UMAHIRI wa hali ya juu wa kumudu kuzungumza lugha ya kingereza kwa ufasaha ulioonyeshwa na wanafunzi wa shule ya msingi Tusiime umemfurahisha...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2023Jeshi la Polisi nchini limethibitisha kuwakamata Wakili Boniface Mwabukusi na Mpaluka Said Nyagali maarufu kama Mdude kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi....
By Mwandishi WetuAugust 12, 2023Mataifa ya Afrika ya Magharibi yamesitisha mkutano muhimu wa kijeshi juu ya mzozo wa Niger ikiwa ni siku moja baada ya kusema maazimio...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2023MWANASHERIA mahiri nchini na Wakili wa kujitegemea, Boniface Mwabukusi amekamatwa na jeshi la Polisi. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali, akiwamo...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amewapangia vituo vya kazi mabalozi wakiwemo mabalozi wateule sita aliowateua tarehe 10 Mei 2023 na kuwabadilisha vituo vya kazi...
By Mwandishi WetuAugust 11, 2023MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillius Wambura amesema kuna kundi la watu ambao wamepanga kuandaa maandamano nchi nzima ili kuiangusha Serikali ya...
By Mwandishi WetuAugust 11, 2023WATU zaidi ya 53 wamefariki duniani huku wengine zaidi ya 100 wakiripotiwa kupotea katika kisiwa cha Maui jimbo la Hawaii nchini Marekani kutokana...
By Mwandishi WetuAugust 11, 2023JUMLA ya watendaji 18 wa kata, 92 wa vijiji katika Halmashauri ya Wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wanatarajiwa kupatiwa mafunzo maalumu kuhusu matumizi...
By Mwandishi WetuAugust 11, 2023AJALI ya meli iliyotokea karibu na nchi ya Italia kwenye kisiwa cha Lampedusa imesababisha vifo vya wahamiaji 41 huku wachache wakinusurika katika ajali...
By Mwandishi WetuAugust 10, 2023JESHI la Polisi limesema litaendelea kushirikisha Jamii katika kupambana na uhalifu katika maeneo mabalimbali hapa Nchini huku likipongeza wadau wenye mapanzi mema na...
By Mwandishi WetuAugust 10, 2023MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendelo- CHADEMA, Freeman Mbowe, amesema kuwa zaidi ya asilimia 60 ya maeneo ya ukanda wa Ziwa...
By Mwandishi WetuAugust 10, 2023WANAMITINDO wanne kati ya 200 waliojitokeza kwenye usaili wa Shindano la Future Face 2023 wameteuliwa kuiwakilisha Tanzania kwenye chaguo la awali la...
By Mwandishi WetuAugust 10, 2023WAKILI Boniface Mwabukusi anayeongoza jopo la mawakili waliosimamia kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wananchi wanne mkoani Mbeya, ametangaza maandamano yasiyo na ukomo...
By Mwandishi WetuAugust 10, 2023WAKILI Boniface Mwabukusi anayeongoza jopo la mawakili waliosimamia kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wananchi wanne mkoani Mbeya, ametangaza kukata rufaa kupinga hukumu...
By Mwandishi WetuAugust 10, 2023MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Mbeya Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya leo Alhamisi imetupilia mbali kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wananchi wanne wakiongozwa...
By Mwandishi WetuAugust 10, 2023KAMPUNI ya mabasi ABOOD imeingia matatani baada ya uongozi wa kampuni hiyo kuwalazimisha abiria zaidi ya 50 kusafiri kwa basi bovu lililopata ajali...
By Mwandishi WetuAugust 9, 2023SAKATA la kampuni ya Tanga Cement kuuzwa limezidi kuchukua sura mpya baada ya mmoja wa wajumbe wa Tume ya Ushindani wa Haki FCC,...
By Mwandishi WetuAugust 9, 2023MAFUNDI wawili wa mashine za kieletroniki za EFD, na mwanamke mmoja msimamizi wa gereji, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni wakikabiliwa na...
By Mwandishi WetuAugust 9, 2023WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema zaidi ya vijana 800 wanaotarajiwa kuhitimu mafunzo ya BBT mwaka huu wanatarajiwa kunolewa kuhusu masuala ya uzalendo...
By Mwandishi WetuAugust 9, 2023Rais Samia Suluhu Hassan akimkabidhi tuzo Mkuu mkoa wa Rukwa, Charles Makongoro Nyerere baada ya mkoa huo kushika nafasi ya pili na kutanguliwa...
By Mwandishi WetuAugust 9, 2023TANZANIA inashiriki Mkutano wa 43 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofunguliwa leo tarehe 08...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amezitaka benki zote nchini zinazotoa mikopo, kupunguza riba ili kutowaumiza wakulima wenye nia ya kuendeleza kilimo...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali haijafunga mipaka kuuza mazao nje ya nchi, bali inataka kuwe na mfumo wa ununuzi, uuzaji na usafirishaji...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023KATIBU Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutoa kauli kuhusu wakuu wa wilaya na mikoa ambao wameshindwa kuthibiti kikundi...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023Tanzania imezidi kujidhatiti katika kuzalisha chakula kutoka tani 17,148,290 mwaka 2021/202/ hadi kufikia tani 20,402,014 mwaka 2023. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Hayo yameelezwa na...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023JUMLA ya vijana 420 kutoka Tanzania Bara na Visiwani wanatarajiwa kujiajiri kupitia mafunzo waliyopatiwa na Serikali kwa ajili ya kuwatengenezea wakulima vihenge vitakavyowasaidia...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan leo Jumanne amezindua programu ya uchimbaji wa visima kwa ajili ya wakulima wadogo 67,850 kwa nchi nzima zitakazowezesha jumla...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023WAKULIMA wa mikoa ya Nyanda za Juu wametoa wito kwa wakulima wenzao wa mazao mbalimbali kujisajili na mfumo wa kuhakiki mbegu kiteknolojia T-HAKIKI...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hasaan, ameipongeza Benki ya NMB kwa mchango uliotukuka kwenye Sekta ya Kilimo, Uvuvi, Ufugaji na Misitu, sambamba...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023Rais Samia Suluhu Hassan ameitaja huduma ya bima ya kilimo inayotolewa na benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kama mmoja ya suluhisho muhimu...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023MWANZILISHI wa Chama cha Siasa cha PASTEF nchini Senegal, Ousmane Sonko amelazwa katika Hospitali Kuu katika mji mkuu wa Senegal, Dakar baada ya...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, imetembelea Banda la Benki ya NMB katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023BENKI ya NMB na Kampuni ya Agricom Africa, wamewahakikishia wakulima nchini, kwamba ushirikiano baina ya taasisi hizo ndio mkombozi wa sekta ya kilimo,...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023KAMPUNI ya AngloGold Ashanti – Geita Gold Mining Limited (GGML), imeahidi kushirikiana na Serikali ya Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2023BENKI ya Stanbic Tanzania (SBT), kwa kushirikiana na kampuni ya AgriCom Africa (AA), inatarajia kuanzia kutoa mikopo ya zana za kilimo kwa wakulima...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2023MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Mbeya, leo Jumatatu, imeahirisha kutoa uamuzi wa shauri la madai lililofunguliwa na raia watano, wanaopinga makubaliano ya kibiashara na...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2023MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amezindua rasmi Kampeni ya Onja Unogewe inayoendeshwa na Benki ya NMB chini ya mwamvuli wa Teleza...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2023Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limenyakua tuzo ya Kampuni bora ya mwaka Afrika kwenye sekta ya madini 2023 katika tuzo za Africa...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2023Mkuu wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni amewaonya viongozi wa serikali za vijiji wenye tabia ya kutengeneza migogoro hasa ya ardhi,...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2023WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za fedha nchini kuendelea kubuni huduma zinazolenga kutatua changamoto zinazowagusa wakulima huku akionyesha kuguswa zaidi...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2023Bunge la Tanzania limesema, vikao vya kawaida vya Kamati za Kudumu za Bunge vitaanza kufanyika Jumatatu tarehe 14 hadi 25 Agosti 2023 Jijini...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2023JAMES Mbatia, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, amesema Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, haiwezi kushughulikia mchakato wa upatikanaji katiba mpya,...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2023WADAU wa madini nchini wakiwemo watafiti, wachimbaji wadogo wa madini, kampuni za uchimbaji wa kati na mkubwa wa madini wameshauriwa kutumia maabara ya ...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2023KATIKA kuendelea kuhakikisha bidhaa ya mafuta ya petroli inapatikana kwa uhakika maeneo yote nchini, Chama cha Waagizaji na Wasambazaji Mafuta Tanzania (TAOMAC) wamekutana...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2023WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameipongeza Benki ya NMB kwa kutenga mabilioni ya fedha za mikopo katika kipindi cha miaka miwili kuunga...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2023Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuwa uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Mbarali na madiwani katika kata sita za Tanzania Bara,...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2023POLISI wa Jimbo la Massachusetts, limedai chanzo cha kifo cha Tafari Campbell (45), aliyekuwa mpishi wa Rais mstaafu wa Marekani,Baraka Obama, kilikuwa...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2023WAFANYABIASHARA wametakiwa kutumia Bandari ya Dar es Salaam, kusafirisha mizigo yao badala ya kutumia bandari za mbali, ili kuokoa muda na gharama....
By Mwandishi WetuAugust 4, 2023TANZANIA kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na Serikali ya Cuba kupitia Taasisi ya INDER ya nchini humo zimekubaliana kushirikiana katika...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2023SERIKALI imesema itahakikisha gharama za usafishaji figo zinakuwa nafuu ili kuokoa maisha ya watanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, … (endelea). Kauli hiyo imebainishwa...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2023