VIONGOZI wa nchi za Afrika Mashariki wametoa wito wa kusitisha mapigano pamoja na uhasama kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kwa...
By Masalu ErastoJune 21, 2022VIKOSI vya Jeshi la Kanda ya Afrika Mashariki, vinatarajiwa kutumwa mara moja katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kwa ajili...
By Mwandishi WetuJune 16, 2022TAASISI ya Utafiti wa Virusi nchini Uganda (UVRI), imetangaza kuwaweka katika uangalizi maalumu watu sita, wanaoshukiwa kuwa na ugonjwa wa Monkeypox. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 11, 2022KAMPENI za Uchaguzi Mkuu nchini Kenya zimeendelea kutimu vumbi huku Mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha Roots, Profesa George Wajackoyah...
By Mwandishi WetuJune 11, 2022WAZIRI mkuu wa Uingereza, Boris Johnson aponea chupu chupu kuondoka madarakani, kufuatia kura ya kutokuwa na imani naye kushindwa kufaulu. Anaandika Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 7, 2022MWENYEKITI wa Umoja wa Afrika (AU), Macky Sall ambaye pia ni Rais wa Senegal amemtaka Rais wa Urusi, Vladimir Putin kuchukua hatua kutoka...
By Gabriel MushiJune 4, 2022MAREKANI itaitumia Ukraine mifumo ya juu zaidi ya roketi kuisaidia kujilinda, Rais Biden ametangaza. Kwa mujibu wa BBC silaha hizo, zilizoombwa kwa muda...
By Mwandishi WetuJune 1, 2022VIONGOZI wa mataifa ya Umoja wa Ulaya wamekubaliana kupiga marufuku uingizaji wa hadi theluthi mbili ya mafuta kutoka Urusi ifikapo mwishoni mwa...
By Mwandishi WetuMay 31, 2022WAZIRI Mkuu wa Canada, Justin Trudeau amesema serikali yake itapeleka muswada bungeni kuweka zuio la nchi nzima kwa watu kumiliki bastola pamoja...
By Mwandishi WetuMay 31, 2022TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya (IEBC) imewaondoa wanasiasa 11 kushiriki katika kinyang’anyiro cha urais wa nchi hiyo unaotarajiwa kufanyika...
By Mwandishi WetuMay 24, 2022MAHAKAMA nchini Misri imemhukumu tajiri mkubwa Mohamed El Amin kifungo cha miaka mitatu jela, kwa kuhusika katika biashara haramu ya kusafirisha binadamu...
By Mwandishi WetuMay 24, 2022MWANADIPLOMASIA kutoka nchini Urusi Borisi Bondarev, ameacha kazi kupinga vita vya umwagaji damu usiokuwa na msingi ulioanzishwa na Putin dhidi ya Ukraine....
By Masalu ErastoMay 24, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, kimeishauri Serikali kutowateua wanajeshi katika nafasi za uongozi wa umma, ili kuwatenga na siasa. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuMay 20, 2022MWANAFUNZI Lawrence Murimi mwenye umri wa miaka 14, anayetaka kujiunga na kidato cha kwanza katika shule ya Upili ya Kangaru kaunti ya...
By Masalu ErastoMay 19, 2022ALIYEKUWA rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan ametangaza kuwania urais wa taifa hilo na kubadili mpango wa awali wa kutowania tena wadhifa huo. Anaripoti...
By Gabriel MushiMay 18, 2022HOSPITALI ya Kitaifa ya Abuja nchi Nigeria imekanusha madai kuwa maiti ya mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili, Osinachi Nwachukwu, ilikuwa ikiimba ‘Ekwueme’...
By Gabriel MushiMay 18, 2022KUNDI la muziki kutoka nchini Kenya , linalofahamika kwa jina la Sauti Sol, limetishia kushitaki kampeni za urais za Waziri Mkuu wa...
By Masalu ErastoMay 17, 2022VIONGOZI magwiji wa soka na nyota wa Hollywood wanakutana leo,katika jiji la Kisumu kando ya Ziwa Victoria nchini Kenya,kwaajili ya Kongamano la...
By Masalu ErastoMay 17, 2022RAIS wa Ukraine Volodymyr Zelensky, amesema kuwa wanafanya kila wawezalo kuhakikisha wanawaondosha wanajeshi wao, waliojeruhiwa katika jimbo la Mariupol. Anaripoti Rhoda Kanuti kwa...
By Gabriel MushiMay 16, 2022TAKRIBANI majenerali 35 wanatarajia kustaafu kutoka jeshi la Uganda (UPDF) mwezi Julai, kulingana na orodha iliyochapishwa na gazeti lakibinafsi nchini humo. Anaripoti Rhoda...
By Gabriel MushiMay 16, 2022KIJANA mmoja kutoka mji wa Buffalo, New York anayefahamika kwa jina na Payton Gendron mwenye umri wa miaka 18, amefyatua risasi kwa makusudi...
By Gabriel MushiMay 16, 2022HATIMAYE mpeperusha bendera wa Muungano wa Azimio la Umoja-katika Uchaguzi Mkuu nchini Kenya, Raila Odinga amemtangaza Martha Karua kama mgombea mwenza wake. Anaripoti...
By Gabriel MushiMay 16, 2022MGOMBEA urais wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya kupitia Muungano wa Azimio, Raila Odinga anatarajiwa kumtaja mgombea mwenza leo katika mkutano wa hadhara utakaofanyika...
By Gabriel MushiMay 15, 2022MTAWALA wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan amechaguliwa rasmi kuwa rais leo tarehe 14 Mei,...
By Mwandishi WetuMay 14, 2022RAIS wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa,ameyataka mashirika ya kimataifa na mashirika ya wafadhili kununua chanjo za Covid 19 kutoka kwa wazalishaji wa...
By Mwandishi WetuMay 13, 2022KOREA KASKAZINI imetangaza amri ya kutotoka nje nchi nzima,baada ya kudhibitika kwa maambukizo ya kwanza ya Covid 19. Anaripoti Rhoda Kanuti kwa...
By Masalu ErastoMay 12, 2022RAIS Sauli Niinisto na Waziri Sanna Marin wa Finland wametoa wito kwa nchi hiyo kuomba uanachama wa Nato. Anaripoti Rhoda Kanuti kwa...
By Masalu ErastoMay 12, 2022CHUO cha Maendeleo ya Ujuzi, Ufundi na Viwanda (Furahika Education) la Jijini Dar es salaam kimetangaza nafasi za masomo ya ufundi bure kwa...
By Gabriel MushiMay 12, 2022KIONGOZI wa Korea Kaskazini Kim Un ametuma salamu za pongezi kwa Rais VIadimir Putin baada ya kusherekea Siku ya Ushindi ya Urusi...
By Mwandishi WetuMay 10, 2022ALIYEKUWA Rais wa zamani wa Nigeria Gooluck Jonathan, kupitia chama cha tawala cha People’s Democratic Party (PDP), amejitosa tena kuwania kurejea madarakani...
By Masalu ErastoMay 10, 2022KIONGOZI wa Upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine,anatarajia kuwa mgeni maalum katika kiakao cha Baraza Kuu la Chadema litakalofanyika...
By Masalu ErastoMay 9, 2022SHIRIKA la Utangazaji la Uingereza (BBC) limemtangaza Ncuti Gatwa mwenye umri wa miaka 29 , mzaliwa wa Nyarugenge mjini Kigali, Rwanda kuchukua...
By Masalu ErastoMay 9, 2022GAVANA wa Benki Kuu ya Nigeria (CBN), Godwin Emefiele amejitosa katika kinyang’anyiro cha kuteuliwa na chama cha All Progressive Congress kuwa mgombea...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk leo tarehe 5 Mei, 2022 amempokea Katibu Mkuu...
By Gabriel MushiMay 5, 2022CHAMA cha Conservative kutoka nchini Uingereza kimemsimamisha uanachama Mbunge wa Jimbo la Tiverton na Honiton, Neil Parish baada ya kubambwa akitazama video za...
By Gabriel MushiApril 30, 2022RAIS wa Urusi, Vladimir Putin na Volodymyr Zelensky wa Ukraine ambao ni mahasimu kutokana na vita inayoendelea kati ya nchi hizo mbili, wanatarajiwa...
By Gabriel MushiApril 30, 2022MAHAKAMA nchini Rwanda imemhukumu Sadate Musengimana, kifungo cha miaka mitano jela kwakosa la kumuua nguruwe msikitini. Anaripoti Rhoada Kanuti kwa msaada wa...
By Masalu ErastoApril 28, 2022RAIS Uhuru Kenyatta wa Kenya, ametoa wito kwa makundi mbalimbali nchini DRC Congo yenye silaha kuweka chini silaha zao, na kufanya kazi...
By Masalu ErastoApril 28, 2022KAMPUNI ya Gazprom, ambayo ni msambazaji mkuu wa gesi asilia nchini Urusi imesitisha usambazaji wa gesi kwa nchi za Bulgaria na Poland,...
By Mwandishi WetuApril 27, 2022MAMLAKA ya Sweden imemrejesha Jean Paul Micomyiza mjini Kigali mwenye umri wa miaka 50,raia wa Rwanda aliyekamatwa nchini Sweden mnamo Novemba mwaka...
By Mwandishi WetuApril 27, 2022WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Liz Truss amesema kwamba Uingereza na mataifa mengine yenye nguvu ya Magharibi yabap0aswa kutoa ndege...
By Masalu ErastoApril 27, 2022MAKAMU wa Rais wa Marekani, Kamala Harris imebainika ameambukizwa virusi vya Corona licha ya kupatiwa dozi zote mbili za chanjo ya Covid –...
By Gabriel MushiApril 27, 2022SHIRIKA la misaada ya kimatibabu la madaktari wasio na mipaka (MSF) linasema kuwa watu watatu wameuawa ndani ya hospitali katika eneo la...
By Masalu ErastoApril 26, 2022MSEMAJI wa Ikulu ya White House anayefahamika kwa jina la Jen Psaki amesema kuwa Marekani imekanusha katika taarifa siku ya jumatatu tarehe...
By Masalu ErastoApril 26, 2022MUASISI wa kampuni ya magari ya Tesla, Elon Musk ambaye pia ni tajiri namba moja duniani, amenunua kampuni ya mtandao wa kijamii...
By Masalu ErastoApril 26, 2022MFUMANIA nyavu wa zamani wa Chelsea na timu ya Taifa ya Ivory Coast, Didier Drogba amebwagwa kwenye kinyang’anyiro cha urais wa Shirikisho...
By Mwandishi WetuApril 24, 2022MWANAWE Rais Yoweri Museveni, Muhoozi Kainerugaba ametoa orodha ya watu mashuhuri ambao watahudhuria hafla ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo atafikisha umri...
By Gabriel MushiApril 20, 2022MWANARIADHA wakike amepatikana ameuawa huko Iten mji wa Kenya ,ambapo mwanariadha wa Olimpiki Agnes Tirop aliuawa miezi sita iliyopita polisi wameripoti. Anaripoti...
By Masalu ErastoApril 20, 2022JAJI wa Mahakama moja katika jimbo la Florida nchini Marekani ameiondoa sheria ya uvaaji barakoa katika vyombo vyote vya usafiri nchini humo. Jaji...
By Gabriel MushiApril 19, 2022MSHAMBULIAJI wa Manchester United na staa namba moja duniani wa mpira wa miguu, Cristiano Ronaldo pamoja na mchumba wake Georgina Rodriguez wametangaza...
By Mwandishi WetuApril 19, 2022