Thursday , 2 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za Siasa

Zitto: Waliobeza maridhiano wanajimilikisha matokeo

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, kupitia ukurasa wake wa twitter ametoa ya moyoni kuwa wale waliobeza na kutukana juhudi za maridhiano...

HabariKimataifa

M23 wakabidhi kambi ya kijeshi ya Rumangabo, mashariki mwa Kongo

KUNDI la waasi la wanamgambo la M23, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), wameirudisha kambi ya kijeshi mashariki mwa nchi hiyo. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba amtaka Rais Samia awe jasiri “Kuna watu hawapendi demokrasia”

MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amemtaka Rais Samia Suluhu Hassan, kuwa jasiri akidai kwamba kuna baadhi ya watu hawapendi...

Habari za Siasa

CUF wafungua pazia mikutano ya hadhara, mamia washiriki

CHAMA Cha Wananchi (CUF), leo Jumamosi tarehe 7 Januari 2023, kimezindua rasmi mikutano ya hadhara ambapo ufunguzi huo umefanywa na Mwenyekiti wake Taifa,...

MichezoTangulizi

TFF: Fei Toto mchezaji halali wa Yanga

  KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeamua kuwa Feisal Salum bado ni mchezaji...

Habari za Siasa

CCM yakiri kuathiriwa na zuio la mikutano ya hadhara

  SIKU chache baada ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kutengua zuio la kufanya mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa nchini, Chama...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo: Tunakuja kwa kishindo

  WAKATI vyama vya siasa vya upinzani vikianza kutangaza ratiba ya kuanza mikutano ya hadhara, Chama cha ACT-Wazalendo kimesema Kamati yake Kuu, itakutana...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mbatia nao kufanya mikutano ya hadhara

  WAFUASI wa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, anayedaiwa kufukuzwa James Mbatia, wamepanga kufanya mikutano ya hadhara Januari 2023. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Makala & UchambuziTangulizi

Hawatatukana watafufua makaburi

  VYAMA vya siasa nchini Tanzania vimefunguliwa kutoka katika kifungo cha takribani miaka sita baada ya katazo lisilo la kikatiba wala kisheria la...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kuzindua mikutano ya hadhara kitaifa Januari 21

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kitazindua rasmi mikutano ya hadhara kitaifa tarehe 21 Januari 2023, ikifuatiwa na uzinduzi wa mikutano hiyo...

MichezoTangulizi

Kesi ya Fei Toto kusikilizwa kwa saa 3 TFF

  KESI ya kimkataba kati ya Feisal Salum (Fei Toto) dhidi ya klabu ya Yanga itasikilizwa kwa saa 3 na kamati ya Sheria...

Habari za SiasaTangulizi

CUF yatangaza kufanya mikutano ya hadhara, Prof. Lipumba kuunguruma Manzese kesho

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimetangaza kuanza mikutano ya hadhara huku kikiagiza matawi yake kuandaa mikutano hiyo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...

Habari za SiasaMakala & UchambuziTangulizi

Panda, shuka ya Diwani Athuman kabla na baada ya kung’olewa Ikulu

  HUENDA tarehe 5 Januari 2023, ikawa ni siku chungu kwa Kamishna Diwani Athuman, baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutengua uteuzi wake...

Habari za SiasaTangulizi

Diwani Athuman ang’olewa Ikulu kabla ya kuapishwa

  RAIS Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani, katika nafasi ya Katibu Mkuu Ikulu, na kumteua Mululi Majula Mahendeka, kushika...

Habari za Siasa

Chadema yasema Taifa linapumua, yampa ahadi Rais Samia

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema Taifa linapumua baada ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuondoa zuio la mikutano ya hadhara, akisema hatua...

Habari za Siasa

Wasira asema mikutano ya hadhara haitoiathiri CCM

MWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Stephen Wasira amesema mikutano ya hadhara ikianza kufanyika itakiamsha Chama kilichoko madarakani cha CCM, ili kitimize mambo iliyoahidi kwa...

Habari za Siasa

Zitto: Hautokatika kidole ukimpongeza Rais Samia

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema mtu hatokatika kidole wala kukatwa shingo, endapo atampongeza Rais Dk. Samia Samia Suluhu Hassan kwa...

Makala & Uchambuzi

Kwa nini walemavu wasioona wanalilia kondomu za nukta nundu?

KWENYE moja ya vikao vya kamati ya watu wenye ulemavu nchini Tanzania, hoja iliyogusa hisia kubwa za wengi ni ya watu wenye ulemavu...

Habari za Siasa

Mambo 6 kutikisa vikao Kamati za Bunge

MAMBO sita yanatarajiwa kutikisa katika vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vitakavyoanza Januari 19 hadi 29...

Habari za Siasa

Simbachawene akumbushia machungu ya siasa za kipindi cha nyuma

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene, amevitaka vyama vya siasa kufanya siasa za kistaarabu ili kuepusha...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mwenyekiti UVCCM auawa kwenye fumanizi

MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana  wa CCM (UVCCM) kata ya Kaselya Wilaya ya Iramba  mkoani Singida, Ramadhani Hamisi (30) ameuawa kwa kuchomwa na...

ElimuHabari

Wanafunzi 14 kidato cha pili wafutiwa matokeo kwa kuandika matusi

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limefuta matokeo yote ya wanafunzi 14 walioandika matusi katika mtihani wa Upimaji wa Kitaifa wa kidato cha pili...

Habari MchanganyikoTangulizi

Bei ya dizeli yazidi kupaa, ruzuku yawekwa kando

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini huku mafuta...

ElimuHabariTangulizi

Tazama matokeo ya kidato cha pili hapa

BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) leo tarehe 4 Januari, 2023 limetangaza matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne mwaka 2022. https://matokeo.necta.go.tz/ftna2022/ftna.htm

Habari za SiasaTangulizi

Samia amtumbua Balozi wa Tanzania UN, apangua safu TISS, Ikulu

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Hussein Katanga kuwa Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa Mjini New York akichukua...

Habari za Siasa

Zitto: Tumefarijika, tumeuanza mwaka mpya vizuri

  KIONGOZI wa ACT Wazalendo, Zitto kabwe amesema wamefarijika sana baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza kufuta zuio la mikutano ya hadhara...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Haikuwa kazi nyepesi, tumeirudisha CCM kwenye reli

  MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amesema haikuwa kazi nyepesi kufikia makubaliano ambayo yametangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba sasa mkwamo wa...

Habari za Siasa

Rungwe: Tumekula ubwabwa na kuanza mwaka kwa faraja tupu!

  MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa, Hashim Rungwe amesema hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza kuondoa zuio la...

Habari za Siasa

Samia ang’aka wanaomsema anakopa sana, Rungwe ampa tano

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amesema licha ya kusemwa kwa mengi hususani kuhusu suala la kukopa sana, hatishiki kwa sababu amedhamiria kuhakikisha...

Habari za Siasa

Rungwe azungumzia ruksa mikutano ya hadhara “tumeondoka zama za kutishana”

  MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, amesema zama alizoziita za kutishana zimeondoka na kwamba vyama vya siasa vitakuwa...

Habari za Siasa

Rais Samia kuunda kamati ya ushauri marekebisho ya Katiba

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake imedhamiria kuukwamua mchakato wa marekebisho ya katiba na kwamba muda si mrefu kamati ya ushauri...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aondoa zuio la mikutano hadhara ya vyama vya siasa

  RAIS Samia Suluhu Hassan, ameondoa zuio la mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, lililowekwa na mtangulizi wake, Hayati John Magufuli, kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ataja sababu za Chadema kurudi kundini

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekubali kushiriki mkutano wa pamoja wa vyama vya siasa Tanzania,...

Habari za Siasa

Msajili wa vyama amkumbusha Rais Samia kuhusu mapendekezo kikosi kazi

  MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, kuyafanyia kazi mapendekezo yaliyotolewa na Kikosi kazi alichokiunda...

Habari MchanganyikoTangulizi

TRA yavunja rekodi, makusanyo yakua kwa 12.2%

  MAMLAKA ya mapato Tanzania (TRA), imevunja rekodi ya makusanyo ya mapato Kwa mwezi baada ya kukusanya Sh. 2.77 trilioni kati ya lengo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Salamu za Rais Samia kuuaga mwaka 2022 na kuukaribisha mwaka mpya 2023

Ndugu Wananchi na Watanzania wenzangu; NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA! Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu, Mwingi wa Rehema...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ateta na Mbowe, Kinana Ikulu Dar

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepokea taarifa ya Maendeleo ya mazungumzo ya mchakato wa maridhiano ya kisiasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mazishi ya Papa Benedict XVI kufanyika Alhamisi

MAZISHI ya Baba Mtakatifu Mstaafu Benedikto XVI aliyefariki dunia leoJumamosi saa 3: 34 Asubuhi tarehe 31 Desemba 2022 akiwa na umri wa miaka...

Habari za Siasa

Mama Maria Nyerere atimiza miaka 93

WAKATI leo tarehe 31 Disemba, 2022 ikiwa ni tamati ya mwaka 2022, Mke wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria...

Makala & UchambuziTangulizi

Vifo vilivyotikisa dunia 2022

WAKATI ikiwa imesalia  siku moja kwa 2022 kufika tamati, dunia haitosahau vifo vya watu mashughuri vilivyotikisa ndani ya mwaka huo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

BAVICHA yatoa msimamo kuhusu maridhiano, yataka viongozi waoga wakae kando

BARAZA la Vijana la Chama cha Chadema (BAVICHA), limewataka viongozi wake wa mikoa ambao ni waoga, wakae pembeni ifikapo 2023 maana mwaka huo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Aliyekuwa Papa – Benedict XVI afariki dunia

PAPA wa zamani Benedict XVI amefariki dunia katika makazi yake Vatican, akiwa na umri wa miaka 95, karibu muongo mmoja baada ya kujiuzulu...

Habari za Siasa

Majaliwa aagiza viongozi, watumishi wa balozi kufanya tathimini fursa za kiuchumi

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza viongozi na watumishi katika balozi waendelee kufanya tathmini ya fursa za kiuchumi ambazo Tanzania inaweza kupata kutokana na...

Habari za Siasa

Serikali kufufua mradi wa kilimo cha umwagiliaji Bonde Bugwema

  SERIKALI imeridhia kufufua mradi mkubwa wa kilimo cha umwagiliaji ndani ya Bonde la Bugwema, liliko mkoani Mara, ikiwa ni utekelezaji wa ombi...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema: Kikosi kazi ilikuwa mbinu kuchelewesha Katiba Mpya

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imesema Kikosi Kazi cha kuratibu maoni ya kuimarisha demokrasia ya vyama vingi cha Rais Samia Suluhu, ilikuwa...

MichezoTangulizi

Barack Obama alilia Pele

RAIS wa mstaafu wa Marekani, Barack Obama  ameeleza namna alivyoguswa na kifo cha Mfalme wa Soka duniani, Edson Arantes do Nascimento maarufu kama...

MichezoTangulizi

Mfalme wa Soka duniani – Pele afariki dunia

GWIJI wa soka raia wa Brazil – Edson Arantes do Nascimento maarufu kama Pele amefariki dunia leo tarehe 29 Disemba, 2022 akiwa na...

Makala & Uchambuzi

Mwaka 2022: Dk. Samia ameongoza kasi ukuaji mahusiano ya kidiplomasia na uchumi kati ya Tanzania, China

TUNAPOELEKEA kufunga mwaka 2022, ubalozi unatoa shukrani za dhati kwa wadau mbalimbali kwa ushirikiano wao uliowezesha utekelezaji wa Majukumu ya Ubalozi. Katika Mwaka...

Habari za SiasaTangulizi

CUF yaitaka Serikali ije na mikakati kuondoa ukata kwa wananchi 2023

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeitaka Serikali ifikapo 2023 kuja na mkakati wa kitaifa wa kukuza uchumi, kuongeza ajira na kutoa huduma bora...

Habari za Siasa

CUF yaunga mkono marekebisho sheria za habari

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimesema kinaunga mkono marekebisho ya sheria za habari yenye lengo la kuongeza uhuru wa tasnia hiyo, huku ikiiomba...

error: Content is protected !!