Friday , 26 April 2024
Home danson
968 Articles60 Comments
Habari za Siasa

Kubenea ang’ata na kupuliza mpango wa Maendeleo ya Taifa

MBUNGE wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) amesema kuwa mpango uliowasilishwa leo na Waziri wa Fedha na Mipango kwa wabunge wote wa...

Habari za Siasa

Waziri Mkuu awachimba mkwara mawaziri wake

WAZIRI Mkuu Kassm Majaliwa amewataka mawaziri wote kuhakikisha wanahudhuria katika vikao vya kamati za kudumu za bunge. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Bajeti 2019/20 yasheheni mipango lukuki

KATIKA mwaka wa fedha wa 2019/20 Serikali inakusudia kutumia bajeti ya shilingi tilioni 33,105.4 tofauti na bajeti mwaka wa fedha wa 2018/19 ambayo...

Habari Mchanganyiko

Wasonga atamani kuvaa viatu vya Fatma Karume

WAKILI wa Kujitegemea Godfrey Wasonga ametangaza nia yake ya kugombea nafasi ya Urais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) huku akitangaza kufanya ushawishi...

Habari za Siasa

Kamati za Bunge kufanya mapitio Bajeti 2019/20

KAMATI za Bunge la Jamhuri zitaanza kuketi leo tarehe 12 Machi 2019 kufanya kazi mbalimali ikiwa ni pamoja na kupitia matumizi ya Fedha...

Habari za SiasaTangulizi

UVCCM wamnanga Lowassa

WAKATI wengine wakimtete Edward Lowassa, aliyekuwa mgombea urais kupitia Chadema kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 na kuamua kuhamia CCM tarehe 1 Machi 2019, Umoja...

Habari MchanganyikoTangulizi

Askofu akemea ‘wachungaji feki’ wanaoharibu Ukristo

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Light House Christian Center Dar es Salaam, Dk. Rejoice Ndalima amewakemea baadhi ya watu ambao wanajiita watumishi wa...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mahenge: Kupandisha bei hakutawasaidia

MKUU wa mkoa wa Dodoma, Dk. Binilith Mahenge amewataka wafanyabiashara wa Dodoma kufanya biashara zao kwa malengo ya kujiongezea kipato kwa njia harari...

Habari Mchanganyiko

Wakulima Dodoma wadai kucheleweshewa fidia

WAKULIMA zaidi ya 70 wa kata ya Mtumba jijini Dodoma ambao maeneo ya yalipimwa na ofisi ya jiji bila kushirikishwa wanadai kitendo cha...

Habari Mchanganyiko

Wafanyabiashara Dodoma waonywa

WAFANYABISHARA  wa soko kuu la Majengo jijini hapa wameonywa kutowachagua viongozi wenye kuhamasisha migogoro ndani ya soko. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Habari za Siasa

Jiji la Dodoma latenga bajeti ya Bil 180

HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imepitisha bajeti ya Sh. 180 bilioni kwa lengo la utekelezaji wa shughuli za Halmashauri kwa Mwaka ujao wa...

Elimu

Serikali yatangaza ajira za walimu 4,500

SERIKALI imetangaza kuajiri walimu 4,549 wa shule za msingi na sekondari katika mwaka wa fedha 2018/19 ili kupunguza uhaba wa walimu ulipo nchini....

Habari za Siasa

Serikali za Mitaa zaonywa matumizi ya fedha

MAMLAKA za Serikali za Mitaa nchini zimetakiwa kuhakikisha kuwa fedha zote zinazokusanywa katika mapato zinawekwa benki na fedha hizo zitumike katika kutekeleza matumizi...

Habari Mchanganyiko

Maji yawakimbiza watumishi Chamwino

WATUMISHI wa Zahanati ya Ikowa katika wilaya ya Chamwino wamekimbia kituo chao cha kazi kutokana na ukosefu wa maji. Anaripoti Danson Kaijage, Chamwino...

Elimu

Walimu walalama kufanya kazi wikiendi

CHAMA cha walimu Wilayani Chamwino mkoani Dodoma (CWT), kimelalamikia walimu kufanyishwa kazi siku za mwisho wa wiki (wikiendi) bila malipo wala chakula kinyume...

Habari Mchanganyiko

CWT yalalamikia Wilaya Chamwino kunyanysa walimu

CHAMA cha Walimu Chamwino mkoani Dodoma (CWT) kimelalamikia walimu kufanyishwa kazi siku za mapumziko ya mwisho wa wiki bila malipo. Anaripoti Danson Kaijage,...

Habari za Siasa

Viongozi Serikali ya mitaa watakiwa kushirikiana na wananchi

MBUNGE wa Bahi, Omary Badwel (CCM) amewataka viongozi wa serikali za mitaa kujenga tabia ya kuwashirikisha wananchi wao pale wanapohitaji kuanzisha miradi mipya....

Habari Mchanganyiko

Kanisa kumfanyia maombi Rais Magufuli  

KANISA la Tanzania Fellowship imekusudia kufanya maombi maalumu ya siku nne ya kuliombea Taifa, Rais Dk John Magufuli  na watendaji wake kwa ajili ya...

Habari Mchanganyiko

Wabunge wadai orodha wakopaji matreka SUMA JKT

BAADHI ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri wamehoji lini serikali itaweka hadharani majina ya waliokopa matreka ili wajulikane? Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(Dodoam). Alhaji Abdallah...

Habari za Siasa

Mbunge Chadema akerwa maagizo ya JPM kupuuzwa

TABIA ya baadhi ya watendaji wa serikali kupuuza maagizo ya Rais John Magufuli kumemkera Mbunge wa Viti Maalum Chadema. Anaripoti Tibason Kaijage, Dodoma…(endelea). Devotha...

Habari za Siasa

Kubenea apigania kurejeshwa Kiwanda cha Urafiki

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema) ameihoji serikali kwamba, ni lini itafufua nakuwa imara zaidi Kiwanda cha Urafiki ili kifanye kazi kwa maslahi...

Habari za SiasaTangulizi

Njama za kumnyima mshahara wa ubunge Lissu hizi hapa

KUNA njama zinasukuwa na ofisi ya Bunge za kutomlipa mshahara, posho na stahiki nyingine, mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika...

Habari Mchanganyiko

Tanesco hoi kwa madeni

SHIRIKA la Ugavi wa Umeme la taifa (Tanesco), linakabiliwa na mzigo mkubwa wa madeni kutoka kwa makampuni ya kufua umeme. Hadi Januari mwaka...

Afya

Hospitali ya Benjamini Mkapa yaanza kutibu ugonjwa wa selimundu

MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Magonjwa ya Kibingwa ya Benjamini, Dk. Alphonce Chandika amesema, hospitali hiyo inatarajia kuanza kutibu ugonjwa wa selimundu kwa...

Habari Mchanganyiko

Mkakati wa serikali kwa bodaboda ni huu

SERIKALI imeainisha mikakati mitano inayofanya katika kuwajengea uwezo waendesha bodaboda ukiwemo faida za kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea)....

Habari za Siasa

Udhaifu vituo vya utafiti wamuinua Sugu bungeni

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) kutoka Chadema ameiomba serikali kueleza ni lini itatenga fedha za kutosha kwa ajili ya kufufua vituo...

Habari za Siasa

Sumaye, MO watibua hali ya hewa bungeni

SAKATA la kubadilishwa hati ya mashamba ya  makubwa ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye na Mfanyabiashara, Mohamed Dewji ‘MO’...

Habari za Siasa

King’ora cha hatari chazua taharuki Bungeni, wabunge wapagawa

SHUGHULI za Bunge limelazimika kusimama kwa muda baada ya kutokea hali ya taharuki ndani ya ukumbi wa bunge, baada ya kulia king’ola kinachoashiria...

Habari za Siasa

Ndugai amtisha Heche Tarime Vijijini

JOB Nduga, Spika wa Bunge la Jamhuri amemtisha John Heche, Mbunge wa Tarime Vijijini kwamba, uchaguzi mkuu ujao jimbo hilo litarudi CCM mapema....

Habari za Siasa

Mauaji ya watoto Njombe yasisimua Bunge, serikali kujieleza

BUNGE limeitaka serikali kuandaa na kutoa taarifa kuhusu mauaji yanayoendelea mkoani Njombe tangu kuanza kwa mwaka huu 2019. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Job Ndugai,...

Habari za Siasa

Serikali: Bei ya korosho ni 3,300 – 2,640

SERIKALI ya Jamhuri imeeleza kuwa, bei inayotumika kununua korosho za wakulima ni Sh. 3,300 kwa zile za gredi ya kwanza na 2,640 kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais wa TFF achafua hali ya hewa, Chadema wamvaa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesikitishwa na kauli ya ukakasi iliyotolewa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace...

Habari za Siasa

Shilingi ya Tanzania yaporomoka

SHILINGI ya Tanzania kwa kipindi kuanzia Julai hadi Novemba 2018 iliporomoka ambapo Dola ya Marekani ilibadilishwa kwa wastani wa Sh. 2,276 ikilinganishwa na...

Habari za Siasa

Deni la taifa lazidi kupaa

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imewasilisha taarifa ya mwaka kuhusu utekelezaji wa majukumu yake katika kipindi cha Januari, 2018 hadi Januari 2019...

Habari za Siasa

Kashfa za serikali zalikwaza Bunge

BUNGE la Tanzania limeonesha kutoridhishwa na namna serikali inavyotekeleza wajibu wake wa kupeleka fedha za miradi kama ambavyo inapaswa kuwa.Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Tril. 1.5 majibu ni haya

BUNGE limetoa ufafanuzi kuhusu ‘upotevu’ wa kisasi cha Sh. 1.5 trilioni zilizoelezwa kutojulikana matumizi yake katika Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa...

Habari za Siasa

Bunge: Wadaiwa matrekta ya SUMA JKT wabanwe

SERIKALI inatakiwa kuchukua hatua dhidi ya wanasiasa wakiwemo wale waliostaafu ambao wameshindwa kurejesha mikopo ya matrekta waliyopata kutoka Shirika la Uzalishaji Mali linaloendeshwa...

Habari za Siasa

Bunge lataka waliochota Mil 888 wote asakwe

BUNGE limeitaka serikali iwachukulie hatua za kisheria wote waliotajwa katika ubadhilifu wa posho ya resheni (posho ya chakula) ya jumla ya Sh 888.5 ...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai: Bunge limemlipa Lissu mamilioni

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri, ameueleza umma kuwa, Tundu Lissu ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki amelipwa Sh. 250 milioni na...

Habari za Siasa

Zitto ‘akoga’ mashambulizi ya Spika Ndugai 

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo leo tarehe 31 Januari 2019 ‘amekoga’ mashambulizi ya moja kwa...

Habari Mchanganyiko

Biteko aanza cheche, amsimamisha Afisa madini

WAZIRI wa Madini Dotto Biteko amefanya ziara ya kushtukiza katika ofisi ya kuchenjua madini iliopo eneo la Kizota mkoani hapa na kubaini madudu...

Habari za Siasa

Kamati ya Bunge yaonesha huruma kwa wananchi  

WABUNGE wamejadili na kupitisha miswada miwili ukiwamo wa Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini, huku kamati ya Bunge ikikataa kiwango cha adhabu na vifungo...

Habari Mchanganyiko

Mch. Msigwa amchongea Mkuu wa Mkoa kwa Lukuvi

MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) amemshitaki Ally Hapi, Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...

Habari Mchanganyiko

Mkakati wa kutokomeza ukatili wa watoto waiva

SERIKALI imesema kuwa inaandaa mpango kazi wa taifa wa kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto (2017/18-2121/22) ambao miongoni mwa shabaha zake ni...

AfyaHabari Mchanganyiko

Serikali yatenga Bil 4.5 kuisaidia hospitali ya Tarime

SERIKALI imesema kuwa jumla ya wananchi 367,985 wa halmashauri ya wilaya ya Tarime wanapata huduma za afya katika hospitali ya wilaya hiyo Tarime...

Habari Mchanganyiko

Wauaji wa watoto Njombe wabainika

SERIKALI imesema tayari vyombo vya usalama vimeshawabaini watu wanaodaiwa kutekekeza mauaji ya kikatili ya watoto 10 katika Wilaya ya Njombe ambayo yametokana na...

Habari za SiasaTangulizi

Muswada Vyama vya Siasa wapita, wazua sintofahamu

BUNGE la Jamhuri, jana tarehe 29 Januari 2019, limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa (2018), katikati ya msuguano mkali...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea, Zitto, waisambaratisha Serikali kwenye Muswada wa Vyama vya Siasa

MBUNGE  wa Ubungo (Chadema) Saed Kubenea amewavaa vigogo watatu wanasheria kuwa wamepeleka bungeni Muswada wa Marekebisho wa Vyama vya Siasa wa mwaka 2018,...

Habari za Siasa

Kubenea aikalia kooni Serikali Muswada wa Vyama vya Siasa

MBUNGE  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, amewavaa vigogo watatu ambao ni wanasheria nguli nchini kwa kupeleka...

SiasaTangulizi

CCM, UKAWA watafunana Muswada wa Vyama vya Siasa

WABUNGE kutoka chama tawala- Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wale kutoka vyama vya upinzani wameanza kumenyana kuhusu Muswada mpya wa Vyama vya Siasa...

error: Content is protected !!