Thursday , 2 May 2024
Home Gazeti Habari Kakoko tena TPA, Takukuru…
Habari

Kakoko tena TPA, Takukuru…

Injinia Deusdedit Kakoko
Spread the love

 

MADAI mapya ya ufisadi yaliyoibuliwa na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kwenye Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), hayawezi kumwacha salama, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo, Mhandisi Deusdedit Kakoko.

Taarifa kutoka serikalini na TPA, zinasema karibu maeneo yote ambayo Rais Samia ameyagusia katika hotuba yake, hadi kuamua kuvunja bodi ya wakurugenzi ya mamlaka ya bandari, yalifanyiwa kazi wakati wa utawala wa Kakoko.

Kakoko ambaye alisimamishwa kazi na Rais Samia mwanzoni mwa mwaka huu, na kuchunguzwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru).

Soma undani wa habari hii, katika Gazeti la Raia Mwema leo Jumanne, tarehe 7 Desemba 2021.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

HabariSiasa

Dk. Rose Rwakatare atoa kadi 500 kila Wilaya Morogoro

Spread the loveMWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk...

ElimuHabari

CBE, WMA wasaini makubaliano wanafunzi kusoma wakifanyakazi

Spread the loveNAIBU Spika Musa Azzan Zungu amekipongeza Chuo cha Elimu ya...

HabariTangulizi

Dk. Slaa, Mwabukusi kuhojiwa na jeshi la Polisi Mbeya

Spread the loveJESHI la Polisi jijini Mbeya, linawashikilia kwa mahojiano Dk. Wilbroad...

HabariHabari Mchanganyiko

Kairuki Hospital Green IVF  yawanoa madaktari kuhusu upandikizaji mimba

Spread the love KITUO cha Upandikizaji Mimba cha Kairuki Hospital Green IVF...

error: Content is protected !!