Monday , 11 December 2023
Home Kitengo Biashara Kwa buku unapata Flat Screen Inch 55 mpya kabisa
Biashara

Kwa buku unapata Flat Screen Inch 55 mpya kabisa

Spread the love

 

FUNGA mwaka kibingwa na Meridianbet nyumba ya mabingwa wa odds kubwa na machaguo mengi lukuki. Zikiwa zimebaki siku chache mwaka kuisha Meridianbet itatoa TV inch 55 ya Samsung kwa wateja wake watakao bashiri mechi mbalimbali kwa dau la kuanzia Tsh 1,000/= na kuendelea. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). 

Yaani jamvi lako la Buku tu linaweza kukupatia TV mpya yenye thamani kubwa sana ya pesa na kufanya nyumba yako ipendeze, Samsung TV hiyo itakufanya kufuatilia mechi mbalimbali nyumbani kwako huku ukiwa umeweka jamvi lako la Meridianbet lenye odds kubwa na machaguo 1000+ unaanzaje kukosa zawadi hii.

Fanya haya kushinda TV Samsung Inch 55.

  Promosheni hii itadumu kwa siku 20. Kuanzia tarehe 11.11.2023 hadi 30.11.2023

  Promosheni hii ni halali kwa wateja wote wa Meridianbet waliosajiliwa kwenye APP na tovuti ya meridianbet.co.tz.

  Ili ushinde unapaswa kubashiri kwa siku 15 mfululizo bila kukosa.

  Dau la chini kwa kila tiketi ni TSH 1,000 au zaidi.

  Droo ya mshindi itafanyika tarehe 1 Desemba na mshindi atatangazwa siku hiyo hiyo.

  Cheza mara nyingi zaidi huku ukitengeneza jamvi lenye odds kubwa za kibabe kujiwekea nafasi ya kujishindia TV mpya kabisa ya Samsung inch 55.

  Tiketi za Turbocash na System ni batili kwenye promosheni hii.

Kuelekea kwenye mechi za kimataifa ikiwemo za kufuzu kombe la dunia, na Ligi ya Mabingwa Afrika nk, unaweza kuandaa jamvi lako la buku tu au Zaidi kisha ukajiweka kwenye nafasi ya kushinda promosheni hii.

NB: Ule mchezo pendwa wa kasino mtandaoni AVIATOR umekuja na mgao wa bonasi kibao, kuna mizunguko kibao ya bure utapewa kila unapocheza pamoja na bonasi ya 50,000/= TZS. CHEZA AVIATOR HAPA.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Meridianbet yatoa msaada Mwenge

Spread the love  KAMPUNI ya Meridianbet imefika maeneo ya Mwenge jijini Dar-es-salaam...

Biashara

Serengeti yakabidhi mkwanja kwa mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo

Spread the love Mshindi wa Maokoto ndani ya kizibo kutoka Kahama Mjini...

Biashara

Ushindi rahisi unpatikana kila ukicheza kasino ya Hot Joker

Spread the love  HOT Joker Fruits 20 ni mchezo wa sloti ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Zara tours yajivunia kupandisha wageni 228 Mlima Kilimanjaro

Spread the loveKampuni ya utalii ya Zara tours ya mjini Moshi mkoani...

error: Content is protected !!