WILLIAM Lukuvi, WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Makazi, amemtahadhalisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, John Wanga, kwamba atakitoa pumzi kitambi chake,...
By Moses MsetiApril 30, 2017MBUNGE wa Kwimba, Mwanza, Shannif Mansour (CCM), anatuhumiwa kugoma kulipa kodi ya eneo lake la ardhi lenye ukubwa wa hekta 39,000, kiasi cha...
By Moses MsetiApril 29, 2017MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea, amehoji uhalali wa Bunge kuwaadhibu wabunge wa upinzani na “kuwanyamazia” wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Erasto...
By Masalu ErastoApril 28, 2017MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambaye anatuhumiwa kutumia vyeti feki amenusurika kuondolewa katika nafasi yake baada ya Waziri wa...
By Danson KaijageApril 28, 2017WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene amewataka wananchi kuchangamkia fursa za kimaendeleo zinazopatikana katika mkoa wa...
By Danson KaijageApril 27, 2017ASKOFU wa kanisa Methodist jimbo la Dodoma,Joseph Bundala amemtaka rais Dk. John Magufuli kuingilia kati suala la mfumko wa bei ya vyakula ili...
By Danson KaijageApril 27, 2017VISIWA vinne kati ya 38 vilivyopo Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, vitaanza kupata umeme wa nishati ya jua baada ya Kampuni ya Rex...
By Moses MsetiApril 27, 2017RAIS John Magufuli, amesema mtu yeyote atakayejitokeza na kujaribu kuuvunja Muungano wa Tanganyika na Zazibar atavunjika yeye, anaandika Dany Tibason. Amesema kuulinda Muungano...
By Danson KaijageApril 26, 2017CHAMA cha Wananchi ‘CUF’ kimemshutumu Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kuwa ndiye chanzo cha vurugu zinazoendelea ndani ya chama cha...
By Hamisi MgutaApril 26, 2017JUKWAA la Wahariri Tanzania ‘TEF’ limemtaka Prof. Ibrahim Lipumba kutoa kauli kuhusu tukio la kupigwa kwa waandishi wa habari katika uvamizi wa mkutano...
By Hamisi MgutaApril 26, 2017VIJANA waliohitimu elimu ya juu nchini wameshauriwa kuanzisha shughuli za ujasiriamali na kukuza uchumi wao kwa kujitokeza kwenye ofisi za mikopo badala ya...
By Christina HauleApril 26, 2017MBUNGE wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, amemvaa Waziri Mkuu wa Jamhuri, Kassim Majaliwa kuhusiana na kauli yake kuwa “serikali inachunguza vitendo vya utekaji,”...
By Pendo OmaryApril 26, 2017KAMATI ya Uongozi ya Chama cha Wananchi ‘CUF’ imemtaka Kamishna wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro kuchukua hatua dhidi ya...
By Hamisi MgutaApril 24, 2017SAMIA Suluhu, Makamo wa Rais wa Tanzania anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Kongamano ya Jinsia kwa Taasisi za Elimu ya Juu lililoandaliwa na...
By Hamisi MgutaApril 24, 2017MKUU wa mkoa wa Morogoro Dk. Steven Kebwe amesema, matukio ya ajali za barabarani yameshika nafasi ya tatu kwa kuwa adui mkubwa wa...
By Christina HauleApril 21, 2017ESTOMIAH Chang’ah, Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, ameiomba Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, kununua kivuko kipya kitakachotoa huduma ya usafiri...
By Moses MsetiApril 21, 2017WAZIRI wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo ameiagiza bodi mpya ya wakurugenzi wa Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini (REA) kuwakagua wakandarasi...
By Danson KaijageApril 20, 2017WAKATI Serikali ikijinasibu kuwa nchini hakuna njaa, bado jamii imeendelea kulalamikia upandaji wa bei ya vyakula, anaandika Dany Tibason. Kwa nyakati tofauti baadhi...
By Danson KaijageApril 20, 2017MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (Ewura) inakusudia kupunguza mwingiliano wa utendaji kazi baada ya kuanza kuweka mikakati kwa watumiaji...
By Moses MsetiApril 20, 2017SIMON Sirro, Kamishna wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, amewataka wakazi wa jiji hilo kuwa makini hasa katika kipindi hiki uchunguzi dhidi...
By Hamisi MgutaApril 19, 2017SERIKALI imewataka watendaji wa vyama vya wafanyakazi kuzisoma, kuzitambua na kuzitumia vyema kanuni na sheria za kazi ili kutatua migogoro ya wafanyakazi na...
By Christina HauleApril 19, 2017KLABU ya Simba imeitaka Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) mpaka kufikia Machi 24, 2017,...
By Masalu ErastoApril 19, 2017HATIMAYE mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari, Josephat Isango tayari umepumzishwa katika nyumba ya milele kijijini kwao Kisasida mkoani Singida, anaandika Hamisi Mguta....
By Hamisi MgutaApril 18, 2017SERIKALI imeitaka mifuko ya kijamii ambayo inatoa mikopo kwa jamii kufanya marekebisho upya ili kuona uwezekano kupunguza kiwango cha riba, anaandika Dany Tibason....
By Danson KaijageApril 18, 2017WAFUGAJI wa nguruwe kwenye kata ya Kingolwila, Morogoro wametakiwa kutoiachia mifugo yao kudhurula hovyo mitaani huku ikitapanya kinyesi hali inayopelekea uchafuzi wa mazingira,...
By Christina HauleApril 18, 2017WAKATI hofu juu ya usalama wa maisha ya wananchi wa Kibiti, Pwani ikizidi kutanda baada ya tukio la mauaji ya askari Polisi nane yaliyotekelezwa...
By Hamisi MgutaApril 15, 2017MWILI wa aliyekua Mwandishi wa habari Josephat Isango unatarajiwa kuzikwa siku ya Jumanne, saa nne asubuhi nyumbani kwao Kisasida mkoani Singida, anaandika Hamisi Mguta....
By Hamisi MgutaApril 15, 2017NIMEPOKEA kwa mstuko mkubwa taarifa ya kifo cha mwandishi wa habari mwenzetu na aliyekuwa mfanyakazi wa kampuni ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL),...
By Masalu ErastoApril 14, 2017KAMISHNA wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, CP Nsato Marijani amesema Jeshi la Polisi linakwenda kufanya operation kali dhidi ya majambazi...
By Hamisi MgutaApril 14, 2017MWANDISHI wa habari Josephat Isango amefariki dunia mapema asububi leo, anaandika Hamisi Mguta. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mdogo wake aitwae Christopher...
By Hamisi MgutaApril 14, 2017HALI si shwari katika Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe, Mwanza baada ya madiwani 24 kati ya 34 kuandikia na kuisaini barua ya kutokuwa...
By Moses MsetiApril 13, 2017MSANII wa muziki wa Hip-Hop Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ aliyetekwa na watu wasiojulikana kisha kuachiwa akiwa na wenzie watatu amesema hawapo salama kwa...
By Hamisi MgutaApril 10, 2017MBUNGE wa Jimbo la Mtwara Vijijini Hawa Ghasia (CCM) amejikuta katika wakati mgumu baada ya mezomewa na baadhi ya wabunge pamoja na wadau...
By Danson KaijageApril 10, 2017MASHIRIKA ya Umma yatalazimishwa kujiunga na Mfuko wa Bima ya Afya wa Taifa (NHIF) kwa kuwa sheria inawataka hivyo na ndiyo maana hata...
By Danson KaijageApril 10, 2017WABUNGE wameelezwa kuwa kiasi cha Sh. 20 bilioni hazikutumika ambazo ni za mfuko wa pamoja wa afya ujulikanao kama ‘Basket Fund’ kwa mwaka...
By Danson KaijageApril 10, 2017BUNGE la Jamhuri ya Muungano limetenga Jumla ya Sh 121 bilioni kwa matumizi ya mwaka 2017/18 kutoka Sh 99 bilioni zilizokuwa zimetengwa mwaka...
By Danson KaijageApril 10, 2017SERIKALI ya Rais John Magufuli imeguswa kisawasawa, anaandika Jabir Idrissa. Ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaloendelea na mkutano wa...
By Jabir IdrissaApril 10, 2017KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad amesema viongozi na wanachama wa chama hicho wapo tayari kwa lolote kutokana...
By Masalu ErastoApril 9, 2017IKIWA ni siku tatu tangu tukio la kupotea kwa msanii wa miondoko ya Hip Hop Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ na wenzake watatu Kamishna...
By Hamisi MgutaApril 8, 2017NI siku ya pili tangu msanii wa muziki wa Hip-Hop, Ibrahim Mussa ‘Roma’ na wenzake kukamatwa na watu wasiojulikana katika Studio za Tongwe...
By Hamisi MgutaApril 7, 2017SERIKALI mkoani Mwanza, imekamata na kuwataifisha samaki kilogramu 3482 wenye thamani ya Sh. 20,892,000 waliovuliwa ‘kimagendo’ na wavuvi haramu kinyume na sheria za...
By Moses MsetiApril 7, 2017ZAIDI ya Sh. bilioni moja zimetumika kuwalipwa walengwa wa mpango wa kunusuru kaya maskini unaofadhiriwa na mfuko wa maendeleo ya jamii TASAF kwa...
By Danson KaijageApril 7, 2017MADIWANI 28 toka Kata 19 za Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni wamepatiwa mafunzo maalum ya Uongozi, Maadili na Utawala Bora, Mafunzo, anaandika Dany...
By Danson KaijageApril 7, 2017LICHA ya Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Christina Mdeme kutangaza kumsimamisha uongozi wa Mwenyekiti wa mtaa wa Malimwa Kusini, Ismail Seifu (CUF),...
By Danson KaijageApril 6, 2017MBUNGE wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda ameitaka Serikali kuvunja bodi ya chai ya Wilaya ya Rungwe kwa sababu wananchi hawana imani na bodi...
By Danson KaijageApril 6, 2017JUMLA ya 768 milioni zinatumika kila mwaka kwa ajili ya kumtunza Faru Fausta katika hifadhi ya ya Ngorongoro, bunge imefahamika, anaandika Dany Tibason....
By Danson KaijageApril 6, 2017MBUNGE wa Baraza la Wawakilishi Jaku Hashim Ayoub (CCM) ameitaka Serikali kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuweka utaratibu wa kupima mizigo inayoingia...
By Danson KaijageApril 6, 2017WAKALA wa Barabara Tanzania (Tanroads), umekubali kutenga fedha kiasi cha Sh. 3 bilioni kwa ajili madaraja ya Halmashauri ya wilayani Masasi katika bajeti...
By Danson KaijageApril 6, 2017WIZARA ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, imetaja kuwa ucheleweshaji wa malipo ya wakulima na wafanyakazi katika kiwanda cha chai cha Maruku mkoani Kagera...
By Danson KaijageApril 6, 2017UHABA wa dawa katika Hospitali ya wilaya ya Nyamagana mkoani hapa, umezidi kuongezeka na kuwa kero kwa wagonjwa wanaofika kupata huduma kwenye hospitali...
By Moses MsetiApril 6, 2017