TUNAPOELEKEA kufunga mwaka 2022, ubalozi unatoa shukrani za dhati kwa wadau mbalimbali kwa ushirikiano wao uliowezesha utekelezaji wa Majukumu ya Ubalozi. Katika Mwaka...
By Gabriel MushiDecember 29, 2022NI ukweli usiopingika kwamba vyombo vya habari ni mhimili wa nne wa nchi, ambao una mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya taifa...
By Regina MkondeOctober 25, 2022MWANACHUO wa Chuo Kikuu cha SAUT mkoani Mwanza, Warren Lyimo anayedaiwa kupigwa na kuteswa na Polisi hadi kupasuka korodani, amesimulia mambo mazito na...
By Mwandishi WetuOctober 25, 2022INAELEZWA kuwa kuna mzozo wa kwa nchi wanachama wa SCO unatokana na kuteteleka na kushindwa kufanya mkutano wa pamoja wa kujadili tishio...
By Mwandishi MaalumSeptember 24, 2022NI KASHFA! Ndivyo unavyoweza kuelezea kile kilichojiri mkoani Kilimanjaro katika Manispaa ya Moshi mjini ambapo madiwani wa Kata nne za manispaa hiyo, wamedaiwa...
By Gabriel MushiSeptember 21, 2022KWA wanaofahamu jinsi serikali inavyofanya kazi, wanaofahamu kutungwa kwa muswada, kufikishwa kwa mswada huo bungeni na hadi kuwa sheria, hakuna shaka kuwa...
By Mwandishi MaalumSeptember 14, 2022NDOTO ya Raila Odinga, mtoto wa makamu wa rais wa Kwanza wa Kenya, Jaramogi Odinga, kuwa rais wa Jamhuri ya Kenya imeonekana kuzima...
By Gabriel MushiSeptember 6, 2022WAPIGA kura nchini Angola wanapiga kura leo tarehe 24 Agosti, 2022 kumchagua rais mpya. Uchaguzi huo umetajwa kuwa na ushindani mkali kuwahi kushuhudiwa tangu...
By Gabriel MushiAugust 24, 2022Jina la Juliana Cherera ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka kutoka nchini Kenya (IEBC), limepata umaarufu mkubwa baada...
By Mwandishi WetuAugust 20, 2022KAMPENI za wafuasi wengi zilizoegemezwa katika simulizi kali za ma-hustlers (watafutaji) sambamba na uungwaji mkono kutoka kwa maeneo yenye utajiri wa kura...
By Mwandishi WetuAugust 16, 2022YAPO masuala ya kijiografia, kihistoria, kijamii na kiuchumi yanayofanya nchi mbili za Afrika Mashariki; Kenya na Tanzania zifanane na kuwa na udugu...
By Mwandishi WetuAugust 16, 2022RAIA wa Kenya jana tarehe 9 Agosti, 2022 wamejitokeza kupiga kura kumchagua rais, gavana, seneta, mwakilishi wa wanawake, mbunge na mwakilishi wa wadi. Katika...
By Kelvin MwaipunguAugust 10, 2022WAKATI Dunia ikihubiri haki na usawa wa kijinsia huko nchini Pakistani wanawake wamekuwa wakifanyiwa ukatili wa kijinsia , kubakwa na kutekwa nyara....
By Faki SosiAugust 9, 2022UCHAGUZI Mkuu wa Kenya unafanyika leo kumsaka mrithi wa kiti cha urais kinachotarajiwa kuachwa wazi na Rais Uhur Kenyatta. Mbali na nafasi...
By Mwandishi WetuAugust 9, 2022VIJANA wa Tanzania ni rasilimali muhimu zaidi ambayo nchi inatakiwa kuwa nayo katika siku za usoni. Umuhimu wa vijana unatokana na ukweli kwamba...
By Gabriel MushiAugust 5, 2022NI Bajeti ya viwango inayokwenda kulainisha na kupunguza makali ya maisha kwa wananchi wote. Hii inatokana na vipengele kadhaa vilivyoanishwa na serikali kupitia...
By Gabriel MushiJuly 4, 2022ALIYEKUWA mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Rombo, mkoani Kilimanjaro, Joseph Selasini, ameibuka upya na kudai kuwapo...
By Saed KubeneaJuly 2, 2022SANAA ya filamu na muziki wa kizazi kipya ni miongoni mwa sanaa zenye nguvu na zinazojulikana na wengi zaidi hapa nchini. Ukimtaja Ali...
By Gabriel MushiJuly 1, 2022ALIYEKUWA mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Rombo, mkoani Kilimanjaro, Joseph Selasini, ameibuka upya na kudai kuwapo mkakati...
By Saed KubeneaJuly 1, 2022KUNA usemi usemao “usilolijua ni sawa na usiku wa giza” na ndivyo wamiliki wa kumbi za starehe maeneo yaliyo karibu na vyuo...
By Masalu ErastoJune 29, 2022NIKIWA kwa babu miaka fulani hivi nikienda kumjulia hali, tukiwa katikati ya mazungumzo yetu, babu alinishangaza kwa jinsi alivyokuwa anawajua na kuwatambua...
By Mwandishi WetuJune 23, 2022KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres aliwahi kusema; “Ushirikiano wa kimataifa na diplomasia vimethibitisha kuwa na faida na huduma...
By Mwandishi WetuJune 7, 2022WAZIRI mkuu wa Uingereza, Boris Johnson aponea chupu chupu kuondoka madarakani, kufuatia kura ya kutokuwa na imani naye kushindwa kufaulu. Anaandika Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 7, 2022FIKIRIA unarudi nyumbani kwako, unakutana na kisanga cha vijana wawili wameraruriwa na mbwa wako, na wako taabani. Unauliza unaambiwa ni vibaka wameruka...
By Mwandishi WetuJune 3, 2022WAKATI msimu wa mashindano wa Ligi Kuu Tanzania Bara na michuano ya kombe la Shirikisho ukienda ukingoni, vigogo wa soka nchini klabu...
By Kelvin MwaipunguJune 1, 2022MZEE Yohana Tano Nabii mwenye umri wa miaka 82, kutoka kijiji cha Nandolia kaunti ya Bungoma nchini Kenya amekuwa gumzo ndani na nje...
By Gabriel MushiMay 15, 2022LICHA ya kwenda sare ya bila kufungana kwenye mchezo wa watani wa jadi, uliowakutanisha klabu za Simba na Yanga kwenye dimba la...
By Kelvin MwaipunguMay 2, 2022WEKUNDU wa Msimbazi, Timu ya Simba kesho inacheza mchezo wa marudiano wa hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho barani...
By Gabriel MushiApril 23, 2022ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda, ameshauriwa kuwaomba radhi hadharani viongozi wa Serikali, vyama vya siasa,...
By Mwandishi WetuApril 20, 2022WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, Kassim Majaliwa, amewasilisha bajeti ya wizara yake, bungeni mjini Dodoma na kumwagia sifa Benki ya Kilimo....
By Saed KubeneaApril 14, 2022SAFARI ya Tanzania kutekeleza mfumo wa anwani za makazi na postikodi nchi nzima umeshika kasi lengo ni kuibadilisha nchi kuwa ya kidijitali ili...
By Gabriel MushiApril 4, 2022WENGINE tunaapa mdomoni tu, wengine tunaapa ndani ya moyo. Heshimuni viapo vyenu.” Mwisho wa kunukuu. Ni kauli ya Rais wa Jamhuri ya...
By Mwandishi WetuApril 3, 2022UKIMYA na usiri umeendelea kutawala kuhusu kukwama kwa miradi mitatu ya Halmashauri ya Kinondoni inayogharamiwa kwa vyanzo vya mapato ya ndani na kuitia...
By Gabriel MushiMarch 31, 2022NILIPATA mshtuko mkubwa kupokea taarifa mbaya ya kifo cha Profesa Honest Ngowi kilichotokana na ajali ya gari kutoka kwa mwanachama mwenzetu wa kundi...
By Gabriel MushiMarch 30, 2022MWAKA mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan madarakani, unawezakuwa ni mwaka wa uchumi ambao hauhitaji sana takwimu kuelezea ukuaji wake, bali ni kwa...
By Gabriel MushiMarch 19, 2022WAKATI mtandao maarufu duniani wa Forbes ukimuorodhesha Mhandisi na Mjasiriamali Elon Reeve Musk kuwa na tajiri namba moja duniani kwa kuwa na...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2022KATIKA uteuzi wa vigogo mbalimbali wa Serikali ambao umefanywa na Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 14 Machi, 2022, jina la Humprey Polepole...
By Gabriel MushiMarch 15, 2022KIONGOZI wa Orange Democratic Movement (ODM), Raila Odinga amepata ridhaa kuipeperusha bendera ya muungano wa Azimio la Umoja katika uchaguzi mkuu wa Kenya...
By Gabriel MushiMarch 13, 2022GABRIEL Boric mwenye umri wa miaka 36 ameapishwa jana tarehe 12 Machi, 2022 kuwa Rais mpya wa Chile na kuweka rekodi ya kuwa...
By Gabriel MushiMarch 13, 2022LICHA ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kusota kwenye kuta za gereza la Ukonga kwa siku 226, ametoka...
By Gabriel MushiMarch 7, 2022MIAKA ya nyuma tukiwa watoto, shuleni tukijifunza Fizikia, walimu wetu walituelewesha nini maana ya chanya na hasi katika somo hilo na umuhimu...
By Mwandishi MaalumMarch 4, 2022KUMEKUWEPO na kurushiana maneno baina ya Urusi na nchi za Magharibi huku kukiwepo matamshi yanayoashiria kutokea vita vya tatu ya dunia sambamba na...
By Gabriel MushiMarch 3, 2022“NINGEKUWA na uwezo ningehama Urusi sasa hivi. Ningefanya hivyo. Lakini siwezi kuacha kazi yangu,” anasema Andrey. Hataweza kumudu mpango wa kununua nyumba...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022KATIKA kuboresha mazingira ya utoaji huduma za mawasiliano nchini Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wiki hii imetangaza maboresho ya...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2022TAREHE 23 Januari, 2022 Waziri Mkuu Mstaafu Dk. Salim Ahmed Salim alitimiza miaka 80, leo nakuletea makala inayofafanua namna alivyombana pumzi aliyekuwa Rais...
By Gabriel MushiJanuary 28, 2022WAKATI Timu ya Taifa ya Burkina faso ikitinga hatua ya nane bora katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) huko...
By Gabriel MushiJanuary 25, 2022Ni rahisi kutumia sababu za kisheria kusema Tanzania kuna uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge. Lakini sio rahisi kueleweka katika utamaduni wa...
By Gabriel MushiJanuary 21, 2022Breviare ni kitabu maalum cha Kikristo kwa ajili ya sala za asubuhi, mchana na jioni pamoja na nyongeza ya vipindi vingine kwa nyakati...
By Gabriel MushiJanuary 20, 2022Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniam, Job Ndugai ameandika barua rasmi kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi kujiuzulu nafasi...
By Gabriel MushiJanuary 8, 2022JAPO mimi siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa nchini, hata hivyo, bado nitavitazama vyama vyote kwa jicho sawa hasa ikizingatiwa kuwa...
By Mwandishi MaalumJanuary 7, 2022