Thursday , 7 December 2023
Home Kitengo Biashara Meridianbet yapiga hodi mitaa ya Mbezi na Kimara
Biashara

Meridianbet yapiga hodi mitaa ya Mbezi na Kimara

Spread the love

 

SIKU mpya kabisa na adhwim ya Ijumaa, timu nzima ya Meridianbet imepiga hodi katika eneo la Kimara na Mbezi na kutoa Reflectors kwa boda boda wa maeneo hayo na bajaji kwaajili ya kurejesha kwa jamii yao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Kampuni hiyo ya ubashiri Tanzania, Meridianbet kufanya hivi imekuwa ni kawaida yao ambapo mpaka sasa wamewafikia watu wengi wenye uhitaji. Na safari hii waliamua kufika maeneno ya huko Kimara na Mbezi ambapo uhitaji ulikuwa ni mkubwa kutokana na uwingi mkubwa wa watu.

Msafara huo uliongozwa na Mhariri wa Meridianbet Nancy Ingram na wengine wengi ambao walishirikiana kwa pamoja kutoa Reflectors hizo kwa boda boda kwaajili ya kuwafanya wajikinge na ajali wakati wa usiku wakiwa wanaendesha boda boda.

Nancy amesema kuwa Reflectors hizo ni kwaajili ya kuimarisha usalama wao wakiwa barabarani hasa wakati huu ambao kuna mvua jijini Dar es salaam, hivyo inakuwa ni rahisi kwa wao kufanya shughuli zao kwa usalama.

Ndugu mteja wa Meridianbet kumbuka pia licha ya kampuni hiyo kurejesha kwenye jamii, wanakuambia hivi usiache kupiga mkwanja na Meridianbet kupitia JACKPOT yao ambayo wanatoa ya shilingi Milioni Mia Mbili 200,000,000 kwa dau lako la 1000, ambapo ukiweza kubashiri mechi zako 13 kwa usahihi basi pesa hiyo ni yako.

Baada ya kupokea Reflectors hizo boda boda wa Kimara na Mbezi waliishukuru sana Meridianbet kwa kuwafikia na kuwaletea vifaa hivyo kwani walikuwa wakivihitaji sana na pia waliwaomba isiwe mwisho kuwatembelea tena kwani uhitaji ni mwingi.

Meridianbet wanatoa ODDS KUBWA na za ushawishi hivyo weka dau lako na ubeti sasa kwani mechi nyingi za Mataifa zinaendelea wikendi hii. Una nafasi kubwa ya kutimiza ndoto yako ukibashiri na meridianbet.

Ujio wa timu nzima ya Meridianbet ulikuwa faraja kwa bodaboda na bajaji wa Kimara na Mbezi kwani macho yao yalijawa furaha sana kuona nao wanakumbukwa kwa namna moja au nyingine.

Wewe pia una nafasi ya kupata faraja ukicheza michezo kibao ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Aviator, Poker, Roullette, Keno, Wild Icy Fruits na mingine kibao uweze kujiweka kwenye nafasi ya kujishindia maokoto ya maana.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

CEO NMB ashiriki mkutano wa Benki ya Dunia

Spread the loveAfisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna ameshiriki...

Biashara

Jisajili Meridianbet kasino msimu huu wa Sikukuu upate mgawo wa Mil 2.5

Spread the love  UNAIJUA 200% inakuaje? Meridianbet msimu huu wa Sikukuu za...

BiasharaTangulizi

Bei ya Dizeli, Petroli yashuka

Spread the loveBEI ya mafuta kwa mwezi Disemba, imeshuka kutokana na kupungua...

Biashara

GGML yataja mbinu kuimarisha miradi ya ujenzi, Bashungwa atoa maagizo

Spread the loveKATIKA kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan kuimarisha...

error: Content is protected !!