November 30, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Chama, Aziz Ki wafungiwa, Yanga wapigwa faini milioni 5

Spread the love

 

VIUNGO washambuliaji Clatous Chama raia wa Zambia (Simba) na Stephane Aziz Ki raia wa Burkina Faso (Yanga), wamefungiwa mechi tatu kila mmoja kwa makosa ya kukwepa kusalimiana na wachezaji wa timu pinzani kabla ya kuanza kwa mechi kati ya Simba na Yanga uliopigwa tarehe 23 Oktoba, 2022.

Pia timu ya Yanga imetozwa faini ya Sh milioni tano kila moja kwa kosa la kuingia chumba cha kuvalia kupitia mlango usio rasmi kuelekea mchezo huo uliofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

 

error: Content is protected !!