Friday , 3 May 2024
Home mwandishi
8769 Articles1258 Comments
Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aonya taasisi, mashirika ya umma yanayokopa kutoa gawio

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema anataka kuona taasisi na mashirika ya umma yakichangia mfuko mkuu wa serikali kutokana na kipato kinachozalishwa kwa kutekeleza...

Kimataifa

Ongezeko la idadi ya wazee China latikisa

  IDADI ya raia walio na umri wa zaidi ya miaka 60 nchini China inatarajiwa kuongezeka kwa wastani wa milioni 10 ifakapo mwaka...

Habari za Siasa

Rais Samia amtumbua Katibu Mkuu Maji

Rais Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Taarifa...

Habari za SiasaTangulizi

Mwabukusi, Mdude nao waachiwa kwa dhamana

  HATIMAYE Wakili, Boniphace Mwabukusi na Kada wa Chasema, Mpaluka Saidi Nyangali maarufu kama ‘Mdude’ nao wameachiwa huru na Jeshi la Polisi mkoani...

Afya

RC Babu atoa wiki mbili ujenzi zahanati Siha ukamilike

MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Nurdin Babu ametoa wiki mbili kwa kamati ya ujenzi ya Jengo la Wagonjwa wa Nje (OPD), maabara na nyumba...

Biashara

NMB, Vodacom wazindua kampeni ya ‘Miliki simu – lipa mdogo mdogo’

BENKI ya NMB kwa kushirikiana na Vodacom na Google, wamezindua kampeni ya ‘Miliki Simu, Lipa Mdogo Mdogo’, inayowezesha watanzania wa kipato cha chini...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa: Sitarudi nyuma, nimetimiza wajibu wangu

  BALOZI Dk. Willibroad Slaa leo Ijumaa amesema kitendo cha polisi kumkamata kinguvu tarehe 13 Agosti 2023 kisha kutuhumiwa kwa uhaini, hakitamrejesha nyuma...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa aionya Serikali marekebisho sheria ya rasilimali asilia

  BALOZI Dk. Willibroad Slaa amedai kuwa katika Mkutano wa 12 wa Bunge unaotarajiwa kuanza tarehe 29 Agosti 2023, iwapo marekebisho ya muswada...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa aachiwa kwa dhamana, Mwabukusi, Mdude kitendawili

HATIMAYE Balozi Dk. Wilbroad Slaa leo Ijumaa mchana ameachiwa huru baada ya kutimiza masharti ya dhamana aliyoagizwa na Jeshi la Polisi Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa asafirishwa usiku Dar, Polisi waita wadhamini

WAKILI Dickson Matata amethibitisha kuwa Balozi Dk. Wilbroad Slaa amerejeshwa Dar es Salaam na kutakiwa kuwa na wadhamini wawili wenye barua za utambulisho...

Kimataifa

Ajichoma moto kisa ugumu wa maisha

MTU mmoja mkazi wa Kaunti ya Mombasa nchini Kenya amelazwa katika Hospitali Kuu ya Pwani nchini humo baada ya kupata majeraha baada ya...

Habari za Siasa

Kamati Kuu CCM yamteua Bahati kuwa mgombea ubunge Mbarali

KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais Samia Suluhu Hassan, imemteua wa...

Habari za SiasaTangulizi

Wakili: Mwabukusi mgonjwa, ana mshono

WAKILI Philip Mwakilima ambaye anasimamia kesi inayomkabili ya Wakili Boniphace Mwabukusi na wenzie leo Alhamisi amesema mteja wake anaumwa hivyo Jeshi la Polisi...

Biashara

NMB yakabidhi mabati, samani za milioni 51 kwa shule 9 Ilala

KATIKA jitahada za kuunga mkono jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita kutatua changamoto kwenye Sekta ya Elimu, Benki ya NMB, imekabidhi misaada...

Biashara

Promosheni ya ‘Jipate na Infinix’ yazinduliwa, wateja kukopeshwa bila riba

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Infinix imezindua promosheni ya ‘Jipate na Infinix’  kampeni ambayo itakuwa ya kuda wa mwezi mmoja nchi nzima....

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Dk. Slaa na wenzake: Polisi kuburuzwa kortini

MAWAKILI wa Dk. Willibord Slaa na wenzake watatu, wako mbioni kufungua shauri Mahakama Kuu, Kanda ya Mbeya, kuomba amri ya kuwataka jeshi la...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia awapangia vituo mabalozi 3, Kipilimba, Migiro warejeshwa

RAIS Samia Suluhu Hassan amewapangia vituo vya kazi Mabalozi watatu na kumbadilishia kituo cha kazi Balozi mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Pia Balozi...

Habari za SiasaTangulizi

Nape adai Dk. Slaa, wenzie wamekamatwa kwa tuhuma za uhaini, si kukosoa mkataba DP World

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Dk. Willibrod Slaa, Boniface Mwabukusi na Mpaluka Nyangali ‘mdude’ wamekamatwa kwa tuhuma...

Habari Mchanganyiko

Askari waliotimiza miaka 18 kazini watoa msaada zahanati ya DP

ASKARI wa Jeshi la Polisi kutoka chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam wametoa msaada wa vifaa Tiba katika Zahanati ya Jeshi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Jukwaa la wahariri lasikitishwa waandishi kushambuliwa, laonya wasiasa kuhamasisha vurugu

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limesikitishwa na tukio lililofanywa na vijana wa Kimasai (morani) zaidi ya 200 katika Kata ya Enduleni, wilayani Ngorongoro...

Biashara

NMB, ATCL wazindua bima ya safari kwa wasafiri wa ndege nchini

BENKI ya NMB na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), wamezindua ushirikiano wa kibiashara wa mifumo ya malipo ya tiketi za ndege unaowapa fursa...

Habari za SiasaTangulizi

Mabalozi mtegoni, Samia akerwa balozi aliyekataliwa kwa ugoigoi

RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka mabalozi wapya aliowaapisha leo Jumatano kuelekea kwenye vituo vyao vya kazi wakiwa wamekamilika kwa sababu muda wowote wanaweza...

Biashara

Kampuni ya sola ya d.light yazindua kampeni ya ‘Mwanga Wako, Mchongo Wako’

  KATIKA kampeni ya kuunga mkono jitihada za serikali kwenye matumizi nishati salama kimazingira, kampuni ya sola ya d.light Tanzania Limited imezindua kampeni...

Habari za SiasaTangulizi

Wakazi Mbeya washinikiza Mwabukusi, Slaa waachiwe huru

BAADHI ya wakazi wa jijini Mbeya wamepaza sauti zao kwa serikali na kuiomba iwaachie huru au kuwafikisha mahakamani Wakili Boniface Mwabukusi, Mpaluka Said...

Habari Mchanganyiko

Mashindano ya Polisi Jamii Cup DPA kuchangia damu

  JESHI la Polisi kupitia chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam (DPA) kimeandaa mashindano ya Polisi Jamii yatakayoshirikisha wananchi pamoja na...

Kimataifa

Mlinzi aliyehukumiwa kumuua mke wa rais kuachiwa huru

MLINZI aliyemuua Mke wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Marike De Klerk, Luyanda Mboniswa anatarajiwa kuachiliwa huru mwishoni mwa mwezi huu. Anaripoti...

Elimu

Wanafunzi 800 watumia madarasa 4

KUKOSEKANA kwa vyumba vya kutosha vya madarasa katika shule ya msingi ya Mamboya iliyopo Kijiji na kata ya Mamboya Tarafa ya Magole Wilayani...

Habari za SiasaTangulizi

Watetezi haki za binadamu walaani kukamatwa wanaopinga mkataba DP World

WADAU wa haki za binadamu nchini na mashirika ya kimataifa wamelaani kitendo cha kukamatwa kwa wanasiasa na wanaharakati wanaopinga mkataba ushirikiano wa kiuchimi...

Habari Mchanganyiko

NIC yatunukiwa cheti cha Superbrand kwa mafanikio sekta ya bima

  KATIKA jitihada za kutambua ufanis na utoaji wa huduma bora katika sekta ya bima nchini, Shirika la Bima la Taifa, NIC, imepokea...

Afya

Ummy Mwalimu aunda kamati kuchunguza malalamiko ya madaktari waliofelishwa

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu leo Jumatatu ametangaza ameunda Kamati huru yenye wajumbe 13 ili kuchunguza malalamiko ya madaktari watarajali (Intern Doctors) kuhusu...

Biashara

NMB yapata heshima ya Superbrands, yaweka rekodi

Benki ya NMB imetunukiwa cheti cha kuwa ‘Superbrand’, na kuifanya kuwa benki pekee iliyopata hadhi hiyo nchini Tanzania mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...

Habari Mchanganyiko

Ijue sheria: Hili ndilo kosa la uhaini

KWA mujibu wa kifungu cha 39 (1) cha Kanuni ya Adhabu (Penal Code), mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ya Muungano wa...

Kimataifa

Walinzi wa amani UN waondoka Mali

MALI imeendelea kuwa na usalama hafifu hali iliyolazimu Ujumbe wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa (MINUSMA) nchini humo, kuondoka leo...

Michezo

Mandonga nje miezi 6, kufanyiwa vipimo Muhimbili

BONDIA wa ngumi za kulipwa, Karim Mandonga anatarajiwa kufanyiwa kipimo cha kichwa baada ya kupata jeraha kutokana na kipigo alichokipokea tarehe 29 Julai...

Kimataifa

Jeshi kumfungulia mashtaka rais kwa uhaini

VIONGOZI wa mapinduzi ya kijeshi nchini Niger wametangaza kuwa na ushahidi wa kumshtaki rais aliyeondolewa madarakani na washirika wake wa ndani na nje...

Habari Mchanganyiko

SADC yajadili umuhimu wa rasilimali watu, fedha katika maendeleo ya viwanda

TAMKO la Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu uwekezaji katika Rasilimali Watu uliofanyika jijini Dar Es Salaam mwezi Julai 2023, litakuwa...

Habari Mchanganyiko

Wanakijiji wafufua ujenzi wa zahanati, mbunge achangia saruji 200

WANAKIJIJI cha Chimati, wilayani Musoma, Mkoa wa Mara, wamefufua ujenzi wa zahanati uliokwama tangu 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mara…(endelea). Kwa mujibu wa taarifa...

Habari za Siasa

Polisi watoa kauli madai mauaji Kibiti kuibuka tena

JESHI la Polisi nchini, limewataka wananchi wapuuze madai ya mauaji ya watu wilayani Kibiti Mkoa wa Pwani, kuibuka tena, likisema hali ni shwari....

Habari za SiasaTangulizi

Balozi Dk. Slaa naye adaiwa kukamatwa

BALOZI na Mwanasiasa maarufu nchini, Dk. Wilbroad Slaa anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi nyumbani kwake Mbweni jijiji Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Kikwete: Amani itawezesha nchi za SADC kujiamini, kusimamia haki

Rais Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema amani na usalama ni maneno yenye dhana pana tofauti na watu wengi wanavyoelewa kuwa amani na...

Kimataifa

Mafuriko yaua watu 29 Hebei China

  WATU 29 wamefariki na wengine 16 wamepotea kutokana na mafuriko yaliyotokea katika jimbo la Hebei nchini China. Imeripotiwa na Global Times …...

Elimu

Umahiri wa Kingereza wanafunzi Tusiime wamshangaza Ofisa Elimu Dar 

  UMAHIRI wa hali ya juu wa kumudu kuzungumza lugha ya kingereza kwa ufasaha ulioonyeshwa na wanafunzi wa shule ya msingi Tusiime umemfurahisha...

Habari MchanganyikoTangulizi

Polisi: Tumemkamata Mwabukusi, Mdude kwa mahojiano

Jeshi la Polisi nchini limethibitisha kuwakamata Wakili Boniface Mwabukusi na Mpaluka Said Nyagali maarufu kama Mdude kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi....

Kimataifa

Mkutano maandalizi ya uvamizi kijeshi Niger waahirishwa

Mataifa ya Afrika ya Magharibi yamesitisha mkutano muhimu wa kijeshi juu ya mzozo wa Niger ikiwa ni siku moja baada ya kusema maazimio...

Habari za SiasaTangulizi

Wakili Mwabukusi mbaroni, yumo pia Masonga na Mdude

MWANASHERIA mahiri nchini na Wakili wa kujitegemea, Boniface Mwabukusi amekamatwa na jeshi la Polisi. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali, akiwamo...

Habari za Siasa

Rais Samia awapangia vituo vya kazi mabalozi 10, Dk. Nchimbi arejeshwa nyumbani

RAIS Samia Suluhu Hassan amewapangia vituo vya kazi mabalozi wakiwemo mabalozi wateule sita aliowateua tarehe 10 Mei 2023 na kuwabadilisha vituo vya kazi...

Habari za SiasaTangulizi

IGP Wambura acharuka, asema kuna watu wanataka kuiangusha Serikali, “wasitikise kiberiti”

MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillius Wambura amesema kuna kundi la watu ambao wamepanga kuandaa maandamano nchi nzima ili kuiangusha Serikali ya...

Kimataifa

Moto waua 53 Marekani, watu wajitosa baharini

WATU zaidi ya 53 wamefariki duniani huku wengine zaidi ya 100 wakiripotiwa kupotea katika kisiwa cha Maui jimbo la Hawaii nchini Marekani kutokana...

Habari Mchanganyiko

Watendaji kata, vijiji wanolewa matumizi mfumo wa kihasibu

JUMLA ya watendaji 18 wa kata,  92 wa vijiji katika Halmashauri ya Wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wanatarajiwa kupatiwa mafunzo maalumu kuhusu matumizi...

Kimataifa

41 wafariki katika ajali ya Meli

AJALI ya meli iliyotokea karibu na nchi ya Italia kwenye kisiwa cha Lampedusa imesababisha vifo vya wahamiaji 41 huku wachache wakinusurika katika ajali...

error: Content is protected !!