May 27, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Finland kuomba uanachama wa NATO

Spread the love

 

RAIS Sauli Niinisto na Waziri Sanna Marin wa Finland wametoa wito kwa nchi hiyo kuomba uanachama wa Nato. Anaripoti Rhoda Kanuti kwa msaada wa Mashirika ya Kimataifa … (endelea).

Sauli Niinisto na Sanna Marin wamesema katika taarifa yao ya Pamoja kuwa, wanatarajia uamuzi huo kufanyiwa kazi katika siku chache zijazo.

Taarifa hiyo imejiri huku kukiwa na ongezeko kubwa la uungwaji mkono wa wazi kwa wanachama wa Nato, kufuatia uvamizi wa Urusi na Ukraine.

Hata hivyo fanland inampaka wa kilomita 1300 (maili 810) na Urusi

Mpaka sasa Finland ilikuwa nje ya Nato ilikuzuia , kuchukiza Jirani yake wa mashariki.

Aidha Finland itatangaza rasmi uamuzi wake jumapili tarehe 15 mei 2022, baada ya kupelekwa bungeni na kwa viongozi wengine wakuu wa kisiasa.

Taarifa hiyo imejiri huku kukiwa na ongezeko kubwa la uungwaji mkono wa wazi kwa wanachama wa Nato, kufuatia uvamizi wa Urusi na Ukraine.

Hata hivyo fanland inampaka wa kilomita 1,300 (maili 810) na Urusi

Mpaka sasa Finland ilikuwa nje ya Nato ilikuzuia, kuchukiza Jirani yake wa mashariki.

Aidha Finland itatangaza rasmi uamuzi wake jumapili tarehe 15 Mei 2022, baada ya kupelekwa bungeni na kwa viongozi wengine wakuu wa kisiasa.

error: Content is protected !!