Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imejipanga kujenga madaraja 189 kwa kutumia teknolojia ya mawe katika mikoa yote 26 nchi nzima...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) pamoja na wadau wengine kwa kuiunga mkono Serikali kwa mchango wa...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023KWETU sisi tuliowahi kusoma sekondari, iwe O levo au A levo, nani aliwahi kusikia tangazo la wavuta bangi kujumuika pamoja au tangazo la...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023RAIS wangu Samia Suluhu Hassan tunaendelea kumshukuru Mungu kwamba wote hatujambo na kwamba Yeye anazidi kutujalia afya ya roho na mwili mpaka dakika...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023BUNGE la Jamhuri linaloendelea mjini Dodoma, kwa wiki nzima limetawaliwa na mjadala juu ya ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023JUMATATU ya tarehe 16 Oktoba 2023 itabaki kuwa siku ya kumbukumbu kwa wananchi wa kizazi hiki wakazi wa mkoa wa Singida. Hiyo ndiyo...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023MUANDAMANAJI moja ambaye hajafahamika jina, yuko mahututi hospitalini akitetea uhai wake, baada ya kujichoma moto kwa kutumia mafuta ya petroli, nje ya ubalozi...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023SERIKALI ya Urusi iko katika mpango wa kuongeza wanajeshi wake, ili kujihami na vitisho vya kiusalama, kufuatia kupanuka kwa Jumuiya ya Kujihami ya...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amekosoa miswada ya mabadiliko ya sheria za uchaguzi, akidai mapendekezo yake hayalengi...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka wadau mbalimbali wanaohusika na mapambano dhidi ya UKIMWI nchini kwa kushirikiana na...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2023WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), watakiwa kutumia elimu waliyoipata kufanya tafiti na kutatua changamoto mbalimbali zilizoko kwenye jamii....
By Mwandishi WetuDecember 1, 2023TAIFA la Uchina limebebwa na historia kubwa sana, wengi wanaijua ile Movie inaitwa Shaolin Soccer ilikuwa balaa sana, jamaa walikuwa wanaupiga mpira...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2023MAHAKAMA ya Hakimu Mfawidhi, wilaya ya Igunga, mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha miaka mitatu gerezani, Jesca Jones Yegera (60) baada ya kupatikana na...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2023Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua programu ya nishati safi ya kupikia itakayosaidia wanawake barani Afrika (AWCCSP) kesho Jumamosi katika Umoja...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2023JESHI la Israel, limerejesha mashambulizi katika ukanda wa Gaza, baada ya kundi la wanamgambo wa kiislamu la Hamas, kudaiwa kukiuka makubaliano ya kusitisha...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2023JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, amekitaka Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kuwafikisha mbele ya kamati ya maadili wanachama wake watakaobainika...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2023MWENYEKITI wa Mawakili Vijana Tanzania kutoka Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Edward Heche, amewataka wanachama wake kuchukua hatua pindi watakapoona sekta ya...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2023KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, anadaiwa kupanga kumfumkuza Kardinali wa Marekani, Raymond Burke anayedaiwa kuwa mkosoaji mkubwa na mpingaji wa mpango...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2023KATIBU Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema changamoto zilizojitokeza katika Uchaguzi Mkuu wa 2020, kama hazitajadiliwa kwa uzito...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2023NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes, alikuwa na kiwango bora sana usiku wa mabingwa Ulaya kwenye mchezo uliomalizika kwa sare ya 3-3...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2023BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), wilayani Ilala, limeitaka Serikali kushughulikia kwa ukamilifu tuhuma za ukatili wa kijinsia, zinazomkabili...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2023ASKARI wawili wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, wanashikiliwa kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga risasi aliyekuwa mlinzi wa...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2023Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, ameielekeza kamati inayoshughulikia masuala ya Mashariki ya Kati ya umoja huo kutembelea eneo...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2023Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa leo Jumatano kufanya uteuzi wa mwisho wa wagombea wa nafasi...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2023Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatano ameridhia kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Daniel Chongolo kutokana na barua aliyoiandika...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2023KOMBE la UEFA Europa League ni zito kuliko makombe yote ya UEFA yenye madini fedha licha ya kutokuwa na thamani kubwa sana,...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2023KATIKA harakati za kuimarisha sekta ya kilimo pamoja na kuhamasisha wananchi kulima mazao yenye tija ili kuondokana na baa la njaa, Mkuu wa...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2023Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewataka wananchi kuhakikisha wanalinda na kutunza miundombinu ya umeme nchini ili itumike kwa muda mrefu. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2023KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameishauri Serikali ianzishe mjadala wa kitaifa kwa ajili ya kujadili namna ya kuandaa dira mpya ya...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2023SERIKALI imesema itaendelea kujenga na kupanua miundombinu ya viwanja vya ndege ili kujihakikishia utoaji wa huduma ndani ya nchi na nchi jirani. Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2023JUMLA ya watu 13 wakiwamo wanawake sita na wanaume saba wamefariki dunia baada ya basi la kampuni ya Ally’s Star Bus kugonga kichwa...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2023JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limekuja na mbinu mpya ya kukabiliana na matukio ya uhalifu katika Mkoa huo ambapo wamewapanga askari...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2023NENO Kasino unapolisikia kwa mara ya kwanza unapata picha gani? Iko hivi Kasino ni sehemu nzuri yenye kila kitu cha kufurahi, ikiwemo...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2023LIGI ya Mabingwa barani Ulaya kuendelea leo na kesho kwa michezo kibao hivyo ukiwa kama mteja wa Meridianbet na wale wengine mambo...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2023MAGEUZI makubwa yanatarajiwa kuhusu uendeshaji wa mashirika ya umma na wwkala za serikali kufuatia kuja kwa sheria mpya ya Mamlaka ya Uwekezaji...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2023JUMLA ya abiria 30, marubani wawili na mhudumu mmoja wamenusurika kifo katika ajali ya ndege iliyotokea leo saa 3:40 asubuhi katika Hifadhi ya...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2023Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega ameagiza kuondolewa katika nafasi yake Kaimu Mkurugenzi wa Uvuvi, Stephen Lukanga baada ya kushindwa kupanga na...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2023Askofu Kanisa la Kiinjili, Kilutheri Tanzani (KKKT), Dayosisi ya Morogoro, Jacob Mameo ametoa wito kwa viongozi wenye tabia ya kutumia vibaya madaraka yao...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2023SERIKALI imejipanga kuifanya nchi kuwa kitovu cha tiba utalii, kwa kuweka mikakati itakayosaidia utoaji huduma za afya kwa wagonjwa maalum wa ndani na...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2023KATIKA kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali kukabiliana na maambukizi ya Virus Vya Ukimwi (VVU), Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2023NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile amezitaka mamlaka na taasisi za serikali zinazotekeleza miradi ya ujenzi wa miundombinu na vyombo vya usafirishaji majini kwenye...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2023BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Alhamisi limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika tarehe 13-14 Septemba mwaka huu. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2023Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza nauli mpya ya mabasi ya mijini na masafa marefu ambapo safari ambazo hazizidi kilomita 10 gharama...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2023CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema taratibu zitafuata mkondo wake kupitia mamlaka za nidhamu kuhusu tuhuma za udhalilishaji zinazomkabili Mbunge wa Babati mjini, Pauline...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza Tume ya Mipango nchini kuweka uratibu wa ushiriki wa makundi mbalimbali ya wananchi...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2023UNAPOANZA kufikiria jinsi ya kutengeneza pesa kirahisi usipate shida, Meridianbet kasino mtandaoni ni jibu tosha, cheza michezo mingi ya Sloti na kasino...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2023BENKI ya NMB imeingia Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) na Kampuni ya Uuzaji na Usambazaji Gesi ya Oryx Gas Tanzania, yaliyopewa jina la ‘Moto...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2023Wananachi wa Tarafa ya Mkuyuni, Halmashauri ya Morogoro mkoani Morogoro, wameepukana na adha ya kukodi magari ya kubebea wagonjwa kwa gharama kubwa kutoka...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kukata umeme kwa wadaiwa wote wasiolipa gharama...
By Mwandishi WetuNovember 26, 2023Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi ametengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Pauline Philipo Gekul. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuNovember 25, 2023