Friday , 3 May 2024
Home Habari Mchanganyiko ‘Jambazi’ akiri kutumia ndumba kupora
Habari Mchanganyiko

‘Jambazi’ akiri kutumia ndumba kupora

Spread the love

 

MTUHUMIWA wa ujambazi Mayala John (40) mkazi wa Kata ya Ludete, Katolo mkoani ameeleza mbinu ya uchawi wanayotumia kupora. Anaripoti Paul Kayanda, Geita … (endelea).

John alitoa ushuhuda huo siku chache baada ya kukamatwa na askari wa jeshi la jadi ‘sungusungu’ na kukiri kuwa huwa wanatumia dawa kupora.

Mtuhumiwa huyo alidai kuwa hutumia dawa ambazo huwasaidia katika kupora mali hasa usiku watu wakiwa wamelala.

John alidai kuwa hutumia dawa hiyo kuoga ili kusafisha nyota, kisha wanaendelea na uporaji huku akisisitiza kuwa dawa zipo na wataalamu wao wapo.

Mtuhumiwa huyo alisema hayo juzi tarehe 18 Aprili, 2022 katika mkutano wa hadhara ulioitishwa na viongozi wa vitongoji pamoja na mtaa wa Iudete ili wananchi hao wafike na kubaini mali zao zilizookolewa na Sungusungu, kutokana na msako mkali wa kuwasaka wahalifu hao.

Kwa taarifa zaidi jipatie nakala ya gazeti la Raia Mwema

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chadema waendelea kulilia katiba mpya

Spread the loveCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kudai upatikanaji wa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yang’ara maonesho OSHA

Spread the loveBenki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta...

Habari MchanganyikoKimataifa

Ruto amteua Kahariri kuwa mkuu wa majeshi

Spread the loveRAIS wa Kenya, William Ruto, amemteua Jenerali Charles Muriu Kahariri,...

Habari Mchanganyiko

Chongolo aonya viongozi vijiji kutouza NIDA kwa wageni

Spread the loveMKUU wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amewaonya viongozi wa...

error: Content is protected !!