Friday , 1 March 2024
Home Kitengo Biashara Jisajili Meridianbet kasino msimu huu wa Sikukuu upate mgawo wa Mil 2.5
Biashara

Jisajili Meridianbet kasino msimu huu wa Sikukuu upate mgawo wa Mil 2.5

Spread the love

 

UNAIJUA 200% inakuaje? Meridianbet msimu huu wa Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya unapojisajili, ukaongeza salio kwenye akaunti yako kisha kucheza kasino ya mtandaoni au kubashiri soka unapatiwa bonasi ya mgao wa Sh. 2,500,000.Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Kila mchezaji aliyejisajili  kwenye tovuti  ya Meridanbet.co.tz au Meridianbet APP na kuweka pesa  kwa mara kwanza kiasi kinachoanzia  TZS 10,000  na zaidi kisha kucheza  kwenye kasino ya mtandaoni au tiketi sawa na kiwango hicho angalau mara moja (x1 ) atapokea  mizunguko 50 ya bure + 200% bonasi ya kasino (kiasi cha juu cha bonasi ni 2,500,000 TZS).

Wachezaji wa soka au kasino ya mtandaoni lazima kucheza pesa zao walizoweka kwa mara ya kwanza ndani ya masaa 72 ya kwanza kutoka wakati wa usajili wao. Ikiwa wataweka baada ya masaa 72, hawatastahili Promosheni hii na pia Tiketi za Turbo Cash hazitahesabiwa kama kiasi kilichochezwa.

Kiasi cha bonasi ya kasino ya mtandaoni kilichopokelewa lazima kichezwe mara 100 kwenye michezo mbalimbali ya kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet kutoka kwenye ukurasa wa Michezo ya Sloti ili fedha zihamishwe kama pesa halisi kwenye akaunti ya mchezaji.

Ikiwa mchezaji alipokea Bonasi ya Kasino ya Mtandaoni ya TZS 20,000 atahitaji kucheza jumla ya TZS 2,000,000 katika pesa za Kasino ili aweze kuhamisha faida yake kuwa pesa halisi.

Baada ya Bonasi ya Kasino ya Mtandaoni kutumiwa kufikia idadi inayohitajika, kiasi ambacho kitapatikana wakati huo kitaamishwa mara moja kwenye pesa halisi na kitaweza kutumika kuchezea michezo ningine kwenye tovuti ya Meridianbet.co.tz au mchezaji anaweza kukitoa. Dau la juu kwenye mzunguko moja wa kasino ya mtandaoni wakati wa promosheni hii ni TZS 10,000 na bonasi ya juu kutolewa ni TZS 2,500,000/=

Kiwango cha juu utakachoweza kuamishwa kuwa pesa taslimu kutoka kwenye promosheni hii ni TZS 100,000/=

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

Washindi 12 NMB MastaBata na wenza wao wapaa Afrika Kusini

Spread the loveWASHINDI 12 wa kampeni ya kuhamasisha matumizi yasiyohusisha pesa taslimu...

Biashara

Meridianbet yaimarisha usafi Kijitonyama

Spread the loveMABINGWA wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet leo imefanikiwa kufika...

Biashara

Kampeni SBL ya unywaji pombe chini ya umri yafika Kilimanjaro

Spread the loveKAMPUNI ya bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL) inewahimiza wanafunzi...

Biashara

Cheza Pragmatic Play na ushinde mgao wa Bil 12 za Meridianbet kasino

Spread the love  HII habari njema kwa wapenzi wote wa michezo ya...

error: Content is protected !!