Author Archives: Faki Sosi

Msomi IFM adakwa akitaka kukodisha Bastola

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imemtia mbaroni mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Robson Maji (21)kwa kosa la kukutwa akitaka kuuza bunduki aina ya ...

Read More »

Polisi, Bunge walivyomtesa Kubenea

SAED Kubenea Mbunge wa Ubungo, amerejeshwa Jijini Dar es Salaam kutoka Mjini Dodoma ilhali afya yake ikiwa sio shwari, anaandika Faki Sosi. Kubenea aliwasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa ...

Read More »

Serikali yafungia gazeti la MwanaHALISI

Read More »

Askofu afanya maombi ya kuleta mvua

MWENYEKITI  wa  Good News For all Ministry  Askofu Dk Charles  Gadi  amefanya maombi maalum kwa ajili ya kuliombea taifa ili kuondokana hali ya ukame ulioanza  kuyakumba baadhi ya maeneo hapa ...

Read More »

BAVICHA kumuombea Tundu Lissu

IKIWA ni wiki moja tangu kupigwa risasi za moto mbunge wa  Singida Mashariki Tundu Lissu Chadema), Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), linatarajia kufanya maombi maalumu ...

Read More »

Mtandao wa Jamii forum imesajiliwa: Shahidi

MKUREGENZI mtendaji wa Usajili wa Vikoa vya Mitando Nchini (TZNIC), Abibu Mtahigie amekiri kuwa mtandao wa Jamii Forum umesajiliwa kwa kikoa cha Tanzania (Tz) anaandika Faki Sosi. Akitoa ushahidi kwenye ...

Read More »

Yusuf Manji aachiwa huru, DPP afuta kesi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia Huru Mfanyabiashara Yussuf Manji na wenzake kwenye uhujumu Uchumi baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka DPP kuwasilisha hati ya kutoendelea na Mashtaka mahakamani hapo, anaandika ...

Read More »

Wanaharakati wainuka na kupaza sauti

KITUO cha  Sheria Haki za Binaadamu Nchini (LHRC), kimesema kwa sasa hali ya usalama hapa nchini ni siyo nzuri baada ya kuwapo matukio ya mashambulizi a silaha za moto, anaandika ...

Read More »

Mgombea urais Tanzania atupia lawama Polisi

ALIYEKUWA mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hashim Rungwe ametupia lawama Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwamba limemuonea kwa kumkamata usiku, anaandika Faki Sosi. ...

Read More »

Wabunge waliotemwa na Lipumba wafunguka 

MBUNGE wa Chama cha Wananchi (CUF) aliyetenguliwa Ubunge na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC)  Riziki Ngwali amesema hujuma zilizofanywa ndani ya Chama hicho zinaweza kusababisha machafuko, anaandika Faki Sosi. ...

Read More »

Kambi ya Lipumba yapata ajali, wanne wafariki

WAFUASI wanne wa Chama cha Wananchi wamefariki katika ajali iliyotokea leo alfajili waliokuwa wakitoka kwenye sherehe za kuapishwa kwa wabunge wanane wa CUF, anaandika Faki Sosi. Wafuasi hao wanaodaiwa kutoka ...

Read More »

Wanafunzi 917,072  darasa la Saba kuhenyeka kesho

WATAHINIWA  917,072 kutoka shule 16, 583 wanatarajia kuanza mitihani yao ya kumaliza elimu ya msingi (darasa la saba) kwa mwaka 2017 kuanzia kesho, anaandika Faki Sosi. Baraza la Mitihani la ...

Read More »

Sikukuu ya Eid yasherekewa kivingine Pugu

VIJANA mbalimbali wa dini ya Kiislamu wamefanya michezo katika viwanja vya Pugu Kajiungeni jijini Dar es Salaam ili kuwasaidia kutojiingiza katika maovu inapofika siku za sikukuu, anaandika Faki Sosi. Tamasha ...

Read More »

Lissu amnasua Wema Sepetu mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekataa vielelezo vya ushahidi vya msokoto wa bangi katika kesi ya matumizi madawa ya kulevya inayomkabili muugizaji wa filamu nchini, anaandika Faki Sosi. Hakimu Mkazi ...

Read More »

Masogange ana kesi ya kujibu Kisutu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema msanii wa filamu nchini, Aggnes Masogange ana kesi ya kujibu kwenye mashtaka yake ya matumizi ya dawa za kulevya, anaandika Faki Sosi. Leo Hakimu ...

Read More »

Kampuni ya Wakili Fatuma Karume yapigwa mabomu

KAMPUNI ya Mawakili ya IMMMA ya jijini Dar es Salaam, imevamiwa na watu wasiojukana na kulipuliwa kwa mabomu usiku wa kuamkia leo, anaandika Faki Sosi. Jengo hilo lililopo eneo la ...

Read More »

Hakimu ataka serikali iharakishe upelelezi kesi ya Manji

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeuitaka Jamhuri kukamilisha upelelezi wa kesi ya uhujumu uchimi inayomkabili mfanyabiashara Yusuf Manji, anaandika Faki Sosi. Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Thomas Simba amesema ...

Read More »

Hatma ya wabunge nane wa CUF kula kiapo kutolewa leo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inatarajiwa kutoa uamuzi wa kuapishwa wabunge wanane walioteuliwa na Profesa Ibrahim Lipumba au wasiapishwe, anaandika Faki Sosi. Kwa mujibu wa Spika wa ...

Read More »

Spika Ndugai amtupia zigo la CUF Msajili wa Vyama

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, amesema kuwa mgogoro wa Chama cha Wananchi (CUF) wa sakata la wabunge nane ni utaratibu ulianza kwa Msajili wa Vyama vya siasa nchini ...

Read More »

Tundu Lissu aivuruga serikali ya JPM

SERIKALI imekiiri kuzuiliwa ndege aina Bombardier ( Q400-Dash 8) iliyonunuliwa hivi karibuni kutokana na deni inalodaiwa na kampuni ya ujenzi, anaandika Faki Sosi. Hayo yameelezwa leo na Naibu Msemaji wa ...

Read More »

Mbunge Kubenea asikitishwa na mlundikano wanafunzi

SAED Kubenea Mbunge wa Ubungo jijini Dar es Salaama, amesikitishwa na kuwapo msongamano wa wanafunzi katika shule ya Msingi Kawawa, anaandika Faki Sosi. Msongamano huo unatokana na uhaba wa vyumba ...

Read More »

Kubenea akagua ukarabati wa shule

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema), amefanya ziara ya ukaguzi wa ukarabati wa Shule za Msingi Mabibo na Makuburi zilizopo jimboni mwake, anaandika Faki Sosi. Shule hizo zinakarabatiwa kwa fedha ...

Read More »

Kesi ya wabunge CUF Agosti 25

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam itatoa uamuzi tarehe 25 Agosti mwaka huu, wa pingamizi zilizowekwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusiana na kesi ya kupinga uteuzi wa wabunge wanane ...

Read More »

‘Wabunge wa Lipumba’ kikaangoni kesho

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam inatarajia kutoa uamuzi wa zuio jipya la kutoapishwa kwa Wabunge wateule wa upande wa Chama cha Wananchi – CUF unaumuunga Mkono Professa Ibrahim ...

Read More »

MCT wamtia hatiani Makonda

BARAZA la Habari Tanzania (MCT), limezidi kumkaanga Mkuu wa Dar es Salaam, Paul Mkaonda baada ya kubaini kwamba alihusika moja kwa moja kuvamia Clouds Media Group, anaandika Faki Sosi. Mwezi ...

Read More »

Bodi ya wadhamini CUF ya Seif yakwaa ‘kisiki’ kortini

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya bodi ya wadhamini inayomuunga mkono Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharrif Hamad, anaandika Faki Sosi. ...

Read More »

Simba kumechafuka, mkutano wapingwa mahakamani

BODI ya Wadhamini wa klabu ya Simba imefungua kesi kupinga mkutano mkuu wa klabu hiyo, uliopangwa kufanyika Agosti 13, mwaka huu, anaandika Faki Sosi. Bodi ya Wadhamini wa klabu hiyo ...

Read More »

Lissu asema Job Ndugai ”amelikoroga”

TUNDU Lissu Mbunge wa Sindiga Mashariki amesema kuwa kitendo cha Spika wa Bunge Job Ndugai, kuridhia barua ya Chama cha Wananchi (CUF),kuwafukuza uanachama wabunge wake nane kitamuumbua, anaandika Faki Sosi. ...

Read More »

Mfanyabiashara Manji azidi kusota lumande

MFANYABIASHARA Yusuf Manji na wenzake watatu wamezidi kusota rumande baada ya kesi yake kupigwa kalenda hadi Agost 9, mwaka huu, anaandika Faki Sosi. Kesi hiyo ipo mbele ya Hakimu Mkazi ...

Read More »

Halima Mdee ashusha rungu kwa serikali ya JPM

HALIMA Mdee Mbunge wa Kawe amekosoa takwimu zinazotolewa na serikali kuhusu ukuaji wa uchumi pamoja na mikakati inayofanywa ili kunusuru anguko la uchumi, anaandika Faki Sosi. Mdee amesema kuwa kitendo ...

Read More »

Rais Magufuli amtaka Ney wa Mitego aboreshe ‘Wapo’

JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania, ameliagiza Jeshi la Polisi kumwachia huru msanii wa muziki wa kizazi kipya, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’ huku akimshauri kuporesha wimbo wake wa Wapo, anaandika ...

Read More »

Lissu aachiwa kwa dhamana, aenda Arusha

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki ameachiwa kwa dhamana ya Sh. 10 milioni na moja kwa moja anaenda Arusha kwenye uchaguzi wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), anaandika Faki Sosi. ...

Read More »

Hatima ya uchaguzi TLS kutolewa leo

MAWAKILI wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS) kimeiomba Mahakama Kuu ya Tanzania kutupilia mbali kesi ya Kikatiba ya kupinga kanuni za uchaguzi iliyofunguliwa na mwanachama Onesmo Mpinzila, anaandika Faki Sosi. ...

Read More »

Vyeti bandia vyazidi kutikisa

WANANCHI wamewataka Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita), pamoja na Wizara ya Elimu Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, wabuni njia mbadala ya kudhibiti matumizi ya vyeti bandia katika ...

Read More »

Kibatala: Mbowe hajashindwa kesi

PETER Kibatala Wakili Mwandamizi wa Chama Cha Demokrasia (Chadema), ameweka wazi kuwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema la kumfungulia kesi ...

Read More »

Bunge laazimia kumsulubu Makonda

WAKATI Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiendesha kampeni yake ya dawa za kulevya jijini Dar es Salaam, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepanga ‘kumsulubu,’ ...

Read More »

Lissu agoma kula, ashinikiza kupelekwa mahakamani

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, amegoma kula chakula kutwa nzima ya leo, akishinikiza kupeleka mahakamani, anaandika Faki Sosi. Kwa mujibu wa wakili wa Lissu, Peter ...

Read More »

JPM amtaabisha Lissu

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kutoa maneno ya uchochezi kuhusu kuwepo kwa njaa nchini, anaandika Faki Sosi. Hatua hiyo inafuatiwa na ...

Read More »

Lissu akamatwa na Polisi, aletwa Dar

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria wa Chadema, amekatwa na polisi nje ya Bunge na kupelekwa jijini Dar es Salaam, anaandika Faki Sosi. Tukio hilo limetokea leo jioni ...

Read More »

Nyumba ya mwenyekiti Rufiji yateketezwa kwa moto

WATU wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameiteketeza kwa moto nyumba ya Bakari Msanga, mwenyekiti wa kijiji cha Jaribu Mpakani wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani, kwa nia ya kutaka kumdhuru, anaandika Faki Sosi. ...

Read More »

Washukiwa wa dawa za kulevya waanza kujisalimisha

TAMKO la Paul Makonda Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam kuwataka watu mbalimbali wanaotuhumiwa kujihusisha biashara au matumizi ya dawa za kulevya kujisalimisha katika Kituo cha Polisi cha Kati limeitikiwa ...

Read More »

MwanaHALISI yamalizana na JPM

UONGOZI wa kampuni ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL), inayochapisha gazeti la MwanaHALISI, umemuomba radhi Rais Dk. John Magufuli, anaandika Faki Sosi. Hatua hiyo imetekelezwa kupitia taarifa ya Mhariri wa ...

Read More »

Maalim Seif amfungulia mlango Dk. Shein

MAALIM Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) amempa nafasi tena Dk. Ali Mohamed Shein ili kumaliza mgogoro wa kisiasa visiwani Zanzibar, anaandika Faki Sosi. Akizungumza katika ...

Read More »

Prof. Lipumba aomba ‘talaka rejea’ CUF

CHAMA cha Wananchi (CUF) kinaelekea kugota. Hofu na mashaka vimeanza kummeza Prof. Ibrahim Lipumba ambapo sasa anahitaji suluhu na Maalim Seif Shariff Hamad, anaandika Faki Sosi. Prof. Lipumba ambaye ni ...

Read More »

Lissu ‘atonesha donda’ la Zanzibar

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu kuwa uchaguzi wa marudio wa Zanzibar haukuwa uchaguzi halali kisheria, anaandika Faki Sosi. Lissu amedai hayo leo ...

Read More »

Kesi ya wahariri Mawio, Lissu yaahirishwa, kusikilizwa kesho

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imehairisha usikilizwaji wa awali wa kesi ya uchochozi inayowakabili wahariri wa gazeti la Mawio, mbunge wa Chadema na mchapishaji wa magazeti, anaandika ...

Read More »

Wachina wa meno ya tembo kortini

RAIA watatu wa China wamefikishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jiji Dar es Salaam kwa tuhuma za kusafirisha meno ya tembo 1,023 yenye thamani ya zaidi ya Sh ...

Read More »

‘Timu Maalim’ wasusa mjengo wa ‘Timu Lipumba’

SIKU, saa na dakika zinahesabika kwa Timu Maalim Seif Sharif Hamad kufungua ofisi mpya nje ya ile ya Buguruni jijini Dar es Salaam, anaandika Faki Sosi. Wameamua kuachana na Ofisi ...

Read More »

Anglikana wamchoka Askofu Mokiwa

DK. Valentino Mokiwa, Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam amechokwa na kanisa lake, anaandika Faki Sosi. Tayari waraka wa kumng’oa kwenye mamlaka hayo umetolewa huku ...

Read More »

Serikali yamsulubu Mbowe

SERIKALI ya Rais John Magufuli imemmaliza Freeman Mbowe katika biashara yake ya klabu (Billicanas), anaandika Faki Sosi. Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ameng’olewa rasmi ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube