KATIBU Tawala wa Mkoa wa Geita, Profesa Godius Kahyarara amewahamasisha wachimbaji wadogo wa madini mkoani humo kujiunga na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2022BENKI ya Exim Tanzania imeungana na watoa huduma duniani kusherehekea wiki ya Huduma kwa Wateja huku ikiahidi kuendelea kuwa karibu zaidi na wateja...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2022KATIBU Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema chama chake kitaanza kuisimamia Serikali katika majimbo yote nchini, ili kuhakikisha kero za...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2022RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amewaomba radhi wakenya kwa machapisho ya mtoto wake aliyoyatoa wiki hii kupitia mtandao wa twitter. Katika kaarifa yake...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2022BEI ya mafuta ya petroli imeendelea kushuka kwa miezi miwili mfululizo baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji kutangaza bei mpya...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2022NAIBU Waziri wa Madini Dk. Steven Kiruswa ameshiriki Mkutano wa pili wa Mawaziri wa Madini Afrika uliondaliwa na Umoja wa Afrika na kufanyika...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeelaani vikali kile kilichodai ni ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na Jeshi la Polisi nchini Tanzania katika operesheni zake...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2022WAZIRI wa Madini Dk. Doto Biteko amefurahishwa na namna Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ilivyojipanga kufanya kazi kwa ukaribu na wachimbaji wadogo wadogo ...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeomba Serikali ichukue hatua za haraka kutatua changamoto za uvamizi wa wanyama katika makazi na mashamba ya wananchi wanaoishi karibu...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2022WAZIRI wa Madini Dk. Dotto Biteko ameeleza kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa kinu cha kupoza umeme (substation) kinachojengwa na Kampuni ya Geita...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2022Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kibiti mkoani Pwani kimepata viogozi wapya baada ya kufanyika uchanguzi wa ndani wa chama hicho hapo...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amewapa maelekezo mawaziri ikiwemo kutunza siri na kubeba jambo lolote linaloamuliwa na Serikali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2022WAZIRI wa Madini, Dk. Dotto Biteko amesema Kampuni ya Uchimbaji madini ya dhahabu Geita (GGML) ndiyo kampuni uchimbaji inayoongoza Tanzania na Afrika kwa...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, amefanyia mabadiliko madogo, baraza lake la mawaziri. Katika mabadiliko hayo, mwanadiplomasia mashuhuri nchini, Balozi Liberata Mulamula, ameachwa kwenye baraza...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2022TAKRIBAN watu 174 wamefariki katika mkanyagano kwenye mechi ya soka ya Indonesia ambayo imekuwa mojawapo ya majanga mabaya zaidi ya viwanja duniani. Vinaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo mbili za kimataifa na Jumuiya ya Kimataifa ya Watetezi na Amani. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 1, 2022DAKTARI Muhammed Ali ambaye ni Mtanzania amefariki kwa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda ambapo alikuwa akisomea shahada ya uzamili ya udaktari katika upasuaji....
By Mwandishi WetuOctober 1, 2022WAZIRI wa Nishati, January Makamba, ameshiriki katika warsha ya viongozi iliyofanyika kwenye mradi wa kuchakata na kusindika gesi asilia (Liquefied Natural Gas Plant...
By Mwandishi WetuOctober 1, 2022MABALOZI wa mkaa mbadala wa Rafiki Briquette kutoka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) wamekuwa kivutio katika Maonesho ya Kitaifa ya Teknolojia...
By Mwandishi WetuOctober 1, 2022KAMPUNI ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu Geita (GGML) imezindua mashindano ya mpira wa miguu kwa watoto wanaozunguka mgodi huo ili kukabiliana na changamoto...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2022MKUU wa wilaya ya Nyang’wale, Jamhuri William amesema uongozi wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGM) umewatoa kimasomaso Serikali ya mkoa wa...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2022SHULE ya Hazina ya Magomeni jijini Dar es Salaam, imeendelea kutesa kwenye matokeo ya utahimilifu (moko) Mkoa wa Dar es Salaam, ambapo...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema hivi sasa wataachana kwanza na ujenzi wa vituo vipya vya afya na nguvu kubwa itaelekezwa katika...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2022WADAU wa elimu kata ya Ipepo Wilaya Makete Mkoani Njombe wametimia ahadi ya kutoa zawadi kwa wanafunzi wa Sekondari ya Ipepo waliopata...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2022WIZARA ya maji, nishati na madini Zanzibar imeipongeza Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Madini na Tume ya Madini kwa usimamizi mzuri wa...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2022NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo ametoa wito kwa wachimbaji wadogo wa madini kuchangamkia mitambo na vifaa vinavyosambazwa na Kampuni...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2022RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepiga marufuku mamalaka yeyote ya Serikali kuingia mkataba bila kuishirikisha Ofisi ya Mwanasheria...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2022RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameonesha kutoridhika na masharti ya sheria ya kulinda uwekezaji inayoweka ulazima wa mzozo baina ya mwekezaji...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2022RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema mawakili wa Serikali ambao hawatajisajili katika Chama cha Mawakili wa Serikali katika...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2022MAWAKILI wa Serikali, wametakiwa kutumia chama chao kuhakikisha viongozi wa Serikali wanazingatia matakwa ya katiba na sheria za nchi, katika utekelezaji wa majukumu...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2022CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimefanikiwa kukusanya shilingi milioni 56 kwaajili ya ujenzi wa mabweni ya wasichana kwenye kampasi yake ya...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2022BENKI ya Mwalimu imezindua Bando la Mwalimu kupitia kampeni yake ya ‘Asante Mwalimu’ yenye lengo la kurudisha shukrani kwa mwalimu, ambapo Serikali imeahidi...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2022KIONGOZI wa Azimio Raila Odinga amewataka polisi wa Kimataifa wa Interpol kuanzisha uchunguzi kuhusiana na kifo cha mshukiwa wa Mahakama ya Kimataifa...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2022RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kufungua milango kuwakaribisha wawekezaji kutoka nje, ili...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2022Kaimu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Pwani ,Elisante Msuya ameeleza ,maandalizi ya uchaguzi wa wilaya katika nafasi mbalimbali yamekamilika, ambapo...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2022WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu ametoa tahadhari ya ugonjwa wa Ebola na kuagiza wakuu wote wa mikoa kujiandaa endapo itatokea kisa chochote au...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2022UHURU wa Wananchi kujieleza katika masuala mbalimbali sambamba na kupewa taarifa juu ya masuala muhimu yanayolihusu Taifa, yanatajwa kuwa miongoni mwa masuala muhimu ...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2022RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto jana tarehe 27 Septemba, 2022 amemteua Japhet Koome kuwa Inspekta Jenerali mpya wa Jeshi la polisi...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2022MAMLAKA ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA), Kanda ya Ziwa Magharibi imekamata shehena ya sigara bandia zenye thamani ya Sh 1.8 Bilioni katika...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2022SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka waagizaji wa magari yaliyotumika kutoka Japan, mawakala wa forodha na wananchi wote kwa ujumla kuhakikisha wanakagua...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2022MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imeahirisha kesi ya mauaji inayowakabili baadhi ya viongozi wa Loliondo, mkoani Arusha, hadi tarehe 11 Oktoba 2022,...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2022TAASISI inayotoa huduma za kifedha nchini Tanzania ya Letshego imezindua akaunti maalum kwa ajili ya wajasiriamali wadogo na wakati na akaunti ya...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2022RAIS wa Urusi, Vladimir Putin amempa uraia kachero na mhandisi wa zamani wa Marekani, Edward Snowden, ambaye tangu mwaka 2020 amekuwa mkaazi...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2022CHUO cha Mafunzo Zanzibar, pamoja na wadau mbalimbali ikiwemo na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kimekamilisha mchakato wa kupokea...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2022PADRI wa Kanisa Katoliki Parokia Teule ya Mtakatifu Deonis Aropagita, Jimbo la Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, Sostenes Bahati Soka amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2022Kwa mwaka wa pili mfululizo, Benki ya NMB imeshinda tuzo ya benki kiongozi wa kuwahudumia wateja binafsi nchini kutokana na ubora wa...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2022SERIKALI imepongeza shule ambazo hazina kawaida ya kuchuja wanafunzi unapofikia muda wa mitihani ya kitaifa iiwemo St Anne Marie Academy . Mwandishi...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2022IKIWA ni siku moja tangu kupinduliwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, leo amekutana na zengwe jingine baada ya kuzuiwa kufanya...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2022MAKAMU Mwenyekiti Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Massoud Othman amewataka wanachama kuimarisha chama chao ili kuwa imara zaidi hatimae kuibuka na ushindi katika...
By Mwandishi WetuSeptember 24, 2022RAIS wa Benki ya Dunia, David Malpass amesema kwamba hatajiuzulu kutokana ukosoaji dhidi ya matamshi yake aliyoyatoa kuhusiana na mabadiliko ya tabianchi....
By Mwandishi WetuSeptember 24, 2022