SERIKALI kupitia Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) imetoa kiasi Sh.4.2 bilioni ili kujenga daraja jipya la Msadya lililopo kata ya...
By Mwandishi WetuMay 21, 2022MWENYEKITI wa NCCR- Mageuzi, James Francis Mbatia, amedai kuwa unaoitwa, “mkutano wa Halmashauri Kuu (NEC) ya chama chake” uliomsimamisha wadhifa wake,...
By Mwandishi WetuMay 21, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, kimeishauri Serikali kutowateua wanajeshi katika nafasi za uongozi wa umma, ili kuwatenga na siasa. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuMay 20, 2022IDADI ya vyombo vya habari nchini Tanzania imeendelea kuongeza mwaka hadi mwaka ambapo kwa mwaka 2021/22 idadi hiyo imeongezeka kwa kasi. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMay 20, 2022HADI kufikia tarehe 30 Aprili, 2022 Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (Fungu 68) imepokea jumla ya Sh. bilioni 129.7...
By Mwandishi WetuMay 20, 2022KAMATI ta Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeishauri Serikali kuimarisha sekta ya habari na mawasiliano, kwa kuwa ni chachu ya maendeleo ya...
By Mwandishi WetuMay 20, 2022KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeishauri Mamlaka ya Mawasiliano ya Tanzania (TCRA), ifanye majadiliano na kampuni za simu ili kutafuta...
By Mwandishi WetuMay 20, 2022MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff amemuagiza meneja wa TARURA Mkoa wa Katavi, Mhandisi Innocent...
By Mwandishi WetuMay 19, 2022MBUNGE wa Viti Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Asia Halanga amempongeza Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan na...
By Mwandishi WetuMay 19, 2022KIUNGO mkabaji wa klabu ya Yanga Zawadi Mauya ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga utakaomfanya kusalia ndani ya...
By Mwandishi WetuMay 19, 2022Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga, Mohammed Nasredine Nabi amewataka mashabiki wa klabu hiyo kutulia kwa sasa kuhusu suala la ubingwa, kwani...
By Mwandishi WetuMay 19, 2022SERIKALI nchini Tanzania imesema imefanikiwa kuwapatia vijana 45,047 mafunzo ya ukakamavu, stadi za kazi, kuwajengea uzalendo na umoja wa kitaifa katika operesheni...
By Mwandishi WetuMay 19, 2022WIZARA ya ulinzi nchini Tanzania imekusanya maduhuli yake kwa asilimia 1,288.95 baada ya kukusanya kiasi cha Sh 15.4 milioni kati ya Sh...
By Mwandishi WetuMay 19, 2022SERIKALI ya Tanzania imesema imetoa maelekezo kwa mameneja wote wa mikoa na wilaya kuwaunganishia umeme wale wote waliokuwa wameshalipia Sh 27,000 kabla ya...
By Mwandishi WetuMay 19, 2022CHAMA Cha Waandishi wa Habari Wanawake nchini Tanzania (Tamwa), kimeishauri serikali kuanzisha sera maalum ya familia ili kukabiliana na changamoto zinazoibuka kwenye...
By Mwandishi WetuMay 18, 2022WAZIRI wa Nishati, Januari Makamba, amesema ifikapo Desemba mwaka huu vijiji vyote vya mkoa wa Tabora ambavyo havijafikiwa na umeme vitakuwa vimeunganishwa....
By Mwandishi WetuMay 18, 2022MTENDAJI Mkuu wa Mamlaka ya Barabara Vijijini na Mijini (Tarura), Mhandisi Victor Seff ametoa mwezi mmoja kwa Tarura Wilaya ya Tanganyika Mkoa...
By Mwandishi WetuMay 18, 2022MBUNGE wa Viti Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Mariam Ditopile ameimpongeza Serikali inayoongozwa na Rais wa nchi hiyo, Samia...
By Mwandishi WetuMay 18, 2022WAKATI ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa ukingoni, huku bado kukiwa na vita ya ubingwa Kati ya mafahari wawili wa soka la Tanzania, kkabu...
By Mwandishi WetuMay 17, 2022JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limewafikisha katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, watuhumiwa 25 wa uhalifu wa kutumia...
By Mwandishi WetuMay 17, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeishauri Serikali ya Morocco iitishe kura ya maoni ili wananchi wa Sahara Magharibi, waamue kama wanakubali kuwa Taifa huru...
By Mwandishi WetuMay 17, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema mafanikio ya utekelezaji wa miradi iliyoanzwa katika serikali ya awamu ya tano, yanawasuta watu wanaosema uongo kwamba...
By Mwandishi WetuMay 17, 2022KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe ameonesha kushangazwa na uamuzi wa Spika wa Bunge, Dk. Tulia...
By Mwandishi WetuMay 17, 2022MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imesema wabunge 19 wa Chadema (Covid 19) waliovuliwa uanachama wa chama hicho hivi karibuni wataendelea...
By Mwandishi WetuMay 16, 2022WANAWAKE 1,580 wamepoteza maisha nchini Tanzania wakati wa kujifungua katika kipindi cha mwaka mmoja wa 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuMay 16, 2022LICHA ya Halima Mdee na wenzake 18 kufukuzwa uanachama ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo Jumatatu tarehe 16 Mei...
By Mwandishi WetuMay 16, 2022MSHAMBULIAJI wa klabu ya Yanga, Fiston Mayele amefunguka sababu zilizofanya kushindwa kupachika bao lolote katika michezo minne ya Ligi Kuu Tanzania Bara,...
By Mwandishi WetuMay 15, 2022CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshangazwa na ukimya kwa wakuu wa mikoa (RC) na wilaya (DC) katika kuelezea mafanikio...
By Mwandishi WetuMay 15, 2022WAKATI Ugonjwa wa Lupasi unakadiria kuathiri watoto 15 kati ya watoto 52 waliopimwa serikali imeweka mikakati ya kukabiliana na ugonjwa huo ikiwa pamoja...
By Mwandishi WetuMay 14, 2022Watu weusi wana uwezekano mkubwa wa kujisikia upweke kuliko watu wengine kwa ujumla, kwa mujibu wa utafiti mpya. BBC imeripoti … (endelea). Takwimu...
By Mwandishi WetuMay 14, 2022MTAWALA wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan amechaguliwa rasmi kuwa rais leo tarehe 14 Mei,...
By Mwandishi WetuMay 14, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimetoa wito kwa watetezi wa haki za binadamu Tanzania kuungana na vyama vya siasa vya upinzani katika harakati za...
By Mwandishi WetuMay 14, 2022NAIBU Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amewataka makandarasi, waajiri na wasimamizi wa mradi kuwa na ushirikiano mzuri ili kuwezesha miradi ya...
By Mwandishi WetuMay 14, 2022CHAMA cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mbeya (MBPC) kimepata pigo baada ya kuondokewa na mwanachama wake wa muda mrefu, Hannerole Mrosso...
By Mwandishi WetuMay 14, 2022MBUNGE wa Kibamba, Issa Mtemvu ameonesha hofu yake ya kutoendelea kuwa mbunge wa jimbo hilo endapo changamoto ya upatikanaji wa maji haitatatuliwa...
By Mwandishi WetuMay 13, 2022WANAWAKE wanaoishi katika jamii zenye uhifadhi na usimamizi shirikishi wa misitu wameonesha mabadiliko makubwa katika kusimamia na utumiaji wa rasilimali hizo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 13, 2022RAIS wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa,ameyataka mashirika ya kimataifa na mashirika ya wafadhili kununua chanjo za Covid 19 kutoka kwa wazalishaji wa...
By Mwandishi WetuMay 13, 2022BAADHI ya Wabunge wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wametinga bungeni siku moja baada ya Baraza...
By Mwandishi WetuMay 13, 2022TAASISI ya Bloomberg Media Initiative Africa (BMIA) imetangaza kuanza kwa awamu ya pili ya programu ya mafunzo ya uandishi wa habari za masuala...
By Mwandishi WetuMay 13, 2022CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema kimesema, kimewasilisha barua kwa Spika wa Bunge kumweleza kuhusu hatima ya rufaa za waliokuwa...
By Mwandishi WetuMay 13, 2022KAMANDA wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, ACP Jumanne Muliro, amesema wanawashikilia watuhumiwa 23 kwa tuhuma za unyang’anyi wa...
By Mwandishi WetuMay 12, 2022KAMPUNI ya GF Trucks & Equipmentís imepanga kuanza kuwakopesha vitendea kazi wakandarasi ili kuhakikisha wakandarasi wadogo na wakati. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuMay 12, 2022RUFAA za Halima Mdee na wenzake 18 za kupingwa kufukuzwa uanachama na kamati kuu ya Chadema zimetupiliwa mbali na wajumbe wa Baraza...
By Mwandishi WetuMay 12, 2022BARAZA Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania limemaliza kusikiliza rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 . Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 11, 2022CHAMA cha ACT Wazalendo kimeitaka serikali kukabiliana na changamoto ya upungufu wa walimu na kuboresha elimu katika sekta hiyo. Anaripoti Rhoda Kanuti Dar...
By Mwandishi WetuMay 11, 2022KIONGOZI wa Harakati za nguvu za umma na Rais wa chama cha National Unit Platform (NUP), Robert Kyagulanyi Ssentamu amesema alishinda urais katika...
By Mwandishi WetuMay 11, 2022HALIMA Mdee na wenzake 18 wamesema wamefika kusikiliza rufaa zao wakisema “tuko tayari kwa lolote.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...
By Mwandishi WetuMay 11, 2022MKUTANO wa Baraza Kuu la chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema unafanyika leo Jumatano tarehe 11 Mei 2022, katika ukumbi...
By Mwandishi WetuMay 11, 2022KIONGOZI wa Korea Kaskazini Kim Un ametuma salamu za pongezi kwa Rais VIadimir Putin baada ya kusherekea Siku ya Ushindi ya Urusi...
By Mwandishi WetuMay 10, 2022SERIKALI imesema imeanza mchakato wa kuchukua mkopo kutoka Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha Duniani (IMF) kwa ajili ya kuwekaahueni...
By Mwandishi WetuMay 10, 2022