Kampuni kubwa ya Saruji ya Uswizi imetangaza mpango wa kuuza kampuni yake tanzu Pan African Cement, ambayo inashikilia asilimia 65 ya Kampuni ya...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2023Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemuaga Rais wa Romania, Klaus Iohannis baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi...
By Mwandishi WetuNovember 19, 2023Wito umetolewa kwa wanawake kujiamini na kujipambanua kitaifa na kimataifa kwenye kusimamia ajenda za maendeleo yenye usawa wa kijinsia na kupinga ukatili wa...
By Mwandishi WetuNovember 19, 2023MAOFISA wanne wa Idara ya Uhamiaji wilayani Kakonko mkoani Kigoma wametiwa mbaroni na jeshi Polisi mkoani humo kwa tuhuma za mauaji ya Enos...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2023KATIKA kuendeleza utamaduni wa Uwajibikaji wa kampuni kwa jamii (CSR), Benki ya NMB imekabidhi msaada wa mabati 600 yenye thamani ya Sh28.2 milioni...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2023MANCHESTER United hawajashinda kombe la Ligi Kuu yaUingereza (EPL) tangu mwaka 2013 lakini bado ni timuyenye mafanikio zaidi tangu ligi hiyo ilipoanzishwa upyamwaka...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2023KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzani (UWT), Jokate Mwegelo amesema hatua ya wanafunzi walioruhusiwa kufanya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2023...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2023AMIRI Jeshi Mkuu Rais Samia Suluhu Hassan, amewatunuku kamisheni wahitimu 62 wa Shahada ya kwanza Sayansi ya Kijeshi, pamoja na kuvunja mahafali ya...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2023Rais wa Romania, Klaus Iohannis amewasili Zanzibar kwa boti ya AZAM na kupokelewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais wa Serikali ya...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2023KIONGOZI anayeondoka madarakani nchini Liberia, George Weah, anaweka historia nchini humo kwa kuwa rais wa kwanza kushindwa katika kinyang’anyiro cha kuwania muhula wa...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2023Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hospitali zimekuwa na mifumo mingi ambayo haisomani kiasi ambacho imechangia kuongezeka kwa...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2023KATIKA jitihada za kuandaa wahitimu wanaoendana na soko la ajira duniani, Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeanzisha ushirikiano na kampuni ya RSM...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2023Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema kijana Mtanzania Clemence Felix Mtenga amefariki katika mapigano yanayoendelea kati ya majeshi...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2023ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ameibwaga tena Serikali mahakamani katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha, baada...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2023JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuzima tukio la ujambazi uliopangwa kufanyika katika eneo la Kampuni ya Kijiji Park,...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2023ALIYEKUWA Rais wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete, amesema bora amestaafu kuongoza Tanzania katika kipindi ambacho idadi ya watu ilikuwa ndogo, akisema...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2023KATIBU Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima amewataka viongozi wa dini kukemea dhambi zinazojitokeza katika chaguzi, ili kuhakikisha zinakuwa...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2023SIKU mpya kabisa na adhwim ya Ijumaa, timu nzima ya Meridianbet imepiga hodi katika eneo la Kimara na Mbezi na kutoa Reflectors...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amemtaka Msajili wa Hazina nchini kufikia Jumanne asubuhi awasilishe maelezo ya kwa nini...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2023Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa elimu ya masuala ya kibenki na umuhimu wa kujijengea utamaduni wa uwekaji akiba kwa wanafunzi wa...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2023Benki ya NMB imesema imeanza kuzingatia kwa karibu masuala ya uhifadhi wa mazingira katika uendeshaji wake na kufadhili miradi mbalimabli kutokana na umuhimu...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2023MKUU wa mkoa wa Kagera, Fatma Mwasa amewaonya wananchi wa Kijiji cha Nyakanazi wilayani Biharamulo na wilaya jirani kuacha kusambaza taarifa za uongo...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2023Rais wa Romania, Klaus Iohannis, amewasili nchini kwa ziara ya kitaifa kuanzia leo tarehe 16 hadi 19 Novemba 2023 kufuatia mwaliko wa Rais...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2023Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dk. Damas Ndumbaro ameagiza Watumishi wa wizara hiyo kuitumikia wizara hiyo kwa kuzingatia falsafa ya kujitambua,...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2023Shirika la afya duniani WHO limewalipa limewalipa fidia ya Dola 250 (Sh 624.3) wanawake 104 waathiriwa wa dhulma za kingono nchini Jamhuri ya Kidemokrasia...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2023MERIDIANBET kwa kushirikiana na Expanse studio wanakuja na vitu vipya, michezo mipya ya kasino mtandaoni itakayozinduliwa kwenye maonyesho ya SiGMA World Europe....
By Mwandishi WetuNovember 16, 2023Jeshi la Israel limesema limeyashambulia makazi ya kiongozi wa kisiasa wa kundi la Hamas, Ismail Haniyeh katika Ukanda wa Gaza. Inaripoti Mitandao ya...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2023SERIKALI kupitia Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara (MKUMBI) imefuta na kupunguza jumla ya tozo, ada na faini zisizopungua 232 kati ya 380...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2023Wakazi wa Arusha na miji ya jirani wana sababu za kutabasamu zaidi kufuatia uzinduzi mpya wa Dar Ceramica Centre Tawi la Arusha,...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2023MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge na Uwekezaji wa Mitaji ya Umma na Mbunge wa Kwela, Deus Sangu amepongeza kamati hiyo kwa...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2023MWENYEKITI wa Shirikisho la Wajasiriamali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Josephat Rweyemamu ametoa wito kwa wanachama shirikisho hilo kushiriki kwa wingi kwenye maonyesho...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametoa katazo kwa kampuni zinazosimamia na kutekeleza miradi ya umeme nchini, kutonunua nje...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2023WAKATI kukiwa bado kuna mjadala unaoendelea juu ya nani alistahili kutwaa Ballon D’or ya mwaka huu 2023, kuna baadhi wanasema Erling Haaland...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2023MAKOFI kwa Mr Eazi! Staa wa Afropop, Mr Eazi ameachia albamu yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la ‘The Evil Genius’ iliyokuwa ikisubiriwa...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2023STAA ambaye alitambulishwa na ngoma maarufu, Afrowave ‘Drogba’, Afro B, ameachia video yake mpya ya kibao “Wo Wo Wo (Ebony)” – ikiwa ni...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2023CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeingia makubaliano na Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) ya kuwapa mafunzo ya vitendo wanafunzi...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2023Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameonyesha kuvutiwa na mchango unaoendelea kutolewa na benki ya Taifa ya Biashara (NBC) katika kukuza sekta mbalimbali nchini ikiwemo...
By Mwandishi WetuNovember 14, 2023HUENDA siku zinazidi kwenda mwaka unaisha lakini kila malengo yako hayatimii, kila njia umefanya lakini bado mambo ni magumu. Leo nataka kunena...
By Mwandishi WetuNovember 14, 2023MFANYABIASHARA Sultan Salim wa jijini Tanga, amemuomba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Kassim Majaliwa, kuingilia kati mchakato wa upatikanaji...
By Mwandishi WetuNovember 14, 2023KATIBU tawala mkoani Songwe, Happiness Seneda, ameupongeza uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Momba kwa kufikisha asilimia 54 ya makusanyo ya fedha....
By Mwandishi WetuNovember 14, 2023HALMASHAURI ya wilaya ya Momba mkoani Songwe,ili kujipatia mapato yake ya ndani imebuni kujenga Mwalo wa Samaki, kwa gharama ya Tshs,1,101,466,162.00 kwa...
By Mwandishi WetuNovember 14, 2023MKUU wa mkoa wa Songwe Dk. Fransis Michael amewapa onyo maafisa kilimo wa wilaya zote mkoani humo kuacha kukaa maofisini na badala yake...
By Mwandishi WetuNovember 14, 2023GEITA Gold Mining Limited (GGML) imeibuka kuwa kampuni inayoaminika zaidi kwenye sekta ya madini katika tuzo za mlaji (Consumer’s Choice Awards Africa) zilizotolewa...
By Mwandishi WetuNovember 14, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amefanya ziara ya kikazi katika Kisiwa cha Songosongo mkoani Lindi kwa lengo la...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2023SAKATA la wafanyabiashara ndogondogo (wamachinga) eneo la Kivule kuvunjiwa na vibanda vyao Kisha mali kuchukuliwa na mgambo limechukua sura mpya baada ya kuzifuatilia...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2023FUNGA mwaka kibingwa na Meridianbet nyumba ya mabingwa wa odds kubwa na machaguo mengi lukuki. Zikiwa zimebaki siku chache mwaka kuisha Meridianbet...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2023NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati wa Tanzania, Dk. Doto Biteko amezindua kituo cha kwanza cha kujaza gesi asilia (CNG) kinachojulikana...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2023Chama cha ACT Wazalendo kimeielekeza Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho kuichambua Miswada ya Sheria kuhusu Uchaguzi, Tume ya Uchaguzi na Vyama...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2023Kituo cha Jemolijia Tanzania (TGC) kimedhamiria kuhuisha mitaala ya mafunzo yake ili kutengeneza Watanzania matajiri kupitia tasnia ya Uongezaji Thamani Madini. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2023JE wajuwa? Paul Makonda amerejea kwenye ulingo wa siasa. Huyo ndiye Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Hamashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2023