MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo, ameomba neno haki, liongezwe katika wimbo wa taifa hilo, kwani...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2021VIONGOZI wa dini kutoka madhehebu mbalimbali nchini Tanzania, wamehimiza Watanzania kuwa walinzi wa haki za binadamu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro…(endelea). Wito huo...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2021RAIS mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Amani Abeid Karume ameeleza kufarijika kuona namna Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2021MADAI mapya ya ufisadi yaliyoibuliwa na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kwenye Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), hayawezi kumwacha salama,...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2021BODI ya Ligi kupitia kamati ya waamuzi, imemchagua Herry Sasii kuwa refa kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2021Mgombea urais nchini Kenya ameahidi mikopo ya kati ya Dola za Marekani 4,400 (Sh milioni 10.1) na 8,800 (Sh milioni 20.20) kwa...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Elsie Kanza amekutana kwa mazungumzo na Meya wa mji wa Dallas, Meya Eric Johsnon pamoja na...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021Rais wa Gambia, Adama Barrow ameshinda tena uchaguzi mkuu wa nchi hiyo katika kura zilizopigwa kwa mara ya kwanza kwa miongo kadhaa...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021DROO ya nane ya Kampeni ya ‘NMB Bonge la Mpango – 2merudi Tena,’ imefanyika mwishoni mwa wiki jijini Arusha, ambako Theofrida Masudi...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021Mahakama ya Rwanda imemhukumu kifungo cha miaka mitano jela aliyekuwa mkurugenzi wa gereza kuu la Kigali, Innocent Kayumba kwa kosa la kuiba...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021MKUU wa Wilaya ya Kinondoni (DC), jijini Dar es Salaam, Godwin Gondwe amewataka wanawake wajasiriamali, kusimamia malengo yao, kuboresha bidhaa wanazozalisha na...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021WAANDISHI wa habari na watangazaji wamepata chanjo ya ugonjwa wa maambukizi ya korona (UVIKO-19), huku wakitakiwa kujali afya zao kwanza katika utendaji...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Elsewedy Electric East Africa Ltd kwa ukanda wa Afrika Mashariki, Mhandisi Ibrahim Qamar amesema katika awamu ya...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaagiza watendaji wake wawaoneshe wawekezaji kuwa nchi imebadilika, kwa kuwa imeboresha mazingira ya uwekezaji. Anaripoti Regina...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ameishukuru Serikali chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021KAULI ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa kuna makundi ndani ya Serikali yanaendekeza ubadhirifu na kuishutumu Serikali yake, imeibua wadau...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemwapisha Profesa Adelardus Kilangi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazil. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea)....
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na uchakavu wa vivuko vya sasa vinavyotoa huduma kati ya Kigamboni na Kivukoni (Ferry), Serikali imepanga...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021Klabu ya Soka Simba imefuzu kwenda hatua ya makundi katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika licha ya kuambulia kipigo cha bao...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2021KATI ya wanakwaya 24 ambao wameripotiwa kufariki dunia kutokana na ajali mbaya ya basi iliyotokea katika mto wa Enziu, eneo la Mwingi...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2021DUNIANI kuna mambo ya kushangaza, ndivyo unaweza kutafisiri Uchaguzi Mkuu wa Gambia baada ya kushuhudiwa wananchi wa taifa hilo lililo magharibi mwa...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Watanzania na wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam kuacha tabia kufungulia chemba za vyoo...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameitaka sekta binafsi iweke kipaumbele na kuzingatia usawa wa kijinsia katika utoaji wa ajira hasa wanawake...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2021BARAZA la Vyama vya Siasa, limezungumzia miaka 60 ya uhuru wa Tanzania Bara, likisema nchi ina Katiba nzuri, pamoja na mihimili iliyo...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ameanika ubadhirifu wa kutisha katika mikataba ya ujenzi wa meli tano za Kampuni za kuhudumia Meli Tanzania (MSCL)...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2021Shirika la Taifa la Madini (STAMICO) limesaini mkataba wa makubaliano ya awali na Kampuni ya Suness Limited ya Italia kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2021CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeiomba Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, ifute kesi zinazowakabili wanasiasa, ikiwemo ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema,...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2021RAIS Samia amesema kuna makundi yaliyopo ndani ya serikali ambayo yanaendekeza ubadhirifu na kugeuka kusema kwamba ufisadi na mambo ya hovyo yamerudi...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2021MOTO umewaka ndani ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) pamoja na Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), baada ya Rais Samia...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2021MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mutungi, amekiandikia barua Chama cha Wananchi (CUF), akikitaka kijieleze dhidi malalamiko ya wanachama...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2021Wawekezaji zaidi ya 140 kutoka Italia wamewekeza katika miradi mbalimbali nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Takwimu hizo zimetolewa na Naibu Waziri Wizara...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2021WADAU wa ukatili wa jinsia nchini Tanzania, wameshauri waajiri wote pamoja na Serikali kuchukua hatua madhubuti ya kukomesha vitendo vya ukatili vinavyorejesha...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2021MAHAKAMA ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR), imeamuru Serikali ya Tanzania, imlipe fidia ya zaidi ya Sh. 50 milioni,...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imechangia zaidi ya Sh milioni 84 kusaidia mipango ya serikali katika mapambano dhidi ya VVU na...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021ALIYEKUWA mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Christian Makonda, anatarajiwa kutinga mahakamani, kesho Ijumaa, tarehe 3 Desemba 2021, ili kujibu...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewatembelea mawaziri wakuu wastaafu, Cleopa Msuya na Jaji Joseph Warioba. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezindua rasmi maadhimisho ya sherehe za uhuru wa miaka 60 Tanzania Bara na kuwataka Watanzania kuchukua tahadhari dhidi...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amesema ili nchi iondokane na upungufu wa sukari, inahitajika uongozi madhubuti katika kusimamia uzalishaji wake....
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Simba ya Tanzania, amejinyakulia tuzo na Sh.2 milioni, baada ya kuchaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mashabiki wa...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza mamlaka husika kuchukua hatua kali za kisheria kwa watakaobainika kuwanyanyapaa na kuwabagua Watu Wanaoishi na Virusi vya...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameitumia salamu za pongeza timu ya taifa ya soka la wenye ulemavu ‘Tembo Warriors’ kwa kufuzu...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021WAZIRI wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania, Profesa Kitila Mkumbo amesema, kila mwaka kuanzia 2022, wizara hiyo itakuwa ikitoa zawadi kwa wanafunzi...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021WAZIRI Mkuu wa zamani wa Lesotho, Thomas Thabane amefikishwa mahakamani anakoshitakiwa kwa mauaji ya mke wake, Lipolelo Thabane, yaliyotokea mwaka 2017. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021MJUMBE wa Kamati Kuu, ya Chama cha ACT-Wazalendo, Hamad Masoud Hamad, ametangaza nia ya kugombea uenyekiti wa chama hicho, iliyoachwa wazi na...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021TIMU ya Tanzania ya soka kwa wenye ulemavu ‘Tembo Warriors’ imefuzu kucheza kombe la dunia Uturuki 2022. Anaripoti John Mapepele, MAELEZO…(endelea). Ni...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM ) kimesema, iwapo kila Mtanzania atawajibika na kufanya kazi kama yalivyo malengo, mipango na...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021Serikali mkoani Mtwara imesema ipo tayari kuonesha ushirikiano zaidi na taasisi pamoja na wadau mbalimbali wenye nia thabiti na mipango inayolenga kuwasaidia...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021TIMU ya Yanga imeendelea kujichimbia kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2021/22, kwa kuibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Mbeya...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kithuleri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo ametoa wito kwa wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wa dini kuhakikisha...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limetoa ufafanuzi kuhusu vitendo vya rushwa, ulaghai na utapeli vinavyofanywa na baadhi ya watu wasio...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021