Thursday , 13 June 2024
Home Kitengo Michezo Manchester City vichwa chini Ligi Kuu England
Michezo

Manchester City vichwa chini Ligi Kuu England

Spread the love

MABINGWA watetezi wa ligi kuu ya Uingereza klabu yaManchester City mambo yanaonekana kuwaendea upandempaka sasa msimu huu, Kwani mpaka wanashika nafasi yanne kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Miaka ya hivi karibuni haijashuhudiwa klabu ya Manchester City ikiwa nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi kuu yaUingereza, Huku ikiwa tayari imepita michezo 15 hii inaoneshawazi kua klabu hiyo haina mwenendo mzuri mpaka sasa.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Mabingwa hao watetezi wa ulaya hawajafanikiwa kushindamchezo wowote wa ligi kuu ya Uingereza katika michezo yaominne ya mwisho waliyoicheza, Huku kipigo kutoka kwa Aston Villa kikitia chumvi kwenye kidonda na ndio kilichowapeleka mpaka nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi hiyo.

Manchester City baada ya kutokufanya vizuri hivi karibuni kunasababu kadhaa zilizochagiza kutokea kwa hali hiyo ni kamamajeraha yakiwaandama wachezaji wake muhimu, uchovu wamsimu uliomalizika, Lakini pia wachezaji waliosajiliwa kamamibadala ya walioondoka kushindwa kuonesha makali mpakasasa.

Manchester City wanapitia kipindi kigumu kwenye michuano yaligi kuu ya Uingereza lakini haitazuia kuacha kujipigiamikwanja, Kwani mabingwa wa michezo ya kubashiriMeridianbet wanaendelea kumwaga ODDS KUBWA katikamichezo mbalimbali barani ulaya.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Leo Tanzania ipo dimbani beti na Meridianbet

Spread the love  Mechi nyingi za kufuzu Kombe la Dunia kwa Afrika...

Michezo

Meridianbet inakwambia beti mechi spesho za EURO sasa

Spread the love Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wamekuja na Spesho ODDS...

Michezo

Jumamosi ni zamu yako kufurahia mkwanja na Meridianbet

Spread the loveWikendi ndiyo hii imefika jaman na wewe kama mteja wa...

Michezo

ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1,000 yapo hapa

Spread the love Mechi za mataifa za kufuzu kombe la Dunia 2026...

error: Content is protected !!