Friday , 1 March 2024
Home Kitengo Michezo Piga mkwanja wa kutosha katika usiku wa kibabe kati ya Man United vs Chelsea
Michezo

Piga mkwanja wa kutosha katika usiku wa kibabe kati ya Man United vs Chelsea

Spread the love

USIKU wa leo katika dimba la Old Trafford utapigwa mchezowa kibabe kati ya klabu ya Manchester United dhdi yaklabu ya Chelsea wa ligi kuu ya Uingereza, Ambao utatoafursa ya wadau kupiga mkwanja kupitia Meridianbet. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Mchezo huu utakua wenye ushindani mkubwa kwani mara kwamara vilabu hivi vinapokutana umekua ni mchezo mgumu sana, Chelsea wakiwa wametoka kushinda mchezo uliomalizika waligi kuu ya Uingereza huku Man United wao wakiwa wametokakupoteza dhidi ya Newcastle United.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Mchezo huu pia unaweza kuhesabiwa kama mchezo wa kisasikwani mchezo wa mwisho vilabu hivi kukutana ambao ulipigwakatika dimba la Old Trafford Chelsea walipoteza mchezo kwamabao manne kwa moja, Hivo leo inaweza kua nafasi ya waokulipiza kisasi.

Vilabu hivi viwili vinakwenda kukutana vikiwa havina hali nzurikatika ligi kuu ya Uingereza, Huku Man United wakiwa nafasiya saba ana alama zao 24 Chelsea wao wakiwa nafasi ya kumina alama zao 19 lakini vilabu hivyo kutokua vizuri haijawahikuondoa ushindani wa vilabu hivyo vinapokutana.

Michezo mingine ya ligi kuu ya Uingereza pia itapigwa leokatika viwanja mbalimbali na imepewa ODDS KUBWA na zakibabe ambayo inaweza kumpa mteja wa Meridianbet kujipigiamkwanja wa kutosha na michezo hiyo ni kama ifuatayoBrighton wataikaribisha Brentford katika dimba lao la Amex, Sheffield United watakua nyumbani kuikaribisha Liverpool, Aston Villa watakua nyumbani pale Villa Park kumenyana naklabu ya Manchester City.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Wizara yaahidi kuboresha, kuimarisha michezo

Spread the loveIkiwa ni saa kadhaa baada ya kumalizika kwa mashindano ya...

Habari MchanganyikoMichezo

Nje jogging yanyakua medali 20 Kili Marathon

Spread the loveTimu ya riadha ya Wizara ya Mambo ya Nje na...

Michezo

Siku ya kukusanya maokoto ni leo, usipange kukosa

Spread the love  HATIMAYE Jumamosi imefika ndugu mteja wa Meridianbet na mechi...

Michezo

Kuwa milionea na Meridianbet ni rahisi sana

Spread the love  JE, unajua kuwa leo hii ni siku nzuri kwako...

error: Content is protected !!