TAASISI za dini ni miongoni mwa wadau wakubwa wanaochangia kuwapo na kuendelea kustawisha amani ya nchi yetu ya Tanzania. Anaripoti Richard Makore …...
By Masalu ErastoDecember 29, 2017BARAZA la Wawakilishi la Zanzibar limwepitisha muswada wa sheria wa kurekebisha vifungu vya Sheria ya Uchaguzi ya Zanzibar pasina mabadiliko ya msingi yanayohusu...
By Jabir IdrissaDecember 14, 2017Kalamu ya Jabir Idrissa SIASA visiwani Zanzibar ni ada kimaisha. Siasa ni kila kitu kwa wananchi. Na kila kitu ni siasa Zanzibar. Kila...
By Jabir IdrissaNovember 8, 2017Na Rashid Abdallah KILA nyakati huwa na mbwembwe zake. Nyakati za sasa katika uwanja wa siasa nazo zinazo. Ni mbwembwe nyingi; vituko vingi;...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2017KILICHOITWA na watawala, “Operesheni Tokomeza” iliyoishia kujiuzulu kwa waziri mmoja na kufutwa kazi mawaziri watatu wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete, yaweza kuwa...
By Saed KubeneaOctober 30, 2017Na Saed Kubenea MSEMAJI wa serikali, Dk. Hassan Abass, amekana madai kuwa uchumi wa taifa unayumba, mfumuko wa bei umeongezeka na mifuko ya...
By Saed KubeneaOctober 19, 2017Na Mwandishi Wetu SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, aweza kuwa hajasema ukweli kuhusu madai kuwa hamfahamu na wala hajawahi kumuona zaidi...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2017Na Mwandishi Maalum RAIS John Pombe Magufuli, ametangaza mabadiliko katika baraza lake la mawaziri kwa kuondoa baadhi, wengine kuwahamisha na wapya kuingizwa. Miongoni...
By Mwandishi MaalumOctober 11, 2017Na Rashid Abdallah NINAJIULIZA ni kwanini siasa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinaendelea kuwa za vilio, vitisho, mateso na hata vifo....
By Mwandishi WetuOctober 11, 2017MBUNGE wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari, sasa aweza kuwa “amefunga rasmi” mgodi wa ununuzi wa madiwani wa upinzani uliobuniwa na viongozi wa...
By Saed KubeneaOctober 4, 2017“Masikini bwana Ali, kafa ilhali yuajua Masikini bwana Ali, kafa yuaona Masikini bwana Ali, kafa yuaasa Masikini bwana Ali, kafa yungangari” NAANDIKIA haya...
By Jabir IdrissaOctober 4, 2017MWANZONI mwa wiki hii, Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko kwenye serikali ya Dk. Ali Mohamed Shein, Balozi Amina Salum Ali, aliliambia Baraza...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2017KUFUMBA na kufumbua, Bwana Ali Juma Suleiman ametangulia mbele ya haki. La, bora niseme ametangulizwa mbele ya haki kwa kudhulumiwa na makundi ambayo...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2017WALE wanaozielewa siasa za Marekani kwa sasa, watakubali namna mabadiliko yanavyoibadilisha dola hii yenye nguvu kubwa zaidi za kiuchumi na kijeshi, anaandika Rashid...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2017NAIBU Jaji Mkuu wa Kenya Philomena Mwilu, amesema kitendo cha Tume ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC), kushindwa kufuata maagizo ya mahakama...
By Mwandishi WetuSeptember 20, 2017JESHI la polisi nchini Kenya limewakamata watu wanne raia wa Burundi waliokuwa wakielekea Somalia kujiunga na kundi la kighaidi la Al-Shabab, anaandika Catherine Kayombo. Kwa...
By Masalu ErastoSeptember 13, 2017WAFULA Chebukati, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC), ametangaza tarehe mpya ya kurudia uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 17 Oktoba 2017, anaandika...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2017KIONGOZI wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ametangaza kuwa hayuko tayari kushiriki marudio ya uchaguzi mkuu wa urais nchini humo.abla ya kufanyika uchaguzi,...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2017RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema kuwa taifa hilo lina ‘matatizo’ na idara ya mahakama ambayo inahitaji marekebisho, anaandika Mwandishi Wetu. Alikuwa akizungumza...
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2017MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amefunguka na kumsifu Rais Uhuru Kenyatta kuwa mvumilivu na kuheshimu Wakenya baada ya...
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2017MAHAKAMA Kuu nchini Kenya imekubali ombi la Muungano wa Upinzani (NASA), nchini humo kukagua mitambo iliyotumiwa na Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC),...
By Masalu ErastoAugust 28, 2017MAHAKAMA ya juu nchini Kenya imewaonya wanahabari, mawakili na wahusika wengine wa kesi ya kupinga ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta dhidi ya mpinzani...
By Masalu ErastoAugust 24, 2017WAFUASI wa aliyekuwa mgombea urais nchini Kenya, Raila Odinga wamepuuza kauli yake iliyowataka leo kutoenda kazini, anaandika Victoria Chance. Odinga aliwataka wafuasi wake...
By Masalu ErastoAugust 14, 2017WAFULA Chebukati, Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi nchini Kenya (IEBC), amemtangaza Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee kuwa mshindi wa nafasi...
By Charles WilliamAugust 11, 2017WATU 5 wamepigwa risasi katika ghasia zilizotokea nchini Kenya baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi nchini Kenya, anaandika Hellen Sisya. Ghasia hizo zimetokea...
By Masalu ErastoAugust 10, 2017WAANGALIZI wa uchaguzi wa nje ya nchi ya Kenya wakiongozwa na Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki, wamepinga yaliyosemwa na mgombea urais...
By Masalu ErastoAugust 10, 2017WAFULA Chebukati, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka Nchini Kenya (IBEC), ameahidi kushughulikia malalamiko yaliyotolewa na mgombea urais kupitia Muungano wa NASA,...
By Masalu ErastoAugust 9, 2017WAPINZANI nchini Kenya, wakiongozwa na Raila Odinga wa chama cha ODM na muungano wa NASA, wamekuwa wakipewa haki zote za kisiasa na za...
By Mwandishi WetuAugust 9, 2017MUUUNGANO wa NASA, umetangaza kukataa matokeo huku ukisema matokeo yanayotolewa na Tume ya Uchaguzi ya Kenya, hayana ushahidi wa fomu namba 34 A...
By Masalu ErastoAugust 9, 2017DEMOKRASIA imejidhihirisha nchini Kenya baada ya Wakenya wanaoishi nje ya nchi hiyo kupiga kura huko huko wanapoishi katika uchaguzi unaofanyika leo, anaandika Mwandishi...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2017KENYA imeweka rekodi katika uchaguzi mkuu mwaka huu, baada ya Tume ya Uchaguzi, kuruhusu watu waliofungwa gerezani pamoja na wale waliopo rumande kupewa...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2017WAGOMBEA wa urais wawili wenye nguvu nchini Kenya, Raila Odinga (NASA) na Uhuru Kenyatta (Jubilee), leo wamepiga kura katika uchaguzi mkuu nchini humo...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2017BAADA ya vuta nikuvute za kampeni kali za uchaguzi mkuu nchini Kenya hatimaye wananchi wa nchi hiyo wanatarajia kupiga kura kumchagua Rais na...
By Hamisi MgutaAugust 7, 2017ASILIMIA 1.3 ya wananchi wa Rwanda wamemkataa, Rais Paul Kagame kuwaongoza kupitia sanduku la kura katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana, huku asilimia 98.66...
By Masalu ErastoAugust 5, 2017ZIKIWA zimebaki siku tano kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini Kenya, hali ya usalama imeendelea kuwapa wasiwasi wananchi kufuatia mashambulizi pembezoni mwa pwani...
By Masalu ErastoAugust 3, 2017TUME ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC), imeazimia kuongeza muda wa kupiga kura siku ya uchaguzi katika maeneo yenye sheria ya muda...
By Masalu ErastoAugust 3, 2017WITO wa amani umeendelea kutolewa kwa wananchi nchini Kenya kuelekea uchaguzi mkuu, ili kuepusha machafuko yaliyozuka katika uchaguzi wa mwaka 2007, anaandika Catherine...
By Masalu ErastoAugust 2, 2017MAUAJI ya Kaimu Mkurugenzi wa Masuala Teknolojia wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka Nchini Kenya (IEBC), yameziibua nchi za Marekani na Uingereza na...
By Masalu ErastoAugust 1, 2017CHUKI na visasi kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimeendelea kumea baada ya wafuasi wa vyama...
By Christina HauleJanuary 14, 2017NI wazi sasa Dk. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar anavurugwa na harakati zinazofanywa na Maalim Seif Sharif ndani na nje ya Zanzibar,...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2017MBUNGE wa jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, leo Jumapili, ataungana na viongozi waandamizi wa upinzani nchini, Edward Lowassa na Maalim Seif Sharif Hamad,...
By Mwandishi WetuJanuary 8, 2017UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ukiongozwa na Maalim Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa CUF na Edward Lowassa, Mjumbe wa Kamati Kuu...
By Charles WilliamJanuary 8, 2017HALI ya fedha ni ngumu ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) jambo ambalo linaloongeza changamoto katika kampeni za chama hicho kwenye Jimbo la...
By Hamisi MgutaJanuary 7, 2017