Saturday , 2 December 2023
Home Kitengo Biashara Meridianbet kushusha michezo mipya ya kasino utakayoshinda kirahisi
Biashara

Meridianbet kushusha michezo mipya ya kasino utakayoshinda kirahisi

Spread the love

 

MERIDIANBET kwa kushirikiana na Expanse studio wanakuja na vitu vipya, michezo mipya ya kasino mtandaoni itakayozinduliwa kwenye maonyesho ya SiGMA World Europe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Baada ya kuonyesha mafanikio yao huko G2E Las Vegas, Expanse sasa inatarajia kuonyesha bidhaa zao mpya huko Malta kuanzia tarehe 13 hadi 17 Novemba kwenye banda namba 1030.  Wachezaji wa Meridianbet na wapenzi wa kasino mtandaoni wana nafasi ya kufurahia ujio mpya wa michezo kama Pinata Loca, Wild Icy Fruits nk.

Maonyesho ya Kuvunja Rekodi ya SiGMA World Europe Moja ya mikutano mikubwa zaidi barani Ulaya inarudi na tukio ambalo linatarajiwa kuvunja rekodi zote! inaleta jumuiya ya kimataifa ya michezo ya kubahatisha ikiwemo Meridianbet upande wa kasino mtandaoni.

Kusherehekea Mwaka wa Mafanikio: Michezo Bora 5 ya Expanse Studios iliyopo kasino mtandaoni ya Meridianbet ambapo Mwaka huu umekuwa wa kihistoria, na michezo mingi ikigusa hisia za wachezaji ulimwenguni huku ikitoa ushindi mkubwa wa wachezaji.

Kwenye maonyesho hayo waandaji wa mchezo wa “Piñata Loca” wataelezea safari ya kubuni na zawadi za kusisimua zinazowasubiri wachezaji.

Wild Icy Fruits,” mchezo pendwa na ukitambulika kwa malipo makubwa na vipengele vya kusisimua kama vile scatter na wilds, mchezo huu wa kasino mtandaoni unawaalika wachezaji kucheza kwa nafasi ya kushinda mojawapo ya Jackpots tatu zenye kuvutia – Mini, Midi, na Mega. “Pia Premium” inawaalika wachezaji kuanza safari ya kusisimua kupitia utamaduni wa Wahindi wa asili.

Urembo wa Monte Carlo unachukua maisha na “Titan Roulette Deluxe,” mchezo wa kasino mtandaoni unaopatikana Meridianbet unaunganisha uzoefu wa jadi wa roulette na mapinduzi ya kisasa ya michezo ya kasino mtandaoni.

Katika maonyesho hayo kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni kama “Clown Fever Deluxe,” mchezo unaovutia wachezaji wengi kwakuwa ni rahisi kuucheza na kushinda.

Kaa mkao wa kula kufurahia ujio mpya wa michezo bomba ya kasino mtandaoni kutoka kwa watengenezaji wa michezo ya kasino mtandaoni Expanse studios.

NB: UNAIJUA NGUVU YA JERO PALE MERIDIANBET, IKO HIVI KWA JAMVI LAKO LA JERO TU MWEZI HUU WA NOVEMBA LINAWEZA KUKUPATIA BAJAJI MPYAA. PROMOSHENI IMEKWISHA KUANZA NA ITATDUMU KWA MWEZI MMOJA TU, WAHI NAFASI YAKO.

 

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Shinda mtonyo mrefu ukicheza Shaolin Crew kasino ya  Meridianbet

Spread the love  TAIFA la Uchina limebebwa na historia kubwa sana, wengi...

Biashara

Kasino ya Lucky Sevens ni rahisi kucheza na kuibuka tajiri, fanya haya

Spread the love  NENO Kasino unapolisikia kwa mara ya kwanza unapata picha...

Biashara

Ujenzi waiva barabara ya Bigwa – Kisaki

Spread the loveWAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa mkandarasi atakayetekeleza ujenzi...

Biashara

Fanya haya kabla hujacheza kasino

Spread the love  UNAPOANZA kufikiria jinsi ya kutengeneza pesa kirahisi usipate shida,...

error: Content is protected !!