KAMPUNI ya kuandaa filamu nchini Tanzania (J FILM 4 LIFE), imeanza utaratibu wa kutafuta vipaji vya kuigiza kwa watoto ili kushiriki kwenye vilamu...
By Kelvin MwaipunguSeptember 2, 2019MJANE wa hayati Dk. Reginald Mengi, Jacqueline Mengi amesema, mambo magumu wanayoyapitia wajane sasa na yeye anayapitia. Anaripoti Martin Kamote…(endelea). Jacqueline ametoa kauli...
By Kelvin MwaipunguAugust 26, 2019MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo tarehe 26 Agosti 2019, imetupilia mbali pingazi la Jamhuri kutaka kutosikilizwa ombi la Tundu Lissu,...
By Kelvin MwaipunguAugust 26, 2019MSEMAJI wa Simba, Haji Manara ametolea ufafanuzi swala la nafasi yake kama mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano ndani ya klabu hiyo....
By Kelvin MwaipunguAugust 20, 2019MAJERUHI wanne kati ya 25 wa ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro waliokuwa wanaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wamepoteza...
By Kelvin MwaipunguAugust 17, 2019OMBI la Kadinali Polycarp Pengo, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam kung’atuka madarakani, limeridhiwa na Papa Francisko. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea)....
By Kelvin MwaipunguAugust 15, 2019TOFAUTI na misimu iliyopita, msimu huu 2019/20 mambo yamechenji kidogo. Simba na Yanga zinatarajiwa kufungua msimu huu kwenye michuano ya kimataifa Jumamosi wiki...
By Kelvin MwaipunguAugust 9, 2019CHAMA Cha Wananchi (CUF), kinaugulia maumivi ya kutofanya mikutano ya kisiasa hasa muda huu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa baadaye mwaka huu....
By Kelvin MwaipunguAugust 5, 2019KLABU ya Yanga imetambulisha jezi za nyumbani na ugenini itakayotumika kwenye michezo ya Ligi Kuu na klabu bingwa Afrika kwa msimu wa 2019/20...
By Kelvin MwaipunguAugust 2, 2019SIASA za kukomoana zimetamalaki Zanzibar na hiki ndicho kilichosababisha viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar kusota rumande bila sababu...
By Kelvin MwaipunguAugust 1, 2019MAALIM Seif Sharif Hamad, mshauri mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, aliondoka kwenye Kongamano la Kuadhimisha Miaka 9 ya Maridhiano visiani humo na kurejea nyumbani kwake. Anaripoti...
By Kelvin MwaipunguJuly 31, 2019MAALIM Seif Sharif Hamad, mshauri mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amekamatwa na Jeshi la Polisi visiwani Zanzibar. Anaandika Kelvin Mwaipungu, Zanzibar … (endelea). Kiongozi...
By Kelvin MwaipunguJuly 31, 2019KLABU ya Simba imezindua wiki yao rasmi kuelekea kilele cha tamasha lao la ‘Simba Day’ kitakachofanyika tarehe 6, Agosti 2019 katika Uwanja wa...
By Kelvin MwaipunguJuly 29, 2019TUNDU Lissu, aliyetangazwa na Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, kuvuliwa wadhifa wake wa ubunge katika jimbo la Singida Mashariki, yuko mbioni...
By Kelvin MwaipunguJuly 13, 2019DAKTARI Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo amesema kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania, kila timu itawatumia wachezaji...
By Kelvin MwaipunguJune 15, 2019DAKTARI Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne amemuomba Rais John Magufuli kuichangia Klabu ya Yanga. Anaripoti Kelvin Mwaipungu …...
By Kelvin MwaipunguJune 15, 2019KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Emmanuel Amunike, ametangaza kikosi cha wachezaji 32 watakaondoka leo kwenda Misri kwa ajiri...
By Kelvin MwaipunguJune 7, 2019MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohammed Dewji ‘MO’ amesema kuwa madeni ndiyo sababu kuu iliyopelekea pesa za uwekezaji Sh. 20 bilioni...
By Kelvin MwaipunguMay 22, 2019KAULI ya Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwamba, hakuwahi kutegemea kuona Mchaga angeweza kutoa msaada kwa walemavu na kwamba,...
By Kelvin MwaipunguMay 9, 2019MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Fredrick Shoo, amekemea tabia ya baadhi ya viongozi, kupandikiza chuki za ubaguzi...
By Kelvin MwaipunguMay 9, 2019VITENDO vinavyoashiria ngono katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST), vimemchefua Rais John Magufuli. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Akizungumza katika hafla...
By Kelvin MwaipunguMay 3, 2019RAIS John Magufuli leo tarehe 24 Aprili 2019, anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Malawi. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea)....
By Kelvin MwaipunguApril 24, 2019CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimejibu madai ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, juu ya...
By Kelvin MwaipunguApril 13, 2019MKUU wa Jeshi la Sudan, Awad Ibn Auf aliyeongoza mapambano ya kumng’oa madarakani Rais wa nchi hiyo, Omar al-Bashiri amejiuzulu katika wadhifa wa...
By Kelvin MwaipunguApril 13, 2019KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amempigia magoti Rais wa Sudani Kusini, Salvar Kiir akimsihi kiongozi huyo kuachana na mapigano katika taifa...
By Kelvin MwaipunguApril 12, 2019KLABU ya soka kutoka nchini DR Congo TP Mazembe inatarajia kuwasili nchini kesho kwa ajili ya mchezo wa Robo Fainali ya Ligi ya...
By Kelvin MwaipunguApril 2, 2019KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), chini ya Mwenyekiti wake Wakili Ali Mchungahela imetangaza tarehe 5, Mei 2019...
By Kelvin MwaipunguApril 1, 2019ZITTO Zuberi Kabwe Ruyangwa, “ameivua nguo,” ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini. Ameionyesha kutokuwa makini katika kushughulikia masuala yanayohusu ofisi yake;...
By Kelvin MwaipunguMarch 26, 2019MLINDA mlango wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania, Juma Pondamali amesema kuwa safari ya timu hiyo kufuzu katika michuano ya lililokuwa...
By Kelvin MwaipunguMarch 25, 2019BAADA ya miaka 39 na takribani miaka 27 ya kuitwa, “kichwa cha Mwandawazimu,” hatimaye timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), imefanikiwa kufuzu...
By Kelvin MwaipunguMarch 24, 2019KUELEKEA kwenye mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu kwa kombe la mataifa Afrika dhidi ya Uganda, kocha mjuu wa timu ya Taifa ya...
By Kelvin MwaipunguMarch 23, 2019WACHEZAJI wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Peter Tino na Taso Mutebezi, wamewataka wachezaji wa sasa wa timu ya...
By Kelvin MwaipunguMarch 22, 2019HATUA ya Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo kushawishi na hatimaye waliokuwa viongozi waandamizi wa CUF kujiunga na chama chake, imepongezwa....
By Kelvin MwaipunguMarch 20, 2019Klabu ya Simba imefanikiwa kufuzu katika hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa...
By Kelvin MwaipunguMarch 16, 2019RAIS wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na balozi wa Morrocco nchini Tanzania Abdelillah Benry pamoja...
By Kelvin MwaipunguMarch 13, 2019BEKI wa klabu ya Yanga Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amefungiwa michezo mitatu baada ya kukutwa na hatia ya kumpiga kiwiko mchezaji Andrew Simchimba kwenye...
By Kelvin MwaipunguMarch 11, 2019KAMATI ya uendeshaji Ligi Kuu Tanzania Bara (kamati ya saa 72) imezitoza faini klabu za Simba na Yanga kwa makosa ya kutumia milango...
By Kelvin MwaipunguMarch 11, 2019ALIYEKUWA kada wa miaka mingi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hamis Mgeja, ambaye miaka miwili iliyopita, alikihama chama hicho na kutimkia Chama cha...
By Kelvin MwaipunguMarch 6, 2019HAMISI Mgeja, swahiba wa Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu, leo tarehe 6 Machi 2019 ametangaza kurejea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Kelvin Mwaipungu...
By Kelvin MwaipunguMarch 6, 2019BAADA ya kupoteza kwa bao 1-0 mbele ya Guinea kwenye mchezo wa kwanza wa kundi A, timu ya taifa ya vijana Serengeti Boys...
By Kelvin MwaipunguMarch 5, 2019TIMU ya taifa ya vijana umri chini ya miaka 17 Serengeti boys wanatarajia kucheza mchezo wao wa kwanza dhidi ya Guinea katika michuano...
By Kelvin MwaipunguMarch 4, 2019KIPIGO cha mabao 3-1 waliofungwa na Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kimesababisha klabu ya Azam FC kuachana na kocha wake,...
By Kelvin MwaipunguFebruary 23, 2019BAADA ya kupata ushindi wa mabao 2-1 klabu ya soka ya Yanga kwa mara ya kwanza imefanikiwa kuondoka na pointi 3 mbele ya...
By Kelvin MwaipunguFebruary 20, 2019SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo limetangaza kamati ya watu 14 yenye lengo la kuisaidia timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 20, 2019BAADA ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Yanga, kocha mkuu wa Simba, Patrick Aussems, amedai kuwa klabu yake ilistahili kushinda...
By Kelvin MwaipunguFebruary 16, 2019KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) chini ya Mwenyekiti wake Wakili, Kiomoni Kibamba imeridhia ombi la Yanga kuahirisha...
By Kelvin MwaipunguFebruary 15, 2019BAADA ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Al Ahly kwenye mchezo wa Klabu Bingwa barani Afrika hatua ya makundi, Kocha...
By Kelvin MwaipunguFebruary 13, 2019BAO la Meddy Kagere katika dakika ya 64 ya mchezo wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba dhidi ya Al Ahly kutoka Misri...
By Kelvin MwaipunguFebruary 12, 2019SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo limetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu unaowakutanisha watani wa jadi Yanga na Simba utakaochezwa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 11, 2019Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa klabu ya Simba na mwekezaji mkuu wa timu hiyo Mohammed Dewji ‘MO’ ametangaza kiingilio cha shilingi 2000,...
By Kelvin MwaipunguFebruary 8, 2019