Saturday , 27 April 2024

Habari Mchanganyiko

Habari Mchanganyiko

Kesi dhamana ya Wakili Madeleka: Mahakama yaipa Serikali siku tatu

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeipa Serikali siku tatu kuwasilisha kiapo kinzani katika kesi iliyofunguliwa na watetezi wa...

Habari Mchanganyiko

Kamati yaomba miradi ya maendeleo iliyozuiwa kurudishwa Ngorongoro

KAMATI ya kukusanya mapendekezo ya wananchi na wadau juu ya kumaliza mgogoro wa ardhi katika Hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha, imeiomba Serikali irudishe...

Habari Mchanganyiko

Dangote kuzalisha sukari Tanzania

  BILIONEA wa Nigeria, Aliko Dangote, anatarajiwa kuanza uwekezaji katika sekta ya sukari nchini Tanzania. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Mgodi wa Barrick wapigwa faini bilioni moja uchafuzi wa mazingira Mara

KAMPUNI ya Uchimbaji Mkubwa wa Madini ya Dhahabu wa Barrick kupitia mgodi wake wa Barrick North Mara umepigwa faini ya shilingi bilioni moja...

Habari Mchanganyiko

Vodacom, Smart Lab kutumia Mil 500 kuwapa shavu wajasiriamali

  KAMPUNI ya ya Mawasiliano ya simu za mikononi ya Vodacom Tanzania pamoja na Smart Lab imezindua mpango maalam wa kuwawezesha wajasiriamali wadogo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wanaohama Ngorongoro: Majaliwa atoa maagizo wizara 4

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameitaka wizara ya maliasili na utalii kuendelea kusimamia kwa ukaribu na kuhakikisha shughuli za ujenzi katika...

Habari Mchanganyiko

NMB yafuturisha wabunge, Spika Tulia akunwa na mikopo maalum

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson ameipongeza Benki ya NMB kwa hafla ya Iftari ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani iliyowaandalia...

Habari Mchanganyiko

Maandalizi sensa ya watu na makazi yamekamilika kwa asilimia 80

SERIKALI imesema Maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi inayotarajiwa kufanyika Agosti mwaka huu yamefikia hatua ya asilimia 80. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...

Habari Mchanganyiko

TRC kufanya majaribio SGR Dar-Moro, yatahadharisha wananchi

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC), linatarajia kuanza majaribio ya mifumo ya umeme wenye ukubwa wa Volti 25,000, kwenye njia ya Reli ya Kisasa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Watetezi haki za binadamu wafungua kesi ya dhamana kwa Madeleka

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC), wamefungua kesi ya kuomba...

Habari Mchanganyiko

Rais Dk.Mwinyi: Mwalimu Nyerere alisisitiza umuhimu wa siasa kujenga uchumi

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, amesema Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alisisitiza umuhimu wa siasa katika kujenga uchumi unaojitegemea na matumizi...

Habari MchanganyikoTangulizi

MGOGORO KKKT: Siri zaidi zafichuka, Askofu Shoo, Malasula …

  KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Konde, limemtaka Msajili wa Jumuiya za Kiraia nchini, kuacha “kuingilia mambo ya ndani...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mchina ahukumiwa miaka 20 jela kwa kuwachapa wafanyakazi viboko

MAHAKAMA nchini Rwanda imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela raia wa China kwa mashtaka ya mateso aliyowafanyia wanaume wanne aliokuwa akiwachapa huku wakiwa...

Habari Mchanganyiko

Familia Padri aliyefariki Dar, yafunguka

FAMILIA ya aliyekuwa Mkuu wa Wamisionari Afrika nchini Tanzania, Padri Francis Kangwa, imesema imepokea kifo chake kwa kuwa ni baraka na kwamba wanasherehekea...

Habari Mchanganyiko

Watuhumiwa kesi 147 za rushwa waachiwa huru

  SERIKALI imesema watuhumiwa wa kesi 147 za rushwa wameachiwa huru baada ya kutopatikana na hatia katika kipindi cha mwaka mmoja. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yapanda kwa nafasi saba hali ya rushwa

TANZANIA imepanda imepanda kwa nafasi 7 katika vipimo vya nchi zenye rushwa kutoka nafasi ya 94 mwaka 2020 hadi nafasi ya 87 mwaka...

Habari MchanganyikoTangulizi

Askofu Ruwa’ichi: Uchunguzi unaendelea kifo cha Padri Dar

ASKOFU Mkuu Yuda Thaddeus Ruwa’ichi, wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, amesema uchunguzi dhidi ya chanzo cha kifo cha aliyekuwa Mkuu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Bashungwa amuagiza Makala kusitisha zuio la bajaji, bodaboda Dar

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa amemuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es...

Habari Mchanganyiko

Wataka utafiti kubaini athari rushwa ya ngono kwa wanahabari

WADAU wa vyombo vya habari nchini Tanzania wameshauri utafiti ufanyike kuhusu hali ya unyanyasaji wa kingono mahali pa kazi, ili kujua ukubwa wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

CAG abaini ‘madudu’ kwenye majeshi

  MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) nchini Tanzania katika ukaguzi wake kwa mwaka 2020/21 amebaini udhaifu wa usimamizi, ufuatiliaji na ukiukwaji...

Habari Mchanganyiko

Sita wafariki dunia ajali iliyohusisha Noah na lori Arusha

  WATU sita (06) wamefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari Toyota Noah kugongana na lori aina ya scania katika...

Habari Mchanganyiko

‘Jambazi’ akiri kutumia ndumba kupora

  MTUHUMIWA wa ujambazi Mayala John (40) mkazi wa Kata ya Ludete, Katolo mkoani ameeleza mbinu ya uchawi wanayotumia kupora. Anaripoti Paul Kayanda,...

Habari Mchanganyiko

Ofisi ya Msajili aipiga ‘stop’ Umoja Party

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa ameagiza watu wanaofanya siasa kwa kutumia jina la Chama cha Umoja Party, kuacha kufanya shughuli hizo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kifo cha Padri Dar; Polisi wasema kuna dalili amejiua

SAKATA la kifo cha Padri Francis Kangwa (49) raia wa Zambia aliyekuwa Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Yohanne Paul II, iliyoko Mbezi Mshikamano...

Habari Mchanganyiko

COSTECH kumpiga jeki Kipanya, yalia wabunifu wengine kuingia mitini

TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imeunga mkono ubunifu wa gari la umeme la Mwandishi wa habari na mchoraji vibonzo maarufu...

Habari Mchanganyiko

Simulizi kifo cha Padri Dar, Polisi wasema…

UTATA umeibuka juu ya kifo cha Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Yohanne Paul II, iliyoko Mbezi Mshikamano, jijini Dar es Salaam, Padri Francis...

Habari Mchanganyiko

NMB yafuturisha Dar, Mufti Zubery atoa neno

  BENKI ya NMB nchini Tanzania, imefuturisha waumini wa Kiislamu jijini Dar es Salaam huku ikiwakumbusha kuutumia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kufanya tafakari...

Habari Mchanganyiko

Bajeti TARURA ni pasua kichwa

LICHA ya kuongezewa bajeti hadi kufikia Sh. 900.45 bilioni katika mwaka wa fedha 2021/22, hadi kufikia Februari 2022, Wakala wa Barabara za Vijijini...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa atoa maagizo kwa wenyeviti vijiji, vitongoji

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wenyeviti wa vijiji na vitongoji kutekeleza majukumu yao kwa uwazi, ikiwemo kuitisha mikutano ya wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mpango ataka kamati usuluhishi migogoro viongozi wa dini

  MAKAMU wa Rais, Dk. Phillip Mpango, ameshauri kamati za amani ziundwe kwa ajili ya kutatua migogoro inayoibuka katika nyumba za ibada. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Afrika Kusini yamshutumu Balozi wa Ukraine

AFRIKA Kusini imemshutumu Balozi wa Ukraine nchini humo, Liubov Abravitova kwa kutumia njia zisizo za kidiplomasia kuomba mazungumzo na Rais Cyril Ramaphosa. Hayo...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia mgeni rasmi kilele Mei mosi Dodoma

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho siku ya wafanyakazi dunian (Mei mosi) yatakayofanyika...

Habari Mchanganyiko

Bajeti TARURA 2022/23 yaongezeka kwa bilioni 120

WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), imetengewa bajeti ya kiasi cha Sh. 802.29 bilioni, katika mwaka wa fedha wa 2022/23, ikiwa...

Habari Mchanganyiko

TMA kutoa tuzo kwa waandishi wa habari

MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA), inatarajia kutoa tuzo kwa waandishi wa habari bora wa taarifa za hali ya hewa pamoja na...

Habari Mchanganyiko

Bajeti 2022/23 kutoa neema kwa wabunge, madiwani

MAKADIRIO ya Bajeti ya Wizara ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI, kwa mwaka wa fedha 2022/23, yanatarajia kutoa neema kwa wabunge, kutokana na kuongezwa kwa...

Habari Mchanganyiko

TAMISEMI waomba bajeti ya Sh trilioni 8.77

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ya Ofisi ya Raia (TAMISEMI), imeliomba Bunge kuwaidhinishia bajeti yake kwa mwaka wa...

Habari Mchanganyiko

Wasafirishaji washauriwa kubana matumizi badala ya kupandisha nauli

BARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA CCC), limeshauri wadau wa usafirsihaji kuziba mianya ya upotevu wa mapato ili...

Habari Mchanganyiko

Msanii Maunda Zorro afariki dunia

  MSANII wa muziki nchini Tanzania, Maunda Zorro amefariki dunia usiku wa jana Jumatano tarehe 13 Aprili 2022, kwa ajali ya gari. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Kupanda kwa bei ya nauli kwaibua mvutano, wamiliki watishia kusitisha huduma

MVUTANO umeibuka katika kikao cha wadau cha kujadili bei mpya za nauli kilichoitishwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), baada ya Baraza...

Habari Mchanganyiko

UWADAR wataka nauli Dar iongozeke kwa Sh 400

UMOJA wa Usafirishaji Abiria Mkoa wa Dar es Salaam, umependekeza bei ya nauli ipande kwa Sh. 400, ili kukabiliana na ongezeko la gharama...

Habari Mchanganyiko

LATRA yaanza kupokea maoni nauli za mabasi

MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imeanza kupokea maoni ya wadau juu ya nauli za mabasi, ili kutafuta nafuu ya changamoto ya upandaji...

Habari Mchanganyiko

URU wanyweshwa maji yenye matope, mradi uligharimu bilioni 2

OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imethibitisha kuwa Mradi wa Maji wa Mang’ana uliotekelezwa kwa ajili ya kusambaza maji...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mkandarasi aliyepewa kazi TPA ‘apiga cha juu’ bilioni 64

OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imebaini mkandarasi aliyepewa kazi ya kuongeza kina cha lango na sehemu ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

CAG aanika mabilioni yalivyochotwa TPA na kutafunwa Mwanza, ataka yarejeshwe

OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imebaini kiasi cha Sh bilioni 22.64 kilichohamishwa kutoka makao makuu ya Mamlaka ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Watano mbaroni kwa kukutwa na dawa za kulevya Uwanja wa Ndege Dar

WATU watano wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kikosi cha Viwanja vya Ndege Tanzania, kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

CAG: Bil 18.5/- zilizokusanywa na KADCO hazikupelekwa TRA

KIASI cha Sh 18.5 bilioni zilizokusanywa na Kampuni ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KADCO) kama malipo ya tozo za kutumia...

Habari Mchanganyiko

Ujenzi SGR Makutupora- Tabora kugharimu Sh 4.6 trilioni

  MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, amesema mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha Makutupora-...

Habari Mchanganyiko

Reli ya kisasa Tabora-Kigoma yanukia

  SERIKALI imesema ipo mbioni kuanza utekelezaji wa ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Tabora hadi Kigoma na hatimaye kuiunganisha na nchi za...

Habari Mchanganyiko

Shekhe ahukumiwa kwa kumwagia mtu majimoto

  MAHAKAMA ya Wilaya imemhukumu Shekhe wa Mkoa wa Katavi, Mashaka Nassoro ‘Kakukulu’ kifungo cha miezi sita jela au kulipa faini ya Sh...

Habari Mchanganyiko

Treni ya umeme kutoka Dar es Salaam -Morogoro kujaribiwa

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, amesema wiki ya mwisho ya mwezi Aprili, treni inayotumia umeme itatoka Dar es...

error: Content is protected !!