Monday , 4 March 2024
Home Kitengo Michezo Manchester City dhidi ya Tottenham ni usiku wa kisasi
Michezo

Manchester City dhidi ya Tottenham ni usiku wa kisasi

Spread the love

KIPUTE kati ya klabu ya Manchester City dhidi yaTottenham Hotspurs kitakachokwenda kupigwa katikadimba la Etihad wikiendi katika ligi kuu ya Uingerezautakua mchezo mkali na wakisasi baina ya vilabu hivo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Mchezo wa mwisho ulivikutanisha vilabu hivyo katika ligi kuuya Uingereza uliiacha klabu ya Manchester City na jeraha kwaniwalipigwa kwa bao moja kwa bila, Hivo mchezo wa kesho ni wakisasi haswa kwa Manchester City mbele ya Tottenham.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Mara ya mwisho Manchester City kukutana na Tottenhamwalikua ni Manchester City ambao walikua wakipewa nafasikubwa sana lakini Spurs walishinda mchezo huo, Kama ambavyo mchezo wa Jumapili ulivyo Man City ndio wanapewanafasi kubwa ikimaanisha wanaweza kulipa kisasi au Tottenhamwakapindua meza tena kama ilivyokua mchezo uliomalizika.

Mchezo huu utakua wenye ushindani mkubwa kuanzia ndani yauwanja mpaka nje ya uwanja kwani makocha wa vilabu vyotewana ubora mkubwa, Kwani Pep Guardiola anafahamika uborawake bila kumsahau Ange Postecoglou wa Tottenham ambayeanahesabika kama moja ya makocha tishio wanaokuja baraniulaya hivo ni mechi ambayo itakupa vionjo vyote.

Mchezo huu unatarajiwa kua mkali vilevile kutokana matokeoambayo vilabu hivyo imepata katika michezo yao ya mwisho, Manchester City ambao wametoka kudondosha alama katikamchezo uliopita wakicheza dhidi ya Liverpool wakitoka sare, Lakini pia Tottenham wao ndio watakua na njaa zaidi kwanihawajavuna alama hata moja katika michezo yao mitatu yamwisho.

Mchezo huu umepewa ODDS KUBWA pale Meridianbetkwakua hivo unapewa nafasi kubwa wewe mteja waMeridianbet kuhakikisha unaweza mkeka wako mapema iliuweze kujipigia maokoto ya kutosha wikiendi hii ili kuepukaunyonge.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Suka mkeka wako hapa na Meridianbet leo

Spread the love Habari mteja wa meridianebt?. Je wajua kuwa Jumapili ya...

Michezo

Unaanzaje Jumamosi Yako na Meridianbet Leo?

Spread the loveMpendwa mteja wa Meridianbet natumaini Jumamosi yako imeanza vizuri kabisa...

Michezo

Usikubali kupitwa ODDS KUBWA zipo Meridianbet pekee, bashiri sasa

Spread the love  LIGI mbalimbali duniani leo hii zinaendelea huku kwa upande...

Michezo

Ligi ya Mabingwa Afrika kuunguruma tena leo 

Spread the love  LIGI ya Mabingwa Afrika kuendelea leo na michezo kadhaa...

error: Content is protected !!