Friday , 26 April 2024
Home mwandishi
8721 Articles1246 Comments
Habari za Siasa

Ziwa Victoria kutumika kilimo cha umwagiliaji

  SERIKALI ya Tanzania imesema inafanya tathimini katika mikoa yote inayolizunguka Ziwa Victoria ili kuanza ujenzi wa miundombinu ya umwagiliaji. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

Ambaka mtoto wa miezi sita akijaribu dawa ya nguvu za kiume

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amesema Jeshi la Polisi mkoani Geita, linamshikiria mtu mmoja kwa tuhuma za...

Habari za SiasaTangulizi

Tutatoa ruzuku hadi bei mafuta ikae sawa duniani-Samia

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itaendelea kukata matumizi yake kila mwezi na kutoa ruzuku ya mafuta hadi pale bei...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri: Hakuna sababu ya Lema, Lissu kutorejea nchini

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amesema Rais Samia Suluhu Hassan, ametengeneza mazingira mazuri ya kisiasa na kuifanya...

Habari Mchanganyiko

Kitengo cha kudhibiti fedha haramu chaelemewa

  KITENGO cha kudhibiti fedha haramu nchini Tanzania kimeelemewa na miamala iliyotiliwa mashaka ambayo inatakiwa kufanyiwa uchunguzi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....

Habari za Siasa

Bunge: Serikali ifanye tathimini maombi ahirisho la madeni

  SERIKALI imeshauriwa kufanya tathimini ya kina kabla ya kuomba ahirisho la kulipa madeni ya Serikali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Serikali...

Tangulizi

Mbunge: Dk. Mwigulu unafeli wapi? futa leseni hizi

MBUNGE wa Mbogwe, Nicodemas Maganga (CCM) leo Jumanne amemtaka Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba kutumia mamlaka aliyonayo kuzifutia leseni benki...

Habari za Siasa

Wizara ya fedha waomba bajeti Sh trilioni 14

  WIZARA ya Fedha na Mipango, imeliomba Bunge lipitishe bajeti ya Sh. 14.94 trilioni, kwa ajili ya matumizi yake katika mwaka wa fedha...

Makala & Uchambuzi

Mambo yanayombeba Rais Samia kimataifa

  KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres aliwahi kusema; “Ushirikiano wa kimataifa na diplomasia vimethibitisha kuwa na faida na huduma...

Habari za Siasa

Kamati yashauri akaunti jumuifu kuanzishwa haraka

  SERIKALI imeshauriwa kuanzisha “mara moja” akaunti jumuifu kwaajili ya ukusanyaji wa mapato ya muungano ili kuondokana na kero za Muungano katika suala...

Habari za Siasa

Trilioni nane zahudumia deni la Taifa

  SERIKALI ya Tanzania, imesema hadi kufikia Aprili 2022, imetumia kiasi cha Sh. 8.0 trilioni, kati ya Sh. 10.6 trilioni, ilizopanga kugharamia deni...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Waziri Mkuu Uingereza aponea kung’olewa

  WAZIRI mkuu wa Uingereza, Boris Johnson aponea chupu chupu kuondoka madarakani, kufuatia kura ya kutokuwa na imani naye kushindwa kufaulu. Anaandika Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Bagonza aibua mjadala Dk. Mwaikali kuvuliwa uaskofu

  ASKOFU wa Kanisa la Kiingili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe Mkoa wa Kagera, Dk. Benson Bagonza ametoa uchambuzi wa namna...

Habari za Siasa

Bunge lataka Ofisi Msajili wa Hazina kuongezewa fedha

  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, imeishauri Serikali kuiongezea fedha fungu maalumu Ofisi ya Msajili wa Hazina ili iweze kulipa madeni...

Habari Mchanganyiko

Mfumuko wa bei wapanda, mzunguko wa fedha waongezeka

  WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema katika kipindi cha Julai 2021 hadi Aprili 2022, mfumuko wa bei umeongezeka hadi...

Michezo

Serengeti Girls yatinga bungeni, Nahodha ahutubia

  NI heshima kubwa. Ndivyo unaweza kuelezea kile ambacho Timu ya Taifa ya soka la Wanawake chini ya miaka 17 ‘Serengeti Girls’ ya...

Tangulizi

COSOTA kukusanya, kugawa mirabaha ya Bil. 1.3/- mwaka 2022/23

  TAASISI ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) inatarajia kukusanya mirabaha yenye thamani ya Sh.1.3 bilioni na kuigawa kwa wabunifu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

Habari za Siasa

CCM yakabidhi miradi ya maji kwa viongozi wa dini

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeikabidhi miradi ya maji ya miji 28, kwa viongozi wa dini, ikitaka iwaombee watu watakaohusika katika utekelezaji wake...

HabariMichezo

Rais Samia awamwagia pongezi Serengeti Girls

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameipongeza Timu ya Taifa hilo ya soka la Wanawake chini ya miaka 17 ‘Serengeti Girls’ kwa...

Tangulizi

Kauli ya Nape yamuibua Membe

WIKI moja baada ya mwanasiasa nguli nchini, Benard Membe kurejea rasmi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) tangu alipofukuzwa mwaka 2020, hatimaye ameeleza...

HabariMichezo

Tanzania yatinga kombe la Dunia kwa mara ya kwanza

  TIMU ya Taifa ya Wasichana chini ya umri wa miaka 17, (Serengeti Gilrs), imefanikiwa kutinga kwa mara ya kwanza kwenye fainali za...

Habari Mchanganyiko

Serikali kuhamia Dodoma, ndoa za vigogo zatikiswa

  NDOA za baadhi ya vigogo na watumishi wa umma waliohamishiwa Dodoma, lakini familia zao kubaki Dar es Salaam nchini Tanzania zimetikiswa na...

Habari za Siasa

Majaliwa akemea utiririshaji maji machafu, atoa maagizo 15

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekemea tabia ya utiririshaji wa maji machafu na majitaka kutoka viwandani na kwenye migodi kwani inachangia...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ukatili: Mke adaiwa kuuawa na mumewe, kiwiliwili chatenganishwa, viungo vyatawanywa

  KATIKA hali ya kushangaza na kusikitisha, mkazi wa kitongoji cha Lubela, mtaa wa Nyashimbi kata ya Mhongolo wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga,...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo waibua hoja sita bodi ya mikopo

  NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT Wazalendo nchini Tanzania imebuka na hoja sita dhidi ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mwaikali avuliwa hadhi ya Uaskofu

  KANISA la Kiinjili la Kulutheli Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde imetangaza kumwondolea wakfu wa Uaskofu, Dk. Edward Mwaikali aliyekuwa askofu wa Dayosisi...

Habari

ARU yabuni teknolojia ya ujenzi rafiki kwa mazingira

CHUO Kikuu Ardhi (ARU), kupitia Taasisi yake ya Utafiti ya Nyumba wamebuni teknolojia ya ujenzi wa gharama nafuu kwa kutumia matofali  ambayo ni rafiki...

Michezo

Try Again: Simba tunarudi kwa kishindo

  MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa timu ya Simba nchini Tanzania, Salim Abdallah maarufu ‘Try Again’ amesema, wamejipanga kufanya mabadiliko makubwa kwenye...

Habari za Siasa

Chongolo akemea upendeleo serikalini

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Daniel Chongolo amekemea tabia ya baadhi ya watendaji wa serikali kupanga watumishi wa...

Makala & Uchambuzi

CAG apewe ulinzi atake asitake

  FIKIRIA unarudi nyumbani kwako, unakutana na kisanga cha vijana wawili wameraruriwa na mbwa wako, na wako taabani. Unauliza unaambiwa ni vibaka wameruka...

Habari Mchanganyiko

Askofu Mwaikali ashindwa, mrithi wake KKKT Konde kusikimikwa J2

  MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Mbeya nchini Tanzania imeyatupitilia mbali maombi yote mawili ya aliyekuwa Askofu wa KKKT Dayosisi ya Konde, Edward Mwaikali...

Habari MchanganyikoTangulizi

‘Tattoo’ zazua mtafaruku sh Dar

  HOFU imetanda kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mtongani, kata ya Kunduchi, Kinondoni, Dar es Salaam nchini Tanzania baada ya wanafunzi wake...

Habari MchanganyikoTangulizi

Uamuzi Askofu mteule KKKT Konde kusimikwa kujulikana leo

  MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya leo Ijumaa tarehe 3 Juni 2022, inatarajia kutoa uamuzi wa kupinga Askofu mteule, Geofrey Mwakihaba...

Tangulizi

Utalii wa faru weupe kuanzishwa hifadhi za Burigi-Chato, Mikumi

WAZIRI wa Mali Asili na Utalii, Dk. Pindi Chana amesema katika kupanua wigo wa utalii na mapato, Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania...

Tangulizi

TANAPA kutumia teknolojia kuimarisha ulinzi, usimamizi wa hifadhi

  SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) linatarajia kuimarisha ulinzi na usimamizi wa hifadhi kwa kuboresha matumizi ya sayansi na teknolojia. Anaripoti...

Habari za Siasa

Shaka awakomalia viongozi Mtwara

  KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ameziagiza mamlaka husika kuhakikisha mradi wa maji...

Habari za Siasa

Mbunge Ditopile ampongeza January, amtishwa “mfupa wa LNG”

  MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma (CCM), Mariam Ditopile amemtaka Waziri wa Nishati, January Makamba kuwa makini na Mardi wa Gesi...

Habari za Siasa

Maige ahoji sababu Tanzania kushindwa kugundua mafuta

  MBUNGE wa jimbo la Uyui nchini Tanzania, Almasi Maige, amehoji sababu ya Tanzania kushindwa kupata nishati ya mafuta licha ya kuwa na...

Habari za Siasa

Chongolo ampe maagizo mbunge wake

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemtaka Mbunge wa Itilima, Njelu Silanga kuwawezesha wakulima wa jimbo hilo kuhakikisha kila...

Habari Mchanganyiko

Mbunge ataka wananchi waunganishiwe umeme bure

  MBUNGE wa jimbo la Mlimba mkoani Morogoro nchini Tanzania, Godwin Kunambi, ameitaka Serikali kuja na mpango wa kuunganisha umeme bure na kisha...

Habari za Siasa

CCM yatoa siku 30 vigogo maliasili na utalii

  WIZARA ya Maliasili na Utalii nchini Tanzania imepewa mwezi mmoja (siku 30) ihakikishe watendaji wake wa wanaohusika na wanyamapori wawe wamefika Meatu...

Tangulizi

Wananchi Ngara waonywa kutouza ardhi kiholela

  WANANCHI wa Wilayani Ngara Mkoa wa Kagera nchini Tanzania wametakiwa kuacha kuuza ardhi kiholela na kuepuka kulima kwenye vyanzo vya maji. Anaripoti...

Habari za Siasa

Dk. Ndugulile aendelea ‘kulilia’ vivuko Kigamboni

  MBUNGE wa Kigamboni jijini Dar es Salaam kupitia chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Faustine Ndugulile amesema, kilio cha...

Habari Mchanganyiko

Mgogoro KKKT Konde: Jaji atoa ushauri, uamuzi Juni 3

  MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imeshauri pande zinazokidhana ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheni Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde...

Habari za Siasa

Sabaya abubujikwa machozi, amwangukia Rais Samia

  ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania, Lengai Ole Sabaya amebubujikwa machozi mahakamani wakati akimwomba Rais Samia Suluhu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mashtaka mapya 7 ya Sabaya na wezake, mvutano waibuka

  ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi...

Habari za Siasa

REA sasa kusambaza gesi asilia vijijini

  KUTOKANA na ukubwa wa gharama za miundombinu ya usambazaji wa gesi asilia, Kampuni ya Mandeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Wakala wa...

Habari za Siasa

Mfumo kuzuia upotevu wa mafuta wakati wa upakuaji mbioni

  SERIKALI ipo mbioni kuanza matumizi ya teknolojia ya kisasa katika shughuli za upakuaji mafuta kutoka kwenye meli ili kuepuka udanganyifu na upotevu...

Habari za Siasa

Mradi wa Umeme Rufiji kutumia asilimia 51 ya bajeti nzima ya Nishati

SERIKALI imetenga Sh 1.44 trilioni katika mwaka wa fedha 2022/23 kwaajili ya kutekeleza kazi mbalimbali kwenye mradiMradi wa Kuzalisha Umeme kwa Kutumia Maji...

Habari za Siasa

Mbowe azungumzia Rais Samia kutinga uzinduzi kitabu cha Sugu

  MWENYEKITI wa Chama cha Chadema, Freeman Mboiwe, amesema hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuzindua kitabu cha msanii mkongwe wa muziki wa...

error: Content is protected !!