RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewasamehe wafungwa 2,244, huku akiwabadilishia hukumu wafungwa wawili kutoka adhabu ya kifo na kuwa kifungo cha maisha jela....
By Mwandishi WetuDecember 9, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo juu ya uboreshaji dira mpya ya taifa ya maendeleo (2025 hadi 2050), huku akitaka iweke masuala yatakayosaidia...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2023Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali ipo kazini kuhakikisha suala la kukatika kwa umeme linashughulikiwa kikamilifu na hakuna hujuma yeyote kama...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2023Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani, Hassan Iddi Mwamweta amewasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2023HOT Joker Fruits 20 ni mchezo wa sloti ya kasino ya mtandaoni Meridianbet yenye nguzo tano zilizopangwa katika safu tatu na ina...
By Mwandishi WetuDecember 8, 2023WIKIENDI imefika na ukiachana na mvua za Dar es salaam zinazonyesha basi zisikufanye usahau kutandika jamvi lako kwani inaweza ikawa wikendi hii...
By Mwandishi WetuDecember 8, 2023Mwalimu Maganga Japhet amesimamishwa kazi na Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) kutokana na tuhuma za utoro kazini na kukaidi au kukataa kutekeleza...
By Mwandishi WetuDecember 8, 2023Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limedai kuwa hitilafu iliyojitokeza katika Gridi Taifa leo tarehe 8 Disemba 2023 majira ya saa 04:14 asubuhi, ndiyo...
By Mwandishi WetuDecember 8, 2023Kampuni ya utalii ya Zara tours ya mjini Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mara nyingine imeingia katika historia mpya kupandisha wageni wengi katika mlima...
By Mwandishi WetuDecember 8, 2023MABINGWA watetezi wa ligi kuu ya Uingereza klabu yaManchester City mambo yanaonekana kuwaendea upandempaka sasa msimu huu, Kwani mpaka wanashika nafasi yanne kwenye msimamo...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023Benki ya NBC kwa kushirikiana na taasisi ya Benjamin Mkapa Foundation wamezidua rasmi utekelezaji wa mpango wa ufadhili wa masomo ya ukunga kwa...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023WADAU wa maliasili wamekutana kujadili namna ya kudhibiti mianya ya upitishaji miamala ya fedha kwa njia mitindao na benki inayolenga kufadhili biashara ya...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa mji mdogo wa Katesh, wilayani Hanang, Mkoa wa Manyara, waliokumbwa na maafa ya maporomoko ya...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023UJUMBE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), unaoongozwa na mwenyikiti wake Taifa, Freeman Mbowe, umedai kuzuiwa na Jeshi la Polisi kutembelea wahanga...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kinajiandaa kushiriki chaguzi zijazo, huku kikiweka wazi kuwa, kitatoa msimamo mzito ifikapo Januari 2024, iwapo Serikali...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023UONGOZI wa wazee wa mila mkoani Songwe wamejitokeza kumuunga mkono Kamanda wa polisi mkoa huo, Theopista Mallya katika harakati za kuendeleza mapambano dhidi...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023CHAMA cha Mawakili Vijana kutoka Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), kimepanga kufanya matembezi ya amani ili kupinga tabia ya wanataaluma hao kufungiwa...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023Waziri wa Uhamiaji wa Uingereza, Robert Jenrick amejiuzulu baada ya serikali ya nchi hiyo kuchapisha sheria kuhusu mkataba wenye utata na Rwanda wa...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023Naibu Waziri wa Nishati,Judith Kapinga, kwa Niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko amesema Wizara ya Nishati imetoa mafuta...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023WAKALA wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA), umesema kwa kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu wamepata mafanikio...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023USIKU wa leo katika dimba la Old Trafford utapigwa mchezowa kibabe kati ya klabu ya Manchester United dhdi yaklabu ya Chelsea wa ligi kuu...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2023Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna ameshiriki uzinduzi wa Mkutano Mkuu wa Benki ya Dunia (IDA20 Mid Term Review) unaofanyika...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2023UNAIJUA 200% inakuaje? Meridianbet msimu huu wa Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya unapojisajili, ukaongeza salio kwenye akaunti yako kisha kucheza kasino...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2023Jumla ya miradi 20 inayohusu masuala ya afya, usafi wa mazingira, maji, ujasiriamali na ubunifu imechaguliwa katika awamu ya pili ya kampeni ya...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2023KATIBU tawala mkoani Songwe, Happines Seneda ametoa siku 21 kwa Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Ileje, Nuru Kindamba kumpatia majina ya...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2023SHURA ya Maimamu Tanzania, inakusudia kukata rufaa dhidi ya hukumu ya kwenda jela miaka saba, aliyohukumiwa Sheikh Dua Said Linyama, baada ya kukutwa...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2023KATIBU Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius Kahyarara ameiagiza Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kutangaza mafanikio ya taasisi yanayopatikana kikanda,...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2023Waathirika wa maporomoko ya tope Wilayani Hanang, mkoani Manyara, waliopoteza ndugu zao, makazi, pamoja na mali, wamepatiwa misaada ya kibinadamu na Benki ya...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2023KATIKA kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan kuimarisha shughuli za kihandisi nchini, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa wito...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametoa wito kwa viongozi mbalimbali Serikalini kuhakikisha kazi walizonazo wanazifanya kwa bidii na...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2023MTANDAO wa Polisi wanawake wa Arusha kuelekea siku 12 za kupinga ukatili umeendelea na kutoa elimu kwa makundi mbalimbali ambapo wametoa elimu...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2023BENKI ya NMB imenyakua tuzo nne kwenye tuzo za Mwajiri Bora wa Mwaka (EYA 2023), ukiwemo ushindi wa pili kwenye mshindi wa jumla...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2023ILE Sloti bomba ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inayokupa nafasi ya kuibuka shujaa kwenye kundi kubwa la matajiri sasa imerejea, ni...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2023ASKARI wa kikosi cha usalama barabarani mkoani Songwe wametakiwa kuendelea kufanyakazi kwa kuzingatia haki, weledi na uadilifu hatua ambayo itachangia kudhibiti vitendo vya...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2023Loy Thomas Sabaya ambaye ni Baba wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ameshinda nafasi ya Uenyekiti wa...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2023Mahakama ya wilaya ya Songwe imemtia hatiani na kumhukumu kifungo cha maisha gerezani mshtakiwa Dickson Mbadame (32) – mchimbaji wa madini kwa kosa...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2023NAIBU Waziri Wa Utamaduni, Sanaa Na Michezo, Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’, mwishoni mwa wiki alipamba msimu wa kwanza wa Tamasha la Bima Festival...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2023JADE Valley ni mchezo wa sloti wenye nguzo tano zilizopangwa kwa ustadi katika mistari mitatu, sloti yenye mistari 50 ya malipo unaopatikana...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2023KANISA la Mlima wa Moto Mikocheni jijini Dar es Salaam, limezindua kongamano liitwalo SHILO kama sehemu ya kumuenzi mwanzilishi wa Kanisa hilo, Hayati...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2023Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama amesema kuwa Serikali imepeleka wataalamu wa miamba ambao watatoa taarifa...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2023KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, yuko nchini Marekani katika ziara ya kikazi ya siku nne, itakayoanza tarehe...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2023Mustapha Ally, Mkazi wa Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma (kushoto) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh 500,000 kwa niaba ya Godlisen...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2023CHAMA cha ACT Wazalendo kimeelezza kupokea kwa mshtuko na simanzi kubwa taarifa za vifo vya watu 47 na majeruhi 85 vilivyotokea wilayani Hanang...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2023MVUA za vuli zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimeleta madhara katika mkoa wa Manyara baada ya kuripotiwa vifo 20 vilivyosababishwa na mafuriko katika...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2023Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, amewashauri vijana nchini Tanzania kunoa ujuzi wao wa karne ya 21 ili kufanikiwa katika...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2023KIPUTE kati ya klabu ya Manchester City dhidi yaTottenham Hotspurs kitakachokwenda kupigwa katikadimba la Etihad wikiendi katika ligi kuu ya Uingerezautakua mchezo mkali na...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023MERIDIANBET wanakwenda kukupa nafasi ya kutambawikiendi hii kupitia ODDS KUBWA walizoweka katikamichezo mbalimbali ambayo inakwenda kupigwa wikiendihii katika ligi tofauti tofauti barani ulaya. Anaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023CHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeiomba serikali itoe ruzuku kwa vyuo vikuu vinafsi ili kuvijengea uwezo kuboresha miundombinu yake, kusomesha...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023MHITIMU wa fani ya udaktari ambaye ni mdogo kuwahi kutokea tangu kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert kairuki (HKMU), Ahlam Azam...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amefanya kikao kazi na Wakurugenzi wa Kanda na Mameneja wa Mikoa wa Shirika...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023