February 25, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Polisi, Bunge walivyomtesa Kubenea

Spread the love

SAED Kubenea Mbunge wa Ubungo, amerejeshwa Jijini Dar es Salaam kutoka Mjini Dodoma ilhali afya yake ikiwa sio shwari, anaandika Faki Sosi.

Kubenea aliwasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa  Mwl Julias Nyerere majira ya saa 11 Jioni akiwa kwenye kiti cha mgonjwa akisukumwa na wahudumu wa Uwanja huo.

Jana Kubenea aliondolewa kwenye Hospitali ya Aga Khan ya Jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya Spika wa Bunge Job Ndugai kwamba afikishwe mbele ya kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama.

Tazama Video hii mwanzo mwisho uonhe Jinsi Mbunge huyo alivyowasili uwanja wa Ndege.

error: Content is protected !!