ISABELA Mwampamba (46), mgonjwa wa kwanza kupatikana na virusi vya corona (COVID-19) nchini Tanzania, amepona na yupo huru kuungana na familia yake. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageMarch 26, 2020ROBERT Mwinje (39) na Nyemo Malendaa(20), wote makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dodoma wanatarajiwa kupandishwa kizimbani muda wowote kutoka sasa. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageMarch 25, 2020KUSAMBAA kwa virusi vinavyosababisha homa kali ya mapafu (COVID-19), kumebadili mwenendo wa dunia. Anaripoti Dandons Kaijage, Dodoma…(endelea). Prof. Pastor Majembe Chidachi, Mchungaji wa Kanisa...
By Danson KaijageMarch 23, 2020WASTAAFU wametakiwa kubuni miradi ambayo itawawezesha kufanya shughuli ya ujasiriamali kwa lengo la kujiongezea kipato baada ya kustaafu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...
By Danson KaijageMarch 10, 2020KASIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anatarajiwa kuwa ngeni rasmi katika uzinduzi wa Kongamano la Elimu Mkoa wa Dodoma. Anaripoti...
By Danson KaijageMarch 6, 2020ASKOFU wa Kanisa la Anglikana, Jimbo la Central Tanganyinya Dk. Dickson Chilongani, amewataka waumini wa Kikristo kutumia vyema kipindi cha Kwaresma kwa kuwasaidia...
By Danson KaijageFebruary 27, 2020TAARIFA ya matokeo ya mahojiano yaliyowahusu Bernard Membe, Abdulrahman Kinana na Mzee Yusuph Makamba, inayosubiriwa kwa hamu kubwa nadani na nje ya Chama...
By Danson KaijageFebruary 24, 2020WAZIRI wa Nishati, Dk. Medard Kalemani amemtaka mkandarasi wa Kampuni ya KEC International Limited, anayetekeleza mradi mkubwa wa upanuzi wa kituo cha kupoza...
By Danson KaijageFebruary 20, 2020DAVID Mwashilindi, Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya (Chadema) amesema, katika kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi, kunahitajika uwajibikaji wa pamoja kati ya wanasiasa na...
By Danson KaijageFebruary 19, 2020WAKAZI wa Jiji la Dodoma wamehofia kupata magonjwa ya mlipuko wa matumbo au kipindupindu kutokana na kutozingatiwa kwa kanuni za usafi hususani katika...
By Danson KaijageFebruary 11, 2020MFUMKO wa bei wa taifa kwa mwaka ulioishia Januari 2020, umepungua hadi asilimia 3.7 kutoka asilimia 3.8 kwa mwaka ulioishia Desemba 2019. Anaripoti...
By Danson KaijageFebruary 10, 2020SOPHIA Mwakagenda, Mbunge viti Maalumu, amewapa mbinu za ushindi wajumbe wa Baraza la Wanawake la Chama cha Chadema (Bawacha), kwenye Uchaguzi Mkuu wa...
By Danson KaijageFebruary 8, 2020ANTONY Mavunde, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira na Vijana amesema serikali itaifanyia kazi hoja ya Grace Tendega, Mbunge Viti Maalumu (Chadema),...
By Danson KaijageFebruary 7, 2020BERNARD Membe, waziri wa zamani wa Mambo ya Nje amesema, mahojiano yake na Kamati ya Kamati ya Maadili na Usalama ya Chama Cha...
By Danson KaijageFebruary 6, 2020FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, amemweleza Kasim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania kuwa majibu mepesi yanayotolewa kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi, yataleta...
By Danson KaijageFebruary 6, 2020BERNARD Membe, waziri wa zamani wa Mambo ya Nje, leo tarehe 6 Februari 2020, anakwenda kuhojiwa na Kamati ya Kamati ya Maadili na...
By Danson KaijageFebruary 6, 2020MAAMBUKIZI mapya ya ugonjwa wa Malaria yamepungua nchini kwa asilimia 27 kutokana na kuboreka kwa takwimu ya ugonjwa huo ukilinganisha na kesi 164 mwaka...
By Danson KaijageFebruary 5, 2020TUHUMA kwamba, baadhi ya vyama vya siasa vimenza kuandaa vijana kwa ajili ya vurugu, kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, zimetolewa bungeni. Anaripoti...
By Danson KaijageFebruary 4, 2020ZAINABU Katimba, Mbunge wa Viti Maalimu (CCM), ameishauri serikali kuweka adhabu kali kwa wabakaji ikiwemo kuhasiwa. Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Akizungumza bungeni leo tarehe 4...
By Danson KaijageFebruary 4, 2020KWA mara nyingine, Jumanne Kishimba, Mbunge wa Kahama Mjini (CCM), amesisitiza umuhimu wa kilimo cha bangi na kushauri serikali iruhusu zao hilo. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageFebruary 3, 2020MCHUNGAJI na Mtume Boniface Mwamposa, kiongozi wa Kanisa la Inuka Uangaze, amekamatwa na polisi Jijini Dar es Saalam, baada ya kusababisha vifo vya...
By Danson KaijageFebruary 2, 2020JOB Ndugai, Spika wa Bunge, ameanza kuchonga njia ya kumvua ubunge Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....
By Danson KaijageFebruary 1, 2020ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), anasubiriwa kwa hamu na Bunge la Jamhuri, kutokana na uamuzi wa kuiandikia barua Benki ya Dunia...
By Danson KaijageJanuary 31, 2020KILA siku taifa linateketeza Sh. 80 milioni kulipa wakandarasi kutokana na Philip Mpango, Waziri wa Fedha kushindwa kuruhusu Shirika la Nyumba (NHC), kumalizia...
By Danson KaijageJanuary 31, 2020KANGI Lugola, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ametinga katika ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), jijini Dodoma. Anaripoti...
By Danson KaijageJanuary 31, 2020BAADA ya Kangi Lugola, kuwekwa chini ya ulinzi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa madai ya ufisadi, sasa kuwekwa...
By Danson KaijageJanuary 30, 2020JOHN Heche, Waziri Kivuli wa Wizara ya Madini, ameitaka serikali ieleze zilipo fedha kiasi cha Sh. 426 trilioni, zilizokwepwa kulipwa na kampuni ya...
By Danson KaijageJanuary 29, 2020KITUO cha Msaada wa Kisheria kutoka Chuo Kikuu cha Dododoma (UDOM), kimeanza kutoa huduma ya elimu ya sheria bure kwa wakazi wa jiji...
By Danson KaijageJanuary 29, 2020MBUNGE wa Bunda Mjini (Chadema), Ester Amos Bulaya, ametangazwa kuwa Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Uteuzi huo umefanywa...
By Danson KaijageJanuary 28, 2020UKOSEFU wa usafiri katika Gereza la Ulanga, Morogoro, imesababisha mahabusu kusafirishwa kwa bodaboda kupelekwa mahakamani. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 28...
By Danson KaijageJanuary 28, 2020WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Ajira Vijana na wenye Ulemavu, Jenister Mhagama amevishangaa vyombo vya ulinzi na usalama nchini,...
By Danson KaijageJanuary 25, 2020HALMASHAURI ya Jiji la Mbeya, inayoongozwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imefanya ziara ya mafunzo katika Halmashauri ya Dodoma ambayo inaongozwa...
By Danson KaijageJanuary 25, 2020WAMILIKI wa Asasi zisizokuwa za kiserikali katika Jiji la Dodoma zimekubaliana kuwa zitakuwa zinawasilisha taarifa zao za kila robo ya mwaka kwa Afisa...
By Danson KaijageJanuary 25, 2020MTU wa karibu na msiri wa Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Abdul Kambaya amejiuzulu nafasi ya ukurugenzi wa Idara...
By Danson KaijageJanuary 23, 2020WAFANYABIASHARA wa soko la kuuza na kuchinja kuku lililopo Mwembe Tayari, jijini Dodoma wametakiwa kufanya biashara hiyo kwa kuzingatia kanuni na sheria za usafi. Anaripoti...
By Danson KaijageJanuary 21, 2020MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Benilth Mahenge, ameongoza mamia ya waombelezaji katika mazishi ya Twaha Mwaya, aliyekuwa Katibu wa Baraza la Waislamu...
By Danson KaijageJanuary 21, 2020MGANGA Mkuu wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Dk. Gatete Mahava ametoa onyo kwa wafanyabiashara wote wanaouza chakula au matunda karibu na vyoo...
By Danson KaijageJanuary 15, 2020WAGANGA 40 wa tiba asili na tiba mbadala, wametapeliwa kiasi cha Sh. 5.2 Mil na watu waliojifanya kuwa viongozi wa Baraza la Tiba...
By Danson KaijageJanuary 14, 2020JOSEPH Roman Selasini, Mbunge wa Rombo (Chadema), amejiuzulu nafasi ya unadhimu wa Kambi ya Upinzani bungeni. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Selasini amechukua hatua...
By Danson KaijageJanuary 13, 2020CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kati kimeeleza dhamira yake ya kuongoza Jiji la Dodoma. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Lazaro...
By Danson KaijageJanuary 13, 2020KAMATI za Kudumu za Bunge la Jamhuri, zinatarajiwa kuanza Jumatatu ya tarehe 13 – 24 Januari, 2020 jijini Dodoma, kabla ya Mkutano wa Kumi...
By Danson KaijageJanuary 10, 2020BARAZA la Mitihani nchini (Necta), limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la nne, Kidato cha Pili na Nne leo tarehe 9 Januari 2020. Anaripoti...
By Danson KaijageJanuary 9, 2020SERIKLI imesema, imeweka mikakati ya kuhakikisha inawawezesha na kuwajengea uwezo wakandarasi wazalendo, ili waweze kutekeleza miradi mikubwa badala ya kusubiri wakandarasi wa kigeni. Anaripoti...
By Danson KaijageJanuary 8, 2020JESHI la polisi Mkoa wa Dodoma limetoa ufafanuzi juu ya kifo cha Ustadhi Rashid Ally Musa maarufu kwa jina la Rashid Ramadhani Bura...
By Danson KaijageDecember 27, 2019WAKAZI zaidi ya 300 katika Mkoa wa Dodoma wametapeliwa na Umoja wa Vikundi vya Vikoba Tanzania (VIGUTA) kwa kuwachangisha fedha kwa nia ya...
By Danson KaijageDecember 26, 2019MLANGO wa ajira umefunguliwa kwa vijana waliomaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), na kufanya kazi ya kujitolea kwa miaka miwili. Anaripoti Dandon...
By Danson KaijageDecember 24, 2019SERIKALI imetoa onyo kutokana na kushamiri kwa vitendo vya rushwa ya ngono katika vyuo vya elimu ya juu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....
By Danson KaijageDecember 24, 2019WAKATI Tanzania ikielekea kwenye ujenzi wa uchumi wa kati, serikali imeonesha hofu juu ya kupungua kwa fedha za misaada kwa ajili ya miradi...
By Danson KaijageDecember 21, 2019ZAIDI ya wakulima 26 wa zabibu wameilalamikia kampuni ya Dane Holdings Limited ya Nkulabi Village kwa kutowalipa fedha zao zaidi ya Sh. 200...
By Danson KaijageDecember 19, 2019JESHI la polisi nchini limesema kuwa makosa makubwa ya jinai yamepungua kwa asilimia 2.0 ambapo ni sawa na makosa 1,082 kwa kipindi cha...
By Danson KaijageDecember 19, 2019