SERIKALI imetopa ruzuku ya Sh 100 bilioni kwa kipindi cha mwezi mmoja kwaajili ya kuleta ahueni katika bei ya nishati ya mafuta....
By Mwandishi WetuMay 10, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana kwa mara nyingine na kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini humo cha Chadema, Freeman...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefanya ziara katika Bohari ya Dawa (MSD) na kuagiza watu wote waliohusishwa na tuhuma za ubadhirifu...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022MKUTANO Mkuu Maalum wa Chama cha Waandishi wa Habari Dar es Salaam (DCPC) nchini Tanzania, umewavua nyadhifa viongozi wake kwa kutotimiza ipasavyo wajibu...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022NAIBU Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel, amesema kiwanda cha kutengeneza mionzi inayotibu ugonjwa saratani, kinatarajiwa kuanza kufanya kazi Juni, 2022. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022MBUNGE wa Kawe, Askofu Dk. Josephat Gwajima (CCM) leo Jumatatu amesema licha ya kwamba ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) lilikuwa wazo...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022MVUTANO umeibuka bungeni baina ya Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo na Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba kuhusu nchi kuporomoka kutoka...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022GAVANA wa Benki Kuu ya Nigeria (CBN), Godwin Emefiele amejitosa katika kinyang’anyiro cha kuteuliwa na chama cha All Progressive Congress kuwa mgombea...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, ameishauri Serikali ifanye uchunguzi dhidi ya Kampuni ya kuzalisha umeme ya Symbion Power, kabla ya kuilipa zaidi...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022MBUNGE wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi, ameitaka Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kuunda kikosi kazi cha masuala ya uchuimi kama ambayo...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaagiza viongozi akiwemo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo la...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es limesema limefanikiwa kuwakamata watu 31 kwa tuhuma za unyang’anyi, kujeruhi na kupora maarufu kama...
By Mwandishi WetuMay 7, 2022NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Nishati nchini Tanzania, Kheri Abdul Mahimbali leo ametembelea Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) na kupata...
By Mwandishi WetuMay 7, 2022MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa msaada wa kompyuta mpakato tatu zenye thamani ya zaidi ya...
By Mwandishi WetuMay 7, 2022WAKAZI wa Kata ya Nzuguni Jijini Dodoma wamepanga kuandamana hadi kwa Diwani wao, Mzee Aloyce (CCM) ili wamshinikize kujiuzulu kwa kushindwa kutimiza...
By Mwandishi WetuMay 7, 2022MAHAKAMA Kuu ya Kanda ya Arusha imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili waliokuwa wamekata rufaa...
By Mwandishi WetuMay 6, 2022MTOTO aliyejulikana kwa jina la Tofa Simchimba (5) mkazi wa kijiji cha Chizumbi kata ya Ukwile wilayani Mbozi mkoani Songwe, anadaiwa kuuawa...
By Mwandishi WetuMay 6, 2022WAZIRI wa Viwanda Biashara na Uwekezaji, Dk. Ashatu Kijaji amesema Serikai imefanya tathimini ya upandaji wa bei za bidhaa nchini na kuchukua hatua...
By Mwandishi WetuMay 6, 2022SERIKALI imetangaza nafasi za kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa ya mwaka 2022 itakayofanyika Agosti 23 mwaka huu. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekemea tabia ya baadhi ya maafisa ununuzi wa umma kukubali zabuni za watoa huduma zenye bei...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022Kampuni ya vinjwaji Baridi ya Coca Cola kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Dunia (FIFA), linatarajia kulileta nchini kombe la Dunia...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni, amesema jumla ya makosa makubwa 39,182 yameripotiwa katika vituo vya polisi katika kipindi cha...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeweka kipaumbele kwa mafunzo na ununuzi wa sare za askari ambapo jumla ya Sh 34.7...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameishauri Serikali kuondoa tozo zisizo na athari katika miradi muhimu kwa wananchi pamoja...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022KATIKA utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya mwaka 2021/2022 Wizara ya Mambo, Serikali imelipatia jeshi la polisi helkopta moja kwaajili ya kutekeleza...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022SERIKALI ya Tanzania imeongeza siku nne zaidi kwa waombaji wa ajira za ualimu na afya kutoka jana Jumatano tarehe 4 hadi 8...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022MKUTANO wa saba kikao cha 16 cha Bunge la Tanzania leo Alhamisi kumesimamisha shughuli zake za kawaida na kuanza kujadili kupanda kwa...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia mbadala zitakazopunguza gharama ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda kwa...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake inawachukulia hatua watu wanaotajwa kufanya ubadhirifu katika ripoti za ukaguzi za Mdhibiti na...
By Mwandishi WetuMay 4, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeishauri Serikali iondoe tozo ya Sh. 500 kwa kila lita ya mafuta ya dizeli, petroli na mafuta ya taa,...
By Mwandishi WetuMay 4, 2022RAIS Samia amesema alinukuliwa vibaya na vyombo vya Habari vilivyosema kwamba alisema hakuwa na maelewano mazuri na Rais John Magufuli kipindi yeye akiwa...
By Mwandishi WetuMay 4, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inaangalia hesabu zake kama zinarhusu kupandishwa kwa kima cha chini na mshahara na kusisitiza kuwa watumishi wataendelea kupandishwa...
By Mwandishi WetuMay 4, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kinatarajia kufanya maadhimisho ya kitaifa ya miaka nane ya kuzaliwa kwake, kesho Alhamisi, tarehe 5 Mei 2022, jijini Mwanza....
By Mwandishi WetuMay 4, 2022INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, ameagiza wananchi wanaokataa kulipia huduma ya ulinzi shirikishi (Sungusungu), wachukuliwe hatua za kisheria kwa...
By Mwandishi WetuMay 4, 2022TAASISI ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (Misa-Tanzania) limebainisha changamoto tano zinazokwaza tasnia ya habari nchini humo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 3, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewatakia kheri ya Eid El Fitri Waislamu na Watanzania wote huku akiwataka kusherekea kwa amani na...
By Mwandishi WetuMay 3, 2022KAMATI ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu (Kamati ya Saa 72), imezipiga faini klabu za Simba na...
By Mwandishi WetuMay 2, 2022LEO ni Mei Mosi, sikuu ya wafanyakazi duniani ambayo kitaifa nchini Tanzania inafanyikia Uwanja wa Jamhuri Dodoma na mgeni rasmi ni Rais...
By Mwandishi WetuMay 1, 2022JAJI Mkuu Mstaafu wa Kenya, Willy Mutunga amezindua kitabu chake alichokipa jina la ‘Beacons of Judiciary Transformation’ leo Ijumaa tarehe 29 Aprili...
By Mwandishi WetuApril 29, 2022RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amemweleza Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole umuhimu wa kuifanyia kazi na kuipa kipaumbele...
By Mwandishi WetuApril 29, 2022WAZIRI wa Madini, Doto Biteko, amesema biashara ya madini nchini imeendelea kuimarika huku bei ya madini muhimu kama dhahabu na almasi ikizidi...
By Mwandishi WetuApril 29, 2022UHAMISHAJI soko la madini ya Tanzanite kutoka Arusha kwenda Mirerani, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, limewagawa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)....
By Mwandishi WetuApril 29, 2022CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, kinafanyia uhakiki madeni ya wafanyabiashara saba waliosema wanakidai, kutokana na kazi kiliyowapa wakati...
By Mwandishi WetuApril 29, 2022SERIKALI imesema imefanikiwa kukamata madini ya Sh 501.2 milioni katika matukio ya utoroshaji katika kipindi cha kati ya Julai 2021 hadi Machi...
By Mwandishi WetuApril 29, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa shukrani kwa wote waliohusika katika maandalizi ya uzinduzi wa Filamu ya The Royal Tour nchini...
By Mwandishi WetuApril 29, 2022WIZARA ya Madini imepokea Sh 1.5 bilioni pekee kwaajili ya miradi ya maendeleo hadi kufikia Machi 2022 sawa na asilimia 10 ya...
By Mwandishi WetuApril 29, 2022MBUNGE Viti Maalumu (CCM), Neema Lugangira, ameshauri Sheria ya Vyama vya Siasa irekebishwe ili kumpa meno Msajili wa Vyama vya Siasa katika...
By Mwandishi WetuApril 28, 2022MBUNGE wa Madaba, Joseph Mhagama, amesema kivutio namba moja cha wawekezaji na biashara nchini ni utawala wa sheria. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuApril 28, 2022MBUNGE wa Sengerema, Hamis Tabasamu ameibua “mambo mazito” bungeni kuhusu kuchezewa kwa tenda ya uagizaji wa mafuta ya Tarehe 18 Aprili 2022. Anaripoti...
By Mwandishi WetuApril 28, 2022MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina ameliomba Bunge kuunda kamati ya kiuchunguzi ili kujua sababu ya Kamati ya Majadiliano ya Kesi ya Makinikia kukubali...
By Mwandishi WetuApril 28, 2022