Categorizing posts based on content
MATOKEO ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2022 yanaonesha kuwa ufaulu wa watahiniwa katika masomo yote uko juu ya wastani...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2022BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA) leo Alhamisi limetangaza matokeo ya darasa la saba ambapo jumla ya watahiniwa 1,730,402 kati ya watahiniwa...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2022MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Jakaya Kikwete ametaka utafiti ufanyike ili kujua kwa nini idadi ya wanaume...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2022MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Jakaya Kikwete, ametaka utafiti ufanyike ili kujua kwa nini idadi ya wanaume...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2022ALIYEKUWA Rais wa China, Jiang Zemin, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 96 kutokana na matatizo ya saratani ya damu na...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2022WAKULIMA wa mpunga kutoka wilayani Mbarali mkoani Mbeya, Ihefu FC wameivunja rekodi ya Mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC. ya kutofungwa...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2022SPIKA Mstaafu ambaye ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki (HKMU), Anne Makinda anatarajiwa kuwatunuku wahitimu 291 wa masomo mbalimbali kwenye mahafali...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2022KATIBU wa Chama cha Kikomunisti cha Xinjiang, Ma Xingrui alifanya ziara katika mji mkuu Urumqi kaskazini-magharibi mwa China ambako maandamano ya kupinga...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2022BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) ambayo ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League jana ilikabidhi...
By Gabriel MushiNovember 28, 2022Kenyan financial product Spark Money, built by wealth management startup Dvara, walked away with the first prize at the Huawei Developers Competition (HDC)...
By Mwandishi WetuNovember 26, 2022MAPITIO ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 na Mitaala ya Elimu Msingi yamekamilika na yanasubiri mchakato wa ndani ya...
By Mwandishi WetuNovember 25, 2022SERA ya udhibiti ugonjwa wa Uviko-19 nchini China imetajwa kuwa sababu ya kudorora uzalishaji kwenye viwanda na kupelekea kampuni za Marekeni kuanza...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2022MAHAKAMA Kuu ya Rufaa nchini Afrika Kusini jana tarehe 21 Novemba, 2022 imesema Rais wa zamani wa taifa hilo, Jacob Zuma, alipewa...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2022JESHI la Rwanda limedai kumuua mtu anayeaminiwa kuwa mwanajeshi kutoka nchi jirani ya DRC, katika Wilaya iliyopo mpakani ya Rubavu. Tukio hilo limejiri...
By Gabriel MushiNovember 20, 2022JUMUIYA ya Afrika Mashariki imesema Rais wa zamani wa Kenya Uhuru Kenyatta na Rais wa Rwanda Paul Kagame wamekubaliana juu ya haja...
By Mwandishi WetuNovember 19, 2022JOPO la ngazi ya juu la Umoja wa Mataifa tarehe 26 Oktoba lilishutumu ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu unaoendelea Beijing katika...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2022WAKATI kura za uchaguzi wa bunge hazijamalizika kuhesabiwa, rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump ametangaza nia ya kugombea urais kwa mara...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2022RAIS wa shirikisho la kandanda duniani, Gianni Infantino ametoa wito wa kusitishwa kwa muda wa mwezi mmoja vita kati ya Urusi na...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2022BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) ambaye ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara (NBC Premier League) imesisitiza kuhusu...
By Gabriel MushiNovember 15, 2022JUMLA ya watuhimiwa 11 wamekamatwa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) ikiwamo Kocha wa makipa wa Klabu ya...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2022TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imesaini mkataba wa ushirikiano na chuo Kikuu cha Jagiellonian nchini Poland, wenye lengo la kubadilishana ujuzi...
By Mwandishi WetuNovember 14, 2022SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Dk. Tulia Ackson Mwansasu, ameitaka serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA), kuangalia upya utaratibu wa mashirika...
By Mwandishi WetuNovember 14, 2022RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa “atajiuzulu” iwapo atashtakiwa kwa madai ya kuficha wizi katika shamba lake la kibinafsi, kulingana na msemaji...
By Mwandishi WetuNovember 14, 2022VIONGOZI wa Marekani na China wamekutana katika hatua ambayo inalenga kutuliza joto la mzozo kati ya nchi zao. Anaripoti Mwandishi Wetu kwa...
By Mwandishi WetuNovember 14, 2022BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefungua dirisha la rufaa ndani ya siku saba kwa wanafunzi ambao hawakuridhika na...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2022KLABU ya Soka la Yanga imeibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu Bara...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2022WATAHINIWA 566,840 wa kidato cha nne nchini Tanzania wanatarajia kuanza mitihani yao ya Taifa kesho Jumatatu tarehe 14, Novemba, 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Gabriel MushiNovember 13, 2022SERIKALI imevitaka vyuo kuzingatia mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi vyuoni ili kuondoa malalamiko kutoka kwa waajiri kwamba wahitimu wengi wanahitimu bila kuwa na...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2022WAHASIBU na Wakaguzi wa Hezabu nchini wametakiwa kuweka mbele maslahi ya umma, kuwa waadilifu na kuzingatia maadili na sheria zinazowaongoza kwenye kazi zao...
By Mwandishi WetuNovember 11, 2022MUSWADA wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote, umeshindwa kusomwa kwa mara ya pili bungeni jijini Dodoma, kutokana na mhimili huo...
By Regina MkondeNovember 11, 2022MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imepongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kwa kuanzisha klabu ya kodi kwa wanafunzi wanaosoma kwenye chuo hicho...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2022SHAMBULIO dhidi Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan, Imran Khan latoa taswira ya vugugugu na mgawanyiko nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). ...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2022MSANII wa kizazi kipya, Jay meleody akitumbuiza kwenye tamasha la Full moon party katika hoteli ya Kendwa Rocks visiwani Zanzibar wikiendi iliyopita. Anaripoti...
By Gabriel MushiNovember 10, 2022VIUNGO washambuliaji Clatous Chama raia wa Zambia (Simba) na Stephane Aziz Ki raia wa Burkina Faso (Yanga), wamefungiwa mechi tatu kila mmoja...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2022SERIKALI ya Tanzania imekamikisha rasimu ya marekebisho ya sera ya elimu, ambayo hivi karibuni itatolewa ili wadau kutoa maoni kwa ajili ya kuiboresha...
By Gabriel MushiNovember 6, 2022MBUNGE wa Bukoba Vijijini, Dk. Jasson Rweikiza, amesema mwanafunzi ambaye atafiwa na wazazi wake wakati akiendelea na masomo kwenye shule yake ya St...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2022SHIRIKA la Uzashaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa SUMAJKT imekabidhi jozi 500 za viatu vya wanafunzi kwa ajili ya kusaidia kampeni...
By Faki SosiNovember 4, 2022WADAU wa ubunifu wa teknolojia katika masuala ya kilimo, fedha na elimu wamekutana jijini Dar es Salaam kubadilishana uzoefu ili kukuza bunifu...
By Faki SosiNovember 3, 2022TIMU ya watoto ya Mgusu Machinjioni imefanikiwa kutwaa taji la GGML- Toto Cup baada ya kuifunga timu ya Elimu Uwangani kwa jumla ya...
By Gabriel MushiNovember 2, 2022SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ameitaka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), ifike mbele ya Kamati ya...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2022CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeandaa kongamano la maendeleo ya biashara na uchumi ambalo linatarajaiwa kufunguliwa na Rais wa Zanzibar Dk. Hussein...
By Kelvin MwaipunguOctober 31, 2022JESHI la Polisi nchini Sri Lanka limeanzisha uchunguzi kuhusu udanganyifu mpya wa fedha ambao hadi sasa umehusisha utapeli wa Sh bilioni 14 huku...
By Gabriel MushiOctober 30, 2022BAO la mkwaju wa penalti ambalo limefungwa na winga machachari, Bernard Morrison wa klabu ya Yanga katika dakika ya 45 limetosha kuwaandikia Wana-jangwani...
By Gabriel MushiOctober 29, 2022WATAALAM kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya barani Ulaya (EMA) wameonya kuwa baadhi ya chanjo za Covid 19 zinaweza kusababisha akina...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2022IMEELEZWA kuwa Paul Pelosi, mume wa Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani, Nancy Pelosi, amepata nafuu kutokana na upasuaji baada ya...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2022JUMLA ya watumishi wa afya 139 wamechaguliwa kwaajili ya kupewa ufadhili wa masomo ya ubingwa na ubingwa bobezi katika fani zao. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2022KATIKA jitihada za kuunga mkono serikali ya awamu ya sita katika kukabiliana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza, Hospitali ya KAM Musika ya Kimara...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2022LUTENI Jenerali, Muhoozi Kainerugaba, mtoto wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema baba yake ameruhusu kufanyika kwa kongamano la vijana wazalendo, lenye...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2022WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohammed Mchengerwa amesema Wizara hiyo inaandaa mpango mkakakati kuhakikisha 2030 Tanzania inashiriki kombe la Dunia, huku...
By Seleman MsuyaOctober 28, 2022TANZANIA imekuwa mwenyeji wa mashindano ya dunia ya utanashati, urembo na mtindo ya watu wenye tatizo la kusikia ‘viziwi’ (Miss & Mister...
By Faki SosiOctober 27, 2022