RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema hivi sasa wataachana kwanza na ujenzi wa vituo vipya vya afya na nguvu kubwa itaelekezwa katika...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2022WADAU wa elimu kata ya Ipepo Wilaya Makete Mkoani Njombe wametimia ahadi ya kutoa zawadi kwa wanafunzi wa Sekondari ya Ipepo waliopata...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2022WIZARA ya maji, nishati na madini Zanzibar imeipongeza Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Madini na Tume ya Madini kwa usimamizi mzuri wa...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2022NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo ametoa wito kwa wachimbaji wadogo wa madini kuchangamkia mitambo na vifaa vinavyosambazwa na Kampuni...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2022RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepiga marufuku mamalaka yeyote ya Serikali kuingia mkataba bila kuishirikisha Ofisi ya Mwanasheria...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2022RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameonesha kutoridhika na masharti ya sheria ya kulinda uwekezaji inayoweka ulazima wa mzozo baina ya mwekezaji...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2022RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema mawakili wa Serikali ambao hawatajisajili katika Chama cha Mawakili wa Serikali katika...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2022MAWAKILI wa Serikali, wametakiwa kutumia chama chao kuhakikisha viongozi wa Serikali wanazingatia matakwa ya katiba na sheria za nchi, katika utekelezaji wa majukumu...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2022CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimefanikiwa kukusanya shilingi milioni 56 kwaajili ya ujenzi wa mabweni ya wasichana kwenye kampasi yake ya...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2022BENKI ya Mwalimu imezindua Bando la Mwalimu kupitia kampeni yake ya ‘Asante Mwalimu’ yenye lengo la kurudisha shukrani kwa mwalimu, ambapo Serikali imeahidi...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2022KIONGOZI wa Azimio Raila Odinga amewataka polisi wa Kimataifa wa Interpol kuanzisha uchunguzi kuhusiana na kifo cha mshukiwa wa Mahakama ya Kimataifa...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2022RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kufungua milango kuwakaribisha wawekezaji kutoka nje, ili...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2022Kaimu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Pwani ,Elisante Msuya ameeleza ,maandalizi ya uchaguzi wa wilaya katika nafasi mbalimbali yamekamilika, ambapo...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2022WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu ametoa tahadhari ya ugonjwa wa Ebola na kuagiza wakuu wote wa mikoa kujiandaa endapo itatokea kisa chochote au...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2022UHURU wa Wananchi kujieleza katika masuala mbalimbali sambamba na kupewa taarifa juu ya masuala muhimu yanayolihusu Taifa, yanatajwa kuwa miongoni mwa masuala muhimu ...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2022RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto jana tarehe 27 Septemba, 2022 amemteua Japhet Koome kuwa Inspekta Jenerali mpya wa Jeshi la polisi...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2022MAMLAKA ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA), Kanda ya Ziwa Magharibi imekamata shehena ya sigara bandia zenye thamani ya Sh 1.8 Bilioni katika...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2022SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka waagizaji wa magari yaliyotumika kutoka Japan, mawakala wa forodha na wananchi wote kwa ujumla kuhakikisha wanakagua...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2022MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imeahirisha kesi ya mauaji inayowakabili baadhi ya viongozi wa Loliondo, mkoani Arusha, hadi tarehe 11 Oktoba 2022,...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2022TAASISI inayotoa huduma za kifedha nchini Tanzania ya Letshego imezindua akaunti maalum kwa ajili ya wajasiriamali wadogo na wakati na akaunti ya...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2022RAIS wa Urusi, Vladimir Putin amempa uraia kachero na mhandisi wa zamani wa Marekani, Edward Snowden, ambaye tangu mwaka 2020 amekuwa mkaazi...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2022CHUO cha Mafunzo Zanzibar, pamoja na wadau mbalimbali ikiwemo na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kimekamilisha mchakato wa kupokea...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2022PADRI wa Kanisa Katoliki Parokia Teule ya Mtakatifu Deonis Aropagita, Jimbo la Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, Sostenes Bahati Soka amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2022Kwa mwaka wa pili mfululizo, Benki ya NMB imeshinda tuzo ya benki kiongozi wa kuwahudumia wateja binafsi nchini kutokana na ubora wa...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2022SERIKALI imepongeza shule ambazo hazina kawaida ya kuchuja wanafunzi unapofikia muda wa mitihani ya kitaifa iiwemo St Anne Marie Academy . Mwandishi...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2022IKIWA ni siku moja tangu kupinduliwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, leo amekutana na zengwe jingine baada ya kuzuiwa kufanya...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2022MAKAMU Mwenyekiti Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Massoud Othman amewataka wanachama kuimarisha chama chao ili kuwa imara zaidi hatimae kuibuka na ushindi katika...
By Mwandishi WetuSeptember 24, 2022RAIS wa Benki ya Dunia, David Malpass amesema kwamba hatajiuzulu kutokana ukosoaji dhidi ya matamshi yake aliyoyatoa kuhusiana na mabadiliko ya tabianchi....
By Mwandishi WetuSeptember 24, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametakiwa kuingilia kati mgogoro wa kiongozi uliobuka ndani ya Chama cha NCCR-Mageuzi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2022SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ameitaka Serikali iweke utaratibu mzuri wa kusimamia mifuko ya hifadhi ya jamii, ili iwabane waajiri wasiowasilisha michango...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameahirisha shughuli za Bunge hadi tarehe 1 Novemba 2022,zitakaporejea. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Majaliwa ameahirisha...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2022SERIKALI ya Tanzania imewasilisha na kusoma mara ya kwanza miswada ya sheria mbalimbali, ikiwemo Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote na Sheria...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2022SERIKALI ya Tanzania imewasilisha Muswada wa Sheria ya Uwekezaji, uliosomwa kwa mara ya kwanza Bungeni wenye malengo mbalimbali ikiwemo kufuta Sheria ya Uwekezaji...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2022CHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeingia makubaliano na Chuo Kikuu cha Western Kentucky cha Marekani (WKU) kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2022CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimesema chama chochote cha cha siasa chenye shauku ya kuvunja Muungano au viongozi wake wakipania kuligawa Taifa huo si ushujaa...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2022WAKATI vyombo vya habari vikiripoti kuwa nchi ya Saudi Arabia ipo kwenye maandalizi ya kumpokea Rais wa China Xi Jinping, Waziri wa Mambo...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2022CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesema mwitikio wa wadau mbalimbali kuchangia ujenzi wa mabweni ya wasichana katika kampasi yake mkoani Mbeya...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2022SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameiagiza serikali kuchukua hatua za haraka kudhibiti uhalifu unaoendelea kufanywa na vijana katika mikoa ya Dar...
By Mwandishi WetuSeptember 15, 2022MJUMBE wa Kamati ya Utendaji ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Nevile Meena, ameishauri Serikali ikamilishe mchakato wa marekebisho ya sheria zinazosimamia...
By Mwandishi WetuSeptember 13, 2022KAMATI ya Kitaifa ya Maaskofu na Mashehe ya Maadili Amani na Haki za Binadamu kwa Jamii ya Madhehebu Dini nchini imemshauri Rais Samia...
By Mwandishi WetuSeptember 13, 2022MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amezitaka mamlaka za udhibiti kukomesha matumizi ya dawa zisizofaa katika...
By Mwandishi WetuSeptember 13, 2022SAA chache baada ya kuapishwa kuwa Rais wa tano wa Kenya, Dk. William Ruto ameonekana kuanza kazi kwa kasi ya ajabu, baada...
By Mwandishi WetuSeptember 13, 2022SERIKALI imesema licha ya kuwepo kwa idadi kubwa wa wachezaji wa kigeni katika Ligi Kuu Bara, itaendelea kulishauri Shirikisho la Mpira wa...
By Mwandishi WetuSeptember 13, 2022WATANI wa jadi Simba na Yanga wameanza vema kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa baada ya kuibuka na ushindi mnono ugenini katika raundi ya...
By Mwandishi WetuSeptember 10, 2022BARAZA la Kukabidhi Mamlaka la Uingereza, limetangaza rasmi mtoto wa kwanza wa Malkia Elizabeth II, Charles Philip Arthur George, kuwa mfalme wa...
By Mwandishi WetuSeptember 10, 2022MATAJIRI wa madini, Klabu ya Geita Gold kesho wanatarajia kurusha karata yao ya kwanza katika michuano ya kimataifa kwenye Kombe la Shirikisho Barani...
By Mwandishi WetuSeptember 10, 2022SERIKALI Mkoani Mara imeshangazwa na kitendo cha Wachimbaji wadogo wa madini ya Dhahabu wa Mgodi wa Ilasanilo uliopo Wilayani Butiama Mkoani Mara,...
By Mwandishi WetuSeptember 10, 2022MARA tu baada ya kifo cha Malkia Elizabeth II, kiti cha ufalme kinapitishwa mara moja bila sherehe yoyote kwa mrithi wake ambaye...
By Mwandishi WetuSeptember 9, 2022MALKIA Elizabeth II aliyehudumu kwa muda mrefu zaidi nchini Uingereza, amefariki dunia leo Alhamis nyumbani kwake Balmoral akiwa na umri wa miaka 96...
By Mwandishi WetuSeptember 8, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, awawajibishe viongozi wanaochochea migogoro ya wakulima na wafugaji Kwa kushindwa kusimamia vyema matumizi ya...
By Mwandishi WetuSeptember 8, 2022