CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) kimekerwa na baadhi ya wanasiasa kuwawajibisha na kuwadhalilisha watumishi wa Umma. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageDecember 17, 2019WAZIRI Kilimo, Japhet Hasunga amewataka Maofisa ugani nchini kuweka mipango kazi yao itakayowawezesha kufanikisha ufanisi wa kilimo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....
By Danson KaijageDecember 16, 2019WATU 53 wanaosadikiwa kula chakula chenye sumu katika msiba kata ya Mtumba Jijini Dodoma na kukimbizwa katika hospitali ya Rufaa, afya zao zimeimarika...
By Danson KaijageDecember 16, 2019WADAU wa elimu nchini wamehoji walimu kutoshirikishwa katika mchakato wa kuandaa mtaala wa elimu mwaka 2016, kabla ya serikali kuupeleka mashuleni. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageDecember 16, 2019WILLIAM Ole Nasha, Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, amewataka wakuu wa shule nchini kushawishi wanafunzi kuchangamkia fursa za mashindano ya uandishi...
By Danson KaijageDecember 11, 2019MTANDAO wa Elimu Tanzania (MET), unaojumuisha asasi za kiraia 210 umeeleza, kuna haja ya kuboresha elimu nchini kwa lengo la kupata wasomi makini. Anaripoti...
By Danson KaijageDecember 11, 2019MIZENGO Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mahafali ya Tatu ya Chuo cha Uuguzi (DECCA), yatakayofanyika tarehe 13 Desemba 2019,...
By Danson KaijageDecember 7, 2019BARAZA la Mitihani nchini (NECTA), limetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza nchini. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Akitangaza majina hayo leo...
By Danson KaijageDecember 5, 2019VYAMA vya upinzani vilivyojitoa katika kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vimepewa nafasi 163 kati ya 332,160, zilizokuwa zinashindaniwa katika uchaguzi huo. Anaripoti...
By Danson KaijageNovember 25, 2019JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri amesema, chombo hicho cha kutunga sheria, kipo kwenye mjadala mzito wa kutafuta majina ya utambulisho kwa...
By Danson KaijageNovember 22, 2019RAIS John Magufuli anatarajiwa kufanya ziara ya siku tano jijini Dodoma, kuanzia tarehe 21 – 25 Novemba 2019. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...
By Danson KaijageNovember 20, 2019SERIKALI imeeleza kutoridhishwa na upandaji wa bei ya mahindi, ikieleza kutokuwepo kwa uhaba wa bidhaa hiyo nchini. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea), Kauli...
By Danson KaijageNovember 19, 2019TUME ya watu watano, imeundwa ili kuhakiki korosho yote iliyopokelewa, iliyouzwa na fedha zilizopatikana baada ya kuwepo kwa matumizi ya fujo ya Sh....
By Danson KaijageNovember 18, 2019MWALIMU Mkuu Mstaafu wa Shule ya Msingi Bwigiri Wasioona, Chamwino mkoani Dodoma, Sylivavus Hosea ambaye ni mlemavu wa macho, amemwomba Rais John Magufuli kuangalia namna ya...
By Danson KaijageNovember 18, 2019KAMA Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinaamini kwamba kina haki kuliko vyama vingine ndani ya nchi hii, basi upelekwe muswada bungeni ili vyama vya...
By Danson KaijageNovember 12, 2019UNAWEZA kujiuliza, kuna kitu gani kilichopo kati ya Halima Mdee, Mbunge wa Kawe na Job Ndugai, Spika wa Bunge? Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Leo...
By Danson KaijageNovember 11, 2019KAMATI Kuu (CC) ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewaamuru wanachama, viongozi na wafuasi wake, kujiondoa katika mchakato wa uchaguzi wa serikali...
By Danson KaijageNovember 7, 2019SHEKANDI Ashery Mkombola (44), Mchungaji wa Kanisa la Aglikana, lililopo katika Kijiji cha Chinyika, Mpwapwa jijini Dodoma, na watu wengine 21 wanatuhumiwa kukutwa...
By Danson KaijageNovember 5, 2019EWURA kwa kushirikiana na Wizara ya Nishati na Madini iliandaa Mfumo wa Uagizaji wa Pamoja (BPS) wa mafuta nchini, Utafiti wa UDSM, Aprili...
By Danson KaijageNovember 1, 2019BAADAHI ya maeneo nchini, wateule wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa tarehe 24 Novemba 2019, wanaweza kukumbwa na...
By Danson KaijageOctober 31, 2019SERIKALI imekiri kuwepo kwa udhaifu katika uchukuaji fomu, kwa ajili ya kugombea nafsi mbalimbali kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...
By Danson KaijageOctober 31, 2019PROFESA Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknoljia amesema, serikali inatambua umuhimu wa kuwekeza katika sekta ya teknolojia ya habari na wasiliano...
By Danson KaijageOctober 30, 2019BAADHI ya wakazi wa kata ya Mkata, Handeni, mkoani Tanga, wamesema kuwa kitendo cha serikali kuwapelekea mradi wa maji safi kimewafanya kuondokana na...
By Danson KaijageOctober 28, 2019MBWEMBWE na shamrashamra zilizozoeleka katika uchukuaji fomu za kugombea ngazi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa nchini, zimepigwa marufuku. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea)....
By Danson KaijageOctober 28, 2019ZOEZI la uandikishaji wa daftari la wa wapiga kura wa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mwaka 2019 umevunja rekodi tofauti na miaka...
By Danson KaijageOctober 19, 2019WATUNZI wa Muziki wa Injili nchini wametakiwa kutunga nyimbo zenye ubunifu na maarifa kwa ajili ya utukufu wa Mungu badala ya kutunga nyimbo...
By Danson KaijageOctober 19, 2019BARAZA la Mitihani nchini (NECTA), limetangaza matokeo ya darasa la saba ambapo Mikoa ya Kanda ya Ziwa imeongoza kwa kushika nafasi 10 za mwanzo. Anaripoti...
By Danson KaijageOctober 15, 2019MWALIMU wa shule ya msingi Chazungwa, wilayani Mpwapwa, Dodoma, Rose Mgulambwa amesema anashangazwa na Afisa Elimu Msingi, Mery Chakupewa kwa kumnyima uhamisho kwa...
By Danson KaijageOctober 3, 2019IDARA ya Elimu Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma na Wilaya ya Chalinze, Pwani wametakiwa kuhakikisha wanaendeleza mambo muhimu waliyonufaika na Mradi wa Usomaji...
By Danson KaijageSeptember 28, 2019WAZAZI pamoja na walezi wametakiwa kujenga utamaduni wa kushirikiana na walimu ili kuweza kuwajenga watoto katika malezi bora. Anaripoti Danson Kaijage, Moshi …...
By Danson KaijageSeptember 28, 2019KATIBU Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Zainabu Chaula amewagiza wataalamu wa sekta ya Afya wanaohusika...
By Danson KaijageSeptember 28, 2019WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amesema Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa kituo cha msaada wa Kisheria na haki za...
By Danson KaijageSeptember 27, 2019ANTONY Mavunde, Naibu Waziri Ofisi ya Rais anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, amewataka vijana kutumia vyema fursa wanazozipata ili kujiingizia kipato badala ya...
By Danson KaijageSeptember 24, 2019KUTEMBEA mwendo mrefu pia kushindwa kupatikana kwa mahitaji kwa mtoto wa kike, husababisha watoto hao kufikiria kuacha shule. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...
By Danson KaijageSeptember 20, 2019JOSEPH Bundala, Askofu Mkuu wa Kanisa la Methodist nchini Tanzania amezitaka taasisi za dini kufanya mabadiliko ya katiba zao, ili ziendane na wakati...
By Danson KaijageSeptember 17, 2019BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limehailishwa hadi tarehe 6 Novemba, 2019, baada ya wabunge kufanya shughuli mbalimbali ikiwa ni pamoja na...
By Danson KaijageSeptember 13, 2019MUDA mchache baada ya Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kumtaka Cyprian Musiba, anayejitambulisha kuwa mwanaharakati na mtetezi wa Rais...
By Danson KaijageSeptember 13, 2019SERIKALI imesema, moja ya jukumu la Jeshi la Magereza ni kuwapokea na kuwaifadhi waharifu wa aina zote, wanaopelekwa kwa mujibu wa sheria. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageSeptember 13, 2019CYPRIAN Musiba, anayejitambulisha kuwa mwanaharakati na mtetezi wa Rais John Magufuli, amechokwa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Serikali kupitia Kangi Lugola, Waziri wa Mambo...
By Danson KaijageSeptember 13, 2019SERIKALI imewataka viongozi wa vyama vya watu wenye ulemavu kuwa wabunifu katika kuibua miradi, badala ya kutegemea wafadhili. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....
By Danson KaijageSeptember 12, 2019SERIKALI imesema, ni kweli Wilaya ya Itilima kwa sasa haina Mahakama ya Wilaya, hivyo wananchi wanalazimika kusafiri kwa umbali wa kilometa 37 kufuata...
By Danson KaijageSeptember 11, 2019JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri amesema, Tundu Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki amejitajia mwenyewe ‘kuvuliwa ubunge.’ Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). “Kwa...
By Danson KaijageSeptember 9, 2019MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), ameihoji serikali na kutaka ieleze kama kitendo cha kutoa kibali cha viwanda vya sukari kuagiza sukari nje...
By Danson KaijageSeptember 9, 2019ISSA Mangungu, Mbunge wa Mbagala ameishauri serikali irudishe mamlaka ya kukusanya kodi ya majengo kwa halmashauri, akidai kwamba Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),...
By Danson KaijageSeptember 9, 2019MBUNGE wa upinzani ameitaka serikali ieleze, ni lini itaacha kulipisha fedha maiti? Anaripoti Danson Kaijage … (endelea). Ni kutokana na mgonjwa kufia hospitalini...
By Danson KaijageSeptember 6, 2019HATUA ya Bunge la Jamhuri kupitisha Mswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali (Na.5) wa mwaka 2019, imetibua wapinzani. Anaripoti Danson Kaijage...
By Danson KaijageSeptember 6, 2019SUALA la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Mwaka 2019, limeibuka bungeni na kusababisha mabishano baina ya Mwita Waitara, Naibu Waziri Ofisi ya...
By Danson KaijageSeptember 5, 2019BUNGE limeelezwa, katika kipindi cha Januari hadi Juni 2019, kumekuwa na jumla ya matukio 66 ya watoto waliotupwa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....
By Danson KaijageSeptember 4, 2019SONIA Mgogo, Mbunge wa Viti Maalum (CUF), ameitaka serikali kueleza mpango wake wa kuwawezesha madaktari bingwa ili wafanye kazi nchini. Anaripoti Danson Kaijage, Ddodoma …...
By Danson KaijageSeptember 3, 2019SERIKALI imetakiwa ieleze, ni lini itahakikisha miradi ya maji ambayo inatakiwa kutekelezwa, inatekelezwa kwa wakati. Anaripoti Dandon Kaijage, Dodoma … (endela). Pia imetakiwa...
By Danson KaijageSeptember 3, 2019