Mchezo wa Ligi Tanzania bara namba 72, uliowakutanisha mabingwa watetezi Simba dhidi ya Yanga jana 30 septemba, 2018 kwenye Uwanja wa Taifa jijini...

Michezo

Cristiano Ronaldo ruksa kuivaa Man United

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Ulaya (UEFA) limethibitisha kumfungia mchezo mmoja wa Ligi ya Mabingwa mshambuliaji wa klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo baada ya...

Michezo

Amunike amtosa Kichuya, awarudisha nyota wa Simba

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Emmanuel Amunike ametangaza majina ya wachezaji 30 watakaoingia kambini kwa ajili ya kujiandaa na mchezo...

Michezo

Barcelona, Madrid, Liverpool waonja joto la jiwe

MICHEZO mbalimbali iliendelea jana barani Ulaya kwa kushuhudia magwiji wa tatau Liverpool, Barcelona na Real Madrid wakikubali kupokea vichapo ambavyo viliwashangaza wadau wengi...

Michezo

Mwamuzi Simba vs Yanga huyu hapa

JONESIA Rukyaa kutoka Kagera ametangazwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kuwa mwamuzi wa kati kwenye mechi ya Simba na Yanga...

Michezo

Messi, Ronaldo wamekosa nidhamu

KITENDO cha Cristiano Ronaldo na Lionel Messi kutotokea kwenye hafla ya utoaji tuzo ya Mchezaji Bora wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani...

Michezo

Kadi zawaondoa Fei Toto, Bocco mchezo wa Simba, Yanga

KUELEKEA mchezo utakaowakutanisha watani wajadi Simba na Yanga, Septemba 30, 2018 wachezaji tegemeo kwa vikosi vyote viwili Feisal Salumu ‘Fei Toto’ wa Yanga...

Michezo

Rais CAF aguswa na ajali ya MV Nyerere

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Ahmad Ahmad kupitia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia ametuma salamu...

Michezo

Wamiliki Simba kufanya maamuzi magumu

BAADA ya kutokuwa na mwenendo mzuri wa matokeo katika michezo miwili ya Ligi kuu Tanzania Bara, Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba inatarajia...

Michezo

Yondani kuikosa Singida United

BEKI wa Yanga, Kelvin Yondani ataukosa mchezo Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida United unaotarajia kuchezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam...

Michezo

Yanga yawaondoa wanne kikosini

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amewaondoa kikosini wachezaji Haji Mwinyi, Ramdhani Kabwili, Pius Buswita na Said Makapu kutokana na sababu za utovu...

Michezo

Uchaguzi wa Simba wapigwa Stop

KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) chini ya Mwenyekiti wake, Wakili Revocatus Kuuli imetangaza kuusimamisha Uchaguzi Mkuu wa...

Michezo

TAKUKURU wamsaka Hans Pope, kisa nyasi bandia

TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU imetangaza rasmi kumtafuta aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajiri ya Simba, Zacharia Hans Pope baada...

Michezo

Kuwaona Makambo, Kagere buku saba

KUWAONA washambuliaji wawili Meddie Kagere wa Simba na Heritier Makambo wa Yanga wawili hao wataonyeshana ubabe Septemba 30, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar...

Michezo

Mwina Kaduguda aitaka tena Simba

BAADA kukamilika kwa zoezi la uchukuaji fomu kuwania uongozi ndani ya klabu ya Simba, kamati ya uchaguzi ndani ya klabu hiyo imetoa orodha...

Michezo

Meneja wa Simba atupwa ‘jela’ ya soka

KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Mpira Miguu Tanzania (TFF) kupitia mwenyekiti wake Hamidu Mbwezeleni imemfungia Meneja wa Simba, Robert Richard kutojihusisha na...

Michezo

Amunike bado awapa nafasi wachezaji wa Simba

KATIKA keulekea mchezo dhidi ya Uganda unaotarajia kuchezwa Septemba 8, 2018 Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars,’ Emannuel Amunike...

Michezo

Kiungo Yanga awapa wakati mgumu mashabiki

KUMEKUWA na hali ya sintofahamu toka kwa mashabiki na wanachama wa Yanga juu ya kiungo aliyesajiliwa msimu akitokea Mtibwa Sugar, Mohamed Banka kutoonekana...

Michezo

Ngoma aendelea kuitia hasara Azam FC

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Donald Ngoma bado ataendelea kuwa nje ya uwanja baada ya kuendelea kutibu jeraha lake la goti lililomsumbua kwa muda...

Michezo

TFF wawatia kitanzi waamuzi wanne

SHIRIKISHO la mpira wa miguu Tanzania TFF, kupitia kamati yake ya uendeshaji wa ligi (Kamati ya Masaa 72) iliyokaa jumamosi imewatia hatiani waamuzi...

Michezo

Mbeya City yaendelea kupata tabu Ligi Kuu

TIMU ya Mbeya City imeendelea kupata tabu katika Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kupoteza mchezo wa tatu mfululizo dhidi ya Mtibwa Sugar...

Michezo

Klopp awagwaya Leicester City

MENEJA wa klabu ya Liverpool, Jurgen Klopp ameonekana kuwahofia dhidi klabu ya Leicester City katika kuelekea kwenye mchezo wao wa ligi kuu nchini...

Michezo

Zawadi ya mshindi wa Ligi Kuu bado ipo gizani

SHIRIKISHO la mpira wa miguu Tanzania (TFF), kupitia katibu mkuu wake Wilfred Kidao imesema mpaka sasa hawajajua watatoa zawadi ipi kwa bingwa wa...

Michezo

Yanga, Gor Mahia ‘OUT’ Kombe la Shirikisho

BAADA ya kumalizika kwa michezo ya kundi D, ya michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika hatimaye klabu za Yanga na Gor Mahia...

MichezoTangulizi

Amunike awatimua wachezaji wa Simba Taifa Stars

KOCHA wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars,’ Emmanuel Amunike amewaondoa wachezaji sita wa klabu ya Simba waliokuwa wameitwa kwenye timu hiyo...

Michezo

Kamati ya waamuzi yasimamisha watano

KAMATI ya Waamuzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia kwa Mwenyekiti wake, Mzee Salum Chama imewasimamisha baadhi ya waamuzi ambao wamefanya vibaya...

Michezo

Messi, Ramos kukinukisha Hispania

LIONEL Messi, nahodha wa Bacelona na Sergio Ramos wa Real Madri ndio vinara wa kuongoza mgomo kupinga La Liga kuchezwa Marekani. Anaandika Kelvin...

Michezo

Messi amponza Rais wa Soka Palestina, afungiwa miaka 12

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), kupitia kamati yake ya nidhamu imemfungia miaka 12, Rais wa Chama cha Soka cha Palestina, Jibfril...

Michezo

TFF yapangua tena ratiba ya Ligi Kuu Bara

MICHEZO namba 14 na 19 ya Ligi Kuu Bara kati ya mabingwa watetezi Simba na Mbeya City na ule wa Azam FC dhidi...

Michezo

Yanga waanza kazi Ligi Kuu, yaichapa Mtibwa 2-1

YANGA SC imeanza vyema Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Taifa mjini...

Michezo

Dilunga, Feisal Toto waitwa Taifa Stars

KOCHA mpya wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Emmanuel Amunike ameita kikosi cha wachezaji 24 kitakachoingia kambini hivi karibuni, kujiwinda na...

Michezo

TFF yateuwa waamuzi 82 kuchezesha Ligi Kuu

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), wamepitisha majina ya waamuzi 82, watakao chezesha michezo mbali mbali ya ligi kuu Tanzania bara katika...

Michezo

Simba watwaa Ngao ya Jamii kwa mara ya nne

SIMBA wamefanikiwa kutwaa Ngao ya Jamii kwa mara ya pili mfululizo baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa...

Michezo

DPP aendelea kuwasotesha Aveva na Kaburu

RAIS wa klabu ya Simba Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ wameendelea tena kusota mahakamani baada ya kusubiri kibali kutoka kwa...

Michezo

Okwi kuikabili Taifa Stars Septemba

MSHAMBULIAJI wa Simba, Emmanuel Okwi, ameitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Uganda ‘The Crains’ kitakachowakabili timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ mchezo wa...

Michezo

Serikali ya Misri yawatoa kifungoni mashabiki

SERIKLI ya Misri kupitia Waziri wa Michezo, Ashraf Sobhy ametangaza rasmi kuwaruhusu mashabiki wa mpira wa miguu kuingia uwanjani katika michezo ya Ligi...

Michezo

Salah mikononi kwa Polisi

MSHAMBULIAJI wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri, Mohammed Salah ameingia matatizoni na polisi wa Merseyside baada ya kuibuka kwa video mitandaoni...

Michezo

Simba, Yanga zapanguliwa ratiba Ligi Kuu

BODI ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania imefanya mabadiliko ya ratiba ya Ligi Kuu Bara ikiwa ni wiki mbili kabla ya...

Michezo

Makambo ruksa kuivaa USM Alger

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Heritier Makambo amepewa ruhusa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika ‘CAF’ kuitumikia klabu hiyo katika mchezo wa Kombe...

Michezo

Hans Poppe kuondolewa kwenye kesi ya Aveva, Kaburu

HAKIMU mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Thomas Simba ametoa siku saba kwa upande wa Jamhuri kubadilisha hati ya mashtaka ili kuwaondoa kwenye kesi...

Habari za Siasa

Mbunge wa Chadema awamwaga Polisi

MBUNGE wa jimbo la Mbozi mkoani Songwe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Pascal Haonga na wenzake wameshinda kesi iliyokuwa inawakabili katika...

Michezo

Niyonzima azua taharuki Simba

KIUNGO wa Simba Haruna Niyonzima amezua taharuki na hali ya sintofahamu kwa mashabiki na wapenzi wa klabu hiyo baada ya kutoonekana jana katika...

Michezo

Timu za CECAFA U-17 zawasili, kupimwa umri Muhimbili

IKIWA zimebaki siku tatu kabla ya michuano ya vijana ya kufuzu fainali za Afrika chini ya umri wa miaka 17, katika ukanda wa...

Michezo

Simba watangaza viingilio vya ‘Simba Day’

MABINGWA wa Tanzania Bara Simba kupitia mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano wao Haji Manara wametangaza vingilio katika tamasha lao kubwa la...

Michezo

CAF yawatoa kifungoni waamuzi wa Tanzania

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Africa (CAF) limetoa majibu ya uchunguzi wa waamuzi wanne wa Tanzania waliofikishwa kwenye Shirikisho hilo kufuatia kuripotiwa kwa...

Kimataifa

Zimbabwe kwatifuka, watatu wauawa

WAFUASI wa chama cha upinzani nchini Zimbabwe (MDC) wameingia barabarani kwa maandamano baada ya kukishtumu chama tawala Zanu- PF kuingilia uchaguzi huo kwa...

Michezo

Yanga kumuaga rasmi Canavaro Agosti 12

ALIYEKUWA nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ”Cannavaro” anatarajiwa kuagwa rasmi ndani ya klabu hiyo tarehe 12 Agosti, 2018 kwa mchezo maalumu wa kirafiki...

error: Content is protected !!