Monthly Archives: September 2017

UDSM wafunguka ‘kufeli’ kwa Rais wa DARUSO

Profesa Allen Mushi Mkurugenzi wa Shahada za awali katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)

MENEJIMENTI ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), imesema kwa sasa haiwezi kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana na taarifa za Erasmi Leon, aliyekuwa Rais wa Serikali ya wanafunzi wa chuo ...

Read More »

Mzimu wa Chadema waitafuna CCM uchaguzi wilaya

Katibu wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM , Humphrey Polepole

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimezidi kuogopa kivuli cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya kutimua wagombea wa uenyekiti wa wilaya ambazo Chadema kimeshinda ubunge, anaandika Hamisi Mguta. CCM ...

Read More »

Marekani yasaka suluhu na Korea Kaskazini

Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Marekani Rex Tillerson

WAZIRI wa Mambo  ya Nje wa Marekani, Rex Tillerson yuko mjini Beijing kufanya mazungumzo na viongozi wa China. Ajenda kuu katika mkutano huo ni mzozo katika rasi ya Korea. Marekani ...

Read More »

Rais Shein afanya uteuzi wa Majaji, watendaji

Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein

RAIS wa Zanzibar, Ali Mohamed Shein amewateua Khamis Ramadhan Abdalla na Aziza Iddi Suweid kuwa majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, anaandika Hamis Mguta. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwenye ...

Read More »

Chadema watakiwa kuacha ‘ujanja ujanja’ wajenge ofisi

Wanachama wa Chadema Kilombero

KATIBU wa Kanda ya Kati wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Alphonce Mbassa ameuagiza uongozi wa jimbo la kilombero kuhakikisha wanajenga ofisi ya chama, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo ...

Read More »

Vigogo wa almas ‘maji ya shingo’ Kisutu

Nyundo ya Hakimu

UPELELEZI wa kesi kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Shilingi bilioni mbili inayowakabili vigogo wa madini ya almas umekamilika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, anaandika ...

Read More »

Serikali ya Magufuli yalitia ‘kitanzi’ Raia Mwema

Dk. Hassan Abbas, Mkurugenzi wa Idara Habari Maelezo. Picha ndogo toleo la gazeti Raia Mwema lililosababisha kufungiwa

UHURU wa vyombo vya habari hususani magazeti umezidi   kuwa mashakani baada ya leo serikali kutangaza kulifungia gazeti linalotolewa kilawiki la Raia mwema, anaandika Faki Sosi. Gazeti hilo lilianzishwa na kumilikiwa ...

Read More »

Amnesty International: Burundi si shwari

Mji wa Bujumbura

SHIRIKA la Kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa ripoti inayoonyesha hali ya usalama kutokuwa shwari nchini Burundi, anaandika Mwandishi Wetu. Taarifa ya Shirika hilo imesema kwamba ...

Read More »

Sauti ya kiongozi wa IS yazusha taharuki

Abu Bakr al-Baghdadi

WANAMGAMBO wa Islamic State wametoa kanda ya sauti ya kiongozi wa kundi hilo, Abu Bakr al-Baghdadi, anaandika Mwandishi Wetu. Mzungumzaji aliye na sauti kama ya kiongozi huyo wa IS anasikika ...

Read More »

Mzimu wa Bashite wazidi kupapasa

Boniface Jacob, Meya wa Ubungo. Picha ndogo, Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

MEYA wa Manspaa ya Ubungo, Bonface Jacob amesema anakabiliwa vitisho na vishawishi mbalimbali ili kuhakikisha anafuta kesi aliyoifungua dhidi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ya ...

Read More »

Mshindi UVCCM adaiwa kutoa rushwa ya nyama

Shaka Hamidu Shaka, Kaimu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)

UCHAGUZI unaoendelea ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) umezidi kugubikwa na vitendo vya rushwa, vitisho, matusi ya nguoni na kupigana ngumi hatua inayosababisha kukosekana amani, anaandika Moses Mseti. Vitendo hivyo ...

Read More »

Spika Ndugai apora gari la Mbowe

Freeman Mbowe, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni. Picha ndogo Spika Job Ndugai

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Bunge la Tanzania limeamuru kurudishwa nchini gari linalosaidia kumhudumia Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema) aliyelazwa nchini Kenya akipatiwa matibabu ya majeraha ya risasi ...

Read More »

Madereva 3 wafungiwa milele kuendesha magari nchini

IMG_20170128_111737

JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limewafutia leseni za udereva wadereva watatu na kuwafungia milele kuendesha magari aina ya mabasi pamoja na yale ya mizigo kwa kosa la kusababisha ...

Read More »

Mashishanga atoa neno migogoro wakulima, wafugaji

Stephen Mashishanga

WAKAZI wa kata mbalimbali wilayani Mvomero mkoani Morogoro wametakiwa kutoa ushirikiano kwa Chama cha Waandishi wa Habari (MOROPC), ili kuboresha shughuli za kupambana na kutokomeza migogoro ya ardhi inayowahusu wakulima ...

Read More »

Bunge la Uganda giza kama Tanzania

Godfrey Mutabazi, Mkurugenzi wa Tume ya Utangazaji Uganda

VYOMBO vya habari nchini Uganda vimezuiwa kuonesha matangazo ya moja kwa moja (Mubashara) vikao vya Bunge vinavyoendelea nchini Uganda, anaandika Hamis Mguta. Mkurugenzi wa Tume ya Utangazaji nchini humo, Godfrey ...

Read More »

Jukwaa la Katiba ‘wajivisha mabomu’ kwa Rais Magufuli

Deus Kibamba, Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania (kulia) anayefuata ni Hebron Mwakagenda, Mkurugenzi Mtendaji wa Jukata. Picha ndogo Rais John Magufuli

JUKWAA la Katiba Tanzania wamempa Rais Dk. John Magufuli kwa kumtaka ajiandae kupokea maandamano ya amani kwa ajili ya kumpongeza pamoja na kumtaka afufue mchakato wa katiba mpya, anaandika Dany ...

Read More »

Uchaguzi  wavuruga UVCCM Mwanza 

Umoja wa Vijana CCM (UVCCM)

UCHAGUZI wa marudio wa kumtafuta mwenyekiti mpya wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM (UVCCM), katika wilaya ya Nyamagana jijini Dar es Salaam zimegubikwa vurugu, anaandika Hamis Mguta. ...

Read More »

Tatizo la moyo lapiga kambi kanda ya ziwa

Wataalamu wa Upasuaji wa Moyo wakiendelea na kazi

ASILIMIA 15 ya wagonjwa wanaofika katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando (BMC) mkoani Mwanza, kutoka katika mikoa ya kanda ya ziwa kupima afya zao wamebainika kuwa na tatizo la ugonjwa ...

Read More »

Kubenea: Serikali imeidharau Mahakama

kube

KAMPUNI ya Hali Halisi Publishers Ltd (HHPL) inayomiliki na kuchapisha magazeti likiwemo la MwanaHALISI inaamini kuwa serikali imekiuka amri ya Mahakama Kuu ya kuzuiwa kulifungia gazeti hilo, labda tu kama ...

Read More »

Sakata la ‘Bashite’ kutolewa maelezo kesho

Boniface Jacob, Meya wa Manispaa ya Ubungo

TUME  ya Maadili ya Viongozi wa Umma, inatarajia kumhoji Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob kuhusu  madai yake aliyowasilisha kwa tume hiyo akitaka Mkuu wa  Mkoa wa Dar es ...

Read More »

Yusuf Manji azidi kukaangwa Mahakamani

Yusuf Manji akiwasili mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekataa kupokea kielelezo cha nakala ya dawa anazozotumia mfanyabiashara, Yusuf Manji iliyotolewa na katibu muhtasi wake (sekretari), anaandika Faki Sosi. Mahakama hiyo imeendelea kupokea vielelezo ...

Read More »

Kamanda Msangi awekwa kitimoto Mwanza

Ahmed Msangi, Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza

ZAIDI ya wakazi 23,000 wa mitaa 10 ya kata ya Pamba wilayani Nyamagana mkoani Mwanza, wameliomba jeshi la polisi kuwajengea uwezo na mbinu za kiitelenjensia wenyeviti wa Serikali za mitaa ...

Read More »

Makubwa ya Yusuf Manji mahakamani

Yusuf Manji

DAWA zinazotumikia kwenye matibabu ya ugonjwa wa moyo wa mfanyabiashara, Yusuf Manji zimezua mjadala kwenye ushahidi wa kesi inayomkabili ya matumizi ya dawa za kulevya, anaandika Faki Sosi. Mbele ya ...

Read More »

Msomi asema Tanzania haina dira

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ruaha Prof. Gaudens  Mpangala

WADAU wa Jukwaa la Katiba Tanzania wamesema kuwa taifa haliwezi kuwa na maendeleo kama halitakiwa na dira ya maendeleo inayoeleweka,” anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo imetolewa leo na Mhadhiri wa ...

Read More »

Hospitali ya Dodoma yatakiwa kuimarisha wodi ya wazazi

Selemani Jafo, Waziri wa Nchi ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Selemani Jaffo ameuangiza uongozi wa hospital ya rufaa ya mkoa wa Dodoma kuhakikisha inaweka mfumo wa hewa ...

Read More »

Wagombea CCM ‘matumbo joto’ Dodoma

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, wakisubiri matokeo baada ya kupiga kura za kumchagua mgombea wa Urais kwa tiketi ya chama hicho

KATIKA kuelekea uchaguzi wa ndani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), baadhi ya wanachama waliochukua fomu kugombea nafasi mbalimbali matumbo yamezidi kupata joto, anaandika Dany Tibason. Makada hao wanaonekana kujawa na ...

Read More »

Tundu Lissu aibuka, awahutubia mawakili kwa simu

Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema

RAIS wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu ameibuka na kusema, “vijembe vinavyorushwa na Ummy Mwalimu,” waziri wa afya na ustawi wa jamii, “vitajibiwa na mimi mwenyewe,” anaandika Saed Kubenea. ...

Read More »

Tanzania haina amani ya kweli-Askofu

Tanzania-Camping-safari

ASKOFU mkuu wa Kanisa la Endtime Harvest (EHC) lenye Makao Makuu Mkoani Dodoma, Dk. Elia Mauza amesema Tanzania haina amani ya kweli badala yake watu wake wana utulivu, anaandika Dany ...

Read More »

Msomi IFM adakwa akitaka kukodisha Bastola

bill-wilson-2-pistol0286-copy

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imemtia mbaroni mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Robson Maji (21)kwa kosa la kukutwa akitaka kuuza bunduki aina ya ...

Read More »

Ndugai agomea milioni 43 matibabu ya Lissu.

Job Ndugai, Spika wa BUnge la Tanzania. Picha ndogo Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ametua nchini akitokea nchini Kenya anapomuuguza Mbunge wa Singida Mashariki ( Chadema), Tundu Lissu na kufunguka kwamba Spika Job Ndugai ...

Read More »

Nyuklia yazidi kumtesa Rais Trump 

RAIS wa Marekani Donald Trump amesaini sheria mpya ya kuongeza vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini juu ya mpango wake wa zana za Nyuklia kwa madi kwamba ni hatarishi kwa usalama ...

Read More »

Wadau washauri kufufuliwa chuo cha Tetemeko

unnamed

SERIKALI  imetakiwa kufufua chuo cha elimu ya tetemeko la ardhi kilichowepo mkoani Dodoma ili kuwafanya Watanzania kutambua na kujikinga mapema na madhara ya tetemeko, anaandika Christina Haule. Ombi hilo lilitolewa ...

Read More »

Kimbunga Maria chapiga hodi Marekani

BN-VF226_MARIAU_J_20170920195636

KIMBUNGA cha Maria kimekivuruga kisiwa cha Puerto  Rico nchini Marekani na kusababisha umeme kukatika katika eneo lote katika kisiwa hicho, anaandika Mwandishi wetu. Huu ni mfululizo wa Vimbunga katika nchi ...

Read More »

UN watoa neno siku ya amani

Ofisa Habari wa UN, Stella Vuzo (wakwanza) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)

UMOJA  wa Mataifa (UN),  ofisi za Tanzania umeitaka jamii kudumisha amani na kuhakikisha hapatokei migogoro ili kuenzi  siku ya leo ambayo dunia inaadhimisha siku ya amani, anaandika Mwandishi Wetu. Kauli ...

Read More »

Polisi, Bunge walivyomtesa Kubenea

vlcsnap-2017-09-20-20h38m13s953

SAED Kubenea Mbunge wa Ubungo, amerejeshwa Jijini Dar es Salaam kutoka Mjini Dodoma ilhali afya yake ikiwa sio shwari, anaandika Faki Sosi. Kubenea aliwasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa ...

Read More »

Mahakama Kenya yazidi kuanika madudu ya Tume

Naibu Jaji Mkuu wa Kenya Philomena Mwilu

NAIBU Jaji Mkuu wa Kenya Philomena Mwilu, amesema kitendo cha Tume ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC), kushindwa kufuata maagizo ya mahakama ya juu nchini humo,  kinadhihirisha kuwa madai ...

Read More »

Serikali yataka Ma  RC ,  Ma  Dc wasijione  ‘miungu watu’

Selemani Jafo, Waziri wa Nchi ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

WAKUU wa Mikoa pamoja na Wakuu wa Wilaya nchini wametakiwa kutumia vizuri sheria ya kwaweka ndani watu ndani ya saa 48 na wasitumie sheria hiyo kwa kuwaonea watu, anaandika Dany ...

Read More »

Naibu Waziri atoa neno kuhusu amani nchini

Suleiman Jaffo, Naibu Waziri wa Nchi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

NAIBU  Waziri  Nchi,Ofisi ya Rais (TAMISEMI) , Selemani Jaffo amewataka viongozi wa dini kulinda amani ya nchi na kutotumia nafasi zao kutengeneza migogoro ya kisiasa, anaandika Dany Tibason. Jaffo ametoa  ...

Read More »

Kamati ya Bunge yashindwa kumhoji Kubenea, alazwa kliniki ya Bunge

George Mkuchika, Mwenyekiti wa Kamati ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya Bunge. Picha ndogo Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo

KAMATI ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya Bunge, imeshindwa kumhoji mbunge wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, baada ya kuona hali yake ya kiafya imezorota, anaandika Dany Tibason. Mwenyekiti wa ...

Read More »

Sinema ya Kubenea kama ya Mbowe, Bulaya

Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema)

SINEMA ya kukamatwa wabunge wa upinzani na kuwasafirisha kwa ndege wakiwa chini ya ulinzi mkali wa Polisi imejirudia leo  baada ya  Mbunge wa Ubungo,  Saed Kubenea (Chadema), kusafirishwa  alfajiri kwenda ...

Read More »

Polisi wamdaka Mbunge Kubenea akiwa hospitali Dar 

Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, polisi wenye silaha wamezingira hospitali  ya Agha Khan aliyokuwa ameenda kupata huduma ya matibabu, Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea na kumsubiri atibiwe kisha kuondoka naye. ...

Read More »

Bombidier za Magufuli wazidi kupata hitilafu

Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Bombadier

ABIRIA zaidi ya 50 waliokuwa wakitarajia kusafiria na ndege ya Bombidier  jijini Mwanza, wameshindwa kusafiri kutokana na ubovu wa ndege hiyo kitendo kilichosababisha abiria wengi kulalamika, anaandika Moses Mseti. Hiyo ...

Read More »

Mbunge Joseph Musukuma na wenzake wapandishwa kizimbani

maxresdefault

MBUNGE wa Geita Joseph Musukuma leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama Hakimu Mkazi Geita, kujibu tuhuma zake zinazomkabili, baada ya kushikiliwa na polsi tangu jumapili ya wiki iliyopita, anaandika Mwandishi wetu. ...

Read More »

Serikali yafungia gazeti la MwanaHALISI

lissu

Read More »

Diwani aililia serikali ya Rais Magufuli

Prof. Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imeombwa kuangalia uwezekano wa kuipa usajili shule ya sekondari ya Matuli iliyopo wilayani Morogoro vijijini ili ianze kutumika,  anaandika Christina Haule. Hatua hiyo ...

Read More »

Askofu afanya maombi ya kuleta mvua

Mwenyekiti  wa  Good News For all Ministry  Askofu Dk Charles  Gadi

MWENYEKITI  wa  Good News For all Ministry  Askofu Dk Charles  Gadi  amefanya maombi maalum kwa ajili ya kuliombea taifa ili kuondokana hali ya ukame ulioanza  kuyakumba baadhi ya maeneo hapa ...

Read More »

CCM yambomoa Zitto Kabwe Morogoro

Zitto Kabwe, Kiongozi wa ACT

WANACHAMA watatu wa Chama cha ACT -Wazalendo akiwemo aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Morogoro kusini Mashariki mwaka 2015 na Mwenyekiti wa jimbo la Morogoro  Kusini Mashariki wamehamia Chama Cha ...

Read More »

Kina Kibamba waishika pabaya Serikali

Deus Kibamba, Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania (kulia) anayefuata ni Hebron Mwakagenda, Mkurugenzi Mtendaji wa Jukata. Picha ndogo Rais John Magufuli

KUPITIA bajeti  ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa miaka miwili mfululizo (2016/2017 na 2017/2018) serikali ilitazamiwa kutenga fedha kwa ajili ya ukamilishaji wa mchakato wa katiba mpya, anaandika Pendo  ...

Read More »

Mchungaji atoa neno ‘watu wasiojulikana’

Michael Nhonya akifundisha somo la Uongozi kwneye Kongamano la Vijana Taifa June, 2017

KANISA la Wabaptist Tanzania limewataka viongozi wa serikali pamoja na vyama vya siasa kuhakikisha wanakuwa mabalozi wa kulinda amani ya nchi, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo limetolewa huku kukiwa na ...

Read More »

Tanzania na Afrika Kusini zakumbushia uhusiano

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania, Elisante Gabriel

SERIKALI ya Afrika Kusini imesema inatambua mchango wa nchi ya Tanzania katika harakati za kuipatia uhuru nchi hiyo kupitia program ya urithi wa ukombozi wa Bara la Afrika, anaandika Dany ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube