UGUNDUZI wa internet ulisababishwa na changamoto inayofanana sana na wakati huu ambao dunia inapitia sasa. Kwa kifupi unaweza kusema kwamba ukubwa wa changamoto...
By Gabriel MushiAugust 24, 2022MKUU wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Jerry Muro ameitaja changamoto inayolikabili zoezi la sensa ya watu na makazi katika wilaya hiyo kuwa...
By Gabriel MushiAugust 24, 2022WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameongoza mamia ya waombolezaji kuuga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha...
By Masalu ErastoAugust 24, 2022JESHI la Polisi nchini Tanzania limesema linamshikilia askari aliyehusika katika tukio la kumpiga mtuhumiwa tukio ambalo lilionekana katika video iliyosambaa kwenye kitandao ya...
By Gabriel MushiAugust 24, 2022KITUO cha kulelea watoto yatima na waishio kwenye mazingira magumu cha Mwana Orphan Islamic kilichopo Kata ya Vigunguti Wilaya ya Ilala, Mkoa wa...
By Gabriel MushiAugust 23, 2022VIJANA watatu wa Kitanzania, wamefanikiwa kujiunga na Shirika la Kanisa Katoliki la Wahudumu wa Wagonjwa (Camillians) Tanzania na kuweka nadhiri zao za kwanza....
By Gabriel MushiAugust 23, 2022HATIMAYE jamii ya kabila la Wahadzabe leo tarehe 23 Agosti, 2022 wamekubali kuhesabiwa baada ya kupatiwa nyama pori na matunda kama walivyokuwa wameomba...
By Gabriel MushiAugust 23, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amekuwa miongoni mwa Watanzania waliohesabiwa katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi iliyoanza saa 6:01 usiku wa leo...
By Gabriel MushiAugust 23, 2022KAMISHNA wa Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2022, Anne Makinda amesema iwapo makarani wa sensa wakifanya kazi yao kwa ufanisi na uharaka...
By Gabriel MushiAugust 23, 2022WAKATI masikio ya Watanzania yakiwa yamepumzika kusikia taarifa za kutekwa au kuuawa raia na watu wasiojulikana, matukio hayo yanaanza kurejea taratibu. Tukio la...
By Gabriel MushiAugust 23, 2022BENKI ya NMB nchini Tanzania imetoa msaada wa viti 15, meza 10, kabati moja pamoja na viti vya wageni viwili kwa Shirikisho la...
By Gabriel MushiAugust 23, 2022WAZIRI Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema atamkumbuka marehemu Agustino Mrema kama moja ya wanasiasa mahiri waliojua kuchagua maneno sahihi ya kuzungumza...
By Masalu ErastoAugust 22, 2022HATIMAYE Baba yake Hellen Kemunto, binti muuguzi raia wa Kenya aliyefariki wiki iliyopita nchini Canada, amejitokeza kuelezea maisha ya mwanaye. Binti huyo...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2022MWILI wa Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) Agustino Lyatonga Mrema unatarajiwa kuzikwa Alhamisi tarehe 25 Agosti, 2022 nyumbani kwake...
By Masalu ErastoAugust 22, 2022UTALII wa picha unaofanywa na Kampuni ya EBN Hunting Safari umewezesha wanyama katika eneo la Jumuiya ya Wahifadhi Wanyamapori (WMA) Buringe wilayani Babati...
By Gabriel MushiAugust 21, 2022KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ametembelea na kukagua mnada wa mifugo Igunga ambao...
By Gabriel MushiAugust 21, 2022JUMLA ya Sh bilioni 50 zinatarajiwa kutumika katika upanuzi wa Kiwanja cha Ndege Kigoma kwa kurefusha barabara ya kuruka na kutua ndege kutoka...
By Gabriel MushiAugust 21, 2022MHADHIRI wa uchumi kutoka Chuo kikuu caha Dar Es Salaam, Profesa Humphrey Moshi, amemtaka waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba pamoja...
By Gabriel MushiAugust 21, 2022NAIBU Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete amemtaka Mkuu wa Chuo cha Hali ya Hewa Tanzania, Peter Mlonganile kuhakikisha anabuni mbinu zaidi za kukitangaza...
By Gabriel MushiAugust 21, 2022WATENDAJI wa taasisi za umma na binafsi ambao wanatekeleza ajenda ya kuipeleka nchi katika uchumi wa kidijiti wametakiwa kushirikiana na kutekeleza jukumu hilo...
By Gabriel MushiAugust 21, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kutokana na msiba wa Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Agustino Mrema kilichotokea...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2022MWENYEKITI wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema (77) amefariki duninia leo tarehe 21 Agosti, 2022, saa 12.15 asubuhi, katika Hospitali ya Taifa...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi bilioni 20 kwa ajili ya kuwezesha vijana kufuga samaki kama njia ya kuwanufaisha na uchumi wa...
By Mwandishi WetuAugust 20, 2022KWA kutambua umuhimu wa walimu nchini na mchango wao katika mafanikio ya Benki ya NMB, taasisi hiyo kubwa kuliko zote za fedha nchini...
By Gabriel MushiAugust 20, 2022WAKATI baadhi ya wanajamii wakionesha kutokuwa na kumbukumbu kwa kilichotokea mwaka 2020 baada ya kuibuka kwa maradhi mapya ya UVIKO – 19 na...
By Gabriel MushiAugust 20, 2022WAKATI jirani zetu nchi ya Kenya wakimaliza uchaguzi wao , Ubora wa Katiba yao umetajwa kuwa sababu ya kutokuwa na machafuko licha...
By Faki SosiAugust 19, 2022WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Pindi Chana amesema kundi la tano la wakazi wa Ngorongoro takribani kaya zisizopungua 25 kwa sasa...
By Masalu ErastoAugust 19, 2022CHUO Cha Taifa Cha Utalii (NCT), kimejipanga kutoa mafunzo kwa wadau waliokwenye mnyororo wa utalii yatakayowezesha nchi kufikia malengo ya kuingiza watalii milioni...
By Gabriel MushiAugust 19, 2022Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza uharakishwaji wa mchakato wa matumizi ya lugha ya Kiswahili kupitishwa rasmi kama lugha ya nne itakayotumika katika nchi...
By Gabriel MushiAugust 18, 2022WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema ujenzi wa mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT II), Awamu ya Pili kutoka Mbagala...
By Gabriel MushiAugust 18, 2022HATIMAYE Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia tarehe 23 Agosti, 2022 iwe siku ya mapumziko ili Watanzania wawepo majumbani na waweze kuwapokea makarani wa...
By Gabriel MushiAugust 18, 2022MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango ameziagiza mamlaka zinazoshuhulikia masuala maliasili na utalii kuondoa urasimu katika utoa wa vibali katika sekta hiyo. Anaripoti...
By Gabriel MushiAugust 17, 2022SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limeahirisha zoezi la matengenezo kinga ya mfumo wa ununuzi wa umeme LUKU ambalo lingesababisha kusitishwa kwa huduma hiyo...
By Gabriel MushiAugust 17, 2022MKUU wa mkoa wa Morogoro, Fatuma Mwasa, amesema mkoa wa Morogoro umepokea kiasi cha Sh111.5 bilioni kwa mwaka wa fedha 2021/2022 kwa ajili...
By Gabriel MushiAugust 17, 2022KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa, (NEC) ya CCM, tikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ametembelea kijiwe cha Kahawa Lumumba kilichopo Tabora Mjini...
By Gabriel MushiAugust 17, 2022MAOFISA wa vyombo vya ulinzi na usalama vinavyodhibiti masuala ya ukiukwaji wa haki za binadamu na ukatili wa kijinsia, wametakiwa kutafuta njia mbadala...
By Gabriel MushiAugust 17, 2022NAIBU Waziri Uchukuzi, Atupele Mwakibete ametoa wiki mbili kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuhakikisha bandari mpya ya...
By Gabriel MushiAugust 17, 2022MKUU wa Wilaya ya NachingweaHashim Komba akiwa na Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kusini, Janeth Shango kwa pamoja wakizindua rasmi mpango...
By Gabriel MushiAugust 17, 2022IMEELEZWA kuwa kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Tunga – Mkwaja – Mkange yenye mrefu wa kilomita 95.2, ikiwemo kilometa 3.7 za mchepuo...
By Gabriel MushiAugust 17, 2022KAMPUNI ya Pesapal Tanzania imepewa leseni na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kufanya biashara nchini kama mtoa huduma wa mifumo ya malipo ya...
By Gabriel MushiAugust 17, 2022MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema mojawapo ya sababu ya baadhi ya Kampuni za teksi mtandaoni kusitisha huduma za usafiri wa magari...
By Gabriel MushiAugust 17, 2022OFISI ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma nchini Kenya imesema Mbunge wa Kimilili, Didmus Barasa ataendelea kusota rumande kwa siku 10 zaidi kusubiri...
By Gabriel MushiAugust 17, 2022WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema kuwa Serikali inatarajia kuanza kuruhusu magari kupita juu ya daraja jipya la wami, lililopo...
By Gabriel MushiAugust 16, 2022BENKI ya Exim Tanzania imeadhimisha miaka 25 tangu kuanzishwa kwa hafla fupi iliyolenga kutambua jitihada na mchango wa wafanyakazi wa benki hiyo katika...
By Mwandishi WetuAugust 16, 2022BENKI ya NMB imetoa msaada wa vitanda 80 vya ngazi mbili na magodoro 160 yenyewe thamani ya Sh 27 milioni kwa ajili ya...
By Gabriel MushiAugust 14, 2022BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza kuhusu adhma yake ya kukuza na kuendeleza sekta ya michezo hapa nchini kwa kuunga mkono jitihada...
By Gabriel MushiAugust 14, 2022MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari TPA imesema ujenzi wa miundombinu bora ya Bandari yenye mitambo ya kisasa na sahihi ya kuhudumia meli na...
By Gabriel MushiAugust 13, 2022WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk. Dorothy Gwajima ameipongeza Benki ya NMB kwa kutenga fedha kwa ajili ya...
By Gabriel MushiAugust 13, 2022IMEELEZWA kuwa Soko la vyakula vya baharini na wanyamapori la Huanan lililopo katika mji wa Wuhan nchini China ndio kitovu cha mlipuko wa...
By Gabriel MushiAugust 13, 2022SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limetoa gawio kwa Serikali kiasi cha Sh 2.2 bilioni kwa mwaka wa fedha 2021/21 huku wakitarajia...
By Danson KaijageAugust 12, 2022