Monday , 4 March 2024
Home Kitengo Michezo Wikiendi ya kutamba na Meridianbet hii hapa usikubali kuikosa
Michezo

Wikiendi ya kutamba na Meridianbet hii hapa usikubali kuikosa

Spread the love

MERIDIANBET wanakwenda kukupa nafasi ya kutambawikiendi hii kupitia ODDS KUBWA walizoweka katikamichezo mbalimbali ambayo inakwenda kupigwa wikiendihii katika ligi tofauti tofauti barani ulaya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …. (endelea). 

Una nafasi kubwa ya kutengeneza mpunga wa kutosha nakutamba kwani Meridianbet wanakupa hiyo nafasi, Kwani ligimbalimbali barani ulaya zimerejea na wewe mteja waMeridianbet unachotakiwa kufanya ni kuweka jamvi lako nakuchagua timu ili uweze kutamba kwakua Meridianbetwameweka ODDS KUBWA katika kila mchezo.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Suala la ODDS KUBWA kwa kampuni ya Meridianbethalijawahi kua tatizo kwani wameweka ODDS KUBWA na zakutosha katika michezo ambayo itapigwa wikiendi ilikukuwezesha wewe mteja kujipigia mkwanja wa kutosha.

EPL

Klabu ya Manchester United ambayo imetoka kupata sarekwenye ligi ya mabingwa barani ulaya Jumamosi hii watakuaugenini kumenyana na klabu ya Newcastle United waliotokakutoa kipigo kikali kwa Chelsea wikiendi iliyomalizika mchezohuu umepewa ODDS BOMBA pale Meridianbet.

Arsenal washika mitutu kutoka jiji la London wao watauanyumbani katika dimba lao la Emirates wakiwakaribisha klabuya Wolverhampton, Arsenal ikumbukwe wametoka kutoa kipigokizito kwenye ligi ya mabingwa katikati ya wiki, Lakini Wolves nao wamekua na fomu nzuri kwenye ligi kuu ya Uingereza hivoutakua mchezo mkali.

Jumapili kutakua na bonge la mechi kwenye ligi kuu yaUingereza ambapo klabu ya Manchester City wakua nyumbanikwenye dimba lao la Etihad kuikaribisha klabu ya Tottenhamambayo imepoteza michezo mitatu mfululizo, Mchezounatarajiwa kua na ushindani mkubwa sana kutokana na uborawa timu zote mbili lakini pia umepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet ambapo unaweza kuweka mkwanja wako nakujipigia mkwanja.

LA LIGA

Wikiendi hii ligi kuu ya Hispania nayo pia haitapoa kwani klabuya Real Madrid vinara wa ligi hiyo watashuka dimbanikuwakaribisha Granada katika mchezo wa ligi hiyo utakaopigwakatika dimba la Santiago Bernabeu.

Klabu ya Girona ambayo imekua na msimu bora katika ligi kuuya Hispania msimu huu wakikamata nafasi ya pili nyuma yaklabu ya Real Madrid wao watakua nyumbani kucheza dhidiValencia. Mchezo huu umepewa odds nzuri pale Meridianbetweka mkeka wako ujipigie maokoto ya kutosha.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Jumapili mabingwa watetezi wa soka nchini Hispania klabu yaBarcelona watakua na kibarua kikali katika dimba lao la nyumbani, Kwani watawakaribisha klabu ya Atletico Madrid ambao wapo kwenye kiwango kikubwa zaidi msimu huumchezo ambao unatarajiwa kua mkali na kuthibitisha hiloumepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet.

Serie A

Ligi kuu ya Italia nayo kitapigika wikiendi hii klabu ya Ac Milan itashuka dimbani Jumamosi kumenyana na klabu yaFrosinone katika mchezo ambao Milan wanapewa nafasi kubwaya kushinda mchezo huo, Lakini Frosinone wanatarajiwa kutoaushindani mkubwa vilevile.

Mchezo mwingine unaotarajiwa kupigwa katika ligi kuu yaItalia ni kati ya Lazio ambao watakua nyumbani kuwakaribishaklabu ya Cagliari, Mchezo ambao unatarajiwa kua na ushindanimkubwa kwani vilabu vyote viko katikati kwenye msimamo waligi hiyo.

Jumapili pale katika dimba la Diego Armando Maradona klabuya Napoli itawakaribisha vinara wa ligi kuu ya Italia klabu yaInter Milan katika mchezo ambao unatarajiwa kua mkalikwelikweli kutokana na ubora wa vilabu vyote viwili, Lakini piamchezo huu utatoa fursa kwa wateja wa Meridianbet kupigamkwanja kwani umepewa ODDS KUBWA.

Bundesliga

Ligi kuu ya Ujerumani kitapigwa vilevile wikiendi huu ambapoklabu ya Bayern Munich ambao wanashika nafasi ya pili katikamsimamo wa ligi kuu ya Ujerumani watakua nyumbani katikadimba la Allianz Arena  wakicheza na klabu ya Union Berlin mchezo ambao umepewa odds nzuri pale Meridianbet katikamachaguo mbalimbali.

Klabu ya Rb Leipzig nao watakua uwanjani Jumamosi hiiwakicheza na klabu ya FC Heidenheim klabu iliyopanda darajamsimu huu,Lakini haifanyi vibaya sana hivo mchezo huuunatarajiwa kua mkali na wenye ushindani.

Jumapili ndio wiki itafungwa kibabe pale BayArena ambapovinara wa ligi kuu ya Ujerumani klabu ya Bayern Leverkusenwataikaribisha klabu ya Borussia Dortmund katika mchezomkali wa ligi hiyo, Mchezo huo utakua wa kukata na shokakwani vilabu vyote vina ubora mkubwa na utakua sehemu yawewe kupiga hela pale Meridianbet kwani umepewa ODDS KUBWA na za kibabe.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Suka mkeka wako hapa na Meridianbet leo

Spread the love Habari mteja wa meridianebt?. Je wajua kuwa Jumapili ya...

Michezo

Unaanzaje Jumamosi Yako na Meridianbet Leo?

Spread the loveMpendwa mteja wa Meridianbet natumaini Jumamosi yako imeanza vizuri kabisa...

Michezo

Usikubali kupitwa ODDS KUBWA zipo Meridianbet pekee, bashiri sasa

Spread the love  LIGI mbalimbali duniani leo hii zinaendelea huku kwa upande...

Michezo

Ligi ya Mabingwa Afrika kuunguruma tena leo 

Spread the love  LIGI ya Mabingwa Afrika kuendelea leo na michezo kadhaa...

error: Content is protected !!