Author Archives: Faki Sosi

Mdee, Kubenea, Mwita wawekwa kiporo

KESI ya shambulio na kumjeruhi Theresia Mmbando, Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam inayowakabili Halima Mdee, Mbunge wa Kawe; Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo na Mwita Waitara, Mbunge wa ...

Read More »

Ukawa walamba bingo

JIJI la Dar es Salaam linaloshikiliwa na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), linakarabatiwa, anaandika Faki Sosi. Rais John Magufuli leo ameweka jiwe la msingi kwenye uzinduzi wa ...

Read More »

Ukawa wasoma bajeti ya Maendeleo Kinondoni

VYAMA vinavyounda Umoja wa katiba ya wananchi, (Ukawa) kwa mara ya kwanza vimesoma bajeti yake huku wananchi wa manispaa hiyo wakipewa nafuu katika huduma za afya, na kipaumbele kikiwa ni ...

Read More »

Takukuru yalia na rushwa Mahakama ya Kisutu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imelalamikiwa kuwa inaendekeza vitendo vya rushwa katika utoaji haki, anaandika Faki Sosi. Akizungumza baada ya kuachiliwa huru Williamu Mhando aliyekuwa Mkurugenzi ...

Read More »

Kesi ya Mattaka yakwama

KESI inayomkabili David Mattaka, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), iliyotajwa kusikilizwa leo, imeahirishwa, anaandika Faki Sosi. Kesi hiyo iliyokuwa ikisikilizwa Respicius Mwijage, Hakimu Mkazi wa Mahakama ...

Read More »

Rais Magufuli ammwaga Anne Kilango

RAIS John Magufuli amemfuta kazi Anne Kilango Malecela, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga na Abdul Dachi, Katibu Tawala wa mkoa huo kwa kusema uongo, anaandika Faki Sosi. Rais Magufuli ...

Read More »

Dk. Shein ‘amfuata’ Magufuli Baraza la Mawaziri

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein leo ametangaza baraza lake jipya la mawaziri ambapo amepunguza kutoka wizara 16 na kuwa 13, anaandika Faki Sosi. Hatua ya Dk. Shein kupunguza ...

Read More »

Serikali, wafanyabiashara mifugo wavurugana

UMOJA wa Wafanyabishara wa Mifugo na Mazao yake Kinondoni (Uwaminaki), umelalamikia utaratibu mpya wa serikali wa kutoza kodi ya Sh. 18,500 kwa kila ng’ombe, anaandika Faki Sosi. Gharama hiyo inajumuisha ...

Read More »

Kitillya, Sinare wabanwa kortini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imepuuza ombi la dhamana ya kesi inayowakabili Harry Kitillya, Shose Sinare na Sioi Solomoni ambapo wamerejeshwa rumande, anaandika Faki Sosi. Kitillya, ...

Read More »

Lowassa: Siku za Magufuli zinahesabika

EDWARD Lowassa, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania amesema kuwa, staili ya utawala wa Rais John Magufuli ni ya hamasa na kwamba, atakuwa maarufu kwa kipindi kifupi, anaandika Faki Sosi. Akizungumza ...

Read More »

Manispaa Ilala yatafuna Mil 16

MANISPAA ya Ilala jijini Dar es Salaam imetafuna jumla ya Sh. 16 Milioni kutoka kwenye miradi mbalimbali, anaandika Faki Sosi. Edson Makallo, Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na ...

Read More »

Ngawaiya wa CCM apandishwa kizimbani

THOMAS Ngawaiya, alikuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Kilimanjaro amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kwa madai ya kufanya ...

Read More »

‘Wezi’ dawa za binaadamu wafikishwa kortini

WATU saba wamepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kuiba dawa za binaadamu, anaandika Faki Sosi. Akisoma mashataka hayo Saada Mohammed, Wakili wa Serikali mbele ya ...

Read More »

Watuhumiwa dawa za kulevywa waomba kutupwa baharini

RAIA watatu wa Pakistani na wanane wa Iran wanaokabiliwa na kesi ya kuingiza nchini dawa za kulevya, wameiomba Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam iwatupe baharini, anaandika Faki Sosi. ...

Read More »

Kitilya, Sinare kizimbani kwa kuibia serikali

HARRY Kitillya, aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA); Shose Sinare, Mkuu wa Idara ya Ushirikiano na Uwezekezaji katika Benki ya Stanbic na Sioi Solomoni, mwanasheria wa benki ...

Read More »

Mbunge mwingine wa CCM, kizimbani kwa rushwa

RICHARD Mganga Ndassa, mbunge wa jimbo la Sumve (CCM), amepandishwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu shtaka la tuhuma ya kuomba rushwa ya Sh. 30 milioni, anaandika Faki ...

Read More »

Wabunge wa CCM wapandishwa kizimbani kwa rushwa

WABUNGE watatu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kudai rushwa, anaandika Faki Sosi. Waliofikishwa mahakamani leo ni Kangi Lugola (Mwibara) Victor Mwambalaswa (Lupa) na Murad Sadiq ...

Read More »

Magufuli amponza ‘mlevi’

HAMIMU Seif, mkazi wa Mwananyamala Ujiji, Dar es Salaam, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu akituhumiwa kumtishia kifo Rais John Magufuli, anaandika Faki Sosi. Mbele ya Hakimu Mkazi Helleni Liwa, ...

Read More »

‘Dk. Shein haiwezi Z’bar bila CUF’

WAKATI Dk. Ali Mohamed Shein akisubiri kuapishwa kuendelea na wadhifa wake wa urais, imeelezwa kwamba hawezi kuiendesha Zanzibar bila Chama cha Wananchi (CUF), anaandika Faki Sosi. Kitila Mkumbo, Mhadhiri wa ...

Read More »

Mwambene ang’olewa Maelezo

Mkurugenzi wa Habari Maelezo, Assah Mwambene

ASSAH Mwambene, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo ameondolewa kwenye nafasi hiyo na kwamba, atapangiwa kazi nyingine, anaandika Faki Sosi. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Prof. ...

Read More »

Rais Magufuli aishiwa pumzi Umeya Dar

HEKAHEKA zinazofanywa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kutaka Umeya wa Jiji hilo kwenda kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hazitafanikiwa,anaandika Faki Sosi. Raia John Magufuli amesema kama chama ...

Read More »

Wanakijiji wajipanga kumng’oa mwenyekiti wao

WANANCHI wa Kijiji cha Kisemvule wilayani Mkuranga, Pwani wamepanga kumng’oa Omar Makunga, mwenyekiti wa kijiji hicho kwa madai ya kutokuwa muadilifu pia kufanya uamuzi bila kushirkikisha wanakijiji, anaandika Faki Sosi. ...

Read More »

Sugu: CCM inatia doa nchi

WAKATI Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ikiendelea kusimamia uchaguzi haramu wa marudio visiwani humo, Joseph Mbilinyi, Waziri Kivuli wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo anasema, Serikali ya CCM inatia doa ...

Read More »

Mwandishi wa Z’bar aliyetekwa asakwa

SALMA Said, mwandishi wa Gazeti la Mwananchi linalomilikiwa na Kampuni ya Mwananchi Communication (MCL) anasakwa na wadau wa habari nchini, anaandika Faki Sosi. Mwandishi huyo ambaye pia ni mwakilishi wa ...

Read More »

Mkurugenzi Rubada aburuzwa kortini

ALOYCE Lukulu, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo Bonde la Mto Rufiji (Rubada), amepandishwa kizimbani leo kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za wizi wa Sh. 136 milioni, anaandika ...

Read More »

Kauli tata ya CCM Z’bar, CUF yaonya

MPASUKO wa kisiasa visiwani Zanzibar unazidi kushika kasi ambapo sasa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameanza kutoa kauli zenye utata, anaandika Faki Sosi. Sadifa Juma Khamis, Mwenyekiti wa Umoja wa ...

Read More »

Rais Magufuli: Kamata weka ndani

RAIS John Magufuli amewawataka Wakuu wa Mikoa nchini kukamata watendaji wa kata wanaowavuruga wananchi na kuwaweka ndani ili kuwatia adabu, anaandika Faki Sosi. Kauli hiyo ameitoa leo wakati akiwaapisha viongozi ...

Read More »

Mkurugenzi ATCL kizimbani

DAVID Mattaka, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), amepandishwa kizimbani kwa kosa la kuliingizia serikali hasara ya Dola za Marekani 772,402.08, anaandika Faki Sosi. Akisoma mashtaka Vitalis ...

Read More »

Mshindo wa Maalim Seif Z’bar Machi 19

  SIKU moja kabla ya kile kinachoitwa uchaguzi wa marudio visiwani Zanzibar, Chama cha Wananchi (CUF) kimepanga kubadilisha upepo, anaandika Faki Sosi. Taarifa kutoka ndani ya chama hicho zinaeleza kwamba, CUF ...

Read More »

Kubenea, Manase wakana kumshambulia Mmbando

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea na Manase Mjema, Diwani wa Kimanga wamekana kumshambulia Terresia Mmbando, Katiba Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, anaandika Faki Sosi. Watuhumiwa hao wamekana mashitaka ...

Read More »

Mashahidi wawili wamtetea Kubenea

MASHAHIDIwawili leo wamemtetea Sead Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo kwamba, hakutoa lugha ya matusi, anaandika Faki Sosi. Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam mashahidi hao wameieleza ...

Read More »

Kubenea akamatwa

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea amekamatwa na Jeshi la Polisi leo asubuhi wakati akiwa katika Mahakama ya Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, anaandika Faki Sosi. Kubenea amekamatwa na polisi ...

Read More »

Ajali mbaya Dar es Salaam

AJALI mbaya imetokea leo asubuhi katika Barabara ya Mandela, eneo la Matumbi jijini Dar es Salaam ikihusisha lori lililokuwa limebeba ng’ombe na daladala ina ya DCM lililokuwa limebeba abiria, anaandika ...

Read More »

Kubenea amkana Makonda kortini

SAED Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo pia Mkurugenzi wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers amekana kumtusi Paul Makonda, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, anaandika Faki ...

Read More »

Makonda asusiwa ‘daladala bure’

WAKATI utekelezwaji wa agizo la Paul Makonda, Mkuu wa Wilaya ya Kindondoni ukianza kutekelezwa jana, walimu wameususa, anaandika Faki Sosi. Uchunguzi wa mtandao huu uliofanywa jana jioni kwenye daladala mbalimbali ...

Read More »

Mkurugenzi wa Jiji awakwepa Ukawa

SARAH Yohana, Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam amekwepa kukutana na Wabunge na Madiwani wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), anaandika Faki Sosi. Wawakilishi hao ...

Read More »

Ukawa wavamia Ofisi za Jiji

WABUNGE na Madiwani wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) katika Jiji la Dar es Salaam wamevamia Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji hilo wakitaka kujua tarehe ya uchaguzi ...

Read More »

Ni Makonda vs Kubenea Kisutu

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers ana kesi ya kujibu katika kesi iliyofunguliwa na Jamhuri tarehe 15 Desemba mwaka jana, anaandika ...

Read More »

Mdee: Watake wasitake wataachia

HALIMA Mdee, Mbunge wa Kawe amesema, hekaheka zinazofanywa na Serikali, Jeshi la Polisi na Chama Cha Mapinduzi (CCM) dhidi yao ni kutaka kutwaa Umeya wa Jiji la Dar es Salaam ...

Read More »

Kubenea aishiwa uvumilivu

SAED Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema) amepanga kutoa taarifa itakayowagusa viongozi wa juu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Magufuli na Jeshi la Polisi, anaandika Faki Sosi. ...

Read More »

Polisi wampekua Halima Mdee

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemchukua Halima Mdee, Mbunge wa Kawe (Chadema) kutoka polisi alikolala tangu jana na kwenda naye nyumbani kwake Makongo kufanya upekuzi, anaandika ...

Read More »

Hukumu kesi ya Kubenea, Makonda Machi 3

HUKUMU ya Kesi inayomuhusu Saed Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo pia Mkurugenzi wa Hali Halisi Publishers na Paul Makonda, Mkuu wa Wilaya ya Kindononi itatolewa tarehe 3 Machi mwaka ...

Read More »

CCM inatikiswa Z’bar

MSIMAMO wa Chama cha Wananchi (CUF) kutoshiriki uchaguzi uliovurugwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kwa kushirikiana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) bado unatikisa, anaandika Faki Sosi. Taarifa ndani ya chama ...

Read More »

TMF yashawishi wanahabari

MFUKO wa Vyombo vya Habari nchini (TMF) umesisitiza azma yake ya kuendelea kusaidia waandishi wa habari katika kuwaongezea umahiri ili kuimarisha sekta ya habari nchini, anaandika Faki Sosi. Katika semina ...

Read More »

HESLB watoa maelekezo kwa wasiopata mikopo

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imetoa utaratibu wa kushughulikia malalamiko ya wanafunzi ili kuondoa usumbufu wakati wa masomo, anaandika Faki Sosi. Akizungumza na waandishi wa ...

Read More »

Polisi yakusanya mamilioni kwa faini Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limetoa taarifa kuwa litaendelea kupambana na uhalifu wa kutumia silaha, kudhibiti dawa za kulevya na kuwatoza faini madereva wanaoendesha kwa uzembe, ...

Read More »

Haramu kwa haramu Z’bar

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) inasaka wateja wa kushiriki uchaguzi wa tarehe 20 Machi mwaka huu ili kukivusha Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Faki Sosi. Haramu huende kwa haramu, ndivyo ...

Read More »

Tuhuma zamwandama Rais Magufuli

TUHUMA zimeendelea kuelekezwa kwa Rais John Magufuli kutokana na hatua yake ya kukwepa jukumu la kutatua mgogoro wa kisiasa visiwani Zanzibar, anaandika Faki Sosi. Peter Lijualikali, Mbunge wa Jimbo la ...

Read More »

Magufuli agonga mwamba Z’bar

LICHA ya kauli za vitisho zilizotolewa na Rais John Magufuli wakati akizungumza na wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) jijini Dar es Salaam wiki iliyopita kwamba, atawashughulikia watakaoleta fyokofyoko, Wazanzibari ...

Read More »

MAWIO lamponza Lissu

TUNDU Lissu, Mwanasheria wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) pia Mbunge wa Singida Magharibi leo jijini Dar es Salaam amehojiwa na Jeshi la Polisi kuhusu hoja alizozitoa kwenye Gazeti ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram