Thursday , 2 May 2024
Home mwandishi
8755 Articles1245 Comments
Habari Mchanganyiko

Fedha za CSR za Barrick zafanikisha miradi ya Elimu, Afya  Nyang’hwale

  MGODI wa Barrick Bulyanhulu uliopo mkoani Geita umefanikiwa kuboresha miundombinu ya elimu, afya na maji kutokana na fedha za kusaidia huduma za...

HabariHabari Mchanganyiko

Serikali kuiwezesha DMI vifaa vya kisasa na majengo

  SERIKALI imeahidi kukiwezesha Chuo cha Bahari (DMI), cha jijini Dar es Salaam kwa miundombinu bora na vifaa vya kisasa vya kufundishia ili...

Habari za Siasa

Waziri, Mbunge waparuana kisa Dodoma kuongoza kwa dhulma

  WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula amesema mkoa wa Dodoma sasa ndio mkoa unaoongoza kitaifa kwa migogoro ya...

Habari za SiasaTangulizi

Bulaya alia na kikokotoo kipya ataka kirudishwe asilimia 50

  MBUNGE wa Bunge la Tanzania, Esther Bulaya ameitaka Serikali kuachana na kikokotoo kipya cha mafao kinachompa mstaafu asilimia 33 ya mafao yake...

Kimataifa

Waziri Mkuu ajiuzulu, Rais amgomea

  WAZIRI Mkuu wa Ufaransa, Elisabeth Borne amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Rais Emmanuel Macron ambaye naye amepinga uamuzi huo. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Sanga amwomba Rais kuingilia kati uagizaji mbolea

  MBUNGE wa jimbo la Makete nchini Tanzania, Festo Sanga, amemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia katika suala la uagizaji mbolea kutokana na...

Michezo

Simba waachana na Pascal Wawa, kumuaga Alhamisi

  BENKI kisiki wa timu ya Simba ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, Pascal Wawa ametangazwa kuachana na timu hiyo aliyoitumikia kwa...

Habari za Siasa

Mbunge ataka nyongeza bajeti ya mazingira

  MBUNGE Viti Maalum, Mariam Omary amesema bajeti inayotengwa kwa ajili ya sekta ya mazingira ni ndogo, hivyo Serikali ianzishe sheria itakayoelekeza viwanda...

AfyaHabari za Siasa

Wabunge waibana Serikali gharama matibabu figo, Spika atoa maagizo

  WABUNGE wa viti maalum, wamehoji mkakati wa Serikali kupunguza gharama za matibabu ya ugonjwa wa figo ili kunusuru wagonjwa wasiokuwa na uwezo...

Habari za SiasaTangulizi

Sabaya aivaa Takukuru akisema ‘gerezani si pikiniki’

  ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania,Lengai Ole Sabaya amecharuka mahakamani na kudai mashtaka dhidi yake ni ya...

Habari za Siasa

Kamati Kuu CCM kukutana Dodoma

  KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Jumanne, tarehe 21 Juni 2022 inakutana jijini...

Habari

Prof. Mbarawa kufungua kongamano la uchumi wa bluu

  CHUO cha Bahari (DMI), kimewataka Watanzania kuchangamkia fursa ya mafunzo ya fani ya ubaharia kwa kuwa ina soko kubwa la ajira ndani...

Habari za Siasa

Bunge lacharuka mikopo makundi maalumu isipunguzwe

  WABUNGE wameiomba Serikali isipunguze kiwango cha mikopo inayotolewa na halmashauri kupitia mapato ya ndani kwa watu wa makundi maalum. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

Watatu mbaroni tuhuma kumjeruhi mtendaji Kata Morogoro

  JESHI la Polisi Mkoa wa Morogogo nchini Tanzania linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumshambulia Geoge Kaloya, ofisa mtendaji wa Kijiji ya...

Habari za SiasaTangulizi

VIDEO: Loliondo yamuibua Ole Sendeka bungeni, Spika na waziri wamtuliza

  MBUNGE wa Simanjiro (CCM) nchini Tanzania, Christopher Ole Sendeka ameibua sakata la wilaya nne za mikoa ya Arusha na Manyara ambazo zinaweza...

Habari za SiasaTangulizi

Mpina alilia kamati ya Bunge kuchunguza Bwawa la Nyerere

  MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpinga, ameliomba Bunge liunde tume kwa ajili ya kuchunguza masuala mbalimbali yenye tija kwa taifa, ikiwemo Mradi wa...

Habari za Siasa

Mbunge ashauri mabadiliko Sheria kuruhusu mifumo ya fedha ya Kiislamu

  MBUNGE wa jimbo la Wawi nchini Tanzania, Bakari Hamad Bakari, ameitaka Serikali kufanya marekebisho ya Sheria ili kuruhusu mfumo wa fedha wa...

Habari za Siasa

Sijawahi kupata heshima kama hii: Prof. Kabudi amshukuru Samia

  MBUNGE wa jimbo la Kilosa nchini Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumteua kuwa Mwenyekiti wa Timu Maalumu...

Habari za Siasa

Mbunge asema malengo na mipango haviendani ukarabati viwanja

  MBUNGE wa jimbo la ziwani nchini Tanzania, Ahmed Juma Ngwali, amesema mpango wa Serikali wa kuweka nyasi bandia katika viwanja vitano, hauendani...

Habari za SiasaTangulizi

#LIVE: Wabunge Tanzania wakiijadili Bajeti ya Serikali 2022/23

  MKUTANO wa saba, Kikao cha 47 cha Bunge la Tanzania kinaendelea leo Jumatatu tarehe 20 Juni 2022 jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Zumaridi ahofia uhai wake gerezani

MAWAKILI wa upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Mchungaji Diana Bundala, maarufu kama ‘Mfalme Zumaridi’ na wenzake wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza...

Habari Mchanganyiko

Vigogo jiji la Arusha kizimbani kwa uhujumu uchumi

  SERIKALI ya Tanzania imewapandisha kizimbani aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk. John Pima na wenzake wanne kwa mashitaka kutenda makosa nane...

Habari za Siasa

NCCR-Mageuzi yatangaza sekretarieti mpya, baada ya kuing’oa ile ya Mbatia

  CHAMA cha NCCR-Mageuzi, kimetangaza baadhi ya wajumbe wapya wa Sekretarieti ya chama hicho, baada ya kuvunja iliyokuwa inaongozwa na Mwenyekiti wake, James...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Sh66.86 Bil. zakusanywa tozo daraja la Kigamboni

  SERIKALI imesema jumla ya Sh66.86 bilioni zimekusanywa tangu kuanza kutoza tozo za kuvuka daraja la Kigamboni mwaka 2016. Anaripti Mwandishi Wetu, Dodoma...

Habari za Siasa

Mbunge alia ukata balozi za Tanzania

  MBUNGE wa Bunge la Tanzania, Felister Njau, ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Serikali kushindwa kutoa fedha zinazopangwa kupelekwa kwenye balozi za Tanzania...

Habari za Siasa

Mbunge ashauri matumizi vigae kuezekea kupunguza gharama

  MBUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Leornad Chamriho ameshauri matumizi ya bidhaa zinazotumia malighafi zinazozalishwa hapa nchini ikiwemo...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yamtaka CAG afanye ukaguzi maalum fedha za muungano

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeitaka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), afanye ukaguzi maalum kwenye mapato na matumizi...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Tulia acharuka Mawaziri ‘watoro’ bungeni

  SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson amewaagiza mawaziri waliopo bungeni kuwaita manaibu na mawaziri ambao hawahudhurii vikao vya Bunge licha ya kwamba...

Habari Mchanganyiko

Polisi Dar wamsaka mume aliyemuua mke

  GODBLES Sawe, mkazi wa Kimara jijini Dar es Salaam, anatafutwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kwa tuhuma...

Kimataifa

Vikosi vya kijeshi vya Afrika Mashariki kutumwa Congo

  VIKOSI vya Jeshi la Kanda ya Afrika Mashariki, vinatarajiwa kutumwa mara moja katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kwa ajili...

Habari za Siasa

Bunge, Serikali zatofautiana kuhusu kukopa ndani

  WAKATI Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiishauri Serikali kupunguza kukopa katika soko la ndani ili kuipa nafasi sekta binafsi kukopa, yenyewe imeongeza...

Habari Mchanganyiko

WFP kununua tani 40,000 za mazao

  SHIRIKA la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) linararajia kununua tani 43,000 za mahindi, maharage na mtama kwa wakulima kutoka mikoa mbalimbali. Anaripoti Mwandishi...

Tangulizi

Wabunge wataka Yanga SC iitwe bungeni, Spika ang’aka

  BAADHI ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamemtaka Spika Dk. Tulia Ackson aruhusu Klabu ya Yanga SC. ambayo...

Habari za Siasa

Kamati ya Bajeti yashauri mambo saba deni la Taifa

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imeshauri mambo saba kuhusu deni la taifa “pamoja na kwamba deni hilo ni himilivu.” Anaripoti...

MichezoTangulizi

Tembo Warriors watua kishujaa bungeni, Spika awapa neno

  KWA mara ya pili, leo tarehe 16 Juni, 2022 Bunge limetengua kanuni ya 160 (1) ambayo inatoa masharti kwa wageni wasio wabunge...

Habari Mchanganyiko

Masauni alitaka jeshi la uhamiaji kufuata sheria uingiaji, utokaji wageni

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Yusufu Masauni ameitaka Idara ya Uhamiaji nchini kusimamia uingiaji na utokaji wa wageni katika...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mpango aagiza mashirika kutoa gawio kwa Serikali

MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango, ameagiza mashirka yote yanayotakiwa kutoa gawio kwa Serikali kufanya hivyo mara moja. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

ACT Wazalendo waitaka Serikali imrejee U-wakili Fatma Karume

  CHAMA cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kutekeleza wa ahadi ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kufungua ukurasa mpya wa kisiasa kwa kumrejeshea...

Habari Mchanganyiko

NEMC yatembelea mradi wa SGR

  BODI ya Wakurugenzi wa Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC), imefanya ziara katika mradi wa reli ya kisasa (SGR) na...

Michezo

Viwanja vitano kuwekwa nyasi bandia

  SERIKALI imesema imepanga kuweka nyasi bandia katika viwanja vitano katika mwaka wa fedha 2022/23. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Hayo yameelezwa...

Habari Mchanganyiko

Bei nywele bandia kutoka nje kupanda

  BEI za nywele bandia maarufu kama mawigi, zinatarajiwa kupanda ifikapo Julai Mosi mwaka huu, baada ya Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika...

Tangulizi

Tozo ya miamala kupunguzwa

  WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itapunguza tozo ya muamala kutoka kiwango kisichozidi Sh. 7,000 hadi kiwango kisichozidi...

Habari za Siasa

Serikali kupunguza mrabaha kwenye dhahabu, makaa ya mawe

  SERIKALI ya Tanzania, inakusudia kupunguza viwango vya mrabaha wa madini ya dhahabu na makaa ya mawe, yanayozalishwa nchini, katika mwaka wa fedha...

Habari za Siasa

Watumishi hakuna kuhama na kiwango cha mshahara

  SERIKALI imesema inakusudia kuondoa utaratibu wa Watumishi wa Serikali kuhama na mishahara yao pale wanapotoka kwenye nafasi za uteuzi au kuhamishwa ofisi....

Habari za Siasa

Serikali kumuongezea nguvu CAG ufuatiliaji miradi

  SERIKALI ya Tanzania, imesema itaongeza fedha katika Ofisi ya mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ili kuiwezesha kutekeleza majukumu...

Habari za Siasa

Serikali yatangaza kiama rushwa ukusanyaji kodi, maduhuli

  SERIKALI ya Tanzania, imeonya kuwa itawafukuza kazi watumishi wa umma watakaobanika kufanya vitendo vya rushwa na ubadhirifu wa fedha, hasa wakusanya mapato...

Habari za Siasa

Kiswahili kutumika usaili kazi Serikalini

  SERIKALI ya Tanzania imetangaza kusudio la kutumia Kiswahili katika kufanya usaili wa watumishi umma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea) Mwigulu ametangaza...

Habari za Siasa

Wakuu wa mashirika, bodi kufanyiwa usaili badala ya teuzi

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amependekeza wakuu wa mashirika kupatikana kwa ushindani kwa kufanyiwa usaili ili kupata watu wenye sifa....

ElimuHabari za SiasaTangulizi

Serikali kufuta ada kidato cha tano, sita

  SERIKALI ya Tanzania imetangaza kusudio la kufuta ada kwa wanafunzi wa kidato cha tano na sita, katika mwaka wa fedha ujao wa...

Habari za SiasaTangulizi

Spika ampa onyo Waitara, ampiga dongo

  SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson amemuonya Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara (CCM) baada ya kubeza na kupinga maelekezo aliyoyatoa kwa...

error: Content is protected !!