Sunday , 28 April 2024
Home sosi
809 Articles18 Comments
Habari za SiasaTangulizi

Ukistaajabu ya Lipumba utayaoona ya Mtatiro

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amekula matapishi yake baada ya kutangaza kuunga mkono juhudi za...

MichezoTangulizi

Diamond azua kizaazaa msiba wa King Majuto

MWANAMUZIKI wa kizazi kipya Nasibu Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnum leo tarehe 9 Agosti, 2018 amezua kizaazaa kwenye msiba wa Amri...

MichezoTangulizi

Magufuli, Kikwete wamuaga Mzee Majuto Karimjee

RAIS wa Tanzania, John Magufuli na Rais mstaafu Jakaya Kikwete amewaongoza mamia ya watanzania kuaga mwili wa marehemu muigizaji wa vichekesho Amri Athumani...

MichezoTangulizi

Mzee Majuto afariki dunia

MUIGIZAJI maarufu Amir Athuman (Mzee Majuto) amefariki dunia usiku huu kwenye Hospital ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akitibiwa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Sheikh Ponda: Nakwenda Hijja kusoma dua nzito

SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu anasema, anakwenda Hijja leo Agosti 02, 2018 pamoja na kutekeleza Nguzo ya...

Habari za SiasaTangulizi

Posa ya CCM yahamia kwa Mbowe

VUGUVUGU la madiwani wa upinzani kukimbilia Chama Cha Mapinduzi (CCM) halijapoa, jimboni Hai, Kilimanjaro katika Kata ya Kia, diwani wake amehamia chama tawala....

Habari za Siasa

Mtoto wa Mbunge Chadema aibua mjadala kesi ya Mbowe, wenzake

MTOTO wa mbunge wa Chadema katika jimbo la Tarime Mjini, Easter Matiko, ameibua mjadala kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kufuatia mama yake...

Makala & Uchambuzi

Kushika dola si kazi

VYAMA vingi vya siasa vimejaa ubinafsi, tamaa ya madaraka na kutaka kushinda uchaguzi ili kutawala. Ajenda hiyo ni rahisi mno. Anaandika Faki Sosi...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo: Kangi Lugola anafanya kazi kwa kulipuka

CHAMA cha ACT-Wazalendo wamesisitiza kuwa Kiongozi wao, Zitto Kabwe hatatii agizo lililotolewa na Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani, kwani hana mamlaka...

Habari za Siasa

Zitto amwibua Mbwa wa Lugola

SIKU moja baada ya Zitto Kabwe, kumweleza Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kwamba, ashughulike na mbwa wa polisi, hatimaye...

Habari za SiasaTangulizi

Upinzani wazidi kupukutika, Meya Ilala abwaga manyanga

OMARY Kumbilamoto, Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, ambaye pia ni Diwani wa kata ya Vingunguti kupitia tiketi ya Chama cha Wananchi CUF,...

Habari za Siasa

Upepo wa CCM wamtesa Lowassa

EDWARD Lowassa, Wziri Mkuu Mstaafu ameonesha kuteswa na hama hama ya wapinzani kuelekea Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Lowassa ambaye ni...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto amgomea Kangi Lugola

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini amegomea wito uliotolewa na Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Waziri wa kujisalimisha kwa...

Habari za Siasa

Mahakama yamuonya Mbowe kwa utoro

MWENYEKITI wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amepewa onyo na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kosa la kutohudhuria mahakamani hapo kwa mara mbili....

Habari za Siasa

Kubenea: Hakuna wa kuning’oa Chadema

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema kuwa, hakuna wa kumng’oa ndani ya chama hicho. Anaandika Faki Sosi…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

MwanaHALISI huru, kurejea mtaani

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeamuru gazeti la kila wiki la MwanaHALISI ambalo lilifungiwa na serikali, liendelee kuchapishwa. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). ...

Habari za Siasa

Serikali yazindua mpango wa Jiji la Dar es Salaam

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amezindua Master Plan (Mpango Mji) wa jiji la Dar es Salaam. Anaripoti Faki...

Habari za SiasaTangulizi

‘CCM inamvua nguo Chiza’

CHRISTOPHER Chiza, mgombea mteule wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Buyungu, Kigoma anakwenda kuumbuka. Anaripoti Faki Sosi …...

Habari MchanganyikoTangulizi

Nondo akamatwa tena na Polisi

MWENYEKITI wa Mtandao wa Wanafunzi nchini (TSNP), Abdull Nondo ametiwa mbaroni na jeshi la Polisi usiku kuamkia leo. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya vigogo Chadema yaiva

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imepanga kuanza kusikiliza kesi ya jinai inayowakabili viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na...

AfyaBusiness

Mkoa wako umeshika nafasi ipi maambukuzi ya VVU? Soma hapa

TUME ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) imeeleza kuwa, Virusi Vinavyosababisha Ukimwi (VVU) vinaendelea kusambaa na kwamba, wananchi wanapaswa kuwa na tahadhari. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

‘Ununuzi wa madiwani wahamia kwa Sugu,’ Dk. Tulia atajwa

WIMBI la baadhi ya madiwani kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), linatarajiwa kuendelea kutikisa jiji la Mbeya. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

MSETO kuiponza Tanzania Jumuiya ya Afrika Mashariki

SERIKALI ya Tanzania inaweza kuingia katika mgogoro katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kama haitatii maagizo waliyopewa na Mahakama ya Afrika Mashariki ya kulifungulia...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kwachafuka, watimua madiwani wake

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wilayani Mbeya, kimetangaza kuwavua uanachama madiwani wake watatu kwa madai ya “utovu wa nidhamu na kukiuka taratibu...

Michezo

Wema Sepetu ahukumiwa mwaka mmoja jela au faini

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kulipa faini ya Sh 1Milioni kwa kila kosa au kwenda jela mwaka...

ElimuTangulizi

NECTA watangaza matokeo ya kitado cha sita

BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta), limetangaza matokeo ya kidato cha sita leo Julai 13 na kuzitaja shule zilizoshika mkia kuwa ni pamoja...

ElimuTangulizi

Nondo aibua kikwazo mikopo Chuo Kikuu

MWENYEKITI wa Mtandao wa Wanafunzi Nchini (TSNP), Abdul Nondo amekitaja kikwazo kingine kwenye mikopo ya wanafunzi wa vyuo vikuu ni Wakala wa Usajili,...

Habari za SiasaTangulizi

Kambi Maalim Seif: Tutampa chama Lipumba

KAMBI mbili ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) zinaendea kuminyana huku kila moja ikishindwa kujua tamati ya mgogoro ndani ya chama hicho. Anaripoti Faki...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif ampiga ‘stop’ Prof. Lipumba

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimethibitisha kuwa hakitashiriki uchaguzi mdogo wa marudio katika jimbo la Buyungu, mkoani Kigoma, Jang’ombe Unguja na kata 79 Tanzania...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wamng’ang’ania Mtatiro, mwenyewe adai yupo Ngangari

MWENYEKITI wa Muda wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatito ameendelea kubaki mikononi mwa Polisi huku akituhumiwa kwa kusambaza ujumbe...

Habari za SiasaTangulizi

CUF: Bajeti ya Serikali ni hewa

CHAMA cha Wananchi CUF kimechambua bajeti ya serikali ya mwaka 2018/19 kuwa ni bajeti hiyo ni hewa na haina muafaka kwenye kuinua uchumi...

Kimataifa

Biashara za Saudia, Emirates, Bahrain, Misri zazuiwa Qatar

MGOGORO wa Qatar na mataifa jirani unazidi kukua na sasa taifa hilo (Qatar) limezuia kuingizwa biashara kutoka Saudi Arabia, Emirates, Bahrain na Misri....

Habari MchanganyikoTangulizi

Tanesco lawamani

SHIRIKA la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco) linatuhumiwa kuwalipisha wananchi malipo ya kuingiziwa umeme majunbani mwao bila kuwapa huduma husika kama ilivyo ahidi....

Habari MchanganyikoMichezo

Babu Tale ashindwa kulipa deni, alala sero

MENEJA wa msanii wa muziki wa Bongo fleva, Nasib Abdul ‘Diamond,’ Hamis Tale ‘Babu Tale’ amepelekwa rumande baada ya kushindwa kulipa fedha kama...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge lamuweka rehani Waziri Tizeba

BAJETI ya Wizara ya Kilimo iliyowasilishwa bungeni mjini Dodoma jana Jumanne, ni mzigo kwa wananchi na imelenga kuwanyonya wakulima. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

ACT, CCM wameendelea kuparuana juu ya ripoti ya CAG

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeeleza kuwa uchambuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) juu ya ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kimepotosha...

Habari za Siasa

Serikali watilia shaka uraia wa Abdul Nondo

MWENYEKITI wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo ameitwa Makao Makuu ya Uhamiaji kwa ajili ya kuhojiwa kuhusu uraia wake. Anaripoti Faki...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe na wenzake wakamilisha dhamana, waachiwa huru

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe na viongozi wenzake sita akiwemo Halima Mdee, Mbunge wa Kawe aliyeunganishwa katika kesi hiyo leo, wamekamilisha masharti ya...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wamshikilia Halima Mdee na ugonjwa wake

JESHI la Polisi limemkamata Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na kuendelea kumshikiria hadi sasa pamoja na kuwa mgonjwa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Bavicha wajitosa kulinda hatma ya Chadema

BARAZA la Vijana la  Chadema (Bavicha) limejiapiza kukulinda chama chao kwa gharama yeyote kwa kile walichodai ni hujuma za kutaka kukifuta na kufungwa...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema waishtaki Serikali ya JPM Umoja wa Ulaya

WABUNGE na Madiwani wa Chama cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wameishitaki SErikali ya Tanzania kwa Umoja wa Ulaya juu ya hali...

Habari za SiasaTangulizi

Mawakili, Hakimu kutoa hatima ya kutoletwa Mbowe na wenzake

MAWAKILI wa pande zote mbili wa kesi zinazowakabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake wamekutana na Hakimu Mkazi, Wilbard Mashauri kujua hatma ya...

Habari za SiasaTangulizi

Hiki ndicho kilichowakwamisha Mbowe na wenzake

VIONGOZI wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wanaendelea kusota rumande kwa hoja kwamba, wanaweza kuhatarisha usalama wa jamii. Anaandika Faki Sosi…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe na wenzake wapewa kesi ya Akwilina, wanyimwa dhamana

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema na viongozi watano wa chama hicho wamesomewa mashtaka nane katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu likiwemo la kufanya...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe na wenzake wafikishwa mahakamani Kisutu

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe na viongozi wengine wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusomewa mashtaka yanayowakabiri. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, viongozi Chadema wafutiwa dhamana

MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na viongozi wengine wandamizi wa chama hicho, “wameswekwa rumande,” kwenye kituo cha polisi...

Habari za Siasa

Deni la Taifa lazidi kupaa

RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Serikali (CAG) ya mwaka 2016/17 imeonyesha deni la Taifa limezidi kupaa kwa asilimia 12 ukilinganisha na ripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif amdhibiti Prof. Lipumba, amshika pabaya

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimepiga marufuku uanzishaji wa matawi mapya na kuagiza viongozi wake ngazi ya majimbo kuwa macho na nyendo zozote za...

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa, Mbowe waufuata waraka wa Maaskofu KKKT

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe na Mjumbe wa Kamati Kuu wa Chama hicho, Edward Lowassa wameshiriki kwenye ibada ya Jumapili ya matawi kwenye...

Habari za SiasaTangulizi

Mipango ya Jaji Mutungi, Lipumba kumng’oa Maalimu Seif yafichuka

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa Msajili wa vyama siasa nchini Jaji Francis Mutungi na Mwenyekiti...

error: Content is protected !!