Friday , 26 April 2024

Month: February 2019

MichezoTangulizi

‘Ulissu’ wamponza Michael Wambura

MICHAEL Richard Wambura, aliyepata kuwa Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), amepandishwa kizimbani jijini Dar es Salaam. Ameshitakiwa kwa...

Afya

Hospitali ya Benjamini Mkapa kuzindua maabara ya Moyo

HOSPITALI ya Benjamin Mkapa (BMH), kesho inatarajia kuzindua rasmi maabara ya upasuaji magonjwa ya moyo ikiwemo matundu na kuziba kwa mishipa. Anaripoti Danson...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu abadili upepo siasa za CCM

SIASA ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinazidi kuchukua sura mpya baada ya  kujielekeza kwenye  mashambulizi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). CCM imeanza utaratibu...

Michezo

Kuziona Simba, Yanga Sh. 7,000

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo limetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu unaowakutanisha watani wa jadi Yanga na Simba utakaochezwa...

Habari Mchanganyiko

Amber Ruth akana kufanya ngono kinyume cha maumbile

SERIKALI imekamilisha upelelezi wa kesi ya kufanya ngono kinyume na maumbile inayomkabili msanii Rutyfiya Aboubakary ‘Amber Ruth’ na mumewe Said Mtopali kwenye Mahakama...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo wahofia usalama wa Zitto

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeeleza kuwepo kwa hofu ya kudhuriwa Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa chama hicho. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akizungumza na...

Habari za Siasa

Msikiti UDOM ‘wawakutanisha’ Sheikh Ponda, Rais Magufuli

SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini ametaka hatua stahiki zichukuliwe kwa walioshiriki kuvunja msikiti katika Chuo Kikuu...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto rasmi UKAWA bungeni

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo) na kiongozi mkuu wa chama hicho, Zitto Zuberi Kabwe, sasa ameruhusiwa kujiunga rasmi na kambi ya upinzani bungeni....

Habari za SiasaTangulizi

Uwanja wa ndege Chato, waibua mapya

SERIKALI imeamua kupandisha hadhi baadhi ya mapori ya akiba kuwa hifadhi za taifa yaliyopo kwenye mikoa ya Geita na Kigoma, ili kujisafisha na tuhuma za...

Habari za SiasaTangulizi

Mshahara wa Lissu, sasa kaa la moto

MJADALA juu ya kusimamishwa mshahara wa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, umezidi kupamba moto. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Lissu ambaye...

Habari Mchanganyiko

Kanisa kumfanyia maombi Rais Magufuli  

KANISA la Tanzania Fellowship imekusudia kufanya maombi maalumu ya siku nne ya kuliombea Taifa, Rais Dk John Magufuli  na watendaji wake kwa ajili ya...

Habari za SiasaTangulizi

Sheria nyingine ‘katili’ yaja, ni ile ya Majengo, sasa hadi matembe kulipa kodi

SERIKALI ya Rais John Pombe Magufuli, sasa imeamua “kula matapishi yake.” Jumamosi wiki hii, inarudi tena bungeni kuwasilisha mabadiliko mengine kwenye Sheria Mpya...

Michezo

‘MO’ awarahisishia kazi wachezaji Simba

Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa klabu ya Simba na mwekezaji mkuu wa timu hiyo Mohammed Dewji ‘MO’ ametangaza kiingilio cha shilingi 2000,...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo washtukia polisi

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetilia shaka maelezo ya Jeshi la Polisi kuhusu mauaji ya kijana Isaka Petro aliyofanyika katika Kanisa la Sabato wilayani Itigi,...

Habari Mchanganyiko

Wabunge wadai orodha wakopaji matreka SUMA JKT

BAADHI ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri wamehoji lini serikali itaweka hadharani majina ya waliokopa matreka ili wajulikane? Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(Dodoam). Alhaji Abdallah...

Habari za Siasa

Mbunge Chadema akerwa maagizo ya JPM kupuuzwa

TABIA ya baadhi ya watendaji wa serikali kupuuza maagizo ya Rais John Magufuli kumemkera Mbunge wa Viti Maalum Chadema. Anaripoti Tibason Kaijage, Dodoma…(endelea). Devotha...

Habari za Siasa

Kubenea apigania kurejeshwa Kiwanda cha Urafiki

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema) ameihoji serikali kwamba, ni lini itafufua nakuwa imara zaidi Kiwanda cha Urafiki ili kifanye kazi kwa maslahi...

Michezo

KMC, Alliance wazibwaga Simba, Yanga tuzo Ligi Kuu

MSHAMBULIAJI Dickson Ambundo wa klabu ya Alliance Accademy na Kocha Mkuu wa KMC, Etiene Ndayiragije wameibuka vinara kwenye tuzo za mwezi Januari zinazotolewa...

Elimu

Wanafunzi 2,615 Mwanza wasoma kwa ‘taabu’

WANAFUNZI  2,615 wa Shule ya Msingi Kanindo iliyopo Kata ya Kishili jijini Mwanza wanalazimika kusoma kwa  zamu  ili kuachiana vyumba vya madarasa vilivyopo  kitendo ambacho kinaonekana...

Habari Mchanganyiko

Bilioni 5 zatengwa kununua, kukarabati vivuko

Katika kuhakikisha usafiri wa majini unaimarika, serikali imetenga kiais cha Sh. bilioni 5 katika bajeti ya mwaka huu kwa ajili ya  ukarabati  na kununua  vivuko pindi...

Habari Mchanganyiko

Mwendokasi kubadili maisha Mbagala

ENEO la Mbagala na viunga vyake linatarajiwa kunufaika na mradi wa mabasi yaendayo haraka (mwendokasi) unaotarajiwa kuanza muda wowote kuanzia sasa. Anaripoti Bupe Mwakiteleko…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Njama za kumnyima mshahara wa ubunge Lissu hizi hapa

KUNA njama zinasukuwa na ofisi ya Bunge za kutomlipa mshahara, posho na stahiki nyingine, mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika...

Habari za Siasa

Fatma Karume aivuruga Mahakama

MHIMILI wa Mahakama nchini, “umenajisiwa.” Kwa mara ya kwanza katika historia yake, chombo hicho kikuu katika utoaji haki kwenye Jamhuri ya Muungano, kimegoma...

Habari Mchanganyiko

Mwendokasi kubadili maisha Mbagala

ENEO la Mbagala na viunga vyake linatarajiwa kunufaika na mradi wa mabasi yaendayo haraka (mwendokasi) unaotarajiwa kuanza muda wowote kuanzia sasa. Anaripoti Bupe Mwakiteleko...

Habari Mchanganyiko

Mahakama yamkubalia Mdee shingo upande

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekubali shingo upande sababu za Halima Mdee, Mbunge wa Kawe kushindwa kuhudhuria kesi yake leo 7 Februari 2019....

Habari za Siasa

Magufuli apingwa mahakamani

FATMA Karume, Wakili na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) anaongoza mawakili wenzake upande wa mashtaka kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu Serikali...

Habari za Siasa

Rais Magufuli: Sijaingilia uhuru wa Mahakama

RAIS John Pombe Magufuli, amedai kuwa hajawahi kuingilia utendaji wa kazi za muhimili wa Mahakama. Amesema, “katika uongozi wangu, sijaingilia muhimili wa Bunge...

Habari Mchanganyiko

Tanesco hoi kwa madeni

SHIRIKA la Ugavi wa Umeme la taifa (Tanesco), linakabiliwa na mzigo mkubwa wa madeni kutoka kwa makampuni ya kufua umeme. Hadi Januari mwaka...

Afya

Hospitali ya Benjamini Mkapa yaanza kutibu ugonjwa wa selimundu

MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Magonjwa ya Kibingwa ya Benjamini, Dk. Alphonce Chandika amesema, hospitali hiyo inatarajia kuanza kutibu ugonjwa wa selimundu kwa...

Michezo

Serikali: ZFA inapokea fedha kutoka TFF si FIFA, CAF

NAIBU Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza amesema, Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFA) haliwezi kupokea moja kwa moja fedha...

Habari za Siasa

Kauli yake dhidi ya Magufuli, Mdee kupanda Kisutu tena

HALIMA Mdee, Mbunge wa Kawe, jijini Dar es Salaam leo anapanda tena kizimbani kuendelea na shauri lake kuhusu kutoa lugha chafu dhidi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Heche, Zitto waivuruga serikali

MBUNGE wa Tarime Vijijini (CHADEMA/UKAWA), John Heche, amezua tafrani bungeni, kufuatia hatua yake ya kuituhumu serikali kuwa imejifunga kwenye mkataba wa kitapeli na...

Habari Mchanganyiko

Mkakati wa serikali kwa bodaboda ni huu

SERIKALI imeainisha mikakati mitano inayofanya katika kuwajengea uwezo waendesha bodaboda ukiwemo faida za kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea)....

Habari za Siasa

Udhaifu vituo vya utafiti wamuinua Sugu bungeni

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) kutoka Chadema ameiomba serikali kueleza ni lini itatenga fedha za kutosha kwa ajili ya kufufua vituo...

Habari Mchanganyiko

Sheria zote za nchi sasa kuwekwa mtandaoni

OFISI ya Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali imetakiwa kuweka sheria za nchi mitandaoni ili wananchi waweze kuzisoma na kuzielewa kwa urahisi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Bunge lazidi kuikaanga serikali ya Magufuli

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, imetoa mapendekezo 19 kwa serikali, yanayohitaji kufanyiwa kazi haraka iwezekanavyo. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za Siasa

Rais Magufuli azindua mahakama inayotembea

RAIS John Magufuli amezindua huduma ya mpya ya mahakama inayotembea barabarani ili kurahisisha huduma ya upatikanaji wa haki. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....

Habari za Siasa

Sumaye, MO watibua hali ya hewa bungeni

SAKATA la kubadilishwa hati ya mashamba ya  makubwa ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye na Mfanyabiashara, Mohamed Dewji ‘MO’...

Habari za Siasa

Mbunge CUF amtega Rais Magufuli

MBUNGE wa Kilwa Kusini (CUF), Sulemani Bungala ameitaka serikali kuruhusu wavuvi wadogo wadogo kuendelea na shughuli zao. Anaripoti Mwandishi Wetu kutoka Dodoma …...

Habari Mchanganyiko

Benki CRDB wapewa ushauri

WATEJA wa benki ya CRDB mkoa wa Mwanza wameishauri benki hiyo kuboresha huduma zake za kifedha ili kuwafikia wananchi wengi walioko vijijini, wakiwemo...

Habari za Siasa

King’ora cha hatari chazua taharuki Bungeni, wabunge wapagawa

SHUGHULI za Bunge limelazimika kusimama kwa muda baada ya kutokea hali ya taharuki ndani ya ukumbi wa bunge, baada ya kulia king’ola kinachoashiria...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu atinga kwa Obama

MWANASHERIA mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amewasili jijini Washington, nchini Marekani ili kuzungumza katika mdahalo wa aina yake...

Habari za Siasa

Wananchi walazimishwa kuchukua fedha zao

SERIKALI imetoa wiki moja kwa wananchi wa Nyamongo mkoani Mara waliohamishiwa makazi yao kwa ajili ya kupisha shughuli za uchimbaji madini katika mgodi...

Habari za Siasa

Ndugai amtisha Heche Tarime Vijijini

JOB Nduga, Spika wa Bunge la Jamhuri amemtisha John Heche, Mbunge wa Tarime Vijijini kwamba, uchaguzi mkuu ujao jimbo hilo litarudi CCM mapema....

Habari za SiasaTangulizi

Nape  Nnauye ajiuzulu

NAPE Nnauye, amejiuzulu uenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maliasili na Utalii. Kujiuzulu kwake, kunatokana kile kinachoitwa, “kugoma kunyofoa baadhi ya...

Tangulizi

Kesi ya uchochezi; Mahakama yamtaka mdhamini wa Lissu

HAKIMU Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Thomas Simba ameagiza wadhamini wa Tundu Lissu katika kesi inayohusu tuhuma za uchochezi kupitia...

Michezo

Simba yatua Dar kwa mafungu

BAADA ya kupoteza mchezo wao wa pili mfululizo kwa kufungwa 5-0 na Al Ahaly ya Misri mwishoni mwa wiki, katika michuano ya Klabu...

Habari za SiasaTangulizi

Mwambe ataka kuundwa Kamati ya Bunge kuchunguza ujenzi wa Viwanda  

MBUNGE wa Ndanda (Chadema), Cecil Mwambe, amemtaka Spika wa Bunge, Job Ndugai, kuunda Kamati Maalum ya Bunge, ili kuchunguza utekelezaji wa sera ya...

Habari za Siasa

Mauaji ya watoto Njombe yasisimua Bunge, serikali kujieleza

BUNGE limeitaka serikali kuandaa na kutoa taarifa kuhusu mauaji yanayoendelea mkoani Njombe tangu kuanza kwa mwaka huu 2019. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Job Ndugai,...

Habari za Siasa

Serikali: Bei ya korosho ni 3,300 – 2,640

SERIKALI ya Jamhuri imeeleza kuwa, bei inayotumika kununua korosho za wakulima ni Sh. 3,300 kwa zile za gredi ya kwanza na 2,640 kwa...

error: Content is protected !!